Paza sauti mtoto wangu,wewe si mnyoge tena. Wote tunaomtegemea mungu neno hili litupe nguvu na ujasiri katika kufanikisha hata yale tunayohisi ni mazito. Wapendwa sisi sio wanyonge tena kwa maana ndani mwetu tunanguvu mpya. Glory to God
I was playing this song so loud until my neighbor called the police. When the police arrived, they called the prosecutor, the prosecutor came and he then called the judge, when the judge came, he sentenced my neighbour for trying to kill the vibe
Whoever reading this, God knows what you are facing through, He heard your cry, He is going to deliver you. Just trust in him. Ndani mwako imezaliwa nguvu mpya, the devil has no control on it. Amen
Mungu akubariki na kukuinua sana nyimbo zako zinanibariki sana,Kuna ulinzi nahitaji nikulinde Jaribu kama moto ni zaidi ya kikosi cha cha fire mfano wa garika yaan maji nitazima ,MM NA MUNGU MILELE
Kaka Godfrey Kuna kaka anaimba Nyarugusu gospel wimbo unaitwa subir kaimba wa kwanza aisee mkihudumu hata wimbo mmoja na yeye itakuwa mtabariki wana wa Mungu
Big up Man of God Mungu akufikishe mbali zaidi ya hapa...nyimbo zako ni habari njema kwa wengi..kep on proclaiming him..young man, you are destined for greatness 💪💪💪💪
Mungu wetu ni mwaminifu sana hutuwazia mema siku zote na hutangaza mwisho wetu mwanzoni, Ashukuriwe Roho Mtakatifu kwaajili ya kipawa hiki tunakiombea kikue na kufika mbali kwa utukufu wa Mungu Mwenyezi
Paza sauti mtoto wangu,wewe si mnyoge tena. Wote tunaomtegemea mungu neno hili litupe nguvu na ujasiri katika kufanikisha hata yale tunayohisi ni mazito. Wapendwa sisi sio wanyonge tena kwa maana ndani mwetu tunanguvu mpya. Glory to God
Amenaaa
Amen. God is good all the time. Glory to the Lord.
Ameeen🙏
❤
Nimeirudia Hii Nyimbo Zaidi ya Mara 10... 🥰🥰🥰🥰🔥🔥🔥🔥🙌🙌🙌🙌🕊️🕊️
Endelea tu kurudia na kurudia ndipo uponyaji ulipo
I was playing this song so loud until my neighbor called the police. When the police arrived, they called the prosecutor, the prosecutor came and he then called the judge, when the judge came, he sentenced my neighbour for trying to kill the vibe
Hahaaaa!!
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅
😂😂😂😂
This guy needs the recognition 👏
More en moreee 🙌🙌🙌🙌
Whoever reading this, God knows what you are facing through, He heard your cry, He is going to deliver you. Just trust in him.
Ndani mwako imezaliwa nguvu mpya, the devil has no control on it.
Amen
amen amen
Amen
Amen
We kijana.. uwiiii😭😭😭😭🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌GLORY TO GOD WHO BLESS YOU THIS TALENT🙏🙏🙏
Brother Brother Brother Godfrey Steven. Nimekuita mara tatu ili nikutangazie kuwa baraka zangu zinachochewa na huduma yako. Barikiwa sana
❤
#Nguvu mpya
Umeua Kaka hi song upewe respect
Napata nguvu kubwa kupitia nyimbo zako barikiwa sana
Uyu jamaa soon atachukua kiti cha Gospel apa Tanzania 🔥🔥🔥🔥🔥
🇰🇪🇰🇪 I'm blessed today in the morning🫂Nina nguvu katika majira yote.nina nguvu na imani kuwa nitasimama tena
Hongera Saana My Brother Nyimbo zako zina utukufu Sana
Kaka unasauti amaizing mwenyezi mungu akusaidie ufike mbali uwr mwimbaji wa mataifa na siyo taifa ameen
Kazi nzur kaka
Amen Be blessed Brother kwani nabarikiwa sana na nyimbo zako.
Bendera pepea na kweny familia yangu
nyimbo zote utaimba ila sijui kama kuna wimbo utapita huu kwa utulivu na uzurii
God bless you Steven...when I listened to this song...natulia tu roho😊
Haleluya mungu azidi kukutunza Daima kukuinua viwango vya juu
Ubarikiweee sana sana bro
Huyu jamaa ana.talent sana
dahh kaka unanibariki sanaa, Mungu azidi kuinua kazi ya mikono yako kazi yako izidi kuwa nzuri daima be blessed my blood
Mungu bariki huyu mtumuishi.....Wacha kenya watabua sana
This is an Awesome Gospel song, I feel Blessed listening to it! 🇰🇪🇰🇪 we love your Music.
Woooooooow, this is a huge voice for God's Glory
Mungu akubariki na kukuinua sana nyimbo zako zinanibariki sana,Kuna ulinzi nahitaji nikulinde Jaribu kama moto ni zaidi ya kikosi cha cha fire mfano wa garika yaan maji nitazima ,MM NA MUNGU MILELE
nimekutanna na jemedari🙏🙏🙏🙏🙏 good song
Hongera sana kaka GODFREY Mungu akuweke sana
Uzidi kubarikiwa mtumishi wa Mungu, nabarikiwa sana na nyimbo zako
Ubarikiwe sana bro
Nimebarikiwa sana, nimejazwa nguvu tele, imani zaidi. Mungu akubariki sana mtumishi wake!
Kaka mkubwa hii nzuri sana ubalikiwe sana
Jarbu Kama moto mi zaid ya kikosi Cha FIRE
Nakukubali sana 💪💪💪💪💪
Bro uko na sauti nzur sana ya kumwimbia Bwana
Good bless you because You're songs was so interested and give the strength for those people who are already give up
New song in my playlist 😁this man of God🙌🏻🥰
Wimbo boraaaa🙌🙌🙌🙌🙏🙏🙏
Its a great one,
I'm BLESSED KENIX MUSIC ,
ALSO ON YOU TUBE
Wawoo! 😱😱 Napepea na yesu daima barikiwa Kwa ujumbe mzuri
Mmmh hii sauti.... Mungu azidi kukubariki...
Woow such kind of song!!!! An grateful ❤❤❤
Mungu amekujalia kipaji cha uandishi wa nyimbo na kuimba. Hujawahi kufeli kabisa! Nyimbo kali sana
Mungu alibariki sana, nyimbo n♥️♥️♥️♥️
Kwakwel naupenda sana wimbo huu
MUNGU akubariki sanaaa kwa HUDUMA nzur inayogusa maisha ya kiroho na jamii pia🙏
Nice song man of God 🤝 barikiwa zaidi
Be bless brother for this song nimefunguliwa sana 🙏🙏🙏🙏🙏
Amina kaka Godfrey barikiwa sana
Kaka Godfrey Kuna kaka anaimba Nyarugusu gospel wimbo unaitwa subir kaimba wa kwanza aisee mkihudumu hata wimbo mmoja na yeye itakuwa mtabariki wana wa Mungu
Uinuliwe zaidi na zaidi,barikiwa
Goma zuri sana Amen
Oooo my god protect my self 😭😭😭😭😭🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Nakukubali sana mtumishi wa bwana
Barikiwa vijana wa Mungu kazi nzuri kubwa 🌠
Bro unajua ,mungu kawekeza kipaji .keep humble to God siku moja dunia itasimama na kumsifu yeye kupitia yoo
Kakaa umebarikiwa sana kakaaa
huu wimbo ndio naamkaga nao naupenda zaidi kaka unakipaji ulindwe na MUNGU
Mungu akufanye uwe wa juu zaid nyimbo zako zinahisia kali sanaa
Gd brother be bless u🔥🔥🔥🔥
Amina nitapaza saut yangu kwake aketie juu
Mungu amekuchagua mdogo wangu na una jambo lake ..wakati unafika soon❤
Nyimbo zako hunibariki nisikilizapo🥰
The best song, I feel blessed
Balikiwa Sani my brother..!
Mungu anataka kunipa misingi mpya napokea ktk Jina la YESU
Huu wimbo unanibariki sana...🙏
Kazi zako nazipenda sana kaka yangu
Nae Joy Sana mtu wa mungu
I will share this a thousand times if possible. The song lifts me
Hakika wewe nimbarikiwa sana coz hata sisi tunabarikiwa sana na nyimbo zako
Big up Man of God Mungu akufikishe mbali zaidi ya hapa...nyimbo zako ni habari njema kwa wengi..kep on proclaiming him..young man, you are destined for greatness 💪💪💪💪
Barikiwa mtumishi wa mungu
Amen asifiwe yesu milelee
Siwezi pinga neno lako
Mungu aendelee kukubaariki sana
kaka unajua xn mungu Akubaliki
Mungu akuinue Sana Mtumish wa Mungu
Woiii 🔥🔥🔥🔥
👏👏👏Kazi nzuri
Mungu akubalik San Mtumish wa Bwana 🤝 .nimebalikiw kwkwel
Naenjoy kusikia ma melody pamoja na ujumbe
MUNGU amenipa majibu ya maswali angu asante YESU
Hallelujah wimbo umenibariki sana huu
Mungu azidi kukuinua wimbo mzuri sana🙏🏻🙏🏻🙏🏻
Wee jamaa unajua sana
unajua na kujua tena,ubarikiwe siku zote za maisha yako❤
+254 inakubali hii track. Baraka!
Mungu ajawahi shindwa na Jambo lolote big up broo Godfrey nyimbo zako ni baraka kwangu Mungu azidi kukupa mafunuo mapya kwenye utunzi wako
Blessd my favourate singer Unabariki unatupa nguvu na tunaenjoi🫂
Really he is my general ameeeeen😊
nzuri sana barikiwa
Mungu akuongoze zaidi
Heleluya glory be to God, ubarikiwe sana kaka 🙏
Ubalikiwe Na Mungu
Mungu wetu ni mwaminifu sana hutuwazia mema siku zote na hutangaza mwisho wetu mwanzoni, Ashukuriwe Roho Mtakatifu kwaajili ya kipawa hiki tunakiombea kikue na kufika mbali kwa utukufu wa Mungu Mwenyezi
aminaaa witness msuya
Sifa na utukufu kwa Mungu aliye hai,hakika kaka Godfrey wewe ni chombo cha Mungu.BARIKIWA SANA SANA🙏
Mungu akuzidishe katika viwango vya juu zaid
God is Faithful