Hivi ndio watu wema wanavyokuwa katika maisha yao si kijana mwenzangu Haji upepo na niendelee kusema kuwa Haji mm ni mwanafunzi Lakn sijafikia kuwaradd masheikh kwa sababu wao ni binaadamu Kama ulivo ww Haji upepo. Hebu tuwe na aadab kwa hawa masheikh watupe like walichonacho 😢
Kosa la haji upepo lipo wapi kwa sheikh mselem mbona hao masheikh wenu wanaomradd sheikh mselem hamuwataji sheikh haji upepo amemsifu sheikh mselem ijapo kuwa watofautiana kiaqida lkn anampenda na anamsikiliza ndo alivyo sema Sasa hao masheikh zenu wanao mponda sheikh mselem hajui kutafsri Quran hamuwataji wacheni ushabiki usio na maana sote ni ndugu wa nyumba moja
Nimekukubali sheikh Mselem Allah akuhifadhi من تواضع رفعه الله Somesha sheikh kwa mujibu Allah alichokupa na akujalie na msimamo huo huo wa kutokumjibu mtu.
Wewe ni fundi tunakuombea dua uwe na msimamo huo huo wachamungu huwa wanajitambua pia huwa Allah hawapi ukubwa wa kujipandisha wenyewe Ila Allah huwapandisha mwenyewe na c hapa duniani Bali ni Akhera na ndo hapo kufudhu Tena. Hawa wengine wanaotupiana madongo katika dini moja huwa hamna kitu .
Shekhe uko sahih unayosema lakini ukileta jambo lilokuwa silo utajibiwa. Sio kuwa hatukupendi lakini utamakani kama uthibitisho umepatikana. Inataka ukubali kama ulosema siyo baada ya kupata uthibitisho. Mfano msimamo wako wa mwezi mmoja, hilo jambo haliwezekani kabisa na Maulamaa wakubwa takriban wamelizungumzia in detail.
shegh mselemu allah akuhifadh tunakujua....ila kuwa na subra tu maana wajinga wengi na kila kukicha wanaengezeka ........tatizo kuu ni watu kuisoma dini bila kuwa na adabu
Mselem hana kund mnajifanya kumradi mnavuta bangi mnajifanya wasomi hmna ata hekma usomi gani kubishana wakati kuna watu hawamuelewi ata ALLAH wengine hawaswali nendeni mkawafikishie mnaradi mnaradi mnavuta bangi mnajifanya wasomi
Wallahi katika nchi hii tungekuwa na ma sheikh kama hawa wallahi nchi ingekuwa na neema za kutosha ALLAH AKUHIFADHI MAALIM
Nakupenda kwa ajili ya ALLAH sheikh Msellem Bin Ally, wewe ni Roll modell wangu!
Safi sana uchamungu huwa daima kujishusha Allah (sw) akuhifadhi mzee wangu na hasad za mwana wa adamu
HAYA NDIYO MANENO YA KUJIBU MTU MWENYE ELIMU NA KUJUA NAMNA YA KUITUMIA: KWA HAKIKA UMETOA MAJIBU MAZURI MNO ALLAH AKULIPE KWA UVUMILIVUWAKO.
Allah akuhifadh sheikh tunakuelewa Sana MaashaAllah
Hivi ndio watu wema wanavyokuwa katika maisha yao si kijana mwenzangu Haji upepo na niendelee kusema kuwa Haji mm ni mwanafunzi Lakn sijafikia kuwaradd masheikh kwa sababu wao ni binaadamu Kama ulivo ww Haji upepo. Hebu tuwe na aadab kwa hawa masheikh watupe like walichonacho 😢
Yeye Haji kamvunjia adabu shehe mselemu kwani km hao wengine wamevunjiwa adabu basi hao waliovunjiwa adabu walivunja adabu za watu pia
Kosa la haji upepo lipo wapi kwa sheikh mselem mbona hao masheikh wenu wanaomradd sheikh mselem hamuwataji sheikh haji upepo amemsifu sheikh mselem ijapo kuwa watofautiana kiaqida lkn anampenda na anamsikiliza ndo alivyo sema Sasa hao masheikh zenu wanao mponda sheikh mselem hajui kutafsri Quran hamuwataji wacheni ushabiki usio na maana sote ni ndugu wa nyumba moja
Mtihani haswa kuna vitu vya muhimu mno vya kufanya lkn sasa weee😢😢
Kwahiyo ww mwenyewe ushajitoa katika hao waja wema tayari maanayule mtoto wa Bachu na kina Abdalla Humeid huwaoni wala huwasikii wanayosema
@@aliabdalla9297 kwa khabari zenu hata nyinyi mukifa Nazo sio katika watu wema
Asante mungu akulinde na shari pamoja na ss kibabu kimamaliza kila kitu
Nimekukubali sheikh Mselem Allah akuhifadhi
من تواضع رفعه الله
Somesha sheikh kwa mujibu Allah alichokupa na akujalie na msimamo huo huo wa kutokumjibu mtu.
Allah akuhifadhi sh msellem bin ally.. Tunakupenda kwa ajili ya Allah ❤
Allah akuhifadhi unaeleweka sana Mashallah.
May Almighty Allah guide you my mostly favorite shekhe
Huyu shekhe hajikwezi ingekuwa wengine maneno mengi
Alikua ana tafuta kk na shk wetu ALLAH akujalie umri na afya njema
Kweli kabisa maneno yako sheikh Allah akuhifadhi yaarab
Napenda utulivu wa Sheikh Mselem katika kuongea kwake na unahisi mawaidha yanaingia moyooni kwa sababu ya ikhlasi yake aliyekuwa nayo
Huyui ndo kipenzi changu kwa ajir ya Allah ,,Allah niweke jirani naye Janna inshallah
mungu akulinde shekhe wangu
Mashaallah Allah ambarkii shkhee watu
Allah akuhifadh Sheikh Mselem
Allah akuhidhi shekh mselem hakika mti wenye matunda ndio hupigwa mawe huwezi kukaa chini ya mjohoro akauchucha mawe bali ss tunakuerewa
Allah akuhifadhi Sheikh wetu
Allah atuongoee inxhallah
Wewe ni fundi tunakuombea dua uwe na msimamo huo huo wachamungu huwa wanajitambua pia huwa Allah hawapi ukubwa wa kujipandisha wenyewe Ila Allah huwapandisha mwenyewe na c hapa duniani Bali ni Akhera na ndo hapo kufudhu Tena. Hawa wengine wanaotupiana madongo katika dini moja huwa hamna kitu .
Kwanza hakuna mtu wakumradi huyu simba wa masimba..na ukimradi ni mjinga mkubwa..tunampenda kwaiyo komeni musimradi
Haji upepo alimtetea sheikh mselem kwa nlivofahamu mm
Ni kweli
Naam jazzakallahkhery 🎉
Haji cha upepo unafeli home boy sheikh muache hayo huwez kuogelea wee bado sana fanya mathnaa
Shekhe uko sahih unayosema lakini ukileta jambo lilokuwa silo utajibiwa. Sio kuwa hatukupendi lakini utamakani kama uthibitisho umepatikana. Inataka ukubali kama ulosema siyo baada ya kupata uthibitisho.
Mfano msimamo wako wa mwezi mmoja, hilo jambo haliwezekani kabisa na Maulamaa wakubwa takriban wamelizungumzia in detail.
shegh mselemu allah akuhifadh tunakujua....ila kuwa na subra tu maana wajinga wengi na kila kukicha wanaengezeka ........tatizo kuu ni watu kuisoma dini bila kuwa na adabu
MashaAllah Allah azidi kupa sbra
جزاك الله الخير
Huyu ndio shekh sio kujikweza
Sheikh mselem mungu akupe kilalakheri
ما شاء الله
Huu ndio mfano wa wanaume bacho muamsheni
shegh mselemu allah akuhifadh tunakujua....ila kuwa na subra tu maana wajinga wengi na kila kukicha wanaengezeka
Asante kitabu kimemaliza kila kitu
Endelea na daawa sheikh Msellem wachana na vibaraka ya mayahudi kazi yao nikudhalilisha masheikh wenye bidii kama wewe.
Alie pewa hikma amepewa kheri kubwa sana na naiyona hapa
Tatizo ni wewe wataka kuraddi wengine watu wasomeshe Tu kila MTU ashike pa kushika.
Ee ALLAH ! Tufanye mfano wa huyu
Yulekijana yule upepo yule dawayake inachemka yule
Upepo hajakosea amesema huyu Sheikh ni mfano wa kuigwa
hilo ni kosa kwan ndugu?
Haji upepo shika adabu yako..
Kwani Haji upepo alisema mselemu ni khawaarij punguza ujinga kichwani mwako
Setup hiyo NA WEWE USHIKE ADABU YAKO MWEHU WW
Yule kijana ashike adabu yake
Haji upepe huyo hule jamaa bwana
Haowànokutuka achananao watoto wadogo achananao wanata kiki
haji upepo acha kiburi ungali mtoto ktk elimu, wew mwnyewe apo una makos tele
😢Bora mwenzangu usije sema ukaoza jela kukaa kimya si kilema
Mawahabi waige mfano wa sheikh Msellem
Sheikh sio wahabi ingawa watu wengi wanadhani hivyo
Kwani huyu sheikh ni Muwahabbi?
Acha zako ww mzushi
Wewe je huna chakuiga
Mselem hana kund mnajifanya kumradi mnavuta bangi mnajifanya wasomi hmna ata hekma usomi gani kubishana wakati kuna watu hawamuelewi ata ALLAH wengine hawaswali nendeni mkawafikishie mnaradi mnaradi mnavuta bangi mnajifanya wasomi
Zanzibar hakuna shekh kwa ajili ya dini
Mlete baba yako
Kuna Sheikh kwa ajili ya nini?
Unajua tatizo lenu huko kwenu wengi ni watoto wa nje ya ndoa hamna mirathi ndio maana niwajinga sana.
Mtoto wa nje ya ndoa ww ndio maana