Ni Imani yangu kwamba miongoni mwenu ni Malaika watakatifu wa Mungu hata ndio twasikia kupitia kwenu sauti zao. Utukufu wote kwa Bwana wetu Muumba wa vyote juu ya mbingu na nchi. Kwa mazingira mliochagua kuuimba huu wimbo ni kwa Utukufu wa Bwana mbali na, soma Mwanzo 11:3,4. Naendelea kuwaweka katika maombi nikitumainia ya kwamba Yesu akizuka hivi karibuni zote tutamkaribisha mawinguni tukiimba wimbo wa ushindi was Musa na Mwana kondoo ufunuo 22:7,12 ;15:2,3.
Mungu awabariki sana wanasongambele kwa nyimbo zenu zinazobariki. Hakika wimbo huu unaniguza sana kwa kuwa unazungumzia UKUU WA MUNGU kupitia kitabu cha Ayubu. Mtunzi wa wimbo huu Mungu akubariki na akuzidishie Neema yake hadi viwango vya juu vya imani hadi utimilifu wa utukufu wake nanyi waimbaji Mungu awaongoze ili mueze kuimba kwa Roho pia na ufahamu.Hakika Hakuna Mungu mwingine. Bado Anatawala. Mbarikiwe sana🇰🇪
The way i love Tanzanian SDA Choirs! May God continue blessing Tanzania.
Ni Imani yangu kwamba miongoni mwenu ni Malaika watakatifu wa Mungu hata ndio twasikia kupitia kwenu sauti zao. Utukufu wote kwa Bwana wetu Muumba wa vyote juu ya mbingu na nchi. Kwa mazingira mliochagua kuuimba huu wimbo ni kwa Utukufu wa Bwana mbali na, soma Mwanzo 11:3,4.
Naendelea kuwaweka katika maombi nikitumainia ya kwamba Yesu akizuka hivi karibuni zote tutamkaribisha mawinguni tukiimba wimbo wa ushindi was Musa na Mwana kondoo ufunuo 22:7,12 ;15:2,3.
Yani huu wimbo mmetandika....Amina sana
Wonderful and awesome song!! Indeed,we cannot compare human being with God.❤
Nyimbo zinazo inua nakuleta matumaini kwa vizazi na ata vizazi.Mnanibariki mnavoimba kwa Roho na ukweli.
Mmeamua kunitoa nje niende kanisa kesho mungu awe nayi 🙏
MUNGU azidi kuwapa nguvu ya kumtumikia Yeye peke yake nyimbo zenu zinanibarki sana
Mbarikiwe wapendwa Mungu awape nguvu na uwezo
may god bless you songa mbele choir nawapenda sana baraka tele
Wimbo mzuri sana 🎉🎉🎉 mungu azidi kuwapa nguvu
Amen Amen napenda nyimbo zenu sana❤
Ooooh Hallelujah 🙏🏾🙏🏾🙏🏾,HAKUNA KAMA MUNGU KWA HAKIKA
Kazi nzurinsana Mungu wetu wa mbinguni awabariki sana na injili isonge mbele
Ronny from south Africa I'm always blessed with your songs..full of messages and with high energy
Dunia imeingia kanisani. Lakini hongereni Wasabato kwa kujitahidi kuihifadhi sura ya Utakatifu angalau kwa nje. Mungu awabariki sana.
Nimebarikiwa Tele na nyimbo zenu. Mungu awabariki maradufu. Elder Oyaro
Nafurahshwa sana na nyimbo zenu BWANA awatumie zaidi tubarkiwe kupitia nyimbo hizi
Mmpendeza waimbaji mbalikiwe mno
Mungu azidi kuwainua Wanasongambele. Nawapenda sana buru. Nguvu hiyo jamani daaaa!! Bwana apewe sifa. Ila naomba mawasiano wenu jamani
Hii kwaya kweli uimba nyimbo tamu saba..nskumbuka makambi 2019MATHARE NORTH (KENYA)
Waoooooooohhhhh nice choir mbarikiwe watoto wa baba
Mungu awabariki sana wanasongambele kwa nyimbo zenu zinazobariki. Hakika wimbo huu unaniguza sana kwa kuwa unazungumzia UKUU WA MUNGU kupitia kitabu cha Ayubu. Mtunzi wa wimbo huu Mungu akubariki na akuzidishie Neema yake hadi viwango vya juu vya imani hadi utimilifu wa utukufu wake nanyi waimbaji Mungu awaongoze ili mueze kuimba kwa Roho pia na ufahamu.Hakika Hakuna Mungu mwingine. Bado Anatawala. Mbarikiwe sana🇰🇪
Jmn songmbele Never dissapoint Siez elezea nawapendaa sanaa. My best choirrr always❤❤❤
Nawaombea sana Mungu wimbo mtaimba next to this one huwe juu ya ufunuo 15:2,3 "wimbo wa Musa na Mwana kondoo." Mbarikiwe sana.
Muonekano wenu unamtukuza MUNGU mana hamshindani na dunia hii mubarikiwe sna
My best choir in Tanzaniaa mnaimbaa sanaa🎉🎉
Mmbarikwe Sana watu wa Mungu nawapenda Sana endeleen kumsifu Mungu tunabarikiwa Sana na nyimbo zenu siku zote
Nawapenda sana sana
Ayubu anashangaaa hakika bwana ni mkuuu mbarikiwe sana Songa mbele
Napenda sana nyimbo zenu, Mungu atukuzwe
Hallelujah hallelujah hallelujah,hakika hakuna mwingine kama MUNGU.
❤❤❤Amina
Great song.Mungu awabariki sana wanakwaya wa Songa Mbele.Looking forward to see you at Mathare North camp meeting.
Napenda kwaya hii sana.nyimbo zao ubeba mambo mazito.mbarikiwe zaidi
I'm really blessed! Barikiwa sana wana na binti za mfalme!
Imenibariki mzidi kubarikiwa songambele muende mbali zaidi
Songa mbele to the world,,you remain my favourite
Hope to see you in Saika Central again
Niwatietumoyo katikauimbaji wenumkawavutewenu❤❤❤❤❤
We always listen to your songs throughout, coz they are a rejuvenation to our hearts, be blessed.
Songambele my real heart their songs are the best
You've been a blessing to my family, continue spreading the gospel, especially end time messages.
Mungu awabariki msonge mbele
You are doing great job, spreading end time gospel and close of probation, may God continue using you to reach as many as possible, 🙏 🙏 🙏
Mko sawa❤
Kwaya makini sana... Mbarikiwe
You pple can sing! Clean vocals. I know God is happy with your worship!! Songa mbele hadi mwisho wa dahari
Kombea Rafiki Yangu nabarikiwa salimiana Asante sana.
Miongoni mwa Kwaya Bora za Sasa.
Wimbo mzuri ajabu
Wimbo mzuri sana ,msalimie Sharon my classmate
What a song!
Keep on praising the Lord.
Mbarikiwe sana. watoto wa Mungu
Mbarikiwe na Bwana kwa kazi nzuri
My favorite choir
Nawapenda sana
Weka no tupate mawasiliano tuwaalike mkuje mtubariki
Amen wimbo mzuri sana
God bless you songa mbele
Powerful piece. Great poetry. Amen 🎉
Here in Uganda enjoying the melody
Nabrikiwa sana be blessed ❤️
Nyimbo zilizo na upangilio safi
Mungu awabariki sana
The vocals on another level 👌
Wimbo mzuri.mbarikiwe.
Amen
Nous vous souhaitons un bon avancement, mungu Awa bariki
Amina Mabarikiwe watu wa Mungu
Barikiweni sana
Let almighty God bless you so much
Sura zenu zinafanana na malaika
Mubarikiwe saana
Mungu awabaliki 🎉🎉❤❤
Mungu azidi kuwainua
Barikiweni sana kwa ujumbe mzuri nafurahia nyimbo zunu kabisa ni joseph kutoka meru kenya.
Mbarikiwe
Baraka tele
Atukuzwe Mungu kwa vipawa alivyowapatia. Bwana awabariki sana kwa kukubali kutumika
Mubarikiwe
we love u brothers and sisters
Very inspiring... ❤
Please any link that one can access to you through fon contact
Be blessed abundantly
Amen and Amen
NYIMBO ZENU ZAPENDEZA LAKINI CAMERA MAN ALIWAANGUSHA
I leave my comment here,whoever will watch this song,listen to the message from this song,like subscribe and be blessed🙏
Si Kwa nje tu
❤❤❤
😢😢😢😢😢😢😢😢
Job 38:3-
Naipenda sana
Songa mbele to the world,,you remain my favourite
Hope to see you in Saika Central again
Wimbo mzuri xanaa barikiwenii xanaa na Bwana
Barikiweni sana