Kweli nakumbuka mume wangu aliniambie alisoma na baba levo la 7 na apa sasa nimembkubali mume wangu kweli mungu mwema maisha yanatoka mbali sana mungu akubariki baba levo
Zamaradi mashallah we kazi umeisomea kabisa professional kabisa unamuacha kabisa mtu ajiekezeeee hii nimependa sana hutumii nguvu huchapiii maneno huingikii kati ebana weee hongera sana dada anguu
Yaaan kuna interview zingine ukiona sura ya anaenda tu kuojiwa unaenda kununua bundle haraka 🙌🙌🙌😁😁😁 Baba level I salute you yaan wewe nicomedian by nature 😁😁😁🙌🙌🙌
yaan zama katika watu wote uliowaoji huyu ni kiboko. Aujapata nafasi hata ya kuuliza swali istoshe unajizuia hata kucheka baba levo kiboko,jamaa ana anafurahisha sana.
Kama unamuangalia baba levo huku unasoma comment dondosha like yako.
Hapa
gyyyyyy
Kweli nakumbuka mume wangu aliniambie alisoma na baba levo la 7 na apa sasa nimembkubali mume wangu kweli mungu mwema maisha yanatoka mbali sana mungu akubariki baba levo
nacheka mwenyewe tu ofisini...nikiulizwa na boss nacheka nini hata sijui nisemeje,,baba levoooo......asante da Zama
Zama intervew ya baba levo tu iendeleze kama kwa epsod tuna injoy sana tukimskia mtalam fundi manyumba
Anachekesha jmn🤣🤣🤣🤣
Salute kwa Sir Juma nature Mungu atamlipa
am from Kenya bt I really love his interviews he is so funny , especially when talks about msechu .CHAWA PRO
Kama na ww Leo ndio umeelewa jina la babalevo limetokana na nini gonga like
Km unamsikiliza Baba levo huku unacheka like down
Atar
Nilipoona interview with baba levo nikasema iyi siyakukosa🤣🤣🤣🤣🤣
Ata mimi nilijua atanicekesha 😅
Me nimeanza kucheka ata sijaskiliz
@@khamoshmikidadi9262 😂😂😂😂
@@khamoshmikidadi9262 upo kama mm
Umeonaeee
Baba levo....you are just beautiful soul love from UK
Zamaradi mashallah we kazi umeisomea kabisa professional kabisa unamuacha kabisa mtu ajiekezeeee hii nimependa sana hutumii nguvu huchapiii maneno huingikii kati ebana weee hongera sana dada anguu
Nakupenda bure mungu azidi kukubarik baba levo baba wataifa 🥰🥰🥰💪💪💪👌👌👌👌
Yaaan Baba Levo your gifted huwezi ukamsikiliza ukaacha kucheka 😁😁😁 usipocheka wee mwanga 😁😁
He is so honestly crazy😂😂😂😂
Babaaaaaa levo ni mwafrika halisi
Namkubali sna baba levo chawa kama chawa
Hahaha baba levo resipet sus fane de toi je sus en France a Marseille 🙏🙏🙏🙏
Yaaan kuna interview zingine ukiona sura ya anaenda tu kuojiwa unaenda kununua bundle haraka 🙌🙌🙌😁😁😁 Baba level I salute you yaan wewe nicomedian by nature 😁😁😁🙌🙌🙌
😂😂😂honestly I love💝💝 this man...
Whoever hates him hallo is everything ok at home 🤣🤣🤣🤣🤣
🤣🤣😂😂😂
Pricillah Amutabi na wewe wa kgm
Me too jaman
Baba Levo unachekesha sana😂😂😂😂😂😂😂
yooo baba levo wakuashe uwe mwenye furaha baba,maisha yana megi.
Wakwanza kucomment naomba likes
Naomba kujua siri za likes
So what??
Na.mimi nawomba kujuwa siri za like kweli awo wanalipwa na youtub wakipata like nyingi mnielewesh waja
Akuna intarview ya baba levo inanipitaga hamalizagi bila hajacekesha 😅✌
Kabisaaaa Na mm hua naonaga interview yake yote na hua ananifurahisha
Naanzaje kupita bila kucoment huyu mwamba nampendaga sana anachekesha akiongea tu unanza kucheka 😁😁😁
Yaaana anawesa kua anaelezea msiba ila ukajikuta unacheka . 😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁nlicheka sana alivoeleseaga kuhusu mbaula ya kigoma ndege kama mbaula 😁😁😁😁😁😁😁
Huyu jamaa ni comedian
@@omanimujsa9756 🤣🤣🤣
I really love u dazama u look 😚😚😚😚
Good kbs💪 zama mtafute jumalokole na dr kumbuka👂
Me namuelew Sana baba levo,,,, stress remover wangu
Interview ya baba levo kwa sasa ndio zenye kufatiliwa zaidi sababu zinaburidishaa na kifurahishaa keep it up Fundi manyumba
Yaaani katika interview zooote za baba levo hapo ndiyo yuko serious 😅😅😅hiki kichwa tumuachie Mungu.
Kwa kuwa na mtangazaji yuko serious pia
Fundi majumba
@@omarihamadumetishasanalava4725 mzee wa kunigalagaza kutoka shishi food hadi wasafi kwa🦁
Nakupenda dada angu zam
Dah pro max tompoooo😄😄😄😄😄swali moja majibu yote good interview
B ..LEVO BAA ....BABA LEVO
Baba la baba big love toka 254
Like zenu kwa Tompooooo
Kumbe baba levo mgambo woow😍😍😍😍😍🙏
Zamaradi leo umepatikana swali moja umepewa jibu moja mpaka kipindi kimeisha 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣❤🇹🇿🇨🇭
Me
aliyeletwa hapa na jaymond🤣🤣🤣
Nakupenda da zamaradi mie ni zaid ya mtu anae kupenda but baba leo anavituko sana 😂
B levo baba is the best in interview
Noma sanaa
So funny wallah 😂😂😂Babalevo ni mmoja tuu 🙏
😁😁😁
Nadhani Da Zamaradi hii intervuew ume enjoy sana ...baba levo umenivunja mbavu
Kama umekuja baada ya kuona *#instagram* gonga like!
Tupo hapa
Nakubaliii show
Navompenda baba revo jaman
😂😂😂 zamaradi kajikaza sana kuongea na baba levo. Naona anavyohangaika kujizuia kucheka
🤣🤣🤣🤣
Baada ya kuona Jaymond & Azaboi kifanyia comedy hii interview hatimae npo hapa kumwona mtalaam majumba,chawa pro max
Baba levo ni noma nakupendaga kweny ukweli hufichi
Mi baba levo nikimuona nachekaa sna
Babalevo you the best
Nakupenda bure babalevo
Sijaangalia Nimecoment B Levo Ba😂🙌
Part 2 please 🙌
All in all baba levo nakupendaga..
Nakuombea maisha marev dada zam
Ameen Ameen Ameen
Zama pls finish the story na uyo Baba levo
Uyu jamaa n talented sana
B Levo Ba.. Mtaalam Fundi Manyumba.
Napendaa anavyochekaa Baba Levo😂😂😂😅😂😅😂😅😅😂
Nakupenda baba levo
Baba Levo anaakili sana akijibu swali moja anahisi ataulizwa swali anawahi kulijibu hahahahaahaaa
Baba levo nakupenda hivyohivyo
Baba Levo😍😍😍
Aki nko addicted na hii channel ya zamaradi, watching from Dubai
Same, ijapokuwa awakanye hao wanawake mambo za big g na kucheza na simu wakati wa interview
Baba levo huwa nakuchukulia pow pow kumbe umetoka mbal Mungu akutangulie kaka kawa kawa msela
Nakukubali madam
Chawa Baba la babaa
miwan aikupendezi mzeee chawa
🇱🇷🇱🇷🇱🇷🇱🇷🇱🇷🇱🇷🇱🇷🇱🇷Nakuelewa sana chawa baba levo bar
bamutu bakubwa
@@pendosammy5984 👏👏
Hahahaha sema mzee wangu ww daah
yaan zama katika watu wote uliowaoji huyu ni kiboko. Aujapata nafasi hata ya kuuliza swali istoshe unajizuia hata kucheka baba levo kiboko,jamaa ana anafurahisha sana.
Babarevomizima anatafutamaisha muachanenaye
Baba levo 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 sio mzima asee
Tunaomba part 2
Sema dada hajajua vizuri kumuhoji mtu anamfuata mteja bila kumkumbsha pnt kairuka
Baba levo suala moja tu majibu maisha yake oyeeee baba levo kiboko
Part two wap jaman 🤗
Part 2 please ✌✌✌✌✌
Kumbe uaskar inabidi kuombewa na mwenzako. baba levo katoboa sir
Ila baba levo umejua kuanzisha kipindi, kelele lote ilo kumbe we mdogo wangu, zama umepatikana leo hadi nimecheka
Tunaomba Part 2
MSEMA UKWELIIII
Mtalaam Fundi manyumba
🔥🔥🔥
Iyo bet baba levo angalia usije uza harrier yako 🤣🤣😂😂😂
Baba levo unamsogelea sana Zama hadi anataka kukimbia😀
Zamaradi leo hautaongea ulipata muongeaji
Leo kapatikana
😂😂😂
Baba levo hakuachii nafasi ya kuongea
Yan B Levo kachomoa betriiiii
@@shahamtindo 😂😂😂
Namkubali kaka mmanyema
Muendelezo please
B levo Ba fundi manyumba nakukubali Sana Hanangwa Chawa Pro Max🤣🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣
@@salomewandya7257😂😂😂
Zama leo hana kazi ya kuuliza maswali baba levo ajitoshereza kukueleza
likes za wakenya🇰🇪🇰🇪B levo ndo mtu pekee ananichekesha
From kenya love baba leva mwaaa
Apo kwa Man city nimekupenda apo . safi sana
🤣🤣🤣🤣🤣Yan baba levo💕
Yaani napenda kumsikiliza baba levo ana chekesha
Dah mwendelezo vp zama
Sema me nampendaga baba levo yeye ni kiroporopo anaongeazake kweli yeye alikuwa hapend shule hahaha
Nami namkubali kwa hilo,anajiongelea kama mwehu.anakwambia vya shule sivitakagi 😂
@@blambiapapa7188 😂😂
Part 2 lini
Jamaniiii part twooo
Good