MRADI wa SMART CITY ARUSHA WAPATA NONDO KUTOKA NIGERIA - ASKARI WA TANZANIA WAPATA MAFUNZO...

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 ต.ค. 2024
  • MRADI wa SMART CITY ARUSHA WAPATA NONDO KUTOKA NIGERIA - ASKARI WA TANZANIA WAPATA MAFUNZO...
    Askari kutoka nchini Tanzania wamefika Makao Makao Makuu ya Jeshi la Polisi Nchini Nigeria ambapo wametumia ziara hiyo kujifunza masuala ya usalama na matumizi sahihi ya Tehama katika kuimarisha ulinzi huku washiriki wakihaidi kutumia mafunzo hayo kuboresha matumizi ya kidigitali katika ulinzi pindi watakapo rudi Nchini Tanzania.
    Akiongea leo Julai 09,2024 Baada ya mafunzo hayo Mrakibu mwandamizi wa Polisi SSP Georgina Matagi amesema kuwa wamejifunza namna ya kudhibiti uhalifu kwa kutumia mifumo ya kidigitali ambayo inauwezo wa kutazama eneo lote la mji na askari kupata taarifa na kufika eneo la tukio kwa wakati.
    SSP Georgina ameongeza kuwa tayari Nchini Tanzania mradi huo wa Smart City ushaanza na unaendelea katika jiji la Arusha ambapo amebainisha kuwa wanakwenda kuongeza utaalam walioupata Nchini Nigeria huku akiweka wazi kuwa vitu walivyoviona katika mafunzo yao yameonyesha kuwa Nchi hiyo imeendelea katika ulinzi kidigitali.
    Jishindie Zawadi na Global TV
    Jaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV
    👉🔥👉forms.gle/aU9z...
    ============================================================
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
    ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
    ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

ความคิดเห็น • 6