Maggie Muliri - Watapata Tabu (Official Video)
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 30 ก.ค. 2024
- Watapata Tabu Ni Wimbo Ulioimbwa Na Muimbaji Wa Muziki Wa Injili Madam Maggie Muliri.Wimbo Huu Unalenga Kuwa Fariji Wale Wote Waopogwa Vita Na Maadaui Zao,Mungu Atainuka Na Kukutetea Na Wote Wapata Tabu Mungu Atakapo Simama Na Kukutetea.Nakusishi Mtu Wa Mungu Kama Bado Hauja Subscribe Account Hii Yangu Fanya Hivyo Sasa Mungu Akubariki Sana Kwa Support Yako.#MaggieMuliri#WatapataTabu#GospelVideo.Channel Administered by Huru Digital
Instagram: / hurudigital - เพลง
Mungu Awalinde Daima
Wapedeza
Watapata tabu sana
AMEN, wapate tabu kabisa Hao, mahadui wangu
keep angelas spirit sister....ongera
Wacha wapate taabu Sana Amina
Adui zangu watapata taabu sana maana Mungu Ananiinua mbele ya macho yao ili watoe shuhuda za kila Aina na wamuinamie Mungu Aliye Hai Ambaye Ameniweka Hai na Huru ili nimwabudu
This song iko fiti,be bessed siz
Habari leo hongera sana
Nyimbo nzuri Sana Mungu akubariki na akutumie kumbe hivi nilivyo Kuna watu wanapata tabu Sana🤣🤣
Kweli nimebarikiwa Sana na nyimbo hii
inuliwa zaidi mtumishi wa mungu
God bless you mama
Mutu wa Mungu wa kuanganisha watu and not kuimba juu ya uchonganishi.
Inspiring
Asante kwa wimbo mzuri
Watapata tabu sana Mungu atako fanya
Mungu akubariki sana mama
Watapata tabu sanaaa
Oooh yes ,watapata tabu sana 😂😂😂 be blessed
Vile nilivyo ni tishio kwa maadui zanguuu,🔥🔥🔥🔥
Amen dada 🙏
Naomba mungu pia maadui zangu nawaombea uwasamehe sababu hawajui watendalo
Naanae juwa atendalo vipi?
aiseee!mungu akubariki sana kwa kazi nzuri
Barikiwa mutumishi wa Mungu maadui zangu watapata taabusaana
Mtapata tabu Sana ju ya Maisha yangu Mungu pekee ndio tegemezi kwangu
Kabisa dear
Kweli kabisa wata pata tabu Sana
Yes
Watapata tabu sana amina
Mama wa mungu akujidishie
Good song mamy
Watching from Kenya..💜
Mungu akubariki sana
Kanzi.nzuri.mtumishi.wa.Bwana
sauti nzuri ujumbe mzuri pia, mavazi nimependa Sana umevaa mavazi ya heshima ya kumtukuza Mungu, nakupenda Sana Mama mchungaji Elisha muriri, zaidi ya yote Mungu aliyejuu mbinguni azidi kukutumia kwa viwango vya juu sanaa
Asante ashukuru
Amina
Watapata tabu sana ubalikiwe
AMEN
Watapata tabu sana! Hawalali kwa ajili yangu. Mungu ni mwema sana
Yes
Nakupenda♥️♥️
Watapata tabu saana
Saana
Wimbo mzuri wakutia nguvu
Amen
Watapata tabu sana juu yngu Mungu nazidi kumuomba kila kukicha juu ya maisha yngu barikiwa sana dada mzur kwa wimbo mzuri
Amen amen
Ubarikiwe sana mama mtumishi
Amen amen
Watapata taabu Sana Mungu no mkuu. Nice song watching from Australia
Hongera sana
Huyu ni mtumishi wa mung u. God bless you.
Amen amen
Hongera mum kwa kweli watapata tabu sana ubarikiwe
Amen amen
Wowwwwww napenda sana 🥰🥰🥰🥰 mungu haku zidishiye sana
Amen
Wata pata tabu saana
Watapata tabu saana
Maggie nakupendaga bureee mama sauti yako imetulia, ujumbe ndani ya wimbo unatingisha mifupa yangu,
Nakupenda pia thank u
Amen, wimbo umenibariki
Amen
Waooooo! Mamy Mungu azidi kukuinua inapendeza sana
Tina Muta amen
A very encouraging song. My favourite song.
2021 still hot,wamepata tabu kweli
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
ASANTE MUNGU
From🇰🇪🙌🙌 vile nilivyo Nina 🌟 kubwa Sana. Mahasidi watapata taabu kubwa Sana, ole wao itawakosti🙏🙏
Yes yes
jamani ole wawo kwamana watapata tabu sana mama asante kwa wimbo huu
Saana
wimbo mzuri ubarikiwe maggie
Amina dadaangu
may God bless you more,contue to change people in the right way
I am watching from Canada 🇨🇦I love you and your song even your preaching
Amen nabarikiwa sana
Watching from Australia in 2021. Remain blessed in Jesus name
Amen,this is a song for me.Asante Bwana.
Amina unanibaliki
Jamani dada nyimbo inanibaliki mpaka naona chozi linanitoka yesu azidi kukutumia
Amen amen dear
Mungu akutangulie Sana nimebarikiwa nyimbo ninzuli mno mbarikiwe
Amen Mary
Amen thank you Jesus ❤🙏
Wanao niende kwa ushirikina watapata taabu Sana.... Wimbo mtamu mno
+254💪💪💪
Saaana
Safiiiii. Nilikuwa nasubiri kabisa. I am very happy for you mumy.
Anna Kazimoto amen
Naipenda sana mama
Asnt
Nyimbo zako duh zinalaha maneno mazito ubalikiwe
Asante amen amen
Kitokos godbless mutumishi
Watapata tabu sana nyimbo nzuri sana 😆😆
Amen amen
Yaani maneno kitu❤👌❤ wimbo mzuri sana da Maggie much love from 🇨🇦
Amen
Ameeen mamy
Niko itali naburudika nanyimboooo🙏🙏🙏❤️
Wooow amen amen
Ameeeen. nabarikiwa from Austria
Amen
Kweli kabisa
Yes
waooo watapata taabu saana wanautafuta moyo wangu sababu ya nyota lazima ndoto yangu itimie aliye ndani yangu ni mkuu kuliko anayetawala duniani.....wimbo mzuri Maggie ....
Itatimia dear
Nitumieni kwenye whatsup jamani wimboo huu 0716 262129
Watapata tabu saanaa 2021🔥🔥🔥🔥🔥
Amen, I love the so so much. Encouraging 🙏🙏
Ubarikiwe mam
Amen
Amen! nyimbo yako inanigusa sana mama, Mungu akubariki tena akuzidishiye neema yake.
Amwn amen
Ameeeeeeeeen
Asant mama hongera sn
yonaza aminieli thanks
amen MUNGU akulinde
haki wata pata tabu saana
mungu akubariki mama
a gospel musiciaan watching from kenya love your songs like one day to meet u
Thank u dear
All time favourite
Watapa tabu sana
Mungu ari kuwa upande wake my son Mungu ahendereye kuwa pamoja nawewe Mwana wangu ❤jesus you're my everything and amen 🙏🙏
Amen
Whoever directed the instrumentation did it with perfection. Wimbo wenyewe wabariki mno, watapata taabu hao maadui. Asifiwe Maulana
Amen amen
Muziki mtamu sana!!! Wimbo huu ninaupenda sana!!
Courage
jean claude mumbere merci mom yaya
merci
Safi mum
Asante
Amen Amen Amen AMEN
Amen
matata sana mama yangu
Jeny Nkuwi thanks
Wooow watapata tahabu Sana, very nice song Maman my God keep higher and higher
24 ELDERS MUSIC amen
Ubalikiwe mam watapata tabu sana
Saaana amen
I like your songs mum,watching from Kenya.they are blessings
Woow thanks God bless u
@@maggiemuliri3739 nice
I'm
I love this song 😍😍😘😘
Thanks