Mshukuru Mungu kila cku ndugu mana anakupa nyimbo za ufunuo na huo ndio uhai warohoni cio rahisi kukuelewa ila hao wachache wanaokuelewa ndio Mungu ametaka uwahudumie using'ang'ane kuhudumia wengi nangali hawakuelewi na huo niuhai warohoni niajabu sana yesu ilikuja nawengi hawakumuna ata wahudumu wahekaluni hawakumuona niajabu Sana njia ile kuonekana cilahisi
Your music has the power to ignite a fire within our hearts. Your voice is anointed, and your passion for God is evident in every performance. Thank you for blessing us with your gift 🙏🙏🙏
🔥🔥🔥🔥 fainali Message 🔥🔥🔥 Video 🔥🔥🔥 Godfrey safari ndefu unayo ya kuwa vuta wengi kwa yesu kupitia nyimbo na huduma yako zidi kuwa na neema ya kusonga na Mungu azidi kukupigania kila upande.
Maisha ya ulimwenguni sometimes yananifanya nijione nguli ila nikitafakali some angles naziona haziko shwari🔥🔥🔥🔥🔥🔥 finally.
First to view naomben like zangu...🙏🔥🔥🔥🔥
Wakuomba like kumekucha naombeni na mim hapa❤❤
Brother anajua mpaka sio pouwa yaan hii inaitwa kwa Roho ba akili pia tenaaaa achaa tuuu
❤❤nabarikiwa sana na nyimbo zako
Mshukuru Mungu kila cku ndugu mana anakupa nyimbo za ufunuo na huo ndio uhai warohoni cio rahisi kukuelewa ila hao wachache wanaokuelewa ndio Mungu ametaka uwahudumie using'ang'ane kuhudumia wengi nangali hawakuelewi na huo niuhai warohoni niajabu sana yesu ilikuja nawengi hawakumuna ata wahudumu wahekaluni hawakumuona niajabu Sana njia ile kuonekana cilahisi
Hakika nabarikiwa sana na nyimbo zako hata sichoki kusikilizaa mungu akuinue sana ❤❤❤
Stay blessed kijana then mungu azidi kukuinua zaidi,I really like your works yan ñ always I feel blessings nkisikilza nyimbo zako
Hakika mungu anao watu duniani MUNGU akupandishe uwe wa juu zaidi
kaka hiingoma siopoa mungu akuinue kwaviwako vyajuu sana nimekupenda bure
Haki nyimbo zako huwa zinanpa nguvu hasa ile shortcut na hii pia God Bless you 🙏🙏🙏
Mungu akupe bidii kubwa sana kaka by Gael Singer
Barikiwa sana mtumishi wa mungu .
Bado sana broo ongeza bidii
Uinuliwe juu sana na Mungu wa mbinguni
Uzidi kubarikiwa Na Bwana akuinueee zaidi apendavyo yeye Amina kakangu
Nyie huyu Godfrey ni mtu na nusu anakitu cha tofaut sanah we celebrate you brother
Ameni anajuwa Sana Mungu Anamtumia
Bro kazi nzuri ubarikiwe sana
Wimbo bora wa mwez huu
🇹🇿🇹🇿🇹🇿🖤🖤❤️💛💚💚 TANZANIA GOSPEL TO THR WORLD 🎉🎉🎉🎉🎉
MUNGU azid kukuinua,be blessed
Barikiwa saana kaka
Seen bye P.LITTLE DRUMMER 🥁🎤🇨🇩💪
Barikiwa sana Mtumishi wa Mungu kwa ujumbe wa majira na Nyakati ! Now it's finally .
Ubarikiwee sana kaka mkubwaaa🙏🏾🙏🏾
FINALY Nikuone ukiruda mawinguni na useme mwanangu twende wote🖐️🖐️🖐️🖐️🖐️🖐️
Naam naam, this is more than blessing 🙌
God bless you brother Godfrey 🙏
Barikiwa snaa classmate 😇
Nipo safarini namibadobado nakazana nayangu less bila wewe snauhakika Kumaliza salama less
Hit song 🙌🙌🙌🙌
MUNGU akubariki sana kakaaa kwa hii baraka
Naisubiri sana 🎉🎉
Your music has the power to ignite a fire within our hearts. Your voice is anointed, and your passion for God is evident in every performance. Thank you for blessing us with your gift 🙏🙏🙏
God bless , unajua kk, this song bless me alot❤❤❤🙏🙏...finally, yesu unichukue na mm ukirudi
Dogo hongeraa Sana Mungu azidi kukuinua Kwa viwango vya kimataifaa!
🔥🔥🔥🔥 fainali
Message 🔥🔥🔥
Video 🔥🔥🔥
Godfrey safari ndefu unayo ya kuwa vuta wengi kwa yesu kupitia nyimbo na huduma yako zidi kuwa na neema ya kusonga na Mungu azidi kukupigania kila upande.
Amen,nimebarikiwa nawaombea na wengine mbarikiwe pia❤️🙏
AMEN BRO NICE MESSAGE UBARIKIWE KWA JINA LA YESU
Nimebarikiwa na huu wimbo mungu akubariki sân
Kazi kaka naiona
Nyimbo zako zinanibariki mno Mungu akuinue viwango vya Juu♥️
Barikiwa sanaaa mtumishi
Nabarikiwa sana na nyimbo zako bro
Barikiwa sana mtumishi❤🎉
Kali mnoo kaka, WOW 👌
Finally kwa uwezo wa Mungu 🥇🙏🏾😇🫶🏾
Daah saw kaka nmeikubali kaz nzur
Ewaaa!! Restorement is done!!
Ameen
Nikiwa nawe nina uhakika nitafika sala Yesu
Nice one brother
Fireeee 🔥, heshima yako kaka katika utunzi
This is lit🎉🎉🎉🎉😊
Kubali sana mungu akuinue zaidi
Ubarikiwe MTU WAMUNGU 🥰🌹🥰🌹🌹🌹🌹
Viewer number 116, at 34 min after the song to be posted, I'm blessed alot
Amazing 😍🎉🎉
We wait that day,God lead us more bless bro
Mungu akubariki sana mtumishi
Good song Big up brother
Another hit song,❤ go go go boy sky isn't the limit
Be blessed so much man of God
So powerful song indeed🙏
Cool as always ❤
come up bro pambania kazi ya mungu
You're my best gospel singer
Love your songs
Blessed 😇 more brother Godfrey Steven
Bro barikiwa sana🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻
Wooow GOD BLESS YOU GODFREY STEVEN
Glory to the Lord
Onger sana kaz nzri
Mungu akubariki sana
Bro nipo inchini Congo DRC vipi nita pata mawasiliano yako kuna inshu
Hongera kwa Ngoma kali
0687922390 karibu
THIS IS AWESOME MY BROTHER🙌🙌🔥🔥
Familia be blessed
God bless you my brother
My favorite gospel artist
Kabxa mungu ndye kila ki2
GOD BLESS YOU BROTHER 🙏🏿
Blessed kaka mkubwa
Nyimbo nzuri sanaa
Finally 🔥🔥🔥🙌👏
Kaka ubarikiwe sana aiseee
Asante Mungu kwa hili
Best of all the time in melody
Finally 🔥🔥🔥
Hakika tunasubiri finally itakuaje final
GS ❤
Huyu mtu anajua sana ♥️ Mungu akutunze kwa ajili ya utukufu wake 👑
Great bro🙏🙏
kazi poa sana
Fainali🔥🔥
Well done
Mim nishabiki Yako namba Moja toka tunategemeana
Good songs 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
ubarikiwe kak
Good song🎉
🔥🔥🙏🙏
Be blessed
Congratulations
Seen by Amisi mudimbe
Amen
Ameeeen 🙏🙏🙏
❤😍😍🥰🙌
🔥🔥🔥🔥
🎉🎉🎉