Moja kati ya kiongozi mmoja mkubwa wa mpira alishawahi kusema "mpira hauchezwi uwanjani tu Bali unaanza njee ya uwanja," hvyo hii kauli inanifanya niamini ishu ya Kagoma n mbinu iliyotumiwa na rahis wa yanga kumsainisha Kagoma mkataba kmya kmya Kisha kumwambia kasaini Simba alafu ukishacheza ndio tutautangaza mkataba wetu na wewe na hapo ndipo Simba watakatwa pwent ambazo tiar itakuwa n advantage kwao yanga kuanza kutengeneza gepu la pwent na mshindani wake wa karibu. ndivyo ilivyokuwa kwahyo tunarudi na kusema kuwa hersi n mtu atar Sana haswa kwenye kusaka ushindi wa nje ya uwanjaa
Mnataka ushahidi wa risiti ya benk kwamba nani alilipa hela mapema hiyo hata mimi nawashinda Mimi sikutuma hela kupitia benk nilitoa cash nikaenda kulipa kwa mhasibu wao na tulilipa mwezi wa pili case closed
Hela za mkataba wawafate singida na sio hata huyo kagoma. Kingine ata propaganda za mkataba wa kutunga kwa tarehe zipo. KWA HIYO TFF MSIPOTOSHWE NA MESHENI YA WAPINZANI WAJANJA WAJANJA WASIOHESHIMU LIGI ETU
Utopolo haina tofauti na dalala kila mtu anapiga debe na analipwa 200 kila mtu anapiga debe hapa kilabu haina structure inayoeleweka professionalism zero clearity zero mwanasheria hajawahi kushinda kesi hata ya wizi wa kuku sasa mm nauliza nyinyi sheria na samahani zinapelekanaje kiutaalam pelekeni kesi CAS then kama mchezaji ni wenu basi mwekeni kwenye mfumo wa FIFA TMS tuone itasoma anachezea kilabu gani mlisema kagoma ni mchezaji wa kawaida hapati namba na mbona mlipeleka hela ya daku kwaajili ya kumnunua kagoma yaani milioni 30 kwani ni matumbo na kichwa cha mbuzi ndio mlienda kununua mpike nayo supu nawakilisha 254 kenya 🇰🇪 kagoma haombi radhi na kucheza atautwanga na tff wakitaka kujua kuwa kuna wanaume wakate hizo points kama hatujawabebesha Utopolo mimba simba nguvu moja ubaya ubwela
Jenga hoja ya kimantiki kuhalalisha unachokiamini. Badala yake unahukumu kwa unaishia vitisho na arrogance. Sheria haitoi muali kwa kuogopa vitisho! Je, hizi legal documents ni forgery? Then prove it beyond any reasonable doubt. Hii habari ya "mwanasheria" hajawahi kushinda kesi, it's just a mere misconception and insanity!
@SylvesterKameo 😂😂😂😂 The issue is if it's true yusuph kagoma mlimsajili kwanini hamkumtambulisha siku ya yanga day OK then how comes amesaini mkataba na timu mbili while FIFA imeleta mfumo wa kuwasajili wachezaji kwenye system ya TMS ambayo ukisha msajili hauwezi tena kumweka kwenye system ya timu nyingine kama mlimsajili kweli basi simba sc isingeweza kuingiza jina Lake kwenye mfumo wa TMS sasa mlimsajili mbona hamkuweka jina Lake kwenye mfumo wa TMS unaotambulika na FIFA what were you waiting for cox now yusuph kagoma jina Lake linasoma ni mchezaji halali wa simba sc and mbona hizi drama za kusema kagoma ni wenu mbona zinaanza after transfer window has been closed yanga sc ni mascammers na nimawicked cox y you didn't not register yusuph kagoma in TMS system if it's true his transfer was approved by all both sides
Yanga wanakuza jambo lisilostahili kukuzwa! Wanatengeneza mgogoro usiostahili kuwa mgogoro! Labda kama kuna jambo jingine lililojificha zaidi ya Kagoma!
Kumbe nyinyi niwashirikina mbona unalalamika kanuni zikitumika kwenye ushirikina . Hiyo ilikua barua ya posa Kwa Wazazi mume anayependwa na Wazazi na bint kapokelewa hamna inshu utopolo
MCHEZAJI. AMESAJILI KABLA YA DIRISHA LA USAJILI KUVUNGULIWA .PIA MSHASEMA MCHEZAJI AKIJA MNAMUWEKA BENCHI, PIA MSIJIFANYE MNACHEZEA WATU AKILI ETI AOMBE RADHI
Hamna mtu anatukana huyo mwanasheria wenu hafui dafu simba ushahidi wa risiti simba wanasema walilipa cash hawakufanya transfer mtasemaje Kesi inabaki ya madai mnarudishiwa hela yenu Mkodisheni morisoni awasaidie sheria
Mlikuwa mnanunua kuchi au maana hata ng'ombe haitoshi.kamshitakini fountain get makubaliano mlipe nusu alafu ninyi mkalipa yote kwanini mliomba kulipa nusu nusu hii drama tu
Mkurugenzi wa Sheria club yanga sidhani kama anasimamia Sheria vyema ninaelewa anapelekwa pelekwa Tu na ally kamwe maana kama mikataba IPO kisheria ipelekwe kwenye kamati sio mitandaoni kutafuta huruma ya mashabiki wao
Libya AKICHEZA yanaweza kuwa ya simba enzi za rage na tp mazembe maana mazembe walitolewa kwenye mashindano KWA kumtumia MCHEZAJI ASIYE halali Rage alivyogundua alikashitaki CAF na simba ikapewa nafasi ya mazembe wakat simba iliisha tolewa na mazembe
Msamaha ndio Sheria Namba ngapi kwenye kanuni mnaotaka kagoma aombe acheni kupotosha watanzania sio wajinga kiasi hicho. Ombeni release letter Singida Fountain Gate na ITC
Kwenye hili la yanga na kagoma naomba viongozi wetu wa yanga katika hili sisi mashabiki na wanachama wa yanga hatuitaji kuombwa msamaha atuitaji busara bali tu aitaji sheria ziwajibike, kero masimango kejeli tunaoumia n sisi mashabiki uku mtaani hvyo tunaomba tutendewe viongozi wetu wasichekeshe katika hili.
Sasa ww mwanasheria hii ligi yetu haina usimamizi je yusuph kagoma alipate leseni ya kucheza mpira na nyie baada ya kumununua mchezaji hamupeleki vielelezo sehem husika kuwa huyu kuanzia sasa ni mchezaji wetu sasa hapo kati ya mchezaji na bodi ya ligi nan ambaye hajitambui basi nyie wenye vilabu ndo mnavuruga ligi yenyew
Kazi njema kila la kheri kwenu nyote barikiwa Sana Yanga
Mnatuboa sana mwana Shelia Gani kesikushindwa aombe msamaawann kamatume sajilikweli ?? Achenikutupanga
*ahhhhhhaa hapo nahisi katakuwa kamegombana na demu wake kamepanki balaaa mpaka huruma mwenye boyfrend wake ajee katakufwaaaa*
Hahahahahaha kweli utopolo akili hamna aise yaaan Kagoma tunae na tunatamba nae mpaka mpasuke mbuzi kagoma yuko zake Libya nyie Kenge tu
haaaaaa
Hawa wanayumbusha vijana wanatakiwa kuchukuliwa hatua mkiwaacha hivi yanga wataharibu mpira wanamambo mengi
Moja kati ya kiongozi mmoja mkubwa wa mpira alishawahi kusema "mpira hauchezwi uwanjani tu Bali unaanza njee ya uwanja," hvyo hii kauli inanifanya niamini ishu ya Kagoma n mbinu iliyotumiwa na rahis wa yanga kumsainisha Kagoma mkataba kmya kmya Kisha kumwambia kasaini Simba alafu ukishacheza ndio tutautangaza mkataba wetu na wewe na hapo ndipo Simba watakatwa pwent ambazo tiar itakuwa n advantage kwao yanga kuanza kutengeneza gepu la pwent na mshindani wake wa karibu.
ndivyo ilivyokuwa kwahyo tunarudi na kusema kuwa hersi n mtu atar Sana haswa kwenye kusaka ushindi wa nje ya uwanjaa
Duh!! Pwent ndiyo nn?
Magoma atamnyoosha
Madunduka acheni uhuni, fuateni utaratibu kusajili wachezaji
Yanga bingwa tena
km mnauhakika na mnachokisema kwanini msinge enda casi au fifa kunako husika na mambo ya michezo mnakuja kukuletea hicho kichenipati hapo
Sasa uto mnaishitaki singida au kagoma?
Mmeshasema yusuphu kagoma sasa mnatakaje😂😂😂😂😂 kama kagoma..😂😂😂😂😂
Mnalipa vipi wakati mlikuwa mmefungiwa kusajili?
Sio anatimika hadi sasa sema mpaka sasa Kaenda Kimataifa😂😂😂
Nyinyi mmemsajili kabla ya dirisha kufungul
Sijaelewa. Hivi mnamtaka kagoma au mnawataka fonten get warudishe pesa zenu?
Kama kweli mlimsainisha mkataba kabra ya Simba mlishindwaje kwenda kumsajiri tff acheni kudanganya watu
Si hawa walisema hana namba kunako club ya kijana, sasa wanamtaka wa nini sasa?
Ubaya ubwela tayar umeanza kuwaingia tayari hahaha!
Milion 30 hata mimi ningekua kagoma ningegoma 😂😂😂😂😂😂
Ahahaha uwiiiiii 😂😂😂😂😂😂😂
Kwamba jambo Hilo unalitaka wew afsa habari huna akili maana Kila siku kagoma au Hauna kazi za kufanya acha uboya wew kenge
Wew huna umuhim ndio maana umebak
Sasa hii ndio maana halisi ya UBAYA UBWELA imeanza kufanya kazi sasa 😂😂😂😂
Mnasajili kabla ya mda uliowekwa kisheria😂😂😂
Tatizo lenu nyuma mwiko mnatufanya sisi hatuna akiri
Nyie inawezakana na matokeo ya uwanjani ya ujanjaujanja_kagoma milioni 30, kibabaje milioni 30? Undugu au ni nn?
Mnataka ushahidi wa risiti ya benk kwamba nani alilipa hela mapema hiyo hata mimi nawashinda
Mimi sikutuma hela kupitia benk nilitoa cash nikaenda kulipa kwa mhasibu wao na tulilipa mwezi wa pili case closed
Mashabiki wa sanda FC kwani vipi mbona matuc,Sheria za mpira mnazijua lakini?
Topology ndo sheria hawajui wanatapatapa tuu
😂😂😂😂milioni 30😂😂😂 tena italipwa kwa awamu kweli 😂😂😂😂sasa mmemnunua imekuaje akaenda simba..
Kweli wenye akili ni wawili tu ila msipoangalia itawagharimu huo ndo ubaya ubwela wenyewe sasa ila hamtuwezi kwa lolote😂😂😂
Jipe moyo
@@hamzanangameta6243 siyo kujipa moyo kak mchezaji akisha pewa leseni ya kazi na TFF habari imekwisha
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥mwaanasheria wa YANGA 😂😂😂😂😂
Kama ni kweli peleka cass
Mbona hamjasema😂😂😂
Timu hii vilaza kuanzia mashabiki hadi viongozi
Hela za mkataba wawafate singida na sio hata huyo kagoma.
Kingine ata propaganda za mkataba wa kutunga kwa tarehe zipo.
KWA HIYO TFF MSIPOTOSHWE NA MESHENI YA WAPINZANI WAJANJA WAJANJA WASIOHESHIMU LIGI ETU
Yani alikamwe na mwanasheria wote, hamfikirii kabisa, hamjaiuzia simba mchezaji, na uongozi wote mko kwenye makosa,
2020 na 10😂😂😂😂😂
Patrick hajawahi kushinda case😂
Mtakwenda tena Rais SSH kama mlivyofanya kwa Fey.. kagoma sio mzanzibari..kwa fey alikuwa mtoto wa zenji
Utopolo haina tofauti na dalala kila mtu anapiga debe na analipwa 200 kila mtu anapiga debe hapa kilabu haina structure inayoeleweka professionalism zero clearity zero mwanasheria hajawahi kushinda kesi hata ya wizi wa kuku sasa mm nauliza nyinyi sheria na samahani zinapelekanaje kiutaalam pelekeni kesi CAS then kama mchezaji ni wenu basi mwekeni kwenye mfumo wa FIFA TMS tuone itasoma anachezea kilabu gani mlisema kagoma ni mchezaji wa kawaida hapati namba na mbona mlipeleka hela ya daku kwaajili ya kumnunua kagoma yaani milioni 30 kwani ni matumbo na kichwa cha mbuzi ndio mlienda kununua mpike nayo supu nawakilisha 254 kenya 🇰🇪 kagoma haombi radhi na kucheza atautwanga na tff wakitaka kujua kuwa kuna wanaume wakate hizo points kama hatujawabebesha Utopolo mimba simba nguvu moja ubaya ubwela
Mimi nilijua una Akili kidogo.Kumbe 😂😂😂😂
@@mfaumekasuku8876 wew unayo akili embu shika akili yako uscreen shot unitumie nikupe supu
Jenga hoja ya kimantiki kuhalalisha unachokiamini. Badala yake unahukumu kwa unaishia vitisho na arrogance. Sheria haitoi muali kwa kuogopa vitisho! Je, hizi legal documents ni forgery? Then prove it beyond any reasonable doubt. Hii habari ya "mwanasheria" hajawahi kushinda kesi, it's just a mere misconception and insanity!
@SylvesterKameo 😂😂😂😂 The issue is if it's true yusuph kagoma mlimsajili kwanini hamkumtambulisha siku ya yanga day OK then how comes amesaini mkataba na timu mbili while FIFA imeleta mfumo wa kuwasajili wachezaji kwenye system ya TMS ambayo ukisha msajili hauwezi tena kumweka kwenye system ya timu nyingine kama mlimsajili kweli basi simba sc isingeweza kuingiza jina Lake kwenye mfumo wa TMS sasa mlimsajili mbona hamkuweka jina Lake kwenye mfumo wa TMS unaotambulika na FIFA what were you waiting for cox now yusuph kagoma jina Lake linasoma ni mchezaji halali wa simba sc and mbona hizi drama za kusema kagoma ni wenu mbona zinaanza after transfer window has been closed yanga sc ni mascammers na nimawicked cox y you didn't not register yusuph kagoma in TMS system if it's true his transfer was approved by all both sides
@@gabrielnybala2165 Seems as if you're being driven by assumptions! Anyway, my reply is very simple and precise. Good end doesn't justify the means!
Yanga wanakuza jambo lisilostahili kukuzwa! Wanatengeneza mgogoro usiostahili kuwa mgogoro! Labda kama kuna jambo jingine lililojificha zaidi ya Kagoma!
TFF washamaliza kesi
Kumbe nyinyi niwashirikina mbona unalalamika kanuni zikitumika kwenye ushirikina . Hiyo ilikua barua ya posa Kwa Wazazi mume anayependwa na Wazazi na bint kapokelewa hamna inshu utopolo
Kumbesimba imemsajili kwa wakati muafaka
Uko vizur kaka
Ali una mambo kwel yaan umekaa kuwakera wanasimba
Tulieni dawa iwaingie c mnajifanya kama hamjasoma kengenyekeni yote kwa yote ubaya ubwela.
Napenda nongwa
Hela kidogo ivo kwa dogo acha ujinga
Kwani dirisha la usajili ni mwezi wa ngapi?
Duuhhhhhhh milon 60 wachezaji wawili Kagoma na Kibabage mmmmmmmhhhhhhhhhhh!!!!!!!!!
Kumbe mlikuwa na songesha akakatwa
Yaani mnanua mchezaji kwa 30M? Aibu sana. Hivi mshahara wake ungekuwa sh ngapi?
Hawa yanga na ali kamwe ni makei
Acheni kuwadhalilisha wachezaji wa kitanzania@milioni 30? Hovyo_milioni 15? Mnajidhalisha hovyo
MCHEZAJI. AMESAJILI KABLA YA DIRISHA LA USAJILI KUVUNGULIWA .PIA MSHASEMA MCHEZAJI AKIJA MNAMUWEKA BENCHI, PIA MSIJIFANYE MNACHEZEA WATU AKILI ETI AOMBE RADHI
Nanukuu ukimtoa mzee manara na kikwete waliobaki wote ?
Hamjasema kagoma mmempa sh.ngapi?
Wewe ujui mpira heshimu mikataba
Makolo mnatukana sana humu tulieni dawa iwaingie
Kwan wakina goma Wana nn
Kule alikuwa Mzee magoma
Huku na Kuna kagoma wanapenda migororo sana
Mashabiki wengi wa Simba humu wanatukana wakidhania kuwa yanga wanaongopa tulieni mbona mtatukana sanaaaa😢😢😢😢😢
Hamna mtu anatukana huyo mwanasheria wenu hafui dafu simba ushahidi wa risiti simba wanasema walilipa cash hawakufanya transfer mtasemaje
Kesi inabaki ya madai mnarudishiwa hela yenu
Mkodisheni morisoni awasaidie sheria
Nyie hamkua mmemlipa kibabage mliwatapeli,nawao wakawaingiza mkenge kupitia kagoma eti nyie mlipoona mmpigwa ndo mkaona mkawalipe.hahahaa
Hawa akina goma ni noma..kule kuna Magoma,na huku ni Kagoma.
Hamna akili kabisasss😊😊😊😊
Mwenyewe hauna akiri
Yanga leseni ya kagoma ipo wapi 😂 hiyo ni ya kibabage na mna shida ya hela kweli 😂 30M kwa kiwango cha kagoma 😂🙌
Yanga mliongea na mchezaji akiwa na mkataba na timu yake na Hilo ni kosa
KELELE ZA CHURAA HAZIMUZUII TEMBO KUNYWAA MAJII
Unalipaje hela kabla ya kuongea na mchezaji , je angekataa mmgedai hela au acheni janja janja mmefail, procedure tu mmezingua
Mlikuwa mnanunua kuchi au maana hata ng'ombe haitoshi.kamshitakini fountain get makubaliano mlipe nusu alafu ninyi mkalipa yote kwanini mliomba kulipa nusu nusu hii drama tu
Sasa mbona wanaiacha singida wanamuandama mchezaji
Kanuni za Fifa zinatambua lesseni nani katoa lesseni
Nimesema hivyo kwasababu kagoma analeseni yakuchezea simba, sasa ninyi mlikuwa mmefungiwa wakati ule mlianzaje kumsajili?
Nyie kweli nu washamba sana mwanasheria mzima unakaaa na Ally Kamwe kujadili masuala ya kisheria umeshindwaje kwenda mahakamani?
Hayo maneno yenu pelekeni tff ikishindikana nendeni mbele caf wapo fifa mnatusumbua
Kweri nimeamini wewe na mwana Sheria wenu akili amuna
WAPENDÀ MIGOGORO FC
Mkurugenzi wa Sheria club yanga sidhani kama anasimamia Sheria vyema ninaelewa anapelekwa pelekwa Tu na ally kamwe maana kama mikataba IPO kisheria ipelekwe kwenye kamati sio mitandaoni kutafuta huruma ya mashabiki wao
Mbona mnaomba makubaliano ya pande zote na si sheria kuchukua mkondo wake? Nendeni kasi
Nyie Simba hamna akili mnatambanae sawa ila mchezaji alisema mwenywewe alisain Sasa Kuna shida gan apo mbona hamna akili ?
Kumbe kagoma ni homeboy kigoma mim ni yanga ila apo waha mtatusamehe tupo na kagoma
Singida na tff wamewapa vibari vya kagoma kuchezea yanga
Mnailazimisha kamati itamke kuwa kagoma mmemnunua kwani Simba wamekopeshwa
Hao singida si ndio mnawadhamini
hiyo mlilipa deni la kibabage sio kagoma msituzuge hapa
Kagoma yupo Simba na yupo Libya 😂😂😂
Libya AKICHEZA yanaweza kuwa ya simba enzi za rage na tp mazembe maana mazembe walitolewa kwenye mashindano KWA kumtumia MCHEZAJI ASIYE halali Rage alivyogundua alikashitaki CAF na simba ikapewa nafasi ya mazembe wakat simba iliisha tolewa na mazembe
Wazee wa kushindwa kesi hawa
Msamaha ndio Sheria Namba ngapi kwenye kanuni mnaotaka kagoma aombe acheni kupotosha watanzania sio wajinga kiasi hicho. Ombeni release letter Singida Fountain Gate na ITC
Huyu anajaribu kuzima mambo ya mzee magoma
Kwani kagoma atacheza namba ipi Yanga
Kwenye hili la yanga na kagoma naomba viongozi wetu wa yanga katika hili sisi mashabiki na wanachama wa yanga hatuitaji kuombwa msamaha atuitaji busara bali tu aitaji sheria ziwajibike, kero masimango kejeli tunaoumia n sisi mashabiki uku mtaani hvyo tunaomba tutendewe viongozi wetu wasichekeshe katika hili.
hawa jamaa wanapenda kesi aase
Unapenda nongwa huo ndiyo uswahili wenyewe
hakuna mwanasheria hapo msingekua mnapigwa faini kila siku
Huyu anaonekana anadanganya mbona ameshika pua
12:33
Simba wote akili hamnaga matuc yanatoka wap
Ninavyojua Hakuna mkataba hapo Bali uhuni Tu maana umelipa sh30,000,000/= ndio thamani yake ya kimkataba wa miaka mingapi?
Kwan kagoma yeye ninaniii?
Hawa nao hawaachi ukatuni
Sasa ww mwanasheria hii ligi yetu haina usimamizi je yusuph kagoma alipate leseni ya kucheza mpira na nyie baada ya kumununua mchezaji hamupeleki vielelezo sehem husika kuwa huyu kuanzia sasa ni mchezaji wetu sasa hapo kati ya mchezaji na bodi ya ligi nan ambaye hajitambui basi nyie wenye vilabu ndo mnavuruga ligi yenyew
Mbona maswali hamtaki?
Naona point 6 zinatafutwa hapa
Yaani watu hawana kazi za msingi kazi kudeal na issue ya Kagomaa tu . Very sad indeed.