Swadakta,nimependa uwasilishaji wa jumbe unaoonyesha uhalisia wa hulka za sisi waswahili, hususan kwa ule upande unaostahili kukashifiwa na kukataliwa katika jamii. Swadakta kwa hilo. Director kwa upande wa camera,natoa changamoto,rudia scene utakavyo ili ipatikane sura ya kila mzungumzaji kiukamilifu. Hii pia itawezesha kunakili sauti zao vizuri,maana nimeona pia hilo linachangamoto. Mwanzo ni mgumu,ndo maana kwangu mimi hamjajaribu,kwangu mumefanya kisawasawa. Kipindi kijacho kuwe na ustadi zaidi. Hongereni.❤👏
Kazi nzuri mkuu....
Clean🥳🥳🥳
This video has a strong message😊 can't wait for episode 2 🥰❤️👍👍😍
Nice
Keep it up
Amazing Sana 🔥🔥💯
🔥🔥🔥
Something from mombasaa youth group
Black boy nakutabuwaa
BlackBoy ❤❤
Big up 💪
Let go now🎉🎉
Swaleh the actor
THE PLAY IS AMAIZING .MAMA MKWE ANAJUA SANA MASHAALAH🖐🖐🙏🙏🙏
STORY LINE 100%🙏
VIDEO QUALITY 100%
Shukran ❤
Big up gyz 👏👏kazi nzuri ❤🎉🎉 Bod love. Wasee
Swadakta,nimependa uwasilishaji wa jumbe unaoonyesha uhalisia wa hulka za sisi waswahili, hususan kwa ule upande unaostahili kukashifiwa na kukataliwa katika jamii. Swadakta kwa hilo.
Director kwa upande wa camera,natoa changamoto,rudia scene utakavyo ili ipatikane sura ya kila mzungumzaji kiukamilifu. Hii pia itawezesha kunakili sauti zao vizuri,maana nimeona pia hilo linachangamoto.
Mwanzo ni mgumu,ndo maana kwangu mimi hamjajaribu,kwangu mumefanya kisawasawa. Kipindi kijacho kuwe na ustadi zaidi. Hongereni.❤👏
❤❤
Allah barq
Mwaimeeeeee
2north wapi nduru kwa nadz n mamish😘😘
Aaah nina hamu na next episode muko vzri
Shukran ❤❤soon inshaallah episode 2❤
Good talent guys keep it up
Iko sawa
Kazi nzuli sana mnapataikana ? Wap?
Part.2plz
❤
Waiting part two😊
Nakubali
Ep2 lini 🙌🙌
Soon inshaallah 🙏 ❤️
@@MOMBASA_YOUTH_GROUP_ in Sha Allah hope itakuwa ya kuendelea iko fiti 🙌
Wifi kasheshe 😂😂😂
Lazim ma wif shid tuuu😅😅😅😅😅
🔥🔥🔥🔥
Mmejaribu
😍😍😍