Enzi nasoma bhasi kijijini kwetu Kila ikitokea sherehe ukiskia Kuna mziki ujuwe atakaye tawala ni h baba dah palikuwaga hapatoshi aiseee,, wanangu wa 2022 twendweni sawa 🔥🔥🔥🔥🔥
Watoto waliozaliwa 2000 hawawezi ielewa ii ngoma tuliozaliwa na 90 like nyingi najua ili dude munalijua nandozilikuwa ngoma zetu izi kwenye kumbi zamakundi vumbi kama lote ukienda napamba zako kali adi mishale yasaa 8 usku hautamaniki umechafuka vumbi
Ninakushukuru Mungu kwauzima huu, huyo Dada mnene alievaa kipensi alikiwa akiitwa Bahati Magongo kwasasa no Marehemu!!!! Tutumie uzima tulip nao kumkaribia Mungu tupo SAA zajioni ninyakati zamwisho Yesu yukaribu kurudi.
Ngoma zinazoiishi na Inakubalika Mpaka Sasa Mwaka Huu 2024 Tumeo rudia na kukumbuka Enzi hizo ya kuvaa Jeje Like plz Mabubu Walitongozwa Sana na Kukubaliwa Sana Like 😂😂😂
Kila mwaka naicheki na nipo mwaka wa 2022 hapa🔥🔥🤙 nyimbo za zamani zilikuwa zinanoga source biti zake na midundo sahizi hizi midundo haipo kabisa unakutana na hili goma kwenye maharusi enzi hizo ilikuwa Ni 🔥🔥🔥🔥
Kwer aise hii ngoma sito sahau ilipigwa kwajilani nikaenda kucheza kunamboga nilikuwa nimeachiwa kupiga ikaungua sababu ni hii ngoma kilichofat kwa mama najua mwenyew namwil wangu😢😢😢😢😢😢😂😂😂
Huyu jamaaa hakutakiwaa kuwa kibaraka wa harmonize semaaa walichezeaaa sana chance leo anakujaaa kuwa msemajiii wa msaniii ambaye enzi anatoaaa hiz nyimb ata hakudhan kwamba atakujaaa kuwa msanii mkubwa
Wale wa 2024 mko wapi?
❤❤❤❤❤❤
Tarehe 7/7/2024 ni 🔥🔥🔥🔥 jamaa alikua mkali sanaaaa🎉🎉🎉🎉🎉
Pamoja
@@christopherernest2316 hatari sana kaka
@@JohnMwakalobo-o5c kabisa
Leo tar30 jul2023 hii ngoma mm naichek daah inaisha na utamu weke kama ww unakumbuka hii nyimbo kwel konga like ❤❤
Hawa wasanii warudi tena ukikumbuka mpaka unakaa chini hizi nyimbo
Umetoka mbali @H BABA hongera harmonize akulipe hela yako n haki yako #2024 tunakutambua
Kama ww umetazama hii wimbo 2024 weka like hapa
Kama unaitazama hii nyimbo 2024 February gonga like hapa
😂😂😂😂😂 like here
Tupo ila hi nyimbo s ya tanzania ama😂
Wale wa mwezi wa 6 tarehe ya leo 26/06/2024
Tuonane kwenye like❤
Mwamba Ungeendelea Hivi Hivi Ulikuwa Vyema Sana👍👍👍🇹🇿2023
It's 2021 am still listening to mpenzi wangu BUBU H.BABA Nani mwingine 🇿🇲🇿🇲🇿🇲Zambia
Yoyo😂😂😂
Enzi nasoma bhasi kijijini kwetu Kila ikitokea sherehe ukiskia Kuna mziki ujuwe atakaye tawala ni h baba dah palikuwaga hapatoshi aiseee,, wanangu wa 2022 twendweni sawa 🔥🔥🔥🔥🔥
Kweli bwana ukisikia kuna mziki ujue lazima hbab ipo
Ngoma nzuri mkiwa na subra nania hakika mtatomboa nimependa jinx mlivyo ipangilia mistali maua yenu 🎉🎉🎉🎉
Kitambo hii nyimbo nakucheki Kwa mara nyingine2021 anaetizama like zenu😂😀🔥
Mm hapa naikubali sana
🤣🤣🤞
H baba baba babaaaaaaa😂😂😂😂😁😁😁😁
Daaah yan hii ngoma jmn nilikuwa nikiiskia naacha ugari ase
Huyoooo bi gwede gwende ak mwenye mageuko alitisha Sana maana huyo ndio alifanya wimbo uonekane on 🔥🔥🔥👏👏👏👍👍😄😄
Kumbee hii ngoma ni ya huyu jamaa duhh!! Kumbee nilimsikia zamani tu sio saizi wakati anamsurport Harmonize,,nimemuelewa Sasa
Ata mimi nimeshangaa haha
Saiv amekua chawa
@@asaajuma9961 asaa hahahahahaha maisha haya we acha tu
@@stephenarende853 nyinyi sio wafatiliaji wa bongo Fleva hili sio swala la kudaut
Inauma sana
🙂😄😄😄 aliye tumia kaseti zile ndogo kwa kuupiga wimbo huu a like hapa
Nakumbuka mbali sana jama yangu alikuwa anaupenda sana kwa hatuko naye rip Martine onesimo
2021,hakika,niponakucheki mpaka leo
Hii song inanikumbusha mbali sana naingalia tena 2023❤❤❤
Broo h baba weee noma duuu,mapigo ya Pamba hayo noma hahahaaaa,kweli kila zama nakitabu chake
🔥🔥🔥🔥 Nakumbuka Krismas Moja Iv Ilikuwa Sio Powa Home Tulikulaga Ugali Na Maparachichi 😂😂😂😂💥💥💥💥💥💥🤝🤝
Uliponzaa kuimba ulimpa sana stress mr nice
Yaani
Watoto waliozaliwa 2000 hawawezi ielewa ii ngoma tuliozaliwa na 90 like nyingi najua ili dude munalijua nandozilikuwa ngoma zetu izi kwenye kumbi zamakundi vumbi kama lote ukienda napamba zako kali adi mishale yasaa 8 usku hautamaniki umechafuka vumbi
jamani mpenzi wangu bubu hasemi chochote na mimi naombeni msaada 😉😂😂😂
Nimekumbuka mbali sana kipindi viuno vya Vijana Vinatumika ipasavyo
Hii Ngoma Nouma saaaaanaaaa Bongo flavour ya saiv ni kelele 2 na Nyimbo zao za dakika 3. Gonga like hapoo 2naosaport oldie bongo favour
Hadi leo bado inahit sana kama imetoka juz tu jaman
hizi ni nyimbo ambazo zinaishi🔥🔥🔥
Ameshakuwa chawa
Rwanda muko wapiii ❤❤❤❤🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇷🇼🇷🇼🇷🇼🇷🇼🇷🇼🇷🇼
Nakumbuka mbali sanawashikaji kuna cinema tunaenda chungulia na wengine washikaji.
Wazaliwa wa 2000 hatujui izi song 😅😅😅first time kuona hi song 😊
Ninakushukuru Mungu kwauzima huu, huyo Dada mnene alievaa kipensi alikiwa akiitwa Bahati Magongo kwasasa no Marehemu!!!! Tutumie uzima tulip nao kumkaribia Mungu tupo SAA zajioni ninyakati zamwisho Yesu yukaribu kurudi.
Ngoma zinazoiishi na Inakubalika Mpaka Sasa Mwaka Huu 2024
Tumeo rudia na kukumbuka Enzi hizo ya kuvaa Jeje Like plz Mabubu Walitongozwa Sana na Kukubaliwa Sana Like 😂😂😂
😆😆🤣
Acha ngoma itambae ma enzi
Kusema kweli maisha yanabadilika namimi ipo siku ntakuwa mtu mkubwa hii nyimbo zamani ikipiga kama nakula nashiba hapohapo
Hii ngoma ilitamba sana miaka ya 2004 na 2005 kweli watu wanatoka mbali aisee!!
2024 duu huyo jamaa anacheza amevaa mkanda afu yuko kifua wazi nkuwa namuogopa kila akitokea nilikua nafumba macho nimerudia kuangalia na nikamchek nimejicheka mwenyew sema enz hizo buana
Kila mwaka naicheki na nipo mwaka wa 2022 hapa🔥🔥🤙 nyimbo za zamani zilikuwa zinanoga source biti zake na midundo sahizi hizi midundo haipo kabisa unakutana na hili goma kwenye maharusi enzi hizo ilikuwa Ni 🔥🔥🔥🔥
Tunaosikiliza NOVEMBER 2024💪💪💪💪💪
tunaku fata sana Congo wangu trop vraiment
Kitambo hicho naomba ruhusa kwenda disco mpaka sasa bado haiishi utamu bravo mzee baba
Aloo cjui imekuaje nimepita uku leo tarehe 17/8/2024 😂
Achana na uchawa Kaka mashabiki zako tunaupenda Sana mziki wako
I swear guys , am in love with this song more than ever. May 2020 in quarantine. who else?
nakukubal had leo nlcheza sana enz hzo noma sana
Duuu hakika watu hutoka mbali sana asee❤❤❤❤
Kaka H enzi za majabali hizo akiwa kwenye ubora wake, ulitisha sana bro
Ayo mapigo ya zamani noma Sana aisee
Goma Kali Sana kma unachievable 2024 goma Kali Sana
Keleeleee bubu acha keleeleee 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥😃🙌🙌🙌
Woow.H bb dooh the long tyme
Leo tales 28 mwez 7 2024 nacheki mpenz bubu
Kama umekuja kumcheck H.baba ni yule wa kipind kile baada ya kusikia kushirikishwa katika nyimbo akiwa na konde boy na awilo naomba tujuane.
Kwer aise hii ngoma sito sahau ilipigwa kwajilani nikaenda kucheza kunamboga nilikuwa nimeachiwa kupiga ikaungua sababu ni hii ngoma kilichofat kwa mama najua mwenyew namwil wangu😢😢😢😢😢😢😂😂😂
Tujuane wa 2024 mkowapi
Daah mziki mzur hatar nataman hata aludie tena kuimba
Huyo dada mwenye miuno ya hela yte sura mbaya achukue bia kwa mangi ntalipa
Kijana wa Mabatini mtelezoni mashili uko vizuri
Daaah eti leo kawa chawa wa harmonize
Daah..!!! kweli kizuri hakichuji kipindihicho hatademu sjui wanavyotongoza
Enzi hzo hzo video sh 💯 noma sana
Nimecheka sana🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
11.4. 2021 Naichek Maamaaaeee Hiii nyimboo kaliiii Sanhaaaaaa
Alikua msanii mzurii siku izi ni bonge la chawaa...daah dunia iii
Old is gold
Kama hiii ngoma umeangalia mwaka 202o 23 april
Love from 🇧🇮. BURUNDI, it reminds me about my childhood .
H-BABA ameshakuwa chawa wa Diamond
Mpenzi bubu will never fade,50yrs+
Man oh man sema old is gold
Izo zama izo 🤣🤣🤣Ila Uyu Mziki Noma Sana 😂😂😂😂😂😂😂😂😂Twende H Baba tumekumiss baba
Nakumbua TV ili kuwa moja tuu mtaani,hahaaa mnaangali trailer kwanza badae walipia Tsh:20 au Tsh:50 daah zamani Sana'a hahaaaa
🤣🤣🤣
Kitambo sana mpaka 2022 tunaicheki tu❤️
Nakumbuka hii song vile nilikua naikata disco matanga !
Ngoma kali naskiza kila time tangu early 2000 till now July 2020,,,mob love from +254
Mimi Hadi 2021
2021
H_baba unajua Sana mzee nyimbo yako mpya 🔥🔥🔥🔥
Hii ngoma nikiiskia namkumbuka jamaa yangu mmoja kashatangulia mbele za hak😢😢😢
Nakumbuka kitambo Kabisa la force h baba 2023
Miuno ya h-baba,“zilipendwaaa”
Kwanza hizi nyimbo zinahitaji tuzo
Ngoma kali sana h baba nakubali duuh
Top kali za bongo enzi izooo disko la kaseti 😂😂 kitambo sana 2007
18/07/2022 KONDEBOY JESHI NDIE MSANII MKUBWA IN TANZANIA KWA SASA KWASABABU YEYE NDIE ANAITANGAZA NCHI YETU KIMATAIFA KUPITIA MZIKI MZURI ANAOUFANYA
Miaka 18 sasa big up H. baba
H-BABA MY G MY FAVORITE NAKUKUBARI MARANYINGI H- BABA KONDEMUSIC WORLDWID IS NUMBER ONE MOTO FIRE 💥💥💥💥
Huuu wimbo naupenda kuliko weww
good work h baba frm Zambia
Hiyo nyimbo nayipenda sana
Ngoma Kali h b Rudi Kama zaman
Funga mwaka na H.baba la mababa leo ni trh 20 December 2023 🎉🎉
Nimeletwa na uno ya konde boy
Haaa
Na brand yake ya kiuno
Shati kama la brother k duh suruari ukipima kilo 5, demu anamshepu acha bwana wee kweli Kila mtume ana zama zake.
Watching 2021 H baba kumbe alianza bedt dancing toka kitambo A. K. A TSUNAMI
Noma SN nakubali Ninja
Tumeamua kuku fatilia baada ya kuhona unampnda ali kiba sapot sana kwako h baba endelea kumsapoti ivyo ivyo kiba nas tuta zid kukupnda
Dah hyo kitu h baba like sana
Aiseeee Enzi zangu izo kweli
Hatariii sana hili goma
Nakumbuka kipindi hicho nilikua shule ya msingi msoma vijijini yan happy nilikua natoroka hadi shule kwanza
Huyu jamaaa hakutakiwaa kuwa kibaraka wa harmonize semaaa walichezeaaa sana chance leo anakujaaa kuwa msemajiii wa msaniii ambaye enzi anatoaaa hiz nyimb ata hakudhan kwamba atakujaaa kuwa msanii mkubwa
Mimi shabiki kindakindaki bro big up
Kweri konde mrudishe huyu msee anajua
Unanikumbusha mbali sana
Nikiwa drs la nne ikiwa Ngoma kali Sana enzi izo
Tulokuwa t unaimba kimstar cha naitwa h baba a. k. a... tu namalizia na maana zetu mpite apaaa
Kitambo sana 🔥🔥🔥🔥🔥
Inanikumbusha mbali mwanangu
My biggest super star keep it up