Achen roho mbaya wabongo mpewa hapokonyeki kunjuen roho mungu awape cyo fitna ,kaka zidi kupambana usikatishwe tamaa na wapumbavu wenye vichwa vya panzi watake wasitake watakubal we ndyo baba lao wengine mashoga
Kwa kweli DIMOND ni mkubwa saana na inaomba asifiwe Tz bila yeye watu kama Mwinjaku na H baba hawana cha kuongelea mitandaoni bila jina la Diamond hawapate ugali kuongelea tu Diamond kwa ubaya ni ajira tosha kwa kweli Dimond anayo haki ya kuvimba kama watu kuongelea vibaya inawalipa atakosaje kuvimba? Wengine ma star habari zao hazi ishi hata ma saa 24 lakini Mondi zaidi ya week mbili sasa habari ya mjini ni Mondi, Diamond uko juu saana
Ila Mond akili nyingi sana yaani naamini angenua Rolls Royce isingekuwa story kubwa ila akaleta hiyo ili tuanze ujinga wa kubishana 😂😂 kama anaweza kununua au hawezi.. 😂😂 Magari kitu gani jenga viwanda 😂😂 hizi chuki zetu ziwe challenge kwny kufanikiwa kwako Mond. 😎😎 Ila ninja ni fundi sana wa kucheza na akili zetu
Watz ni wabish Sana sjui wanamatatzo gani! Awajui mambo ya expensive! Na hii yote coz awatembei nje ya nchi kutwa wako Tz ndo mana kila ktu huwa wanabisha! Elimu ndo shida
Mnao mchukukia jamaa kufanikiwa endeleeni kuumiia mpunguze chuki maana ni mzigo mkubwa sana kuubeba ndio mungu mwenye kumpa na ata akitaka anachukua kashampa mungu ni wa kila mmoja wetu sema hapandii chuki badilikeni bhnaa
Tatizo hill gari ni used ya Omary bakhresa halafu tofauti gari la dai nyuma lina siti mbili na hilo gari alikuwa analiuza toka 2016 hila ilo tom ni siti nne nyuma tofauti wacheni uongo .......hill gari ni used
There is a guy by the name mike sonko in Kenya who rides an escalade but it ain't a big deal I wonder why all the hype,all in all hongera bwana diamond for acquiring one
Listen up y’all,I’m a car freak too and I worked as an associate at Porsche car dealer for many years ... so we can talk about cars my niggas ,my dream car is a Bugatti worth $3m that Tom Brady currently rolls he was trying to sell it not long ago. The Escalade that Domo bought is an expensive car no hating and to be precise Tom Brady bought his in 2018 for $95k but spent 250k customizing it. Now remember that a preowned car is definitely affordable especially without all them added gatchets in it.🤷♀️. Kwa magari sidanganyiki mimi
@@B.I.N.T.I konde gang is just a panya( Rat) ya surambaya kafupi only Dimond can stop Tz media for 2 weeks no other news than Dimond Diamond is the contents of Tz news hiyo panya itabaki ikisikilika tu vichochoroni but Big Diamond CEO of wasafi media,# CEO wasafi fm# CEO wasafi TV# The only nominated of BET award in East Africa
@@svt3 panya sio? Harmonize amtoa jasho kweli mpaka anamweka Mnyachusya finyoo ashindane na Jeshi. Rayvanny ni level ya ibraah. Matako nyie... kubaba zenu. Mnnafki mkubwa Domo . Tunasubiri private jet!!! Not some f**king used escalade. Don’t come for Harmo, you come for him imma F y”all up
@@B.I.N.T.I 😆😆😆😆😆 zaidi ya week mbili Mondi ndiyo havari ya mjini anawapa ma panya na mapanyazi wote hajira mond kumuongelea tu ni ajira tosha kwa mapanya,na Mondi hajasema chochote wala kuandika chochote instagram, lakini anaweka news kweli kijana ana nyota yake ya pekee saa hii ni kama the only star in Tz,
Ww mshamba kweli hujui ukinunu Japan IST million Tano bongo unakuja kupokea kwa bei ya milioni kumi na moja hiyo nyingine Ni kodi mshamba ww fuatilia mambo sio kudisi kijinga hata pikipiki huna kenge ww
@@dennismhema7249 Achaujinga weweee kwa bei ya million 600 unataka kuniambia mbaka inafika Tanzania imefika kiasi chapesa kutoka million 600 mbaka billion 1.5 kweli kabisa na wewe unajibu ujinga huu hapa inamana kukata kodi na makoto yote inafika 1.5.huo ni utani
@@roycerolls9641 utakufa kwa wivu mbwa wewe ndiomaana paka jina lako ni royce rolls maana unaona mpaka ufe uezi wewe na ukoo wako kulipata unaona iendelee kuota gala wewe 😏 umaskini ukikundama usilazmishe nawengne wawe maskini kama wewe🤣😂🤣😂
Mbona hakuna front seat ziko wapi huwa unatakiwa munaangaliana hapo kuna tv,na kuwaka jina kwenye seat ina coast $2000 so ni mambo ya kawaida hayo so kesho forb wasipomtaja mutaona anadhulumiwa na kawaida unatakiwa uweke vitu wazi kabisa
Hat kama lkn kwa wasanii wa Tanzania wa kwanza kumiliki yeye au kuna msanii gan wa Tanzania anagar kama hilo tuambie??? Maan huyo aliempa jina la sadala kanyamaza kimy I see congratulations brother diamond 💎💎💎 platinum
@@ayaaturrahmaanhassan5992 acha ujinga na ww km sadala kumbe? ndege ipo wapi kiba asemwi sio mtu wa kujigamba km yy wakati vitu venyewe hana au vya kusheha awache usadala
Kendra damas: kama ni bei ya kariako basi Dimond ndiye tajiri star tz sababu wengine wako kwenye game miaka na hawajawai inunuwa wanaendea gari za million 10 na 20 Tzsh Dimond star wa kwanza kuiendesha kwa kweli anastahili ku eshimika
SASA mbona bongo sijaliona kwa macho yangu ? Kama nilakawaida kwasababu mi NI MTANZANIA HALISI hata kwenye video za wasanii sijaliona wakiektia vp HAPO... 🙄SEMENI TU UKWELI MONDI NI MSANIII WA KUIGWA HAPA TANZANIA BONGO LAND .🇹🇿🇹🇿🇹🇿#CADLAC #SWAHILI_NATION#BET_AWARDS#DIAMOND_PLATINUM#WCB_WASAF.WCB FANS TUNAINJOY SANA waliobaki/wale wanupande wa pili ni sawa na #YANGA na mashabiki wake 🤣🤣🤣🤣🤣WANAVYO TESEKA🤣🤣🤣🤣🤣
Sky kaka gari zinaweza kuwa na jina moja ila tofauti ni mwaka wa gari,hilo la Diamond ni 2015 alafu ni used, iyo Tom Brady ni ya 2018....haziwezi kuwa na thamani ...ikiwa used haina bei sana
Sisi stujakataaaa na yeye angeenda akalipe kesho achukue gariiii mpyaa sio sicendi hch azindue mwenyeweee huyo staaaa amenunua keshi sio kwa mtu jamaniiiii mondiii smepstikaaa😂😂😂
Sky hii gari inaitwa CADILLAC ESCALADE ESV 2015 na Bei zake huanzia Dola $39000 Hadi $74000 ila ilibadilishwa kuwa LEXANI CADILLAC ESCALADE CONCEPT 1 na Kampuni ya LEXANI MOTORS ya USA ambayo inahusika na car upgrading kulingana na mahitaji ya mteja ambapo hufanya gari kuwa na thaman zaidi. Mfano; hii Cadillac kulingana na features zake inakadiriwa kufikia $320,000 kwa Mwaka 2015 (Thaman ya Sasa sijafaham Ila sio ndogo pia kwa estimation). LEXANI hubadilisha gari nyingi kulingana na mteja anahitaji kitu gani kwenye gari yake na hata V8 inaweza badilisha ikawa luxury zaidi kwa ndani na thaman yake itapanda maradufu ila sio Bei chee Kama watu wanavyofikiri.
@@EbondoSounds nihatari wenye kumupinga nima aduwi yake ata kumuwuwa wanaweza kumuwuwa because roho zawo zinawa Uma na itafika muda mutu akifanyikiwa Kama diamonde wawe Wana muwuwa kwaloho mbaya zawatu yadunia hii
Vijana tutafute ela big up sana mondi🙏🏽🙏🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽
Ata usitumie nguvu sana Mr sky kuwaelezea,tangu mwaka huishe tutaelewana tu
Hahaha kabisa
Uwekewe ulinzi
Wabongo tena awaishiwagi lakusema utaskia sio lake Amekodi 😯
Ngozi yeus hasa watazania tunaroho chafu kam mavi ya uharisho
@@mankamrema72 😁
Achen roho mbaya wabongo mpewa hapokonyeki kunjuen roho mungu awape cyo fitna ,kaka zidi kupambana usikatishwe tamaa na wapumbavu wenye vichwa vya panzi watake wasitake watakubal we ndyo baba lao wengine mashoga
Wanaosema ushamba wanatia huruma ukute hata wakiuzwa ukoo wao mzima bado hela yakununua hio gari haitoshe....simbaaaaaaaaa#wcb4life
Kweli hata IST haitoshi
Katika watu malimbukeni na maisha ya watu ni ww na familia yako. Tena uko me usilinganishe thamani ya mtu na pesa hata sikumoja.
Kwani ulumbukeni wenyewe unasemaje🤣🤣🤣
Kwa kweli DIMOND ni mkubwa saana na inaomba asifiwe Tz bila yeye watu kama Mwinjaku na H baba hawana cha kuongelea mitandaoni bila jina la Diamond hawapate ugali kuongelea tu Diamond kwa ubaya ni ajira tosha kwa kweli Dimond anayo haki ya kuvimba kama watu kuongelea vibaya inawalipa atakosaje kuvimba? Wengine ma star habari zao hazi ishi hata ma saa 24 lakini Mondi zaidi ya week mbili sasa habari ya mjini ni Mondi, Diamond uko juu saana
keep going champ SIIMBAAA🌞🌞🌞
Ila Mond akili nyingi sana yaani naamini angenua Rolls Royce isingekuwa story kubwa ila akaleta hiyo ili tuanze ujinga wa kubishana 😂😂 kama anaweza kununua au hawezi.. 😂😂 Magari kitu gani jenga viwanda 😂😂 hizi chuki zetu ziwe challenge kwny kufanikiwa kwako Mond. 😎😎 Ila ninja ni fundi sana wa kucheza na akili zetu
Katka comment section bro u spoke some sense
Kwani hiyo gari mataili yake niyachuma ? Mi nikajua amefungua kiwanda cha sukari
@@franciscomohamedjumanne1136 afungue cha sukari amekuwa zuchu
@@mohamedh.mhando5744 😁😁😁😁😁😁zuchu kasema atafungua😂😂😂😂😂
@@vanessastanley8444 Asante Vanessa
Hao wanao harisha wataelewa tu
Sky hiyo ni bei ya huko USA sasa weka na freight, insurance, ushuru na kodi hadi hapa Bongo ndiyo utaelewa bei yake bro.
Kwan umeambiwa amennua mpya?? Msikubali kutiwa vidole kirahisi ivyo gar amennua tz kwa omar bakhresa kwa 200m tsh sio dollar
@@ringsnflashestv8067 ww lko umenunua shingap mzee?? Maana wivu ni dalili ya uchawi
@@ringsnflashestv8067 Unateseka ukiwa wapi?
@@jamesngonyan1670 hio ni model ya 2014 at latest. I don't think inazidi bei alietaja jamaa even with all the import prices.
@@danmwiju hata ingekuwa million 100 ww unayo au kwenye familia yenu mnayo?
Diamond probably got it at a more expensive price because of additional shipping costs and custom duty
Shipping gani bhn he bought it from omar bakhresa here in tz tena ni second hand kwa 200m tsh only 🤣🤣🤣🤣🤣
@@ringsnflashestv8067 wanatuona sisi wajinga ati shipping😂😂😂😂😂
Watz ni wabish Sana sjui wanamatatzo gani! Awajui mambo ya expensive! Na hii yote coz awatembei nje ya nchi kutwa wako Tz ndo mana kila ktu huwa wanabisha! Elimu ndo shida
Kabisa bro 🤝🤝
Hio gari ukitoa shipping expenses haizidi million 100
@@danmwiju ujue milio Mia nayo ni nyng sana! Hebu nambie ukipata hiyo m 100 cha kwanza utafanyia nini?!? Am waiting your answer
eateat lakini kwanini hicho kiwe kitu chakujigamba kwa star mkubwa kama huyo mwenye networth ya zaidi ya Billion 14?
@@danmwiju ndugu yangu Dany hivi unataka kunambia hujui Sanaa ni nini! 😅😅😅Sanaa yahtaji mambo kama hayo ili iweze kichangamka ya khabyby
hiyo ni lexani cadillac escalade oncept one inaanzia 320k$.kama ni jipya sio poa.
Wasio mpenda wazid kumchukia ndio yeye bado anasonga
Hongera yako simba umetisha sana
Chibu dangote 🔥💯💯💯👏👏👏
Nimeona First Lady inside 😜😜😜
Vijana tutafute hela tuache kudisi maendeleo
Mnao mchukukia jamaa kufanikiwa endeleeni kuumiia mpunguze chuki maana ni mzigo mkubwa sana kuubeba ndio mungu mwenye kumpa na ata akitaka anachukua kashampa mungu ni wa kila mmoja wetu sema hapandii chuki badilikeni bhnaa
Wabongo jamani wana ubishi sana wamuwache jamaa ajienjoy simba kama simba.
Usd 450,000 plus ushuru wa tz.....
Ikiwa kannua mpya lakin sio second hand🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Dola 100000 kanunua.
@@bilakivuli9078 sio laki moja ni dola elfu 80 tena kannua kwa omar bakhresa
Congrats to Dangote
Chizi mmoja Jana anasema lipo mwanza kwa jamaa mmoja anaitwaaaaaaaaa
Hilo la mwanza ni model ya zamani. Model ya 2012. Nalifaham
Hiii n model 2015 cca yye kwa wivu wake anafananisha kenge hyo atakufa na kihoro
Simba🦁
Tatizo hill gari ni used ya Omary bakhresa halafu tofauti gari la dai nyuma lina siti mbili na hilo gari alikuwa analiuza toka 2016 hila ilo tom ni siti nne nyuma tofauti wacheni uongo .......hill gari ni used
🤣🤣Let ushahid wa gar used acha wiv
@@zuchuu6659 ni used kijana
Eti Alikuwa analiuza Toka Mwaka 2016🤣🤣🤣
There is a guy by the name mike sonko in Kenya who rides an escalade but it ain't a big deal I wonder why all the hype,all in all hongera bwana diamond for acquiring one
iyo ya sonko ni escalade basic ya 2008 model...
Ushamba
Thats a politician. Talk of a kenyan artist.
@@bensonmajourney4750 So.!?
@@TheBossOdhis 😂😂😂😂😂😂akothee
Wwtu awajui jinsi unavyochukia mafanikio ya mwenzio Mungu anazidi kumpa
Nimekagua natafta comment ya H baba na mwijaku au ya king kiba
Huwezi kupata kwa sababu wana roho mbaya sanaàaa
Barikiwa kk
This car is more than 600million plus Tanzania government tax
Deni la Harmonize WCB ndio bei ya Hilo gari,kwahiyo tunaweza kusema hata Harmo anauwezo wa kununua😂😂😂😂
acha shobo
Nisawa ,,Ila mpaka anunue sasa
Qatar 🇶🇦 hiyo ni ya delivery tu huku kuna magari
Sky, kumbuka neno muhimu "Stretched" 🤪 Sadala yake yenyewe inasemaje?
maskin akipat......ko yanalia mbwata
Sikukosea kuwa shabiki wa mond mungu alinionesha penye kunipa furaha kila siku
Used car ndo watu hawalali🤣🤣🤣
😂😂😂
ukiweka na kodi inakuwa B 1 na kitu
Hata mdogo wangu anayo
Mbona kawaida tu
Nini cha ajabu was
Tz
Ila zari mjanja jamani yani akati tamaa ili aje apate urithi kama wa Ivan
Bei ya rolls royce phantom ni 455000 usd ikiwa cardillac ni zaid ya dola laki 4 pamoja na ushuru kwanini hakunnua rolls royce??? Tuacheni ujinga
Hongera simbaaa
People need to know that this car is very expensive ...
Izo gar zikiwa km 0 ndo utazipata kwa bei iyo lakin zikiwa used unapata ata kwa milion 60 kawadanganye washamba
USA HUWEZI kununu used car sawa Acha wivu Bongo kwaswala wasanii DIAMOND PLATINUM Is final
Used ww ndo ulikua mshika ela acha wivu🤣🤣🤣
Nilete hiyo Gari kwa milion60 pesa ipo
@@happymarksimwita5244 nikuletee mm muuza magar kwhy mpaka mond anunue ndo na ww ununue🤣🤣🤣unateseka ukiwa wap
Mshamba ww usiyejua kama gari inauzwa kutokana na mwaka na km iliyotembea hata kama ni used upo we mbuzi
🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌✌
Simbaaa 🔥🔥🔥
H baba anasema kule mwanza mjombake yuko nalo toka mwaka juzi...Duh watu bwanaaa
Listen up y’all,I’m a car freak too and I worked as an associate at Porsche car dealer for many years ... so we can talk about cars my niggas ,my dream car is a Bugatti worth $3m that Tom Brady currently rolls he was trying to sell it not long ago. The Escalade that Domo bought is an expensive car no hating and to be precise Tom Brady bought his in 2018 for $95k but spent 250k customizing it. Now remember that a preowned car is definitely affordable especially without all them added gatchets in it.🤷♀️. Kwa magari sidanganyiki mimi
Okay car freak we head u domo hater
@@vanessastanley8444 🤷♀️💯🤣🤣you got beef with Harmonize, you got beef with me periodt!!! Konde gang the real gang gang!!!👌🏾
@@B.I.N.T.I konde gang is just a panya( Rat) ya surambaya kafupi only Dimond can stop Tz media for 2 weeks no other news than Dimond Diamond is the contents of Tz news hiyo panya itabaki ikisikilika tu vichochoroni but Big Diamond CEO of wasafi media,# CEO wasafi fm# CEO wasafi TV# The only nominated of BET award in East Africa
@@svt3 panya sio? Harmonize amtoa jasho kweli mpaka anamweka Mnyachusya finyoo ashindane na Jeshi. Rayvanny ni level ya ibraah. Matako nyie... kubaba zenu. Mnnafki mkubwa Domo . Tunasubiri private jet!!! Not some f**king used escalade. Don’t come for Harmo, you come for him imma F y”all up
@@B.I.N.T.I 😆😆😆😆😆 zaidi ya week mbili Mondi ndiyo havari ya mjini anawapa ma panya na mapanyazi wote hajira mond kumuongelea tu ni ajira tosha kwa mapanya,na Mondi hajasema chochote wala kuandika chochote instagram, lakini anaweka news kweli kijana ana nyota yake ya pekee saa hii ni kama the only star in Tz,
ingekuwa ndo hiyo bei ulosema nahisi hata wew ungekuwa nalo tuulize tukwambie wew gharama yake hiyo chuma
2ambie gharama yake
It’s American presidents car
80,000 dollars...ni ya bei ya chini kuliko ,range rover....wacheni uongo
😁😁Annie msanii wako anunue basi
@@MAMANDUNE hatuhitaji kiki🤣🤣🤣
@masilya inno8 wabongo ni wajinga...hapa kenya hizo gari ni nyingi sana zinabeba mboga shambani🤣🤣🤣🤣
Sns price hiyo n uongo
Km ya 2019 hapa kenya inatoka ksh 10m
Na hilo unasema n la 2015 litakuaje juu hivyo?
Kuna Cadillac escalade ya kawaida na MOBILE OFFICE EDITION....MOBILE EDITION INAKUA NDEFU ZAIDI OR SIX DOORS
Simba wa tandale ni moja tu😍😍😍😍😍
Hivi harmonizemavisu anaweza nunua ATA mlongo wa gari hili
Vp kuhusu gar la davido na hili la mondi yanatofauti gan
Ushamba wa pesa nao
Haya magar ya #cadillac n ya kawaida kwa maselebrity wa mbele ni kama v8 bongo thamani yake n dola laki1 kaka ambazo n milion mia3 za bongo
Simba🔥🔥🔥🔥💪
Hio Ni Black Edition
Hyo B 1.5 aloisema b levo fundi majumba ni ya bajeti ya gari mbili. Roll Royce na hiyo S E.
Wanasema ni 1.6b
#AVATASTAR255
Umetisha San kaka
Ok💪
MUULIZENI BABA LEVO AMESEMA HIYO GARI NI BILION 1 NA NUSU MUMULIZE HIYO BEI KAITOA WAPI.
Ww mshamba kweli hujui ukinunu Japan IST million Tano bongo unakuja kupokea kwa bei ya milioni kumi na moja hiyo nyingine Ni kodi mshamba ww fuatilia mambo sio kudisi kijinga hata pikipiki huna kenge ww
@@dennismhema7249 Achaujinga weweee kwa bei ya million 600 unataka kuniambia mbaka inafika Tanzania imefika kiasi chapesa kutoka million 600 mbaka billion 1.5 kweli kabisa na wewe unajibu ujinga huu hapa inamana kukata kodi na makoto yote inafika 1.5.huo ni utani
Tom brady alishauzw io bt alikua nay
Simba kama simba
Tulianbiwa ni billion Moj na nusu niwaongo waongeza zero
Bado ushuru wabongo
@@ronaldotv715 ushur gan wakat gari ni ya bakhresa ye kainunua used
@@roycerolls9641 utakufa kwa wivu mbwa wewe ndiomaana paka jina lako ni royce rolls maana unaona mpaka ufe uezi wewe na ukoo wako kulipata unaona iendelee kuota gala wewe 😏 umaskini ukikundama usilazmishe nawengne wawe maskini kama wewe🤣😂🤣😂
@@neemamasawe2513 HIY GAR NI YA MZEE BAKHRESA
@@roycerolls9641 kwani Bakhresa anasemaje?
Old & brand new, to different car😆😆
Tatizo sio gari ni yamwaka gani?na ina milles ngapi?
kwani we niwa mwaka gan😂😂
Kabisa yaaani
baba yko hat ya km milion mia hana
@@Kidpowertz
😂😂😂😂jamani dah.
Mwambie vizuri
@@agapejosceline7683 daaaah😁😁😁😁
No man that the fines of Harmonize 👳♂️👳♂️👳♂️ so there is no surprise..... SANTE KONDGANG FOR THIS PAYMENTS
Bro sio bei kali
kanunue na ww uwapakie wajinga kina mwijaku
Ooo
Simbaaaaaa🙉
Mbona hakuna front seat ziko wapi huwa unatakiwa munaangaliana hapo kuna tv,na kuwaka jina kwenye seat ina coast $2000 so ni mambo ya kawaida hayo so kesho forb wasipomtaja mutaona anadhulumiwa na kawaida unatakiwa uweke vitu wazi kabisa
🦁🦁🦁🦁
ss mnafeli hilo gari sio jipya jamani gari la Omar bahkresa msijifanye hamjui, gari la 2016 uwezi lita jipya sky bwana acha kusifia ujinga eti jipya
Hat kama lkn kwa wasanii wa Tanzania wa kwanza kumiliki yeye au kuna msanii gan wa Tanzania anagar kama hilo tuambie??? Maan huyo aliempa jina la sadala kanyamaza kimy I see congratulations brother diamond 💎💎💎 platinum
@@ayaaturrahmaanhassan5992 acha ujinga na ww km sadala kumbe? ndege ipo wapi kiba asemwi sio mtu wa kujigamba km yy wakati vitu venyewe hana au vya kusheha awache usadala
@@sheryphamwenevalley6124 hay bhn tumuombee kwa mungu miaka ijayo aje amiliki Ferrari
@@ayaaturrahmaanhassan5992 😂😂 kesho atakwambia anayo chezea sadala👐🏼 akipanga akwambia yake 😂😂 aibu bora kua kimya kuliko kujigamba ujinga
Hahaha kanunua kwa mtoto wa bareeeeza bei ya kariakoooo 😂😂😂😂
Kanunue naww tuone
Ndio swali hilo.. Is the car new, used, reconditioned or something? Looks refurbished
Kendra damas: kama ni bei ya kariako basi Dimond ndiye tajiri star tz sababu wengine wako kwenye game miaka na hawajawai inunuwa wanaendea gari za million 10 na 20 Tzsh Dimond star wa kwanza kuiendesha kwa kweli anastahili ku eshimika
Ikumbukwe hapo bado ushuru...Hongera simba
Used car
Ya mwaka ganii mbona mnatisha watuu
Tanzania bwana sasa the topic nigari kkkkkkkk lol
Nop huo ni ukora gari ya mond bei yake na mwaka wake inanunuliwa $48,685.000 za kimarekani so kwa hivyo acha kudanganywa 😂😂😂😂😂😂👈👈👈🇺🇸🇺🇸
Mafuta ya hili gar yanatoka marekan
Hapa sasa wale wanao amani Diamond ana pesa, hapo sasa ndo wa amini ikiwa tu jamaa ana hela ya matumizi tu, iyo ni gari ya kawaida sana
kanunue na ww
SASA mbona bongo sijaliona kwa macho yangu ? Kama nilakawaida kwasababu mi NI MTANZANIA HALISI hata kwenye video za wasanii sijaliona wakiektia vp HAPO... 🙄SEMENI TU UKWELI MONDI NI MSANIII WA KUIGWA HAPA TANZANIA BONGO LAND .🇹🇿🇹🇿🇹🇿#CADLAC #SWAHILI_NATION#BET_AWARDS#DIAMOND_PLATINUM#WCB_WASAF.WCB FANS TUNAINJOY SANA waliobaki/wale wanupande wa pili ni sawa na #YANGA na mashabiki wake 🤣🤣🤣🤣🤣WANAVYO TESEKA🤣🤣🤣🤣🤣
@@kakorejrboyz6447 sio mtafit gar hilo used from mtoto wa bakresa
Hahaha
Sky himself u always a king - salute u know 😎
I got tell you sky Tom brady had the same escalade and he sold it though but trust me it’s a very expensive car
Cheaper than range Rover 🤣🤣
Tom Brady has a later model, this model doesn't exceed the year 2014.
Sio mchezo 😯😳🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Ah! Naona Shem lake Zari the boss lady karud kwenye reli
Congrats to Diamond and the first lady, I mean Zari
Huyu ndio diamond
Simba ❤❤❤❤🔥🔥🔥🔥🔥🤝🤝🤝🤝
Sky kaka gari zinaweza kuwa na jina moja ila tofauti ni mwaka wa gari,hilo la Diamond ni 2015 alafu ni used, iyo Tom Brady ni ya 2018....haziwezi kuwa na thamani ...ikiwa used haina bei sana
Kanunue na wewe bro
Kenya?msanii kabsaa labda wafanyabiashara na politicians
@@neemamasawe2513 ni model ya mwaka 2014 fanya utafiki Google search Cadillac Escalade 2014.
*Gari la Diamond linaweza kuwa ghari kidogo zaidi kwa sababu ni custom made, ukiangalia interior design yake ni tofauti ameweka features tofauti*
Sisi stujakataaaa na yeye angeenda akalipe kesho achukue gariiii mpyaa sio sicendi hch azindue mwenyeweee huyo staaaa amenunua keshi sio kwa mtu jamaniiiii mondiii smepstikaaa😂😂😂
Tatizo huyu kum ana ushamba kanunua gari tayar ukoo mzima wamejirekodi video kama walchangishana hela ndio mana wabongo wanamsagia kunguni
Google it utapata uhalisia
🔥🔥🔥🔥
Sky hii gari inaitwa CADILLAC ESCALADE ESV 2015 na Bei zake huanzia Dola $39000 Hadi $74000 ila ilibadilishwa kuwa LEXANI CADILLAC ESCALADE CONCEPT 1 na Kampuni ya LEXANI MOTORS ya USA ambayo inahusika na car upgrading kulingana na mahitaji ya mteja ambapo hufanya gari kuwa na thaman zaidi. Mfano; hii Cadillac kulingana na features zake inakadiriwa kufikia $320,000 kwa Mwaka 2015 (Thaman ya Sasa sijafaham Ila sio ndogo pia kwa estimation). LEXANI hubadilisha gari nyingi kulingana na mteja anahitaji kitu gani kwenye gari yake na hata V8 inaweza badilisha ikawa luxury zaidi kwa ndani na thaman yake itapanda maradufu ila sio Bei chee Kama watu wanavyofikiri.
Hii chombo Bei ndefu cana
Sio poa@@capteinchuimchafu7894
Hii gar ya zari, sio ya mond, ila mond anajitiatia tu vidole
Bai erefu 50$ tu siyinunuwe Sina uwezo uyo tumupongeze mwafrica wetu kwamafanyikio yake mazuli diamonde
Kunawatu kazi kuchekana na ukute wao hata kinjanja cha gari awana, shame on them kabisa.
@@EbondoSounds nihatari wenye kumupinga nima aduwi yake ata kumuwuwa wanaweza kumuwuwa because roho zawo zinawa Uma na itafika muda mutu akifanyikiwa Kama diamonde wawe Wana muwuwa kwaloho mbaya zawatu yadunia hii
Jamani mmekosa kazi