Alikiba - Chekecha Cheketua (Official Music Video)
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 1 ต.ค. 2024
- ‘Chekecha Cheketua’ is Alikiba's 2nd official smash hit release through his worldwide exclusive partnership with his record label and management company 'ROCKSTAR4000' and publishing partnership with 'Rockstar Publishing'.
The Music Video was released as a Worldwide 1st Exclusive with TRACE TV, TRACE URBAN and TRACE NIGERIA - @TraceNigeria @Trace_Inter #TraceTV #TraceUrban #TraceNigeria
This ‘Chekecha Cheketua’ music video was Directed by Meji Alabi (@mejialabi) and JM Films (@JM_FilmsTV)
Stream/Download:linktr.ee/Alikiba
Listen to Alikiba on Digital Streaming:
Audiomack: audiomack.com/...
Apple Music: / alikiba
Boomplay: www.boomplay.c...
TH-cam: / alikibaofficial
Spotify: open.spotify.c...
Connect with Alikiba on Social Media:
Instagram: / officialalikiba
Facebook: / officialalikiba
Twitter: / officialalikiba
Snapchat: / officialalikiba
TikTok: / officialalikiba
+For More Information Booking Alikiba:
Contact:emailalikiba@gmail.com
©Kings Music Records.All rights reserved.
Kama bado wasikiliza hii ngoma 2024 nipe like
😂😂😂
@@mwajumabinwa604ሠሠሠሠሠሠሠሠሠሠሠሠሠሠረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረረሽሾሸሽሽሸሾሾሽሽሾሾሾሾሾሸሸሸሸሸሸሸሸሸሸሸሸሸሸሸሸሸሸሸሸሸሸሸሸሸሸሸሸሸሸሸሸሸሸሸሸሸሸሸሰሰሰሰሸቀ😅😊😊😅😅ቀቀ😊ቀቀ😊ቀ😊ቀ😊ቀ😊😊😅😊 3:30 😊😅 3:30 😊😅😊😊😊😅😊😅😊😊😅😊😅
Nimooo
Kama upo 2024 nipeni likes watu wangu
Here
Tupo 👋
Aki nimekaa tu nikamiss hii ngoma..nipewe likes 20/3/2024
20/5/2024❤😂
pewaaa❤
Mwambie *Mwana* *Aje* kuni *seduce me* asiogope *mvumo wa radi* kwani tuta *chekecha* na kila kitu mi *Nagharamia* 😂😂 weka like tusonge mbele
buj moh Tisha sanaaa
buj moh tisha san
buj moh umetisha kijana
ila asinipe maumivu per day🤣🎶
Hahahahah
Kama umenunua smart phone 2020 ukaja moja kwa moja huku gonga like twende sawa woteeeer
What
Seriously 😂
Cheeeiiiih 😂😂😂
SEDUCE ME IMENIFANYA NIPITIE NYIMBO ZOTE ZA ALIKIBA WHAT I DISCOVERED IS JAMAA ANAHITAJI HESHIMA KUBWA SANAA YAANI NI FUNDIII THUMB UP KAMA UNAKUBALIANA NA MIMI.
The December kamoja is legendary
Je vais
Wibonela walid 2020
th-cam.com/video/0WZV4oTTxvU/w-d-xo.html .......
Mimi Leo nimeangalia zote pia
Kama unaamini kiba ndo rais bongo flave weka like yako 2018
Wapi likes za 2024❤❤❤
2020 kama unacheki weka like
bado im
Nani yupo hp baada ya kuskiliza seduce me😀😀
I love you alikiba,we ndio mtu wangu
2020 ndaniii kabisa gonga like tukisonga
th-cam.com/video/0WZV4oTTxvU/w-d-xo.html. ....
Niko🇰🇪
Loving this in 2024 🎉🎉
Reminds me of great memories. Like if you love this song
Going through the comments..why is it Tanzanians have that tendency of putting one artist down inorder to show support of the other artist?? The insults in IG is way too much!! Give this dude a break! What are you doing on his youtube if you think Diamond is better??? This "team" bullshit has gotten into your heads so much and its out of control for heavens sake! Its a shame!Diamond cannot be the only artist in your country..competition has to be there..wether you like it or not!! Kiba was there 1st even before Diamond remember! These artists dont know you...they be making their cash while you be making likes and comments....so y'all take several seats and watch the return of King Kiba because this "team" tactic is working to his advantage!! DEUCES!!
ann love yeah its working on Ali's advantage and they no no shit after all its a good video very suprising its great i love it kiba kapendeza good color composition and its technical , people think a good video is the one with rolls royce , lambo's and shits but this is an ace love it compared to mwana T H U M B S U P!!!!
Sydney Joseph actually it is an old skool video...look at the cars and their dress code! These fools can't even tell the difference!
ann love Well said. Tell them
ann love I like DP and respect him too as an artist but I don't understand these comparison and insults either. It's so juvenile!! We as African's need to support all Artist, whether they're Tanzanian's, Nigerians or whatever! Good music is appreciated regardless of who sings it or where it came from.
You are right Ann, in fact the song is a perfect match of the video and the environment, the problem is people are watching the video while in mind they have a comparable video
Nani mwingine amekuja kucheki ngoma hii baada ya mediocre???
2022 twende sawa kwa like
Alafu nimegundua wengi wenu mpo kukosoa video na si kumpa support Alli Kiba acheni uswahili kila kitu diamond akifa leo utamsifia nani pumbavu nyinyi.
Ww mbona umeanza kwa kulia lia nyau ww.
Arnold William support apewe mara ngapi? Na ni maana gani kwenda kufanya shooting South Africa then hakuna kitu kipya hapo?? Kama ni location hata bongo zipo kama hizo. Haoni wenzake wakienda nje? Si bora angeshoot bongo tu mambo yaishe. Nimegundua kitu huyu Alikiba atakuwa mgumu sana kushaurika.
nassib sanga we ulitaka ki2 gan kipya maybach au. Mbona wasanii wengi wanenda nje hamuwasemi ali kiba kawa bata kila muharisho apewe yeye, angekua diamond msinge ongea hapo
cjaona kibaya katika hio video song. the matter ni kua tusapoti kile tunachoona ni sahihi na kuepuka kukosoa kila kitu, mtu anapofikirisha kichwa mwisho wa siku anahtaj support na si amkemeo kama haya ya sasa hivi. for my opinion video ni nzuri.
2024 is in 2 months and still got this song in my Head❤Alikiba art is just awesome🔥
As I'm typing this it's 30days to 2024🎉. I concur Alikiba is so good at what he does
Yooh 🔥
2024
one of the underrated song from king kebab...I think this was supposed to be realised in 2020 to be I a hit song...ebanaa eeeh Leo nimejikaza kuandika kwa kikenya ila sasa natirirka kibongo..gonga like kwa wale waliokielewa kikenya....
th-cam.com/video/0WZV4oTTxvU/w-d-xo.html.......
Agreed
Alikiba is just something else! and do we ignore that he dances so well in a suit? one of my favv artists. Love this guy
Ninqeria
Same here 💯
best ali kiba guide
th-cam.com/video/0WZV4oTTxvU/w-d-xo.html ...
2022,,,and am here again,,one thing is that I'll never get tired to listen to Kibas songs,they are just amazing with so much meaning to learn from them,I love this guy🙌🙌
And me
Same here 🤗
Same here😂😂
It's good endeed
Same here❤️❤️❤️
2022 still here chekecha chekecha chekectua
Wow u can't believe i don't even know the language but when I listen as he sing its like I know what he's going through!! I've loved this song so much💕👌✌
conglaturalition for watching and listening nigga
Hahahah lol it is kiswahil language from east Africa
M m ñ
Claude Podo
Great to hear that from you brother he a #kingkiba
cut the long story short, diamond be good, kiba is awesome two.different styles different personality different talents diffent fans same platform, mvuto pia tofauti its called #diversity guys and its what makes us africans. them both cant be doing same thing same style!!!! so instead of y'all getting on eachothers neck just embrace diversity its your choice to love diamonds style and someone elses choice to dig kibas style its no offense so why y'all want to throw about some petty beef over it.and yes critisism is good it helps artists grow if they take it positively but its not good if you will throw a shadyass shade on a musician thats much of hate than correction.mwenyewe hata ukipewa kalamu you cant even finish a line or verse or come up with a simple video concept so haters and all those who taking sides and talking negatively seat your shadyesses down and embrace diversity.kama unapenda Kiba love him and dont throw shade on diamond if you love diamond do so without throwing shade on kiba if you feel any of them needs to correct somewhere do so in a civilized and correct manner.
I.M.O this music video is great a lil polishing and it would have been dope.but still i love the vid and love kibas style..
ikaal la stica so true, wote ni wetu na kila mmoja atastaki sifa kw namna ya alivoiwasilisha kazi hiyo ni idea yake na hicho ndicho kinachotakiwa ktk sanaa upekee (unique). ol in ol huwezi kuibadilisha nyekundu kuwa njano huo ni mfano.
ikaal la stica
we always need to apriciate both, they are very awesome!
Lena Liz true said
well said girl.they are both good in what they do.just to end this hypocritical and insane beef which actually doesn't exist as they both put in their interviews rather it has been propagated by selfish medias and groups in social media.I would advice them to come together and do an insane collabo .let their geniuse works bring every one together.
They already collaborated, and one of them deleted the vocals of the other, At that point, the trust was lost. They are both doing great, as fans we should respect their individual craft and creativity by supporting.
😎😎😎nitasema kenye nataka 2020 I won't be silent again
😎😎 bado wombo inanimaliza
Nimekuja ku Chekecha, leo tarehe 3-Septemba-2024.
jamani jamani jamani hebu check his vedio from the start has anyone ever made a vedio like this hapo mwanzo ni kama watu wame stuck hawa move wala nini this is very creative ambaye anasema vedio ni mbaya atoe yake then tutoe marks bt all in all this was very creative kiba big up keep on moving haters will always hate
TEAM KIBA FOR LIFE ur the best bro
Safi😘
Yah his the best😘😘😘😘😘😘😘😘😍
Ni Kwel Kbsa Video Imetulia San Hii....✌✌✌✌✌✌
Ben Mtweve aangalia vedio the guy anaongea na watu but the peopple are stuck anawaambia jamaani mi nataka saule bt anashaangaa peolpple wako quite then anampata huyo dem hapo hebu jaribu ku relate hyo stry hapo mwanzo
Ben Mtweve usidhani yenye unadhani itakuwa.. kama ikiwepo. hakuna ubunifu. This video iko ha hidden theme, you have to dig deeper to understand , saying concept. ikakuwa wewe huelewi, he did what all of you never expected. hii ndio tunaita creativity.. big up.. and the dressing code, OMG i love all the African them, everything iko juu sana. its brings joy to see how he appreciate the real Africans, the dressing code. the life style. have no words to express my love for this video, kama hujaielewa vizuli.. wacha nitakuchambulia toka mwanzo hadi mwisho. i love everything.. we have to appreciate our self. big up man.
Goma lina miaka sjui mingapi ivi lakini bado likipijwa madada wanacheketua🤔😁🐐📣📣📣📣🔥🔥
this is what we call awesome..amazing..splendid..marvelous...unique...unajua kwann???.....King Kiba unatoa video ambazo tunaziita controversial...yaan zinawaacha watu wanajadili mara hivi mara vile..alafu upande wa ile timu nyingne ndo kabsaaa wanadata...wanajifanya kuifikiria video itakua hv kabla afu video ikitoka tofaut na matarajio yao.....this song is afropop...hata mavazi yanatakiwa ya kiafro pop...saa utavaaje mavazi ya ki brooklyn kwa nymbo ya afro pop km hii....King kiba keep da good music alive
Mm ni shabiki mkubwa sana Wa mziki Wa Kiba but kusema ukweli kutamfanya asonge mbele...unaweza sema video imechukuliwa Kwa nataka sana...kama ilizidi siku moja siamin...hata editing haikufanywa ipasavyo...lakin polepole tutafika ni changamoto tu hizo.
Video nzuri sana mazingira mazuri....good quality I salute u!!! Na ukweli nyimbo zako hazichoshi kusikiliza
ahsante sana #justine kajala hiko ndo kitu nimekuja kukigundua baada ya kuicheki video mara kama ya saba hivi maana nimeiangalia mara nyinginyingi kutokana na maneno ya mashabiki pinzani kudai kwamba ni mbovu
wanaponda sana location na mavazi aliyovaa kiba hivi vitu viwili havijakosewa hata kidogo vimeendana ila kuna tu mambo tudogo sana amabato ni twa kupitiwa (actions tu) ndo sijazifurahia kidogo na video haijachangamka kama nyimbo ilivyochangamka ...ila ni nzuri hayo mambo madogomadogo hata akina jay z wanakoseaga
video ni tamu sana hongera mkuu @alikiba
Justin Kazaula ww ndo unajuwa
exactly
na ndio kavaa ki Afro
Ngoma ya mwana imenifanya niangalie Ngoma zake kama nawe unalia mpka 2020 gonga like
If your still listening this song can I have your like,,,,chearsss
Kama unacheki ndan ya 2019
Gonga like tujuane 😎
Live
The way he mixes this swahili, is just fine.
Twakupenda from Kenya☺️
Lyrics :
Jamani ninataka saule
kama mapenzi gorofa yamejaa Kariakoo
Nina mapenzi tele kama kwetu kule
Wanaonitaka ni wengi ila mimi kwako nyang'a nyang'a nyang'a
Nini unataka mi nina miujiza nini unataka
Ama ni maji ya bluelight sema nini unataka
Nikugeuze Princess sema nini unataka
Unavyo biringa bayondo hivyo mi ndo nataka taka sana natakaa
Nini unataka mi nina miujiza nini unataka
Nikugeuze Princess sema nini unataka
Siamini yaani siamini yamenipanda kichwani
mahaba ya kuota sinitimi yamenikoleza mwilini
Siamini ooh siamini yamenipanda kichwani
mahaba ya kuota sinitimi yamenikoleza mwilini
Haya chekecha chekecha chekecha chekecha chekecha chekecha
Chekecha chekecha chekecha chekecha chekecha chekecha
Chekecha cheketua cheke
Chekecha cheketua cheke
Chekecha cheketua cheke
Chekecha cheketua cheke
Masia Uluso kitaa Abu Daddy
Penzi alinipa mama nami leo nakupatia
tena sitaki lawama penzi kiapo hakuna
Mi nitakupenda sana mpaka wivu utakimbia
nami ntalia na wewe mimi kwako nyang'a nyang'a nyang'a
Nini unataka mi nina miujiza nini unataka
Ama ni maji ya bluelight sema nini unataka
Nikugeuze Princess sema nini unataka
Unavyo biringa bayondo hivyo mi ndo nataka taka sana natakaa
Nini unataka mi nina miujiza nini unataka
Nikugeuze Princess sema nini unataka
Siamini yaani siamini yamenipanda kichwani
mahaba ya kuota simitini yamenikoleza mwilini
Siamini ooh siamini yamenipanda kichwani
mahaba ya kuota sinitimi yamenikoleza mwilini
Haya chekecha chekecha chekecha chekecha chekecha chekecha
Chekecha chekecha chekecha chekecha chekecha chekecha
Chekecha cheketua cheke
Chekecha cheketua cheke
Chekecha cheketua cheke
Chekecha cheketua cheke
Huy msanii mkubwa wa bongo mbn nyimbo na video zake zinahit ndan ya week tu zinapotea na kusahaulika kbs lkn ali kiba zinaendelea kutikisa miaka yote tupunguze kurudishan nyuma na mung hamnyimi anae tafut na dai ana video nzuri kumzid eddy kenzo lkn hajawah pat tunzo za BET mbn eddy kapat jamn tumpongez anapofany vzr me cna team ni mtazamo wang mbay ucangalie wal kumalza mb zak
Nani bado anaview huu wimbo 2019 tujuane hapa wenye macho ya blue light. ...king4rever
Wimbo wa kwamza Mimi kuutazama kwenye You tube ulikuwa huu wakati nilikuwa shabiki mkubwa wa Ali Kiba,,nilitoka mbio hadi Cyber nikalipa kuutazama huu wimbio ulipotoka,,niliipenda Sana hi ngoma kutoka kwa Ali Kiba
Asante kwa kumpenda King wetu💕
Ukimfananisha Diamond na Alikiba unakosea maana Diamond yeye anaiga mziki wa Nigeria halafu Alikiba yeye anafanya real Bongo fleva that's why mnakuwa mnaona utofauti ila ukiacha mambo ya kumfananisha Alikiba na Diamond, kiukweli video ya Alikiba ni nzuri mno na imezingatia utamaduni wa Bongo fleva na wa kiafrika
Nakubaliana na ww
Pamoja
Umesema ukweli
lady23ish r you tanzanian?
Lubna cutie y r u asking?
Kama bado unaikubali ngoma hii ndani ya 2021 gonga like twende freshiii
Wenye wanamkubal alikiba mpak sasa gong like hapa👏👏👏
Tanzanian artistry in swahili literature never ceases to amaze. This is just pure poetry in its true form. 👍
🥰
Oh my God you just made me love this song more, I understand a little swahili 🥰
@@alyshachannel579 you should learn more. It's a beautiful language.
Ceases*
This guy is real👌
Am Somali I love Ali kibas all songs🇸🇴🇸🇴🇸🇴🇸🇴🇸🇴🇸🇴🇸🇴🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Alikiba ft Tiwa Savage 💣🔥🔥🔥 imevuja video mpya
th-cam.com/video/Y9KxwpxFnW0/w-d-xo.html
Kama bado unaangalia hili goma 2020 tunapoelekea kumrudisha jemedari wetu raisi magufuri madarakani tujuane
2022 bado kana unaskiza...sema unaskiza ukiwa wapi ..Nairobi kenyaaaa
Kingkiba 2023
Love alikiba one love africa from Ethiopia ❤️
Hananmimishu jema
I love you from tz
thnx
Hananmimishemal u
Hananmimishu jemal. And you are beautiful!
kama imetoka Leo 2019
th-cam.com/video/0WZV4oTTxvU/w-d-xo.html...
Alikiba merci beaucoup pour cette merveilleuse chanson!! Your biggest fan from Congo DRC
Sina maneno mengi 2021 bado inanoga
Daaah 4 real dis video iko chini Sana na c kwa ubaya man....we lve de truth behind every Cni so my honmie kiba you have along way to go to reach where Diamond is.....huo ndo ukweli na views ndo zitasema ukweli endapo hii video itapata 1M views plus.....
Richard Otieno kweli kaka mi enyewe napenda sana ngoma zake ila hii video ally amenidisapont sana.
No one is in competition wt diamond...Kiba just got back to music and many are shaking already. U just sit and relax , just watch how kiba will be one of d best in Africa...He is naturally blessed wt good voice,and dis video is not like many videos we see,only d lame will dislike such a creative video
Richard Rayland sasa unaingalaizia kwenye techno ya elfu 70 unategemea iwe juu?? au kama unaingalizia kwenye hitachi ya tumbo unategemeaje??
ha ha ha ha haaaa
spiderg gurl Hahahaha
Uko na yimba bien kabisa
who is watching this ryt now
The greatest Tanzanian Singer
ali Kiba 🇹🇿 old is gold but i am from Somalia 🇸🇴🇸🇴 i support him Ali Kiba 👏
Me too Somalia loves you
Alikiba you are Tanzania's pride, Tanzania's best Bongo Artist. All the those that brag that are now the leading bongo artists are just your products. Long Live Ndugu Alikiba.
baba wewe ni mukali wao
Wanaoangalia trh 30 mwez wa 12 ,2020 gonga like
2019! This song can make u spend all your 💰.. I will Mary a gal from this country. I promise.. Ivory Coast💪💪💪
Nice
Love u Ali kibaa
Wale wa king 2023 likes apa❤❤❤
2019 na bado Alikiba ndiye mkali wao onelove from Mombasa gonga like 👍
th-cam.com/video/0WZV4oTTxvU/w-d-xo.html. ..
5 years old song but comments had written 1 day ago. This is what every singer and artist wants to reach I think.
beautiful words (mapenzi alinipa mama nami leo nakupatia)
translation ( I'll give you the love my mother gave me)
thanks I have been dreaming to know what is going on
you welcome
+Zainab Bmmmm
+Zainab Beth Thats direct translation.
+Mbayachi Vestince exactly and it comes off weird when translated like that.
2021 tucheketue huu wimbo unaniumiza Sana wakati ulitoka nilimtembelea mpenz wangu mahali nilikuwa nauweka kila saa
I've NEVER tried comment on social media but I couldn't hold myself back from saying this is the MOST amazing piece of work I've seen...I love everything in it!!! EXCELENTE AMIGO
Video and audio vipo vizuri sana, watanzania mna matatizo ya akili sana star anapo toa audio tu mshaanza kupangia adi video itakavyo kuwa, u star auwendi kiivyo. Unataka wewe afanye video uuitakayo roho yako kweli kitu icho akiwezekani . video ichunguze ao iangaliye mara inne utaona maujanja ya ukweli yamo umo kwenye iyo video. Starb kama kenda ku shot inje siotu mpaka aoneshe magari mazuri, nyumba nzuri noo, vile vile kunatakiwa na ubunifu kama ulivyo kuwa katika iyo video ina mazingira ya ki africa. U team unawaaribu wa bongo pendeni vya kwenu.
maya amissi AN AMAZING VIDEO FROM AMAZING MUSICIAN DONE BY AMAZING DIRECTOR TO THE AMAZING WORLD WIDE FANS WHO LOVE GOOD STUFF
-Concept
-Idea
-Clothes
-Effects/Color
-Location
-Timing shot
THIS VIDEO IS GOING TO BE SOMETHING FOR THE ENTIRE TIME "REALLY"
-Local and inter AWARDS
-Local and inter COLLABORATIONS
-Local and inter DOWNLOADS & VIEWS
-Local and Inter INTERVIEWS
-Local and inter SHOWS
-Local and inter RESPECT, STATUS & RECOGNITION
NB:Take my words u will use as reference when times come...
VIDEO NZURI KUTOKA KWA MWANAMZIKI MZURI ILIYOFANYWA NA DIRECTOR MZURI KWA WATU WAZURI/MASHABIKI ULIMWENGUNI WAPENDAO VITU VIZURI
-Maudhui
-Wazo
-Mavazi
-Michanganyo/Rangi
-Eneo
-Uchezaji na muda picha
HII VIDEO ITAKUJAKUA KITU FULANI KWA MUDA MREFU "UKWELI"
-Nyumbani na nje itapata TUZO
-Nyumbani na nje itapata KUSHIRIKIANA
-Nyumbani na nje ita PAKULIWA & KUANGALIWA
-Nyumbani na nje itapata MAHOJIANO
-Nyumbani na nje itapata MATAMASHA
-Nyumbani na nje itapata/atapata HESHIMA,WAJIHI & UTAMBUZI
MHM:Amini maneno yangu utanilinganisha muda utakapo fika ...
Kiukweli video n nzuri,sema wabongo mnakalili,Anglia video ya psquare(shekinin) hadi ndoo imegeuzwa ngoma,
Salumu Shimbi kweli kabisa unalo sema, wabongo mda mungine uwa wanashusha vipaji vya ma star wao bila kujuwa.
Kibaaaaaaaaaaa😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍
Bongo Stream Umeongea ukweli mkuu video ipo tayari saaaaaaaaaaaana
Wonder, nakupenda king kiba. Nice song
nikugeuze princess sema nini unataka. I luv nomaa
I adore alikiba so much. I remember that he is the only artist that i knew from TZD a decade ago. unfortunately i don't know any swahili but i still rock his music
Nimerudi km ww umeangalia hii hadi leo 2021 basi nipe like yako
Can't understand a single word but totally love this song! Other than Little girl's a princess and blue lights ;0)
He is complementing abt his love
his crazy in love
In other words..."tell me what you want" and I give it to you as am so in love with you....
XD you need to learn kiswahili more
cleodontina1 bjjkkk🌻☀🔌🔋🔋🔋🔌🔋
from kenya bado nampenda Alikiba coz his songs never get old
My alikiba big up
Mapenzi amenipa mama nami leo nakupatia....
yani hu wimbo unatesa maharusi ya oman
Happy birthday alikiba 🥳
Atabaki kuwa king cku zote
Why the fuck are this Tanzanian guyz shooting this beautiful songs in South Africa, this video would be better if it would have been shot somewhere in Dar or Zanzibar with beautiful Tanzanian women in lesos dancing chakacha. Song 10/10 video 0/10 just for being shot in SA
I totally agree...
Yeah always. ...South Africa i don't understand. ...y not thiz other countries. . agree with u.....
wanawake hawawezi hata kuchekechua si angewachukua ata wakina asha ngedare wa dar
+Fidel Juma hapo umedinya point
y always pia s.a tz kuzuri pia
Sema nini unataka💪
2021 tunaingia nayo hii
Man doesnt even speak swahili and i memorized the song
The vocals jamani!
🙏😘🥰🤗🤝👏💐🇨🇺🇺🇲BENDICIONES
29 Dec 2022 um here for King himself ...🥰🥰🥰 Nakupenda Kiba
Bado inaishiiii
Takataka sanana🦅🦅🦅🔫🔫🔫🏁
Iko fresh ila siunajua una wapinzani. Achana nao my broi
I love alikiba songs
Keep it up
keep it up!!!alikiba...ngoma itambae
th-cam.com/video/0WZV4oTTxvU/w-d-xo.html. ...
King is only one Tanzania sichoki kukusikili uishi miaka yote love you more ❤❤❤❤❤
Nyimbo inaishi hiii
Wewe ni fundi🥺🥺❤️❤️❤️❤️🙌🙌🙌
Tena hatutaki lawama.....👑👑king kiba
"Nita kupeda sana paka wivu utakimbia" Alikiba mob love from 254
my favorite line there
Swat Sewe mi2
+Vero M mi pia nimo
"I will love you till jealousy will run away"
What does it mean?
Salute nyingi kwa king kiba in 2021
Love from Burundi
42,844 in only 10hrs and still going strong >>>>>>teamkibaforreal
rashid omar viewers dont mater brother coz ata team pinzani wameingia kuangalia je uyu jamaa kawapiku au lah
Douglas Shio views does count...it shows how many people have watch or listen to his music..and yes...doesnt matter on which team they belong as long as they watch the video.
Douglas Shio mbona na sisi tumeangalia sana za mtu wenu akini anajivunia kuwa na veiws wengi... acheni uswahili nyie watu
rashid omar diamond yake masaa 3 alikuwa views 85,000 and 24 hrs ilikuwa 210,000 but ali kiba na yeye kajitahidi keep up
ann love haimati kiiivo maana watu walikua curious kuona kama this time kajitahidi kidogo kwenye video na trust me wengi ni team diamond na kikubwa ni kutaka kuona kama kiba level za kimataifa anaeza au anatest tu...tho jibu wanalo and i hop wako happy coz this is the poorest video i ever seen this year.
Tanzania is pretty me hraet love u
Chekecha cheketua #kingkiba forever piga like Kama wamkubali
Mi shabiki wa diamond...kiukweli video kali alikiba keep it up
Wachezaj wazur hujapata bna kk
Mmmmmh
her
Nimependa comment yako. Hilo akilifanyia kazi atamaliza kila kitu. Lkn kuwapata hao ndo kazi.
Nakubariiiii
2020 like here
Like Kiba since 2007 when I was class 4 at Ngarenaro in Nyahururu use to sing his song during games time his first song I heard was Cinderella mpaka juice na ball gums nilikuwa na buy hizo.God will call king kiba on my wedding day