Tuliposema haya mambo sio ya kuyashabikia na kuyafanyia kejeli hatukuelewa hiii ni hatari na kadri inavyochukuliwa poa kwamba aah! si wa chama fulani mara aah itakuwa wenyewe kwa wenyewe hao hatumkomoi mtu ila tunajikomoa wenyewe kwasababu ukishakuwa umezoea kuiba kwa jirani kuna siku utaanza kuiba nyumbani.
Hii itakuwa wenyewe kwa wenyewe..
Majibu yanatakiwa kufanana ns kufaa wahanga !!
Innalillah wainnallilah rajjiun.
Natoa Pole kwa Chama changu cha Mapinduzi na kwa Familia kwa ujumla.
Watanzania tuwe makini Sana pia tushikane aduiyetu ni mmoja
Ila kumbuka kila nafsi itaonja mauti, kila mtu atakufa tu,
Jmanii kifo kimerahisishw ssani huruma hamna kbs
Mapozi na sauti hiyo siyo ya kutangaza kifo. You can do better and more professional than that!
Hata usipotuomba ss ni watulivu tu sikuzote
Iinnalilah wainailah rajiun
Wasiojulikana Wameanza
Tuliposema haya mambo sio ya kuyashabikia na kuyafanyia kejeli hatukuelewa hiii ni hatari na kadri inavyochukuliwa poa kwamba aah! si wa chama fulani mara aah itakuwa wenyewe kwa wenyewe hao hatumkomoi mtu ila tunajikomoa wenyewe kwasababu ukishakuwa umezoea kuiba kwa jirani kuna siku utaanza kuiba nyumbani.
Kumeanza kuchangamka sasa😢😢😢😢😢😢
kimeumana
Mmh jamani hao wasiojulikana dah
Wasakwe na kuukumiwa mbwa hawa
Mhhh...! .