😂😂😂zakazakazi mbona simuoni kwani bado anachaji mdomo wake we ibwe unajikaza tu hapa ila moyoni tunaumia wote sopu wa costal sio uyu wa leo toka aje azam hajawai ata piga offtaget ya kumsumbua diarra NYIE NDO MTATOLEWA NA SINGIDA WALA USIJIZIME DATA😂
Ibwe unasumbua kwa hiyo ulihisi kachinjwa paka umeanza maneno 😂😂😂
Wakereeeerrr
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂nyie. Watu wamevurgwa khaa ibwe pole😂😂😂
Kimoko 😂😂😂 watoto Tele kama cha ngurue😂😂😂au mmbwa 😂😂😂
Eeeeeh 😂😂😂 Atari utani imeshakua vita ikifungwa yanga. Ukitaka kupigwa bastola mtanie mashabiki WA yanga sasa😂😂😂
kimoko kinauma sana jamani
Huyunaye hajielewiii?😂😂
ibwe naona hukulala
Nakusapot sababu umewakanda nyuma mwiko tukandie na costal union
Nyie kazi yenu kukandiwa tu , ninyi mtawakanda lini hao watu , huyo mnayempongeza anagoli nne mwilini
@WistoniMtewele hahahahaha 😀😀 c walisema awafungwi
😂😂😂zakazakazi mbona simuoni kwani bado anachaji mdomo wake we ibwe unajikaza tu hapa ila moyoni tunaumia wote sopu wa costal sio uyu wa leo toka aje azam hajawai ata piga offtaget ya kumsumbua diarra NYIE NDO MTATOLEWA NA SINGIDA WALA USIJIZIME DATA😂
@@RevithaRevitha-f5q unafatulia mpira kwel wewe sop asha mpiga diara Gori 2 akiwa Azam Ile game ya 3-2
@JastFinancial02 ya mwaka gani unasemea nwaka juzi ama Jana??
@RevithaRevitha-f5q mwak juzi
Kombe na furaha yenu ndo hiyo hamna lolote wauza ukwaju zile 4 za juzi mlishazisahau
Mngekuwa wanaume kweli mngongeza magoli
Unatafuta sifa lakini huwezi,
Tujenge viwanja vyetu timu kubwa hizi