Baba asante Sana KWA MAFUNDISHO MAZURI, KUHUSU karismatiki. Kweli Kuna BAADHI ya wanakarismatiki hujisahau KABISA na kuanza kuona wao ndio wenye NGUVU KATIKA KANISA ,,WANAONA HATA mapadre wetu Kama hamna wanachofanya. Kwa MAFUNDISHO haya NITAKUWA MWALIMU MWEMA..AMINA.
Asikofu mungu akupe nguvu yakutumikia sawasawa maana maisha yakuishi kikilisto ni kazi sana maana shetani Yuko kazini anapambana nawanao mkataa
Nabarikiwa sana na mafundisho yako baba
🙏🏾🙏🏾
Asnt baba
Baba asante Sana KWA MAFUNDISHO MAZURI, KUHUSU karismatiki. Kweli Kuna BAADHI ya wanakarismatiki hujisahau KABISA na kuanza kuona wao ndio wenye NGUVU KATIKA KANISA ,,WANAONA HATA mapadre wetu Kama hamna wanachofanya. Kwa MAFUNDISHO haya NITAKUWA MWALIMU MWEMA..AMINA.
🙏🏾🙏🏾 Amina
Amina
Asante baba kwa mafundisho yako
Amina🙏🏾🙏🏾
Santi baba kwa mafundisho mazuri
Amina baba
🙏🏾🙏🏾