MAUAJI YA KIKATILI YA MTOTO DODOMA,WATU WAWILI WANASHIKILIWA KAMANDA WA POLISI ASIMULIA A-Z

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 137

  • @RayyanBubuu
    @RayyanBubuu 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา +7

    Innallahi wainallahi rajuum haki ka sisi n Waja wa mwenyez mungu na kwake tutarejra allah ampumzishe kwa aman aamin

  • @RayyanBubuu
    @RayyanBubuu 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา +13

    Asalaam alaykm mtume Muha mad anasema zama za mwisho za Dunia binaadam atakua kama mnyama tumuomben msamaha allah tuludni kwa all

    • @vincentcharles4385
      @vincentcharles4385 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Hatumjui Allah,tunamjua Mungu

    • @masterrhymes8046
      @masterrhymes8046 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      sema simjui sio hatumjui.. wew na nani​@@vincentcharles4385

    • @MrishoMindu-zq7mz
      @MrishoMindu-zq7mz 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      ​@@vincentcharles4385 Jisemee nafsi yako usi wasemee watu Mshamba wewe. Mijitu ya Nyanda za juu kusini akili zao zinawaza Ushirikina tu kutoa kafara wapate Mali. Ndagu zita wamaliza laaana hiyo Watu kama Wanyama. Mikoa ile hapana.

    • @fatumamwalimu5765
      @fatumamwalimu5765 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      ​@@vincentcharles4385,umejuaje kua alimaanisha MUNGU ikiwa sio kujitoa fahamu? Kwanza mungu yupi maana ata firauni alikua mungu kwa walio mfuata,alafu mko wangapi mnao ongea apa? Maana eti (hatumjui) acha kiburi 5:18

    • @fatumamwalimu5765
      @fatumamwalimu5765 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      ​@@vincentcharles4385acha kiburi wewe

  • @hezronielisha9795
    @hezronielisha9795 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา +15

    HAPA YA KUJIULIZA NI MENGI,, WALA MAMA WA MTOTO SIO TATIZO,KWANI HUWEZI JUA ALIMWANI VIPI BODA,, MM NAONA NA HUYO MWANAUME WALIOKUA NAE STAREHE ACHUNGUZWE HUENDA ANAMPENDA KUMWOA HUYO DADA LKN ALIONA HUYO MTOTO ALIKUA BARRIER. NI WAZO LANGU LKN.

    • @mshanibeatrice7449
      @mshanibeatrice7449 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

      Ni kingine anaweza kuwa alitoka na huyo dada huku akijua Kuna mipango kaiandaa kwa hiyo huyo mwenye nyumba nae achunguzwe

  • @danielndusilo4723
    @danielndusilo4723 22 ชั่วโมงที่ผ่านมา +16

    Mtuhumiwa wa kwanza ni mzazi unamuachiaje mtoto bodaboda

    • @zaidihussein4311
      @zaidihussein4311 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

      Uwe na mstarabu wenzako Wana majonzi ww unaongea vitu vya ovyo

    • @shadrackdeogratius6760
      @shadrackdeogratius6760 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

      Ni ukweli,mzazi anajua vizuri

    • @MathewNathan-yb2bz
      @MathewNathan-yb2bz 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

      Kwani boda boda sio mtu?

    • @eliambowe2576
      @eliambowe2576 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

      Kwan boda boda hana moyo au nyie wa magari amhui😢

    • @rugendorunene545
      @rugendorunene545 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Ume nena ukweli!

  • @SaidySalum-p9c
    @SaidySalum-p9c 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Mfanya biashala Hana hata mfanyakaz wa kukaa na mtt nyumban Hadi ukamuachie bodaboda da kiukwel inauma sana huyu mtt nilimjua kupitia chief god love

  • @pendomariki
    @pendomariki ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Mtoto mzur jaman da imeniuma mnoo waliomfanyia ukatili huyu mtoto dam ya huyu malaika isimwache salama

  • @merrynancesimon1562
    @merrynancesimon1562 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา +8

    Huu msiba unanikumbusha mbali mnoo mdogo wangu walimtoa kafala yaani nyie msiba usikie kwa jirani yaani mpaka Leo wazazi wangu na sisi tunaweweseka Kwani wamuuue mdogo wangu bila sababu nyie inauma mzee sometimes analia mnoo 😢😢😢Tena sisi tumejua ni ndugu 😢😢😢😢😢ndio waliofanya hiyo kafala Mungu anawaona binadamu ni kazi sio utani ni kheri tujihadhali moyo msitu Kama wa Amazon 😢😢😢😢😢

    • @rerisamba
      @rerisamba 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Uko na mwanao mzuri huku jirani ama ndugu ana mumezea mate ogopa watu poleni

    • @fideavenceslaus
      @fideavenceslaus 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      yametukuta wengi...Tunamwachia Mungu

  • @pabloescober6709
    @pabloescober6709 19 ชั่วโมงที่ผ่านมา +4

    Shida ukute Dada aliwapa mwanaume 5 huyo mtoto wajifunze

  • @YunisJerald
    @YunisJerald 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา +5

    Hivi mama unamwachaje mtoto na boda mwanamke na heshima zako wewe.hii laana ya mtoto mama itakutafuna maana alivokuwa anauawa alikuwa anakuita mama uko wapi😢

    • @tawatenga
      @tawatenga 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Dah hii msg yako imeniliza Sana 😢

    • @maulidipazi6770
      @maulidipazi6770 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Mbona kawaida tu boda boda nae ni binaadam .mbona wengi wanaenda kuwachukua watoto mashuleni .na wanakua salama sema hizo ni njama tu

    • @YunisJerald
      @YunisJerald 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Usku alimwamininije mtu kumwacha na mtoto sasa hivi dunia imebadilika .binadamu.hawafai
      Nyammaza kabisa kumtuma mtu akakuchulie mtoto ni tofauti na kumwachia mtoto usku alale na.mtu usiyemjua kiundani.hii roho ya huyo mtoto haitamwacha mama yale salama .

  • @castombilo7114
    @castombilo7114 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Boda boda hapo kaingizw Mkenge ila mtuhimiwa hapo NO moja MAMA na WAPILI Chief godlove

    • @MelkyAmon23
      @MelkyAmon23 29 นาทีที่ผ่านมา

      Mdomo uliponza mwili

  • @DinesPatrick-d5w
    @DinesPatrick-d5w 22 ชั่วโมงที่ผ่านมา +5

    Pole sana wafiwa. Kuwen nahuruma wauaji vifo vinazidi inaumiza mtoto Hana kosa duuuuuh! Muda mwngne mbaingiza kes watu kama uyo kevn ameingia kweny matatzo jaman

    • @petrolconrad4250
      @petrolconrad4250 21 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Kwa hiyo suala la mama kuacha mtoto nyumbani yeye aende kula raha na bwana na wanarudi asubuhi hujaliona sio?

    • @UpendoMaduhu
      @UpendoMaduhu 21 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      ​@@petrolconrad4250nyoko pumbavu ndo wamuue mtoto?

    • @dianajohnson7268
      @dianajohnson7268 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Usihukumu mtu hawez kuacha kuishi, wewe inamana hutokagi nyumban kwako? Mda wote unawalinda? Ni kuomba Mungu​@@petrolconrad4250

    • @FatumaJumanne-p4d
      @FatumaJumanne-p4d 19 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      ​@@petrolconrad4250Hujui walkuwa wanaish vp 2mekosa u2 kwa sasa 😢

    • @StephaniaLuanda
      @StephaniaLuanda 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Mbaya zaid anamuachia dereva wa boda boda akipata kichwa cha chap lazima akifuate ​@@petrolconrad4250

  • @الصالحيالصالحي-ل2ظ
    @الصالحيالصالحي-ل2ظ 21 ชั่วโมงที่ผ่านมา +6

    Katoto kazur mashaallh jamaniii daah Allah akupunzish vema

    • @safiaothman5175
      @safiaothman5175 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Aamiin Yaa Rabbal 'Alaamiin.

  • @DeruDeru-p4t
    @DeruDeru-p4t 22 ชั่วโมงที่ผ่านมา +8

    Dar masikin jamani😢😢😢 dar mtoto hana hatia jamani uwiiii Mungu wangu hee dunia imeisha

    • @shadrackdeogratius6760
      @shadrackdeogratius6760 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Labda mzazi wake atakuwa kavuruga watu

    • @rumdeesonsoa1811
      @rumdeesonsoa1811 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      ​@@shadrackdeogratius6760kuvuruga watu kvp

    • @pasquallungwa3517
      @pasquallungwa3517 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Dar...Dah

    • @DeruDeru-p4t
      @DeruDeru-p4t 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @@shadrackdeogratius6760 hatujui ndugu yangu lakini sio kisasi kwa mtoto jamani mtoto hana hatia masiki ya Mungu

  • @DiwaniMwafongo
    @DiwaniMwafongo 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Nchi za wengine, mama wa mtoto ndio chanzo....ni muuaji kwa namna Moja au nyingine!!
    Wahenga walisema"Cha mtu...mavi!!!"

  • @ramadhanrashidmthailand9553
    @ramadhanrashidmthailand9553 22 ชั่วโมงที่ผ่านมา +5

    Mama unamuachaje mtotowako uende kwenye starehe jaman! Hebu wanawake jutambueni mkishakua mama wafamilia leeni familia zenu kama hamjamaliza ujana msizae

    • @MathewNathan-yb2bz
      @MathewNathan-yb2bz 19 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Miaka sita ni mtoto mkubwa ,anaweza kuishi na yeyote

    • @rumdeesonsoa1811
      @rumdeesonsoa1811 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      ​@@MathewNathan-yb2bzKwahyo anaweza kuish ata na stranger?

    • @MohammedSaid-zk7yg
      @MohammedSaid-zk7yg 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      ​@@MathewNathan-yb2bzwewe unaweza Muacha mtoto wako wa 6years na kijana yeyote tuu come on let's not beat around the bush here

    • @babrahisdory8128
      @babrahisdory8128 22 นาทีที่ผ่านมา

      Yani mnaacha kusikitika mauaji mnalaumu aliyemuacha mtoto, kwani kumuacha mtoto ndo kunakupa wewe ruhusa ya kumuua? Unahisi kama muuaji alidhamiria mama angeweza kuokoa? Mlitaka muuaji amkute mama na mtoto ili awaue wote ndo muone anamjali?

  • @RajabuMsingwa-f7w
    @RajabuMsingwa-f7w ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mzembe ni mama na alitekabidhiwa mtoto ahojiwe zaid

  • @Yassin-z6o
    @Yassin-z6o 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Hata mama wa mboto ahojiwe tena kwa nguvu sana

  • @JacquelineAdrian-w5r
    @JacquelineAdrian-w5r ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Huyu police kila neno Calvin gilbert😢

  • @dallasmusic6465
    @dallasmusic6465 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา +7

    Uzembe wa wazazi ma slay Qeen mna la kujifunza hapa mmezid umalaya na uslayQeen

    • @MathewNathan-yb2bz
      @MathewNathan-yb2bz 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Ni bahati mbaya tu

    • @melanialeonard4031
      @melanialeonard4031 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Omba MUNGU sana akuepushe na mitihan ya dunia

    • @dallasmusic6465
      @dallasmusic6465 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @melanialeonard4031 mitihani ipo Ila Bora umfunge kamba mbuzi wako ukute kaibiwa hyo ni bahati mbaya kuliko ulimuacha bila kama..... Jilindeni nami nitawalinda

    • @jimlinekimani2326
      @jimlinekimani2326 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Ukatili wa futa huu sasa...hii Mambo ya kutafuta utajiri..kama Simba wenyu kalalwa naye ndio awe tajiri number one kwote duniani 😭

  • @roudhamahmoud763
    @roudhamahmoud763 22 ชั่วโมงที่ผ่านมา +4

    Binaadam makatili kupita kiasi Tanzania inatisha matukiyo ya ajabu kabisa
    Hapo ukitizama wivu wa mapenzi ama kishirikina

  • @CharifaRachidi
    @CharifaRachidi 22 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Uyu jojo aulizwe vzr atatoa majibu yote

    • @shadrackdeogratius6760
      @shadrackdeogratius6760 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Kabisa,ukute amekula vya watu 😢😢

  • @MosesNyangusu-v4h
    @MosesNyangusu-v4h 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา +6

    Mimi ndo ningekuwa na cheo kama Cha kwako mtu wa kwanza kumkamata kwa Kesi hiyo angekuwa mamawa huyo mtoto yani huyo ndiye mtuhumiwa namba moja maana kamtelekeza na sio kamuacha kwenye uangalizi wa bodaboda,, aisee huwenda baba wa huyo mtoto nae hayupo duniani na kama yupo basi huwenda ni msukuma mwenzangu "ndoho tabhu"

    • @firdausqutty2067
      @firdausqutty2067 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Mama mtamlaumu lakni hapa kuna mawili wenda yule baba wa kambo, maana hadi mama amuachie mtu mtoto wenda walikua kama family friend, na wenda hata boda hausiki kukawa nakamchezo tu juu yahuyu baba wa kambo. Wedha boda alipata abilia au alitoka kidogo ndipo yakatokea hayo. Make angekua ameua huyu boda asingerudi.

    • @babrahisdory8128
      @babrahisdory8128 21 นาทีที่ผ่านมา

      ​@@firdausqutty2067watu wanashindwa kuelewa kuwa muuaji alidhamiria na ukute hata boda alipigiwa simu na muuaji akijifanya mteja ili apate nafasi

  • @ManaseMoleli
    @ManaseMoleli 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Mh! Mungu tusaidie nakushukuru pia kwa kunipa neema ya kuishi na familia yangu pamoja hawa wadada wanaozaaga na kulea watoto bila baba shida sana uyu mtoto kafa kifo cha kikatili sana kilichochangiwa na uzembe wa mama yake sababu ya mcharuko kweli so sad😢😢

  • @danieldavid4733
    @danieldavid4733 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Dunia ya moto sana lkn Jeshi letu litatusaidia kuwapata watuhumiwa wa hili japo inauma sana mtoto wa miaka 6

  • @suleymanidaudi7906
    @suleymanidaudi7906 22 ชั่วโมงที่ผ่านมา +6

    Hofu ya mungu zimepungua nyoyoni mwa watu sbuhanallah

  • @AsiaAa-w5m
    @AsiaAa-w5m 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Kwann mama umuache mtto na kijana akiwa akikuharibu kisaikoloji

  • @brightonjonas69
    @brightonjonas69 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Dahh na mtoto alivyo mzuri 😭😭

  • @MwanaishaShattry
    @MwanaishaShattry 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mama alaumiwe. Wakati huu unamuamini boda kwani ni baba yake. Baba siku hizi analawiti mtoto wake na kuwauwa sembuse boda. Huyo kamrifa hadi kufa lazima itakuwa hivyo.

  • @OstakiaCornely
    @OstakiaCornely 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Huyu dada ataumia sana kutoka kumuacha mtoto ucku angebaki pengine mwanae asingeuliwa utaishi na majuto sana munga amtie nguvu

  • @victoriapatrick9840
    @victoriapatrick9840 21 ชั่วโมงที่ผ่านมา +4

    Na mtu unajiona shababi unauwa mtoto mdogo!! Si ukauwe simba tuone ulivyo Samsoni, inasikitisha sana😢

  • @antoniakazungu3258
    @antoniakazungu3258 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Unaondoka saa9 usiku unarudi saa1 asubuhi?? Kabisaa na unaacha mtoto kwa mtu baki si ndugu yako wala nini😢😢 Mungu amrehemu huyu mtoto

  • @jimlinekimani2326
    @jimlinekimani2326 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Ushirikina huu sasa... wengine wanakauka nyuma na kupakwa futa ili itereze ndani ..simba kaliwa mkunduthe na p Diddy ndio awe tajiri number one kwote duniani 😭 ukatili wa futa huu sasa

  • @MerymaimboMery
    @MerymaimboMery 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Jaman uyo mama uyo jaman ebu aseme vizur😢

  • @binthamoudshariff5492
    @binthamoudshariff5492 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Allah atuhifadhie watoto wote yaarab

  • @AminiMsellem-gk3yy
    @AminiMsellem-gk3yy 21 นาทีที่ผ่านมา

    Sasa wasibgempa sumu kuliko kumpiga na kumpa maumivu.
    Ila GODLOVE alisema ukitaka kua Tajiri mbingu hutoiona Habari ndo iyo

  • @shakilaAqram
    @shakilaAqram 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา +6

    Mimi ningekamata mama kwanza hii dunia tunaambiwa kila siku tunajifunza kua kwa suala la mwanao hutakiwi kumuamini yeyote ww unamuachia boda😭😭😭😭

    • @faridakidoti6734
      @faridakidoti6734 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Yan ndio wanasema mama anaumia cjue yupo kweny hali gani ila kwenye hili me nipate tu dhambi nionekane katili ila kuna ka mchezo kati ya mama na chief sasa tujipe mda tuangalie maisha ya hawa watu huyo boda kasukumiwa tu kama ya lulu na kanumba

  • @AnthonyKomba-o5f
    @AnthonyKomba-o5f 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Sasa unamuua mtoto kama huyo jamani! Dah!! Siyo sawa kabisa yaani

  • @nsiamasawe4578
    @nsiamasawe4578 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Mama wa mtoto ni muhusika namba moja. Kipi hicho alichokiona chenye thamani kuliko mtoto wake!

  • @kibibimanka4617
    @kibibimanka4617 18 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Jaman ivi huyo mama aliwezaje kumwamini bodaboda na kumwachia mtoto?? Sibora angempeleka hata kwa jirani mwenye watoto. Tatizo aliweka starehe mbele, akanisahau kua yeye ni mama na anapaswa kumlinda na kumlea mwanae vizur! Sasa mtoto kaondoka kakuachia uhuru na mabwana zako. Hata ukiamua kuhamia club kabisa nisawa tu. NIMEUMIA SANA😭😭😭

    • @hezronielisha9795
      @hezronielisha9795 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Inauma kweliii,,bora ata ingekua ugojwa lkn kuuawa kizembe,, mbaya saana,kwa nini huyo Zainab asingeishi na ndugu yake au bake 3.

  • @rukaya-jg7hj
    @rukaya-jg7hj 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mchunguzen chief godliver

  • @stevenmichael9264
    @stevenmichael9264 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Huyo mama wa mtoto nae umalaya tu ,na malipo hayooo

  • @florahlaanyuni8553
    @florahlaanyuni8553 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kumuacha mtoto usiku huo siyo salama, wanawake tujitafakari sana

  • @MariaMwambipile
    @MariaMwambipile 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Pumzika kwa Aman MALAIKA wa Mungu!
    Walaaniwe waliofanya tukio hili la Ukatili Lakini MUNGU YUPO WATAPATIKANA

  • @jrnyambo5342
    @jrnyambo5342 21 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    🙏🙏🙏🙏

  • @faridakidoti6734
    @faridakidoti6734 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Me bhana nipate tu dhambi ila nina watu ninamadhaka kabisa na chief mmmmmh

  • @ilynpayne7491
    @ilynpayne7491 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Dodoma kuna mauaji skuizi kuliko Musoma/Mara😊😢😢

  • @FestoMadumba
    @FestoMadumba 22 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Wanalud nyumban wanamkuta mtoto nae kalala jumla

  • @faridakidoti6734
    @faridakidoti6734 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Yan naona huo mpango ni wa mama pamoja na chief yan nipate tu dhambi

  • @jossporahmsw8420
    @jossporahmsw8420 19 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Duuu! Dunia inamengi xnaa,,

  • @abdullahwaziri5499
    @abdullahwaziri5499 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Nashangaa sana unamuacha mtoto na stranger kwa nini usimuache hata kwa ndugu daah innalillah wainaillah rajiuun
    Yani Bi zeinab unaenda kuruka majoka huku mtoto wanamtoa roho huwezi kusahau maisha yako yote....Mama wa aina gani eti nimemuacha mtoto na mwendesha bodaboda

    • @Mohamedi.12
      @Mohamedi.12 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Litamwathiri kisaikolojia

    • @SesiliaNjala
      @SesiliaNjala 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Jamani tucoment yote, tusisahau huu mwezi wa kafara. Tuweni makini tuwe karibu sana na MUNGU. Dunia imekengeuka, watu wamekosa hofu ya MUNGU.😢😢hili tukio limeniuma nikiwa km mzazi, wamedhurumu nafsi isiyokuwa na hatia malaika wa MUNGU. Kisasi ni cha BWANA waliofanya unyama huu. MUNGU wambinguni anawaona 😢

  • @ROZITHOMAS-y4q
    @ROZITHOMAS-y4q 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kisasi hicho. Miaka inavyozidi kwenda dunia inazidi kutisha.

  • @DaheerK
    @DaheerK 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Makubwa hayà sasa kumpiga huyo mtoto amekosa nn nahii yote husuda wa watu baadhi yao

  • @BardenBensonMwamfupe-dk3yg
    @BardenBensonMwamfupe-dk3yg 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mungu wangu

  • @MariaMwambipile
    @MariaMwambipile 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kaburi lako ni kaburi la mtu asiye na Hatia. Mungu akupe pumziko la Aman huko uliko
    Walaaniwe waliofanya Ukatili huu Mungu awalaani

  • @RichardMluma-oe2vs
    @RichardMluma-oe2vs 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Huyo dada anatakiwa ashitakuwe

  • @gharibrajab5570
    @gharibrajab5570 22 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    mama kaondoka saa sita usiku kamuachia bodaboda mtoto karudi SAA moja asbh kwa wakti huu tulionao sasa inafikirixha rest in peace mdogo wetu

  • @EsterM-g7o
    @EsterM-g7o 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Sasa mtoto amekos😭😭😭ea nini jamani

  • @RajabuAbdi-rs7sp
    @RajabuAbdi-rs7sp 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Innalillah wainaillah rajuun

  • @alhajimohamed1909
    @alhajimohamed1909 22 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Tanzania amani akuna sasaivi irikuwa inashika number moja kwa aman dunian sasaivi niyatatu kutoka mwisho😢😢😢

    • @rumdeesonsoa1811
      @rumdeesonsoa1811 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Tanzania haijawahi kushika namba moja kwa amani duniani

  • @JumaJuma-i2g
    @JumaJuma-i2g 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Huenda hata hakuhusika jamaa dereva bodaboda huenda aliondoka na abiria

  • @mwendemwende5789
    @mwendemwende5789 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Babake mwenye hela nyingi kamtoa kafara

  • @saimarmuhsin9578
    @saimarmuhsin9578 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hivi kweli lakini inaingia akilini umuache mwanao na boda wewe uende kwenye starehe na dunia yetu ya sasa kweli jamani wanakawake kisha mnatangaza mnaweza kuweza kupi labda aisee

  • @AngelaNikson
    @AngelaNikson 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mhiiii saa 1 asubuhi mhiiii

  • @firdausqutty2067
    @firdausqutty2067 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Yaani hapa mi naona kabisa huu nimchezo umechezwa na baba wakambo, wala si mama wala boda. Cz hadi mama amuache mtoto alikua na imani nahuyu kaka na atakua ni mtu wake wakaribu sanaaa. Kuna namna hapa huyo mtuhumiwa wapili atajibu vizuri.

  • @vibetz9991
    @vibetz9991 21 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Kafara kafara kafara

  • @RichardMluma-oe2vs
    @RichardMluma-oe2vs 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Huyo dada kamtoa kafara mwenyewe

  • @LemaliMeyasi-r4c
    @LemaliMeyasi-r4c 21 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Jamani mtoto kakozea nn tena wacheni watoto walaaniwe waliyomuuwa

  • @zainabsabas1807
    @zainabsabas1807 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Yani mtoto alilalapekeake ndani nyie wanawake wengine

  • @ZulekhaBaksh-ii4fk
    @ZulekhaBaksh-ii4fk 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Jamani dunia hii mbona hivyo mtoto mdogo hana kosa

  • @FestoGufa-jy3wc
    @FestoGufa-jy3wc 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Jaman!! mtoto alivyo mzur, pumzika kwa aman dogo

  • @abbyjma7355
    @abbyjma7355 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Umuhimu wa cctv nyumban

  • @Salimramsey-x8u
    @Salimramsey-x8u 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Sasa kwanini mtoto wamwache na boda boda

  • @martinemayunga2357
    @martinemayunga2357 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Aise hii dunia sijui inaenda wap

  • @LameckMalo
    @LameckMalo 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    haiingii akilini

  • @hassanabdala7383
    @hassanabdala7383 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Watu mbona wamekuwa makstoli hawana huruma

  • @sophiakimaro5174
    @sophiakimaro5174 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Wazazi wa sasa ni kama wanapata watoto wakiwa hawapo tayari kulea.ni bora ule starehe mpaka pale utakapoona upo tayari kulea uzae hata kama ni miaka 40.nimejiuliza maswali mengi saana.ivi inawezekana matembezi ya usiku yakawa na umuhimu kuliko mtoto?au mlienda kwenye ibada zenu za usiku wa manane?

  • @michaelkagali2652
    @michaelkagali2652 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Je kuna uwezekano mtoto ni mtu wa hasira.....hilo ni swali kubwa pia je huyo mtoto wakat wazaz wanamuacha alilizia na kukubali hilo pia ni swali je inawezekanaje muuwaji kurud baada ya tukio na hali ya nyumba ilikuwaje je kuna upotevu wowote wa mali za nyumba kutokana na tukio...je mtoto hajaingiliwa kimwili ilo?.... hayo maswali yanapaswa kufanyiwa kaz..... roho ya marehemu ilale mahali pema peponi

  • @benjo_brighter
    @benjo_brighter 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Rest In Paradise

  • @nth3512
    @nth3512 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Huenda na uyo boda alienda matembezi, watu wenye bifu na uyo dada wakapata chans. Duh. ALLAH ndo anajua

    • @Happy-ef9kf
      @Happy-ef9kf 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Alafu nikama maneno yako yanaukweli

  • @AsiaAa-w5m
    @AsiaAa-w5m 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hamna kesai hapo

    • @mnisi3694
      @mnisi3694 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Tukusaidieje