Kwa Mungu, Jitu kubwa linaporomoshwa kwa vitu/watu wadogo kwa namna ya kushangaza sana, kwa maana udogo au ukubwa wa mtu unajengwa ktk uhusiano wake na Mwenyezi Mungu. BARIKIWENI SANA 🙏
Jiwe moja tu, halikuhitajika lingine, usihangaike kutafuta mawe mengi kwa ajili ya adui zako, jiwe moja tu kwa imani adui hatoboi, ni yes aliyempa daudi ushindi, jaribu nawe utaona ushindi. Songambele mmenibariki sana, mungu awabariki sana.
Nyie watu wangu mbarikiwe maana mmenifanya niwe na furaha na kunipa moyo na kusonga mbele Kwa Imani karibu I Tena majengo Moshi mwende mbali nawapenda saaana nyieee
mimi kama mikumo kwa udhamini wa omega nimeipenda hii ngoma, mbarikiwe sana. kama umekubali kama mimi konga like hapa
❤💘
Ubarikiwe mwlimu nakukaribisha buhemba centeo
My best Choir in Tz...may God bless you abundantly!
Amina.muonekano wenu tu! Ni mahubiri tosha.karibuni kwetu kenya
Mbarkiwe.sana.watumishi.wa.Bwana.yesu.songa.mbele.ili.tukaketi.pamoja.na.mungu.haleluya
Love from 🇧🇮,songambele
Siku ya kwanza kusikiliza huuu wimbo jmn nilisikiliza Zaid ya mara 10 l think the Lord's chair is shaken by the song🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
WOW SONG OF THE YEAR
I really like this song. Inanijenga sana. Nyasaye ogwedhu jokamaa
I am into this with every fibre of my being. ❤️❤️❤️,your composer is talented.
Pongezi kwenu songambele
This song blesses me I love the energy.
Locked @KE 254
mbarikiwe wapendwa kwa wimbo huu wenye ujumbe mzito mno.
Mbarikiwe Sana mko vizuri Sana haleruyaaa.
Songambele ni noma sana. Dishon kongole
Kwa Mungu, Jitu kubwa linaporomoshwa kwa vitu/watu wadogo kwa namna ya kushangaza sana, kwa maana udogo au ukubwa wa mtu unajengwa ktk uhusiano wake na Mwenyezi Mungu.
BARIKIWENI SANA
🙏
Am much blessed,welcome to eldoret kenya me time🙏
Ebana ee huu wimbo mtam sanaaa, ujumbe mzr saut nzr Mungu awabariki sana
Ushindi wa Bwana inahitaji IMANI
hizi ndo nyimbo za kumtukuza MUNGU, yaani ni bonge la wimbo MUNGU Awabariki watu wa Mungu, msalimie mtunzi MUNGU aendelee kumtumia
nabarikiwa sana na mahubiri kwa njia ya uimbaji wenu....Mungu awainue hata viwango vya juu sana mkimtumikia vema
I love this, blessings ❤️ from the united Arab Emirates 😍
Jiwe moja tu, halikuhitajika lingine, usihangaike kutafuta mawe mengi kwa ajili ya adui zako, jiwe moja tu kwa imani adui hatoboi, ni yes aliyempa daudi ushindi, jaribu nawe utaona ushindi. Songambele mmenibariki sana, mungu awabariki sana.
Been putting it on repeat ever since I listened for the first time.
Amen amen amen amen amen mungu awabariki wapendwa katika kristo yesu Kwa nyimbo nzuri sakusifu bwana yasu kristo mubarikiwe wapendwa
Powerful barikiweni Sana ujumbe lenye nguvu sana
Amen kwa wimbo mzuri utiao moyo kwa safari ya imani iliyojaa dhoruba
Wimbo mtamu kweli. Huyu ni mtunzi hodari kabisa
Ahsanteni. Nawaombea mzidi ku Songambele watu wangu. God bless you from Kenya-
A wonderful song….my favorite.I love you Jesus…
Wimbo huu jamani unaimarisha sana imani yangu..Ushindi wa Bwana hauhitaji dirii,chapeo wala upanga..Imani pekee..Bwana awabariki sana
Huu wimbo umenibariki sanaa
I'm an Adventist every Friday I must listen to the song I just love your singing keep it up and be blessed,, ❤️❤️ chorus wuuuweeh ❤🎉
This is real and blessing...huku Kenya iletimu ingekua inakanyaga hapo mbele
Huo ni ujumbe uliyo hai.Asante sana wanasonga mbele choir.Karibu sana katika Makambi yetu,hapa Angaza SDA Kaptembwa Nakuru, Kenya
Good song, I like this song.
Mbarikiwe sana...
Wimbo mzuri mmeutendea aki
Be blessed, a very nice song full of good message
Bwana aendelee kuwainua..
Mbarikiwe sana kwa wimbo mzuri nabarikiwa sana
This is my song ever
Jamani huu wimbo unanibariki sana
Mungu na azidi kuimarisha ndani yenu huduma hii ya Utume wa kuinjisha kwa njia hii ya uimbani injili iaonge mbele
Amen amen amen
Amina
This song is a blessing to my soul. I thank God for you and pray that God continue lifting in the ministry.
Elijah - US Florida
Huwa sichoki kuwasikiza mpaka wanangu wanawapenda mnoooo, hongereni Kwa uinjilishaji nabarikiwa mnooooo
Jamn mbarikiwa nimebarikiwa kupitia huu wimbo❤❤❤❤❤❤❤.
Nyie watu wangu mbarikiwe maana mmenifanya niwe na furaha na kunipa moyo na kusonga mbele Kwa Imani karibu I Tena majengo Moshi mwende mbali nawapenda saaana nyieee
Kazi ya mungu inaenda Amin jamani😂😂😂
Amen and Amen
wooow thia is great....
Amina!
Mbarikiwe sana watu wa mungu kwawimbo mzuri daudi nakombeo
Mungu umbariki mwalimu wa kwaya hii na wanakwaya wote....mnajituma sana....Yesu awatunze na kuwaongeza miaka mingi..
I love this. Jiwe ni moja tu. Halleluja
Naupenda sanaaa huu wimbo mungu awabariki sanaaa
i really love it
Hii kwaya inanibariki Sana jumbe nzuri sauti zimeshiba Bwana awainue mdumu katika Imani na kuhudumu zaidi na zaidi
What a song may u b blessed tooo
congratulation for ua touch songs,ur joyous wen singing courageous nice uniforms
To be honest you since I knew you you keep on blessing me everyday
..l
Asante kwa ku in ua Imani yangu na uimbaji wenu nzuri sana nawapenda sana kutoka canada
Songeni mbele zaidi nyimbo zenu zinanibariki
Wimbo huu unanitia moyo kiroho
I remember your visit to Mathare North you are such a wonderful group God 🙏🙏 bless Songambere,
Good song. May God's name be praised for the heavenly voices
Watu wa mungu Naomba no ya mwenyekiti wa kwaya
mungu kweli no mwema,asifiwe milele
Wimbo mzuri sana songa mbele kama lilivyo jina la kwaya yenu, ninawaombea
wimbo huu umenipa tumain mara nying nimevuka sehem ngum 🙏🙏🙏
Jamn nimefurahi Mimi nakosa hata Cha kuandika hizi ndo sabato nazosikilizaga Mimi jaman na siku moja nitakuwa msababto naipenda Sana🙏🙏🙏🙏
Ubarikiwe sana, mungu akupiganie karibu tusali wote sabato
Nabarikiwa na huu wimbo kwa hakika.
Tunawangoja huku Ziwani, Mombasa. God bless you children of God.
Mnanikosha
Aloo nyie. Barikiweni sana
Honestly a wonderful presentation that sometimes I keep repeating. Ur always at par in this God's field.
Jamani huu wimbo unanibariki mungu awabariki msonge mbele watu wa MUNGU ❤
Barikiwa sana Songambele na msonge mbele zaidi
Thanks God for You have given us Songambale Choir.
Love it keep on spreading the Gospel 👍
Wimbo mzuri sana mungu awabariki
Hallelujah Hallelujah Amen happy to be a SDA
Ameen ! The only stone to make me awinner in this life and life to come, is to have faith jesus christ
Mnaimba vizur jamn
Barikiweni Sana kwa kazi nzuri ya kumtumikia MUNGU
Yahaniiii nahisiiii kupaaa kwa wimbo mtamuuuuuuu sauti tamuuuuu barkiweniiiiii
Nabarikiwa kwa wimbo mtam
Wonders song,strong messages good job
Kwa kweli wasabato mko vizuri sana katika uimbaji
For really Your are great solders of God your songs have great message
My people. I love you God's children. Come to kenya please.
Wimbo huu hunisisimua sana,mbarikiwe watumishi
Amen and amen
Ameeen. God be Glorified. just one STONE who is .JESUS to kill. .an enemy.
Wonderful song of praising God. Tamu wahu. Nimeupenda
Aminaa wapendwa
I feel at Jesus feet!
Mngu awabaliki san ❤❤❤❤❤
Mungu aendelee kuwainua. Mwalimu Lilian Kennedy nakuona katika ubora wako
Amen, 🙏🙏🙏
Amen. Nawapenda sana songambele .Kenya huwa tunabarikiwa na nyimbo zenu .mungu awabariki
Amen ❤❤❤