ขนาดวิดีโอ: 1280 X 720853 X 480640 X 360
แสดงแผงควบคุมโปรแกรมเล่น
เล่นอัตโนมัติ
เล่นใหม่
bonge la interview....jamaa yuko muwazi n so humble. hana haibu na maisha yake na ndio maana maisha anayoishi kwake yanamfurahisha. sio lazima uwe na pesa nyingi ili ufurahie maisha yako
Like father like son,kama baba kama mtoto . Nna mtoto mmoja anaitwa Hajji leo hii ndio Hanstone.
Siye
next week uaja kkkkkkkkkkk hahahahaha kikikikikikikiki hahahahaha sawa i can't wait to see her or him very funny you all mwavuta bob marley ryt
Rip banza mwalimu wa walimu Mungu akupunguzie adhabu ya kabri ardhi inameza jamaniii
pumzika kaka mbele yako nyuma yetu r.i.p banza stone
nilikua namuitaga mwalimu wamuziki daah pumzika kwaamani Broo
Continue to rest in peace Banza stone.....
hhahaa eti waliniua nikaishia hapo hapo..hahah aaa Banza bana
Mwana Masanja Ulikuwa huna Mpinzani Nakukumbuka Sanaa
Mashallah Allah akuweke mahali pema peponi
Kumekucha ndiyo bora ya banza.........naipenda sana
.Dah banza stone mshkaj wang nakutakia a man huko ulipo !
inaumiza sana
Banza mkali wa kuimba anajuwa kurap kuimba mnanda mduara jamaa yupo full packej Rip teacher wa ma teacher
Huyo alikuwa mkongomani,Banza ni jina la kikongo, mtu mkasahi mtu wa kasahi mbuji mayi.
Haina maana kuyawongeya sisi wote wamojatu nikumuwombeya duwa tu apmzike kwa amani
weee acha uongo sisi ni wasukuma tena wa shinyanga hata jina huoni,hatujawahi kuwa wakongo sisi
Mpaka Leo bado huwa nakusikiliza KUMEKUCHA. BONGE LA SONG
R.I.P Banza
mzee wa euro endelea kupumzka bro
Banza R.I.P BRO. Ulikuwa WA kipekee.😔😔😔🙏🙏
R.I.P legend
mungu airadhe roho yake maari pema peponi
hanstone bab ako alishakupa baraka zoooooote
Si mbaya, ila nahisi ikiwezekana waombe more air time ili kupatikane muda mzuri wa mahojiano.
R.i.p BANZASTON
Nakkbali sana
😢😢 daaaaa jamani
R.i.p banza
kisa cha mpemba