Inasikitisha sana. Kazi ni ibada kubwa. Mkabidhini Mmungu mashtaka haya. Awakinge na kila fitna na hasada. Kujituma na kufanya kazi kutafuta rizki za halali kunaepusha na maasi. Tukubali kushare rizki na wenzetu. Hasbunallah wa Niima L wakiil
Yaan huwa naumia sana nikiona watu wananyanyasika wakiwa kwenye nchi yao yaa rabby inanuuma sana ee mola sku moja lete muujiza sku moja iwe fundisho,kwa wanaowanea wanyonge mimi inaniuma sana choko choko hizi
KWA KWELI HILI SUALA LA UHOLELA HALIFAI KTK BIASHARA HALIFAI KABISA,UNAWEZAJE KUFANYA BIASHARA HOVYO HOVYO?TAFUTENI MAENEO RASMI MLIPE KODI MUACHE JANJA JANJA
ALLAH anawadhihirishia unafiki na nidhamu ya uchawa mlio jiwekea akikumbukwa pombe magufuri kwa mazuri yake na akikosolewa mama kwa udhaifu wake mnakuja juu na kuleta ubaguzi wa udini sasa Allah anawaonyesha
Ntie kika siku mnalalamika hamna dogo kwani hapo ni barabara au uwanja wa biashara nendrni machinga complesi atanunua vipi wacheni unafiki wenh fitna zenu mlifunga barabara mijazana saba mpakz kusali pia ilikuwa ngumi
Nyumba ya ibada hairuhusiwi biashara yesu alimwaga maandazi kwenye sinagogi sasa sasa hivi mnauza mpaka mundende vumbibla kongo ipeni nyumba ya ibada nafasu bwana acheni hizoo
Sasa hamuoni kama hapo hiyo barabara mume izulumu nafsi yake yaani unaonekana mstari mweupe tuuuu kweli nnchi zetu maskini hata kwenye usalama wetu tunaona tunaonewa
Yupo mwenye efd hapo ?kariakoo yote ni kero hapapitiki,nendeni sehemu rasmi mnatoa meza zenu mpaka aje kiongozi watu wa kawaida je hawana haki? Tatizo serekali inawalea , kwanza wengi wenu hata nida hamna munaletana kutoka malawi zambia na congo munavaa kanzu kuwalaghai watu
Unapita kwenda wapi msikitini au?acha chuki zako una uhakika hawana nida he wee unayo kwahiyo unataka kusema ambaye Hana nida SI mtanzania au wanaovaa kanzu sio watanzania wahamiaji haramu Wana alama ya uisilamu au? Tumia akili sio lazima elimu udhaifu wa mtu hujulikana kwenye mazungumzo
Subhanallah uchafu anaetoa rizki ni M/Mungu huo uchafu utakuwa pesa na mwenye pesa ukaona uchafu tumuogope Mwenyezi Mungu
Yaani ningekuwa mimi hiki Kiswahili kingenishinda. Allah akusimamie, Shaykh wangu.
@@theteacherchance6750 ajabu mfadhili ndiyo anasemwa kufanya Fujo Bakharesa
Sheikh umejieleza kwa uwazi kabisa, sijui hii fitina imeanza vipi na nani yupo nyuma ya fitina hii, Allah atawasaidia
Inasikitisha sana. Kazi ni ibada kubwa. Mkabidhini Mmungu mashtaka haya. Awakinge na kila fitna na hasada. Kujituma na kufanya kazi kutafuta rizki za halali kunaepusha na maasi. Tukubali kushare rizki na wenzetu.
Hasbunallah wa Niima L wakiil
Bakharesa ni mtu anayechochea uhasi
Sasa Mungu ndo anapenda barabara zifungwe
Lenye mwanzo alikosi kuwa na mwisho.. mmeshajikusanya miaka mingi kodisheni fremu mlipe kodi TRA kwa maendeleo ya Taifa.. Kweli machinga toka 94.
Allaahu akbar, Laaa ilaaha illallaah, Laa hawla walaaquwwata illaabillaah
Yaan huwa naumia sana nikiona watu wananyanyasika wakiwa kwenye nchi yao yaa rabby inanuuma sana ee mola sku moja lete muujiza sku moja iwe fundisho,kwa wanaowanea wanyonge mimi inaniuma sana choko choko hizi
Nahisi wenye maduka na viongozi wa msikiti ndio wanatengeneza iyo picha..
Maendeleo yanapo tokea huwa hayawataki watu wenye mtaji mdogo.
Hiyo ni Barabara kuna mstali mweupe
Baresa mwenyewew hajui hata moja katika hayo mnahagaika tu mwenyewe hana hata habari
Huyo backeresa mtu mbaya rakini mungu apendi
muekemsimamo. mkali. wasiwachezee. akili.
Sio rasmi kwa BIASHARA.
Kumeaza Kuchangamka K/koo Mbembe J. 3
Barabara ni sehemu ya uma, wala Bakhresa awezi nunua barabara
Machawa Allah anawaona
shehe. msikubali. piya mupewe heshima. zenu. wasitokeye. na wajinga. kuna watu. wajnga. msimamo uwe mkali.
Jamani hivi ni shelia IPI inayoruhusu kufanya biashara balabalani?
Watanzania wengine wa ajabu sana. Watu wazima wanaziba barabara za umma huku wanadai ni haki yao. Bakhresa anunue vipi barabara yarabi?
Ondokeni hyo hesabu ya kusema mnawatto na mke syo kigezo,
Apo pigeni dua mgambo wafe kama mbuzi shekhe
Washikwe na uharisho washindwe kusimama kulinda😂😂
KWA KWELI HILI SUALA LA UHOLELA HALIFAI KTK BIASHARA HALIFAI KABISA,UNAWEZAJE KUFANYA BIASHARA HOVYO HOVYO?TAFUTENI MAENEO RASMI MLIPE KODI MUACHE JANJA JANJA
Huwezi kujuwa shida zetu kama wewe ni Tajiri.
Sasa nyinyi mnamtupia matusi baharesa tu, uyo Baharesa mwenyewe mmeshamsikia akiongea? Pengine atahabari hana,
Mitano Tena
Wee nawe barabara zinanunuliwa?
Huzuni
😅😅 hahaha hata mimi nimeshangaa huyu mzee mkorofi
ALLAH anawadhihirishia unafiki na nidhamu ya uchawa mlio jiwekea akikumbukwa pombe magufuri kwa mazuri yake na akikosolewa mama kwa udhaifu wake mnakuja juu na kuleta ubaguzi wa udini sasa Allah anawaonyesha
Acha upumbavu hilo la magufuli na mama linahusika vipi hapa?!
Ntie kika siku mnalalamika hamna dogo kwani hapo ni barabara au uwanja wa biashara nendrni machinga complesi atanunua vipi wacheni unafiki wenh fitna zenu mlifunga barabara mijazana saba mpakz kusali pia ilikuwa ngumi
Nyumba ya ibada hairuhusiwi biashara yesu alimwaga maandazi kwenye sinagogi sasa sasa hivi mnauza mpaka mundende vumbibla kongo ipeni nyumba ya ibada nafasu bwana acheni hizoo
Kwani wanauza ndani au nje?
Wewe unajielewa kwenu au unajua mtaa wa mtoro au unajiropokea tu..
Wahauzi ndani yamsikiti kama nyinyi mnavyofanyaga mnada ndani yakanisa nenda mtoro ukaone
Kwani wanafanyiya biashara kwenye mimbar?
Sasa hamuoni kama hapo hiyo barabara mume izulumu nafsi yake yaani unaonekana mstari mweupe tuuuu kweli nnchi zetu maskini hata kwenye usalama wetu tunaona tunaonewa
Sasa mupo toka 1994 hadi leyo2024 hiyo ni mika 30 bado tu munataka maeneo ya barabara hamjafikiriya kutafuta maeneo Rasmi ya biashara
Yupo mwenye efd hapo ?kariakoo yote ni kero hapapitiki,nendeni sehemu rasmi mnatoa meza zenu mpaka aje kiongozi watu wa kawaida je hawana haki? Tatizo serekali inawalea , kwanza wengi wenu hata nida hamna munaletana kutoka malawi zambia na congo munavaa kanzu kuwalaghai watu
Unapita kwenda wapi msikitini au?acha chuki zako una uhakika hawana nida he wee unayo kwahiyo unataka kusema ambaye Hana nida SI mtanzania au wanaovaa kanzu sio watanzania wahamiaji haramu Wana alama ya uisilamu au? Tumia akili sio lazima elimu udhaifu wa mtu hujulikana kwenye mazungumzo
ONDOKENI PUMBAVU SIO SEHEMU ŸA BÌASHARA
Halafu kanzu ya idd unaenda kununua hapo hapo!!
Tusije Tukasahau Waniaba Yao Pumbavu Mwenyewe.
Na piye serikali hairuhu biashara barabarani
Kodi munalipa wapi
Kuwa mstaarabu ndg yangu hao ni watu na heshima zao Kwa iyo neno "pumbavu" sio sahihi