Wasichana wengi sana Wazazi wamewatumbikiza kwenye mashimo marefu jamani sababu ya tamaa zao. huyu binti anapitia yote haya sababu ya Baba mwenye kichwa cha perege shida sana.
Kiukweli kuna Hawa watunzi wadada huwa wananikosha sana, Lissa Mwalla, Brianna, Salma Ramadan, Shufaa Ommy....an simuliz zao nyng n za love story....alafu zinachekesha sana.... Hongera zenu🥰
Asnte saana lucas n smix at large Kwa simulizi hii tamu ya nana, nawatakia wanawake woote mashabiki wa smix International women's Day 😍nawapenda nyoote kwa ajili ya Allah.from🇰🇪
Hii stori iko poa ukweli usemwe unatamani isimalize hongera kwako Brianna eti wadau mnasemaje tafteni watunzi Kama Hawa sio yule alotunga mitego jeshini stori gani ile mbaya saaaanna hatumtaki Tena mtunzi yule
Waaah kiukweli hakuna jambo hutedeka bila ya makusudi ya MUNGU na kwa makusudi yake mipango alio ipanga lazima itimie kama alivyo yakusudiwa bila vizieizi vyo vyote
Safi sana smix kwa kaz nzur ila huyu nanah ananchanganya mm ety amekaa wiki tatu kwa kina jamal alfu anaambiwa mimba n y wiki 2 anadai n y brayan aaah uyu anaharib simulz
Kuna mahal sijaelewa Kwan wakat nanah anapigwa na babaake si kikasaras Cha no kilidindoka na baba ake akachukua sa mbona tena nana alikuwa nacho kwenye maziwa
Umbea sio mzuri bangi sio chai eti
Wasichana wengi sana Wazazi wamewatumbikiza kwenye mashimo marefu jamani sababu ya tamaa zao. huyu binti anapitia yote haya sababu ya Baba mwenye kichwa cha perege shida sana.
Kwel
Aki nimecheka jamani eti umepigwa na shoka au 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
😂😂😂
Kiukweli kuna Hawa watunzi wadada huwa wananikosha sana, Lissa Mwalla, Brianna, Salma Ramadan, Shufaa Ommy....an simuliz zao nyng n za love story....alafu zinachekesha sana.... Hongera zenu🥰
Umeonaeeeeee
Ndio
Jamani nyie simulizi tamu sana.... nilipanga kulala mchana leo but kwahii story sina mpango wa kulala
Umetudanganya mwanzo ili anguka baba yako aka mpigiya Brian Alafu tena eti hayi ku anguka😂😂😂 Hum hum... BTW story nzuri inachekesha...
Kitu pambee ❤ lucas kazi nzuri kila kukicha unazidi kuimprove MashaAllah Mungu akuzidishe uzidii kutupa kitu moyo inapenda😂
Jaman mbon Me Na.Enjoy hivi kama ndo me Nanah 🥰🥰🥰🥰 mwili unaisha nguvu na kurud jaman nisije vamia mtoto wa mtu
Asante kwa simulizi nzuri LUCAS...ila nimecheka utafikiri na mie namjua huyo kashushu jina lake tu kwanza tishio 😂😂😂😂
Happy women's day 🎊🎉 wapendwa
Yani najiona kucheka tuu tangu mwanzo wa story🤣🤣🤣mtunzi na the narrator asanteni
Mie hoiii eety jamali ni li zuri li black beuty 😂😂😂😂😂
@@anethnyudula2413 yani nikucheka mwanzo mwisho 🤣🤣
Lukas lumbasi mpezi wangu ❤❤❤ mcheshi anaposimulia hongera ndugu twakupenda sana wewe na anko j mko top
😂😂😂jaman leo nimecheka sana hii simulizi imenifurahisha nilikua nina stress ila nime enjoy
Sanaaaa
🤣🤣🤣🤣aisee nana umenichekesha sana chupi la mfuko wa Rambo 🤣🤣
Asnte saana lucas n smix at large Kwa simulizi hii tamu ya nana, nawatakia wanawake woote mashabiki wa smix International women's Day 😍nawapenda nyoote kwa ajili ya Allah.from🇰🇪
Thx
Thanks again
12❤❤❤ no no no@@nizidiyimanajanvierearc2097
Happy women💝💝 day my moms
I really enjoyed the story ❤❤❤❤❤❤
Thanks Mr Lucas Lumbasi. Kama kawaida simulizi ni nzuri sana na nimejifunza mengi sanaaaaaaa
Simuliz ni nzuri sana kiukweli ukisiliza hutaki imaliza kweli jman
Yeeesu eti ananuka harufu ya mbuzi 🤣🤣🤣🤣huyo ndiye kashushu na Nanah yeeuuuuwiii
Jamani simriz mwisho hinaumiza hila Mungu na nakusudi yake hongera sana nanah kwa upendo wako kwa jamali
Tunainjoi na simulizi tamuu jamani waraabu akizingua ingia simulizi mix tuu😂😂🥰🥰🥰🥰
🤣🤣🤣🤣🤣✌✌🇴🇲🇴🇲🇹🇿🇹🇿kweli kabisa umejuwaje
😂😂😂
Umeona eeh
Happy international women's day drln
Kabisaa kipenzi❤
Asante sana kwa simulizi safi lumbasi🇰🇪👍
Ndo naingia mjengoni❤❤❤❤❤
Love this story…..aisee one of my fav
Briana tuli kumiss xan thanks kwa simuliz tamuuuuu
Hi Lucas? asante kwakweli simulizi hii ni 🔥🤭
Lucas pia wewe kwa kwa simulizi zako ziko poa sanaaaaa❤❤❤❤❤🙏🇰🇪
Yani nyinyi munanifurahisha sana kwa storry zenu mimi natokeya buja Burundi na ninawapenda sana
Aaaahahah umejua kutuchekexh nanah
Lucas Lucas hhhhhhhhhhhhh kigambon wanaishi kinani unataka kupigwa ww
Hii stori iko poa ukweli usemwe unatamani isimalize hongera kwako Brianna eti wadau mnasemaje tafteni watunzi Kama Hawa sio yule alotunga mitego jeshini stori gani ile mbaya saaaanna hatumtaki Tena mtunzi yule
😀😀😀 mumewako yuwa nuka mbuzi 😀😀😀
Waaah kiukweli hakuna jambo hutedeka bila ya makusudi ya MUNGU na kwa makusudi yake mipango alio ipanga lazima itimie kama alivyo yakusudiwa bila vizieizi vyo vyote
Mbavuzangu jamani , asante sana kwa simulizi
Kwel bhang 🎉 si chai wenzangu n tumbwili 2
Mara aseme altolewa bikra n kina ayub mara bikra ije itolewe n brayan tena aaah mpk inaniboa mm hii simulz
Lucas bhn wanipa Raha wajameniiii
Yani nanah pole na uliyopitia kisa wazazi wetu asate sana simlizi fupi
❤ upendo wakweli haufi
Kale kajoto kamdomo nimecheka yan🤣🤣
Duh honger nana😊
Nice story ila inaumiza mwishoni 😭
Anachelewa kanisani 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Uko unakosea sana kumtafuta B wako umeniuzi Nanah
Ok kaka Lumbasi hizo simulizi nitam sana naenjoy je smlz ya Aunt Zena prt 4 nimeingoja sana plz
Nimepiga kelele Kama chizi vile😁kusikia mimba ni ya Bryan
Raha sana ngoja nisikilize mpaka mwisho
Nimeipenda Sana,big up🙏
Wewe msichana mpumbambavu sana nawachukia watu kama wewe mnafiki
Simulizi tamu Sana asende Sana kaka Lucas
Wow nice stor l like lt
Yan hii simulizi nimecheka mpaka B's tu😂😂😂😂😂😂
Acha nicheke tu maana😄😄😄😄
Hapo kwanz nchekeeeee k tano na ya Nana ya sita na nyingne imeend kuchukuliwa kasulu
Safi sana smix kwa kaz nzur ila huyu nanah ananchanganya mm ety amekaa wiki tatu kwa kina jamal alfu anaambiwa mimba n y wiki 2 anadai n y brayan aaah uyu anaharib simulz
Napenda story za Brianna
Mbavu zangu miye
Simulizi nzuri mpaka nafarijika
Wow 😲 jmn garden love uuuuiii
Iko powa sana nana🙏🙏🙏
Mm nimefrai kusikia mimba Niya brayn
Kuna mahal sijaelewa Kwan wakat nanah anapigwa na babaake si kikasaras Cha no kilidindoka na baba ake akachukua sa mbona tena nana alikuwa nacho kwenye maziwa
Amejichanganya apo...
Niko jonjo mmm
Mmm atakam umbea sun we urizidisha
Jmn nanah 😂😂
Love story nimependa
Nice
Brianna stories Asante sana Kwa story tamu hongera sana 🎉🎉🎉
Nana ushaaaza kaumalaya hakooo ushaaaza kunikelaa sasa
Moto always on top
Jaman nmecheka jimi upo sawa mbavu zangu n Lucasi napenda sauti yako maua kwa jimi Lumbasi
❤️❤️🔥
Kaumalaya akoo kamesha aza sasa www
Great
Nimecheka mm
Sijui nacheka nn😂😂😂
😂😂
Blessings
Tuna.injoi.saana.tuu😂😂❤❤
Nimeenjoy sana sana
😂😂😂😂😂apo kwenye vpele😂😂😂
Mbwa nanah😂😂😂😂
Safi sana
Asante sana kwasimliz yako
True love never die
Hello
Nice story
Je t-shrt n how much mim n mshabik nai dai sana
Nana mjinga
😂😂😂😂
😂😂😂😂😂mbavu zangu jamanii😂😂
Nzuli sana adilahaaaaa
Nzuri 🤗♥️♥️
Tupo 👍👍
asante ninzur ❤❤❤ sana
Nzuri mashallwah
Yaani bando hazikai
Nice 👍
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 nimecheka jamn
😍😍😍
Uyu lucas sahv naanz kupend smlz zake maan mm ili nisikilize simuliz ni mpk saut ya anko j au felix mwenda😂😂
Hujawai skiliza za lumbas,hutawataman hao
🎉🎉🎉🎉🎉
Hadi raha jamani aiiii
❤❤❤❤❤
Sina mbavu jamani yaani nimecheka hadi mbavu zinauma
Nice