No! we have emotions, emotions have no gender bra!. Mihemko, hisia ipo, ila kwa hakika wanaume tunaumiliki zaid, ndo maaan tunawiv zaid hata ukikataa ipo hivo
Leo ndio nimegunduwa uyu jamaa akili hana kabisa na ili kugunduwa ilo inabidi kusikiliza maongezi yake mbalimbali katika mahojiano yake mbalimbali alafu uyapime utagundua ilo
This guy Mrindoko ni very detailed in many things,I like him and enjoy his shows.
Hapo freshi❤
Sure sana.... 🎉🎉🎉🎉
Jamaa kaelezea na swali kalikumbuka jamaa akili anazo sana
Psychology Expert sio akili tofautisha akili na elimu huyu utofauti wake na shetani ni ndogo sana huyu ukimwambia Kuna Mungu mtagombana.
Sio wivu wala Love, its manipulation. Great content.
Ur so right brother 👌
Sanaaa joseph mlindoko profatianal
Preach brother
Hapo sawa
Salute
Safi
Mlindoko hivi ww ulizaliwa na binadamu kweli maana sio kwa akili izoo duuh umetisha sana
Vitu viko wazi sema watu waoga wa kusema
Yah ni mtu na nusu huyu jamaa
❤❤❤❤
Mrindoko this man
Daaah
Yani hatamim siwez kubembelez bila kujua nimemukoseanin anune gafula nianze kubembelez umefanyaj hahahahahaha wew hayip hy
Tunatakiwa kuwa waelewa
Hata mitaala yetu haitujengi kuwa wahelewa bali ni kutuzika
Mimi huwa nasema-Wivu nisawa na uchaw ? Au nimuuwaji katili aliejificha ktk mahusiano?
Tunabembelezwa na tunakubali ili mzozo uishe lakn kero inabaki ndani ya mioyo yetu hii ni kwa wanaume wote
hapana hii ni kwa waoga wotee, labda endapo kama unasubir muda sahh wa kunyooka
True
We ni noma
Jamaaa yuko vzur sana
Kaji taidi sana kufanunu nakubali
Akili nyingi Sana mlindoko
Facts.
Nimekuelewa kka
Duh hatari sana
Uho, nezo mm nimekuelewa.
Mlindoko naomba nipate namba yako nahitaji vitabu vyako
Wachokonoxi nakuelewa sana
wanasema tuishi na wanawake kwa akili, kwasabab hata wanawake wenyew wako protective kwa watoto wao, hawako predictable kirahis, ukitoka ww kweny umasculinty wako, unamtoa mwanmke kweny comfort zone, atauvaaa umasculnty.
No! we have emotions, emotions have no gender bra!. Mihemko, hisia ipo, ila kwa hakika wanaume tunaumiliki zaid, ndo maaan tunawiv zaid hata ukikataa ipo hivo
🎉Mlindoko uyo
Nataka vitabu Mrindoko niambie ninavipata wapi
ingia u tube andika wachonozi utampata vzr kabsa...mtandao yote wanatumia jina wachokonozi
Watangazaji mnarudia rudia maswali ila big up hiyo jamaa
Noma
Taratibu wachokonoz wanatoboa air time
Kabisa
Sasa unakuta mtu anatambia mchanganyiko Sasa hapo utafanyaje??
hizo adds zenu ni excess adi mnaboa
Mrindoko uko pouwa sana
Unyama mwingi braza mchokonoz
Hawa watu natamani waweke group tujufunze.mengi
Nakubali
Kaka hapo nimekupa mauwa yako unakuta mwanaume hasa mjini wapo tu
Mwamba kabisa huyu daaaa!!!!
ARUSHA NAPATA WAP VITABU VYAKO??????????
Kila kiumbe ameumbwa na nan?
Kime jiumba chenyewe
@@blacknesaya744😅😅😅😅😂
Honestly i don't like the way you pretend jealous doesn't exist either to men or women
Apo aki nime guswa
Yaan we ni mkufunzi wa juu nahic we profess
Huyu jamaa ndio mchokonozi au?niambieni
Ndiyo
Yes, ndo yeye
😂
duuuuh
SUBSCRIBE NOW NA BONYEZA ALAMA YA KENGELE🔔 UWE WA KWANZA KUONA👉 bit.ly/3MraYdQ
Mwamba vitabu nipate wap mwamba
Vijana ni ndio wanagawana pa kulala mjini hakuna na ndio maana vijijini wanaume wanaishi mda mrefu
CNN
Leo ndio nimegunduwa uyu jamaa akili hana kabisa na ili kugunduwa ilo inabidi kusikiliza maongezi yake mbalimbali katika mahojiano yake mbalimbali alafu uyapime utagundua ilo
Akili anazo sana, badirika!
Saramponjo wewe uko makini sana ila wasikilizaji wengi ni waoga wa watu wanaongea kwa kujiamini na wanashindwa kuwapima kwa Yale wasemao
Ni kweli uyu jamaa kichwani aziko na elimu yake haitamsaidia hata kidogo
Sara wewe ndio mjinga wa mwisho,hujairuhusu akili yako kuchakata