kwa mara ya kwanza nilianza kusikiliza nyimbo za kisabato mwaka 2023 nilikuwa Tarime nikasikilizishwa huu wimbo na rafiki yangu Nehemiah , MUNGU akubariki sana popote ulipo tangu hapo nabarikiwa mno na nyimbo za waadventisata wasabato ,utumishi wenu ni mzuri sana
Endelea kushikilia hapohapo Tunaanguka na kunyanyuka tena hakuna muda wa kuangalia nyuma Taji zinatungoja, bado kitambonkidogo tunaiaga dunia hii ya dhambi Yesu, shujaa wa msalaba yuko mbele 🙏🏿🙏🏿
Huuu wimbo nimeanza kuusikiza nikiwa nyumbani DRC kwenye radio morning 🌞 lkn Kwa leo nyumbani tumetolewa huko juu ya Vita nikiusikiza machozi inanitililika lkn pamoja namungu tutarudi kwa sasa tupo kwenye ichi ya Kenya muzidi kutuombea
Hata sasa 2022 sikio langu halijafanikiwa kusikiliza mashairi ya wimbo mzuri kama huu....Mungu mbariki Namsifu. Kwa Wimbo siwezi kujitetea kwa chochote siku ya mwisho
August 2019, bado naung’ang’ania msalaba maana najua shujaa yuko mbele. naanza safari upya hadi nifike juu. wokovu taji vyote vimeandaliwa kwa ajili yangu . Siku moja atanifuta machozi 😢🙏🙏🙏🙏🙏🇹🇿
This song gave me great hope n healed my heart 2yrs ago wen wen i was deeply troubled n my world was falling apart. God bless yu. I finally decided sitawahi rudi nyuma tena oh God help me
It is January 2023 but this song sound like a new one. This lady real sings in the glory of the Most High. Keep it up so that we meet and sing this song in heaven
I'm so saddened to have learnt about this song this late,it's an inspiration to me❤God bless this voices that are still great even in 2023 and speaks to our hearts freshly every time we hear this hymn.💯
I had this song on my old phone but I lost it and I have been searching for this particular song for years but I thank God I have finally found it even though I don't understand the language
@@jeancadet5477 My sentiments exactly. This song makes me want to travel to Arusha and marry the soloist, I mean, imagine that songbird waking up next to you everyday!! Her voice blows me away
🤔I have reason not to be ashamed whatsoever of any of my failures to grace to grace! Be blessed to nurture your talents as you find it possible to do so! 🙏🏽🙏🏽🙏🏽
I regret that l don't understand your language, but when l hear your harmonies and see your smiling faces l know that what you are singing is God sent. Thank you all.
If you are here in 2024,let's gather here
Here we are!!! This song never get old!
kwa mara ya kwanza nilianza kusikiliza nyimbo za kisabato mwaka 2023 nilikuwa Tarime nikasikilizishwa huu wimbo na rafiki yangu Nehemiah , MUNGU akubariki sana popote ulipo tangu hapo nabarikiwa mno na nyimbo za waadventisata wasabato ,utumishi wenu ni mzuri sana
2024 and the song still so fresh. Such a strong msg.... narudi kwa Yesu
Who is with me 2024❤
❤
these song never gets old maze bado ni vyb@@flavyannemogoa
2025..saa kumi na moja asubuhi ❤❤❤❤ninaongea na mungu mniombee pia 😢😢napitia changamoto
Nafalijika sana ninaposikia nyimbo za SDA mubalikiwe
Amen, barikiwa
Ahsanteni Sana kwa mtunzi wa wimbo huu nimekuwa na ushujaa wakung'ang'ania msalaba wow wow may GOD bless all🥰🥰🥰🥰🙏🙏🙏
Endelea kushikilia hapohapo
Tunaanguka na kunyanyuka tena hakuna muda wa kuangalia nyuma
Taji zinatungoja, bado kitambonkidogo tunaiaga dunia hii ya dhambi
Yesu, shujaa wa msalaba yuko mbele 🙏🏿🙏🏿
Huu wimbo una ujumbe sana wangapi tupo 2021 tunautazama bado...
Huuu wimbo nimeanza kuusikiza nikiwa nyumbani DRC kwenye radio morning 🌞 lkn Kwa leo nyumbani tumetolewa huko juu ya Vita nikiusikiza machozi inanitililika lkn pamoja namungu tutarudi kwa sasa tupo kwenye ichi ya Kenya muzidi kutuombea
2023
Naendea since 2017 when I knew the song
2024 still
Pole mungu yu nawe @@mandelakitungano2424
Huu wimbo umekuwa wa kunitia moyo sana katika safari ya matumaini sana nashukuru mungu sana amen
Utukufu kwa Mkombozi Yesu🙏 Mungu awabariki kwaya hii ya injili
I come back here daily 😢🙏, May God forgive us and give us the strength to overcome the world's temptations that we may not forget him.
it's 2022 and the song drives me back to Jesus. It's a powerful message of it's kind. May God accept us back once more
Same here...
Msafiri bora still makes alot of sense and convicting my soul that Christ will forgive me and cleanse me from dean of death
Ee Mungu nipiganie katika ujana wangu. Dhambi isinitenge na uso wako
I really love this song 🎉just saw it in TikTok and I came to search
Mungu wa mbinguni awabariki kwa injili mnayotupatia!!!
From Washington listening 🎧
Message relevant.
Waimbaji bora! Sisi wadiventista wa Sabato kutoka Burundi tunawapenda sana
Bwana azidi kuwapatia nguvu ili neno la bwana lizidi kupenya ndan ya mioyo na wageuke wauendee msalaba wa yesu..
Hata sasa 2022 sikio langu halijafanikiwa kusikiliza mashairi ya wimbo mzuri kama huu....Mungu mbariki Namsifu. Kwa Wimbo siwezi kujitetea kwa chochote siku ya mwisho
It's indeed true we can not earn salvation by our deeds but it's by grace that comes through Christ Jesus 🙏
Wimbo huu hauchuji. Kila siku nabarikiwa ninapo usikiliza. Mungu awabariki muende mbali.
'Sasa nimejua ya kwamba kuwa mbali sana sio chanzo changu Mimi kukataliwa na Yesu". Nabarikiwa Sana na huu Wimbo.
Amen, barikiwa
Kweri
Narudi kwa YESU bado muda mfupi kwa anayetaka toba naanza safari nashonga mbele usife moyo shujaa wa msalaba yuko mbele
August 2019, bado naung’ang’ania msalaba maana najua shujaa yuko mbele. naanza safari upya hadi nifike juu. wokovu taji vyote vimeandaliwa kwa ajili yangu .
Siku moja atanifuta machozi 😢🙏🙏🙏🙏🙏🇹🇿
Hak barikiwen san kwa nyimbo yakubarik 2024 ❤❤❤🎉
Nani yuko hapa 2023❤
i can replay this song over and over again. wangapi wanakubaliana na mm!!!!
It is stuck in my head
i play it almost daily
🌞
Kwa mara nyingine tena 2021 nimeisikiliza hii nyimbo pendwa 🙏🙏 na ntaendelea kuisikiliza tena na tena mungu awabariki waimbaji kwa kazi nzuri
I never get tired of this amazing song and her beautiful voice.
Mungu awabariki wote mlio husika katika huu wimbo unaujumbe mzito sana
Ubarikiwe Namsifu unanikumbusha kurasini enzi zile Mungu akubariki.Nataka toba.
This song gave me great hope n healed my heart 2yrs ago wen wen i was deeply troubled n my world was falling apart. God bless yu. I finally decided sitawahi rudi nyuma tena oh God help me
Huu wimbo uniinua sana.Mungu awabariki sana sana.nawapenda sana
Huu Wimbo umenipeleka tombe girls ❤❤❤❤@Askal....nilikuwa msafiri
I don't know what adventists listen this song should be 10M plus views
This song has encouraged me severally.I fell from the faith but indeed I've chosen to go back to Jesus"Wokovu umeandaliwa Kwa ajili yangu"
This is me this year..I've gone back to christ
It is January 2023 but this song sound like a new one. This lady real sings in the glory of the Most High. Keep it up so that we meet and sing this song in heaven
mungu akutetee dada nimeipenda sauti yako sana usonge mbele ndlo ombi langu kwa mungu
Anza safari ,,, msafiri bora ... God bless you for the message
I'm so saddened to have learnt about this song this late,it's an inspiration to me❤God bless this voices that are still great even in 2023 and speaks to our hearts freshly every time we hear this hymn.💯
Amen amen
Wimbo umenipa nguvu jaman Jina la Yesu lizidi kuinuliwa Amen nitaendelea kung'ang'ania kwa Yesu
It's 2023,, the song is still so fresh to my soul.
I love the song. Kurudi nyuma sio option kamwe hata kama tumeanguka mara ngapi. Tusimame na kusonga mbele tena
Amen, barikiwa sana
@@chiragiabel great song
wow wow wow
this lady has a very sweet voice
may God bless you all
i love the song
Ruth Aloys amen be blessed
This is the right time for me to hear this song. It's touching me from every corner
Amen, be blessed
Ooh lord have mercy on me. I want to come back home... am filthy with sins. Cleanse me once more
Amen, be blessed Esther
Amen amen this is real may God bless you
This song just leaves me in tears coz I feel it’s me it talks about.nitaungangani msalaba.
Heard this song for the first time Tiktok....Happy sabbath 2023
It's 2023 Dec 17, Mungu nipe unyenyekevu.
Who still listening in 2019...this song motivates me a lot
amina
Bt also 2020
2021, and still wanting to travel to Arusha to meet the lady who leads it.
I had this song on my old phone but I lost it and I have been searching for this particular song for years but I thank God I have finally found it even though I don't understand the language
Ooh be blessed
A very touching message to me a sinner....... No shortcut to salvation......... ONLY JESUS CHRIST
+Francis Miruka Amen brother Francis, Be blessed
Mungu awabariki sana,kawapa saut nzuri na mnaitumia kumsifu
This is the song to took me back to the Church, May Gods glory work throught.
Ameeen❤Glory to our faithful GOD...👏
The lady's voice is soft and clear
@@damarisoanda4779 God is faithful. Glory be to God for her voice
Ameeen, even 2023, there is still a loving God in heaven
2020 who's listening🙌
Uyu Dada anaimba vizuri Sana ubarikiwe
One of the SDA's best songs
Please translate in English I love this song the emotion of the lady torches me
@@jeancadet5477 My sentiments exactly. This song makes me want to travel to Arusha and marry the soloist, I mean, imagine that songbird waking up next to you everyday!! Her voice blows me away
The song is too emotional and inspiring too, it gives me hope when I feel weak
Ooh my God, I never get enough of this song....I can listen to it over and over .....
The voices are amazing I was looking forward for this video thanks so much you tube has done it for me I love dear lady your voice is so sweet
I have seen Jesus through this song watching now 2023 🔥🔥🔥
kila wakati naupenda sana huu wimbo maana unatupanga kumrudia Mungu siku zote
Balikiwa mtumishi shallom KAZI yako njema
am left to listen and watch this song again and again...msafiri bora is just a wake call for me..thanks for such a song
Mungu awabariki sana wimbo Wa mda barikiweni sana
🤔I have reason not to be ashamed whatsoever of any of my failures to grace to grace! Be blessed to nurture your talents as you find it possible to do so! 🙏🏽🙏🏽🙏🏽
48obj amen be blessed
Sema kwel sote tu wasafiri kwenda kwa mungu tujiandae na nauli zetu tuzitunze ili tufike salama amina na ubarikiwe sana
I regret that l don't understand your language, but when l hear your harmonies and see your smiling faces l know that what you are singing is God sent. Thank you all.
wow wow wow I am speechless I thank living God for this beautiful voice Wow
Wimbo. Huu. Unanipeleka hadi. Kwenye. Msalaba. Wa kalvali. Hongela
I love this song ......mpaka sahii
Tanzania will always produce best S D A songs. i lkie it
This song makes me fill like never giving up in life ....,no matter how hard life is,only God guides me
Nafarijika sana nikisikiliza nyimbo za SDA
Amen ubarikiwe sana Denice
Denice jumanne Ameeen.!!barikiwa sanaaaa
Barikiwa
Naipenda sana nyimbo yako Dada Namsifu
Who else is listen this song up to today 2022.. this song is life
Que o eterno criador abençoe essas voses maravilhosas
I used to sing this song when I was a little girl, Now am an adult! I woke up this morning and I felt it in my heart❤
Naanza safari, nasonga mbele... Amen..
This is one of my favorite swahili gospel song of all times.... it humbles me every time i hear it. God bless you Namsif
The journey to heaven is on despite the challenges we exprience on the way God is in control we shall arrive home safely🙏🙏
Sitaki rudi nyuma tena.Nawashukuru sn kwa wito huu nimebarikiwa mno!!!!!!!!.
Amen, Ubarikiwe na usonge mbele. Wokovu umeandaliwa kwa ajili yako.MUNGU AKUBARIKI
Ujumbe wa huu wimbo una thamani Sana katika maisha yetu
Wow this songs encourage me alot I always listen everyday
Amina, Arusha youth choir has been a blessing to me since my childhood.now iam adult still listening to this great team
Amen, be blessed Shadrack
Song never grows old 💞
to the soloist and the entire choir,hongera kwa kaz yenu....twafurahia kutoka kenya
Shujaa wa msalaba yuko mbele. Thx for blessing me with the song
how I wish I could see them perform this item live!! such an inspirational song. I feel emotional 😭😭. the best song among other songs!!!
Amen, Be blessed
This song restores my faith in Christ Jesus.
Amen be blessed
i can replay this song over and over,it talks about my life in christ
The song depict our daily struggles to calvary but it also gives hope and strength to look at the cross of Calvary..
this is an amazingly good good song! this is the good news, that Jesus accepts and saves! amen
Amen Amen 🙏🙏it's about prayers for forgiveness
Nawaona Nawaona... Kwakweli Dada sauti umebarikiwa Mungu akutunze
Mungu akubariki sana wewe Ms Makacha na waimbaji wenzako huwa nabarikiwa sana na wimbo huo
Mungu awape nguvu tuzidi kumtukuza
Nko hapa 2024 March 15th, stay blessed always ❤❤
Brethren, pray for me. I am a troubled man. I find comfort in such songs.
Be blessed, GOD will take care of you
very good songs God bless you
Shujaa wa msalaba yesu christo
It's three years now and I never get tired or bored with this wonderful song be blessed singers