Kwa ushauri kwake kingwendu kama anakubalika na wanafunzi kwanini asianzishe kutembelea mashule kufanya uchekeshaji na wanafunz wachangie atapata mafanikio
ok...i don't think i can interview Kingwendu for half an hour n pull through! his facial expressions would have me rolling of the floor laughing maself silly!!
kingwendu umejikanyaga sana kwenye maelezo yako lakini nilichopennda kikwamba haujatunyima raha za dunia. Full kucheka. Ivi angepata kazi EATV angeweza kufanya show alizofanya huko msumbiji, kenya na congo? Ama kweli mungu amtupi mja wake. Kingwendu ni noma na lazima mtu uchenji freestyles zako LOL
Much love from Congo/DRC
nakumbuka kipindi icho... wewe mkali mwana
kumbe kikwendu we waongea kiswahili poa ivo
big up kikweshi
kingwendu noma mkasi mnanipa raha sana
Ha ha ha safi sana ''sambusa'' love it!
we unasema arusha tumeona makambako unahamka asubuhi unabandua barafu bwana.....
Jumatatu ijayo tanesco wamealikwa mkasini
Ni Noma sana
Hahahahh..we mwisho mzee,hawakupati leo!
IME2lia kweli. Hongera Ngwendulile and Salama is de best. Thumb up from New York, New York
.magufuli
kitu cha arusha!ss ingelikua mamtoni si ungekua balaa mzee weye!duh
Ha ha haaaaaaa!hii ni show ya kuchekesha zaiidi ya show zote za mkasi~
Salaam hao wenzako hawajui kuuliza maswali waende shule
asubuhi unabandua barafu... umenichekasha kingwendu
umetisha mkubwa
Wewe salama muache msanii amalize ulichomuuliza.
Anacheki 2019 gonga like
Kwa ushauri kwake kingwendu kama anakubalika na wanafunzi kwanini asianzishe kutembelea mashule kufanya uchekeshaji na wanafunz wachangie atapata mafanikio
Hahaha hapo kwenye barafu hapo
jamaa anajua sanaa big up
Atar Sana kingwendu
hahaaaaaaa,,kingwedu weee,,wanivunja bavu.....
Hiki kipindi vipi skuizi salama
wambie watulie
Safi Sana
Yap bigup sana salama
nawakubali sana wasanii wa kibongo Salome ukojuu sana
haaaaa nice
Ati ukienda chooni unasimangwa I say..hadi kifo. Kingwendu I say.
ok...i don't think i can interview Kingwendu for half an hour n pull through! his facial expressions would have me rolling of the floor laughing maself silly!!
teh teh teh tunakupenda kingwendu weee
Ni nayo kwani Nina promise hehehe
mabro k nakuaminia na nakukubali kinya
Kingwendu huni jengea siku da!a
Huyu mtu uyu na kubali sana, Kingwendu mutu yangu!....
ASANTE SANA SQUASH BANANA, MEBE NUGU MIMI APANA!!
Mapepe n kitambo kabixa
Mzee mbona ile kingwendu move, ya lopasi sipati kwenye TH-cam?
2lieni wazee
show iko biyeeeeeeeeeeeeee.......
"we mapepe" lol kingwendu
Imetulia..
Kujitangaza ni moja YA BIASHARA muhimu
Mjasiri anayejiamini kwa mambo YA .....
kingwendu umejikanyaga sana kwenye maelezo yako lakini nilichopennda kikwamba haujatunyima raha za dunia. Full kucheka. Ivi angepata kazi EATV angeweza kufanya show alizofanya huko msumbiji, kenya na congo? Ama kweli mungu amtupi mja wake.
Kingwendu ni noma na lazima mtu uchenji freestyles zako LOL
bwana kingwendu nakukubali ajisikii kama wasanii wengine
Salum Othman xxxxxxx
Mzaramo unatishaaaaaa
Mbavu zangu miee.....hoii
jahazi
acha zako wewe
Mzee anaongea French smart
Wanafunzi wafumaniwa wakifanya mapenzi
Hahahahah watanisimanga hadi nife hehehe
asanteni mkasi
Mkiwaita Tanesco, kipindi kitarushwa kweli, au mtatumia generator!?
IKO NJEMA XANA
😂😂😂😂😂nikimuonaga kingwendu naanza kucheka tu😂😂😂
"Maharage mama mboga matunda,nikikumbuka ukimwi roho inadunda"
😂😂😂 kitambo sana
2005 mapepe🔥🔥🔥
Funny
Nomaaaaaaa
mzaramo halisi
Kingwendulile😂
Itc funny
kingwendu na penda hio tamba yako tu mshkaji
Mbunge lagu
KINGWE KINGWE KINGWENDULILE
fanuel mulumba m
ni daudi kutoka Arusha Tanzania namkubali sana kengwendu
Salama Umeolewa
nice
nic
Kingwendu
😂❤😂😂😂😂😂❤❤❤
Jamera
hahahaha
wow
Mambo
Salary natamba
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
GOKU MOWE
hahahahahaa
Kujitangaza ni moja YA BIASHARA muhimu
Itc funny