@hnaf6279 sisi siyo waswahili bali tu kuna bazi ya wilaya wanaongea kiswahili kama vile nangadi mwenda makumia palma mocimbua na ukija penye hapa penyewe mkoani pemba kuna wa bongo kbao na ukienda jiji la Nampula wabongo kama upo dar salam vile
Yaani kiduchu sana huyu kama anawafunza watoto wanaoanza kusoma a e u, kuliko wakina dada wanaolazimisha kusimulia jamani ni kero zaidi ya kero, hawana vipaji wala sauti ya kusimulia hamna,wanaharibu simulizi kabisaaaaa nikifungua simulizi tu na kusikia sauti zao tu hakika hamu ya kusikiliza inaisha,hivi nashangaa wadada wanaolazimisha kusimulia wanaharibu jamani, hivi hawa waandishi hajitambui kwanini kuwapa hao wasimulie wakati mwamba wa sauti Felix Mwenda mwenye kipaji kikubwa sana cha kusimulia cha kipekee yupo, acha waendelee kujitoa ufahamu kuwapa wadada waharibifu wa simulizi kusimulia, watakosa kabisa wasikilizaji shauri yao, kuanzia leo ni marufuku wamama wale kujipendekeza kusimulia
❤❤Asante san, No1nimewah smix ❤❤🔥🔥💯 kitu kpyaaa 🔥 njoon wadau🙏
Heee we T jamn ivi uwaunalala Kweli maana Ata simulizi ikitoka saa 9 usiku unakomenti mda uwo uwo😂😂😂
@AnnaKayumba mtanaikuta mbona😃😃
😂😂😂huyo mwanachama kindaki ndaki@@AnnaKayumba
❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤
@Felix Mwenda 🗣🗣🗣🗣🗣🗣where are you ? Pongezi kwa musimuliaji though i don't know his names😂❤
❤❤❤❤❤❤🎉
❤❤❤
Asante
Wa9 leo❤❤❤
Team gulf mpo
Wakwanza kutoka Msumbiji pemba 🇲🇿🇲🇿 nipeni lakini zangu jamani
Msumbiji ndio wapi? Mozambique? Kumbe nyinyi waswahili?
@hnaf6279 sisi siyo waswahili bali tu kuna bazi ya wilaya wanaongea kiswahili kama vile nangadi mwenda makumia palma mocimbua na ukija penye hapa penyewe mkoani pemba kuna wa bongo kbao na ukienda jiji la Nampula wabongo kama upo dar salam vile
Aaaaaa kwan Felix na o ene wakowap jamani munatualibiya