UTAPENDA! WAZIRI MKUU Alivyomuita MKE WAKE Jukwaani - "MAMA MAJALIWA NJOO"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 5 ต.ค. 2024
  • UTAPENDA! WAZIRI MKUU Alivyomuita MKE WAKE Jukwaani - "MAMA MAJALIWA NJOO"
    KATIKA Ziara yake mkoani Ruvuma ambapo amezindua Meli mpya ya abiria na mizigo, Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, amempandisha jukwaani mke wake, Mama Majaliwa, ili naye aweze kuwasalimu wananchi.
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
    ⚫️ VISIT AMAZON: www.amazon.com...
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506)
    ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
    ⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltv...

ความคิดเห็น • 46

  • @BakwataZelbu
    @BakwataZelbu 4 หลายเดือนก่อน

    Mashalllah waziri mkuu wetuu mwenye busara na wananchii mungu akuweke

  • @constanciapeter2497
    @constanciapeter2497 3 ปีที่แล้ว +3

    Duuuh ni balaaa.. Meli nzuri Kama tuko Ulaya! ...jamann Magu Atupe nn tenaaa! Mwendo wa mkeka Songea- mpaka Nyasaaaaa!!! This is Miracle kwako kweli... Asante Sana Rais wetu🙋

  • @roseeliasi4339
    @roseeliasi4339 3 ปีที่แล้ว +6

    Jamani waziri wetu ana. Mke mzuri hivi hadi raha

  • @agneserasto9806
    @agneserasto9806 3 ปีที่แล้ว +3

    Huyu MKE wa wazifi anajua kupangkra maerezo safi sana Mungu awatangurie famiria bora

  • @angelsulle7177
    @angelsulle7177 ปีที่แล้ว

    Marry na Majaliwa Hoyeeeee!!!!!! Mungu awatangulie

  • @julihanjosephyjs6361
    @julihanjosephyjs6361 3 ปีที่แล้ว +5

    Manshaallah kher mungu haendelee kuibariki ndoa yenu, manshaallah mama.

  • @jumakapilima5674
    @jumakapilima5674 3 ปีที่แล้ว +1

    Mama umeongea vizuri, na wewe unafaa kuwa mwanasiasa!!!

  • @marygregory7566
    @marygregory7566 3 ปีที่แล้ว

    Nimempenda mama etu

  • @aminaabdallah7702
    @aminaabdallah7702 3 ปีที่แล้ว +1

    Hongera mh mama majaliwa mzuri kama anavosema MH rais magufuli mweupe anapendeza umechaguwa vizuri mungu yatuwekee hai

  • @shukujoseph9796
    @shukujoseph9796 3 ปีที่แล้ว +3

    Mama mrembo jamani

  • @tzyetu7496
    @tzyetu7496 3 ปีที่แล้ว

    SHEMEJI 😍

  • @zakwani885
    @zakwani885 3 ปีที่แล้ว +2

    ungejitanda ungependeza sana

  • @josephmatonyi1802
    @josephmatonyi1802 3 ปีที่แล้ว

    Mke wa wazili mkuu huyu sio mkurya kweli jaman

  • @lucassospeter8905
    @lucassospeter8905 3 ปีที่แล้ว +1

    Mkuu ulichagua chombo kizuriiii unajua kuchagua

  • @wankyosogorya8115
    @wankyosogorya8115 3 ปีที่แล้ว +2

    Hyo binti aliyesimama nyuma mlinzi

  • @valenakomba4453
    @valenakomba4453 3 ปีที่แล้ว

    Salimia na kinyumbani mbona unawanyima raha wenzio.

  • @erasmusshauritanga8485
    @erasmusshauritanga8485 3 ปีที่แล้ว

    Bwana shemeji hujatulia.

  • @msetikebwasi6895
    @msetikebwasi6895 3 ปีที่แล้ว +2

    Na hiyo binti aliye simama nyuma ni nani?

  • @jamesmgimba7403
    @jamesmgimba7403 3 ปีที่แล้ว +1

    Lidoda libwelili hahahaha

  • @jeremiahcharles6027
    @jeremiahcharles6027 3 ปีที่แล้ว

    😁😁

  • @msetikebwasi6895
    @msetikebwasi6895 3 ปีที่แล้ว +1

    kuna mwana yutuber mmoja aliniambia mke wa waziri mkuu anaitwa mary.Sasa leo ndo nimeamini ilibidi niulize maana hajulikani.

    • @muhammadsaidi4872
      @muhammadsaidi4872 3 ปีที่แล้ว

      WAISLAM WANAITA MARY MARYAM
      JINA HAINA TATIZO HAIKUFANYI ETI SIO MUISLAM WENGI WANAITWA MARY SI MAMAKE MTUME WETU ISSA ALEYHI SALAM ?

    • @mamahustru
      @mamahustru 3 ปีที่แล้ว +5

      @@muhammadsaidi4872 Watanzania tuache kukariri maisha na tukumbuke hizi dini zote tumeletewa na mkoloni, kabla ya hapo na sie tulikuwa na dini zetu, na taratibu zetu jinsi ya kuishi maisha yetu.
      Huyo mama ni mkatoliki na anaitwa Mary, sio Mariam. Hajasilimu. Mumewe ndo muislamu. Hayo ni maisha yao zaidi ya miaka 20 sasa. Kila mtu aishi jinsi moyo unataka. Tunakuja mmoja mmoja, na tunaondoka mmoja mmoja.

    • @mussammanga7791
      @mussammanga7791 3 ปีที่แล้ว

      @@mamahustru Inamaana mkoloni yeye ndie aliyeiumba duniaa?

    • @mamahustru
      @mamahustru 3 ปีที่แล้ว

      @@mussammanga7791 Sasa sisi tuliishi sayari gani kabla ya mkoloni? Na ilikuwaje huyo mkoloni akapata´´mwanga´´ kabla yetu sisi?

    • @mussammanga7791
      @mussammanga7791 3 ปีที่แล้ว

      @@mamahustru Nikuulize ww ulosema dini zimeletwa na wakoloni.

  • @josephmatonyi1802
    @josephmatonyi1802 3 ปีที่แล้ว

    Mze majaliwa naww hiyo nywele uinyoe bana

  • @happinessmwenda2773
    @happinessmwenda2773 3 ปีที่แล้ว

    MUNGU NI MWEMA VIONGOZI WETU WANA WAKE WANAOJITAMBUA WENYE HOFU YA MUNGU.