PATANISHO : MBONA UNAJISKIA SAUSAGE HIVI JAMES
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 14 มิ.ย. 2022
- Radio Jambo Kenya | Ongea Usikike | Ni kituo nambari moja Kenya kwa matangazo ya kiswahili. Vipindi vyake vina jumuisha Spoti,Mijadala moto moto na muziki wa Kiafrika
#RadioJamboKenya #patanisho
Subscribe to RadioJambo TH-cam - bit.ly/39wwc6u
Mitandao ya Kijamii
Instagram - rb.gy/e154d1
Facebook - rb.gy/09d1b9
Twitter - rb.gy/e23220 - บันเทิง
Mbna unajisikia sausage hivo....Aki wewe Gidi
Anwei I love you 💞💞 guy's much.
I LOVE IT WHEN I GET A NOTIFICATION THAT SOMEONE LIKED YOUR, AND YOU HAVE A NEW SUBSCRIBER, INANIFANYANGA NAKUWA NA BIDII SANA
Live from Kampala love you guys Gid naa ghost
Hapo Kuna shida. The guy has a lot of pride.
Never beg for Love sister move ON
Patanishi tamuuu sana
That guy is not serious at all anafaa kujua they're not dating but married kwa hivyo hio ujinga ya kubehave kama kakijana ka shule aache..... Na pia huyu mschane achunge sana, loving tooo much pia is a poison.... Jibakishie kidogo at least.
the most biased comment I've seen since this series started
📌Sure hapo kwa loving too much ni real poison😭
Huyu dame hakuwa na credit but akapata fare
Bbbnnnnbnbnbñnbnbbnnñnbbbbbbnbnbnbnbbbnbnnbñbbbbbbnbnbnbbnnnbbbnbbnbńnnnbnbbbbbnbbbbbnbnbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbbvbbvbbbvçcvç
We gidi acha izo Bana peana watu time waongee ieleweke, sio kulazimisha watu waridhie wakati mtu bado ako na ya kuongea. Weka time nzuri ya hio kipindi ama utoe kabisa
Jambo redio naombeni namba zenu za mawasiliano tafadhali hasa ya whatsapp
Yani kijama hakiko romantic nikama anakamuliwa maneno
🤣🤣🤣
😂😂
😂😂😂
Huyu dem kuna venye anadanganya pesa ya gari ulikua nayo but 10 bob ya credo hukua nayo saitan
Mrembo ulitoa pesa Gari wapi kwanza. Pili si ungemwadikia please call 😂😂😂😂😂
Huyu alikua kupigwa tu kuni ghasia
Huyu mwanaume James Ana kashungwa huku nje kengine, ndio maana anamutafuta makosa bibi, anaitwa beb, na yeye ako tu ya yee ni kama kuku yenye inataka kutaga mayayi🙄🙄🙄🙄na tena sijui beb haikufika ama🙄🙄🙄.
Hello 👋🏻 I’m watching you from London please can help me to talk to this guy in Kenya
Am here inbox am in Kenya
Hello share your contact kindly
This guy he is cheting trying to look for faults
All the best guys
Mmmmm..... siku hizi wanadada wanahanya sana huwezi amini hiyo story
James grow up bn,
Such ladies nolonger exist don't cry when she is gone over your petty excuses/claims
Unajua mtu hawezi akaona umuhimu wa mtu au kitu mpaka kimwondokee🤔🤔But men you're jealous🤣🤣chats tu??? Na wanaume wengine wanacheat but wake wanavumilia tu...🙆♀️🙆♀️
Uwiiii kazi ipo
Ukipenda sanaaaaa there is a problem
Nkweli kabisa 😢😢
Haloo nimekusame basi 😁😁
Gidi Wewe pia unalazimisha watu kuridhika
uyo kijana ako na bahati wah! akipata a na gaidi kama mimi mwenye siezi mbembeleza mwanaume atajuta 😊
Yaani kila patinisho zinafuata za hii wiki Gidy ako na T-shirt 👕 moja😂😂😂
Hii ni marudio
@@hezekiahgekonde6034 sabuni imepanda 🧐🧐
😜😜😜wacha umbea wewe😁😁
Kama alifukuza bibi atuambie tumpatanishe
@@anastasiakioko6984 winthwaa wio bado
Anakosa credit but fare ako nayo aki nyinyi Wasichana watching from.saudi
Just imagine
Hii nayo ni kazi aki
Aki Ghost Na Hiyo Kicheko...
Amsilimia 90 wanawke wko ivo
Hadi nimejiuliza 😂😂
uko na fare ya kwenda imara but huna ya credit kumwambia umeenda Imara. Tena wakati ilifika hungempigia na phone ya your sister. kula ujeuri wako.
Cherio cherio beiby 😂😂😂🤣aki waluhya
Mwanaume akijua Unampenda inakuwa shida
Shida kubwa sana na huwa anakubeba ufala nisijipate
haha
Nijikute tena siku ingine kupenda mtu😂😂
Sure
This does not make sense , you don't have credit but you have money for transport,
🤣 yenyewe ako na maringo
Fare ya kwenda kwa sister hiko na credit hakuna .hata pls cal hiko na flashback
True
Huyu mwana dada ajipe shughuli. Watu wengine hawananga akili na utu
Wueeeeh haya ni gani 🤣🤣
Huyo jamaa ako mambo!
Ukiona mwanaume anakuchunga yeye ndo anacheat walai am talking out of experience, my guy was so controlling, narcist everytime ananishuku weeuh kumbe msee was cheating the whole time,sasa nikajua ooh kumbe mimi ndo fala, mimi nlifunguka revenge cheating am telling the guy alikonda ..sistee if they show u how to go low go lower,saa hizi tuliheshimiana
Tuned
Funny.watching from ukraine.vita huku ni tamu aky
🤣🤣🤣🤣🤣
Reverse call siku hizi iko
Ndoa ndoano
Yani kila mtu atakatia bibi yake ataanza kumshuku
Anajua alikuwa amekataa wa ngapi akimkubalu surely
Wewe utakosaje credit na ukuwe na fare ya gari 🙄🙄wacha zako mummy rekebisha kauli
Simple mistake but very costly..
eheee kumbe ulikua hukooo
Wanaume akijua unampenda maringo mingi inanza
Sana tena
Uongo huyu dem anadanganya niajy hakua na credo but ya kwenda imara alikua nayo
Hahahahahaha
Kwa hvyo alivyofika kwa ddke hageweza tumia simu ya ddke
unaota nini?
Ghost hyo kicheko htr
Hii nayo ni ndoano
Babe---Yes,, sweety--yes
Hata siungetumia simu ya dadako kumpigia bwanako simu
eeh hakuna kurandaranda bila kusema
Siwezi pitwa🤣
Hapo ni ukweli kabisa
Aje uko na fare na hauna credit ww wacha kudaganya
Lakini wanaume wacheni kuchunga watu kama ngombe
unaita mwanaume darling this is being desperate nonsense😊
gidi aachia ghost afanyishe interview unakaa roho juu sana na ego
Mwanaume akijua Unampenda inakuwa shida
Shida kubwa
Sana nijikute na huwa ana maringo sana
Yeye hakupigia bwanake,,,ata kama hakuna credit,,,kuna reverse call ama please call soo whats the excuse here?
Plus hiyo pesa ya kuenda kwa sistake na kurudisha kifunguo alitoa wap kama hakua na credit haha
No yule tu mwenye hana sense