Marekani na nchi za Ulaya target yao kubwa ni kuyumbisha Uchumi wa Russia wamejaribu kumuwekea vikwazo ila wameshindwa kwahiyo wanamuwezesha Ukraine silaha kumdhuru Russia na bado wanafail...
Kila jeshi Lina strength na weakness zake na hatujui analyst wetu wataenda to what extent hususani upande wa weakness kitu ambacho hakitakua kizuri kwa usalama wetu .. unless mazungumzo yafanywe kabla na wahusika chambuliwa ..
Vita ni makadirio, ukishakadiria unachambua faida na hasara, arafu unakuja kupungiza hasara, kwahiyi hakuna nchi yenye nguvu ndogo, ni mazingira ya security kulingana na threat iliyopo wakati huo, huwezi kupoteza mabilioni ya hela kununua kiti ambacho mpaka kinakufa ujatumia, think wise vita sio kama mnasimulia movie, kwenye reality vitu ni ngumu msiombe, nyie endeleeni kuwa mashabiki Tu utalaamu muwaachie wenyewe
Hizo ni siraha za kawaida sana kwa urusi. Ni wewe tu una shangaa. Urusi itakapo toa vitu vyake vya kivita, magharibi watapiga kelele zaidi kilio, subiri.
Dragon Drone au Killer drone's ni hatari saana maana wanateketeze raia pia wanatumia siraha ambazo kiufupi wanaendeleza ujeuri na kiburi japo Urusi akitumia siraha kali zaidi kelele zitakuwa dunia nzima
Uyu doga all anajua sana yani hanahongea ktuhambacho kipo hanafa kilaupand hanaga upendeleo hata kdogo nimtu wahaki sana nanimtu wamana sana uyo kijana kwanza hanaonekana hame lelewa kwenye ukweli
Mnadanganyana sn nyinyi mnajuwa marekani marafikizaje japani naujerumani ware watu wakorofi wazamani ndio marafiki zake Sasa kwer wasijui izo tekinorojia zamrusi zakitoto na natekinorojia zakitoto zairani nakorea Karmazin
Saaafi SNS NAWAPATA VYEMA KUTOKA ARUSHA😮 MAJENGO YA CHINI Mungu awabariki sana kwani tunahitaji KUFAHAM yaendekeayo na hatuna paku patia tofaut na kituon chetu kikuu yan SNS
Wampe na Russia ipingwe ndani kabisa..pia tutapata majibu kelele zisiwepo...majuzi Ukreni kapigika sana ndio maana NATO wameitana na kufanya vikao chapu chapu!!!!!
Uwezo wako wa kufikiri ndo umeishia hapo😂😂 Wazungu wanapigana kwa malengo maalumu usije fananisha na nchi zetu za afrika hata hvyo kipindi cha hii vita ndo urusi imekua sana kiuchumi kuliko kipindi chote
Mkuu Aliwaza hatima ya nchi yake kiusalama, kiufupi yule jamaa kwa nchi yake ni Mzalendo sana ila ni basi tu wenye power ya vyombo vya habari kubwa ni magharibi.
@@DodomaTanzania-r5z Kwa hivyo jamaa aliamua kuanza vita ndo uchumi wake usonge mbele...Yani uvamie nchi nyengine na uwaangamize watu kibao wasio na hatia kisa tu unataka kuimarisha uchumi wako...Huo si ushetani tu
Asanti sana bro tunafatiliya kutoka kampala 🇺🇬✌🏿
Hii channel itafika mbali sana mna vipindi vizuri sana hongera sana sky.
Mmarekani anamtumia ukraine kujaribu silaha zake zote.
Ally Masubi unajua sana kaka Leo dj sma umepoa skay hakupi nafasi🤝🤝🤝🤝
Leo hatutaki habari za upande 1, muache Ally Masubi aongee maana ni mchambuzi anayesimama katikati.
Dj sma nakukubali ila comment za wakatisha tamaà usigope
Ila hii GPS naikubali sana keep it up my brothers sma, masubi, na mwinuka
nawapata sana sns vizuri kwa update za uhakika💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💯💯💯💯💯💯💯💯👋
Masubi ktk eneo hili ww mkali sana kaka skay ucmpoteze huyo m2
Marekani na nchi za Ulaya target yao kubwa ni kuyumbisha Uchumi wa Russia wamejaribu kumuwekea vikwazo ila wameshindwa kwahiyo wanamuwezesha Ukraine silaha kumdhuru Russia na bado wanafail...
Hapana kuna msemaji wa jeshi atamaliza hilo usiwachomekee wana .. mwisho wasiku watafsiliwe tofauti unless jeshi lilizie vingine ni siri ..
Kila jeshi Lina strength na weakness zake na hatujui analyst wetu wataenda to what extent hususani upande wa weakness kitu ambacho hakitakua kizuri kwa usalama wetu .. unless mazungumzo yafanywe kabla na wahusika chambuliwa ..
Vita ni makadirio, ukishakadiria unachambua faida na hasara, arafu unakuja kupungiza hasara, kwahiyi hakuna nchi yenye nguvu ndogo, ni mazingira ya security kulingana na threat iliyopo wakati huo, huwezi kupoteza mabilioni ya hela kununua kiti ambacho mpaka kinakufa ujatumia, think wise vita sio kama mnasimulia movie, kwenye reality vitu ni ngumu msiombe, nyie endeleeni kuwa mashabiki Tu utalaamu muwaachie wenyewe
Makomboro toka kwa muajemi ynaklibia kwa kazi iyo marekani alala mika
Hizo ni siraha za kawaida sana kwa urusi. Ni wewe tu una shangaa.
Urusi itakapo toa vitu vyake vya kivita, magharibi watapiga kelele zaidi kilio, subiri.
Dj SMA komenti za wakatisha tamaa usiziogope fanyakazi kaka
Masubi anafaa Sana kuwa mwanajeshi mana amesoma mambo yasayansi
Unapatikana wap jamila
Xhukrn ma brother
My Brothers Russia kuna mtego anategwa na karibuni ataingia mdogomdogo na akiingia ameisha nato hii vita lazima atashinda tu
kwanini na mfano wake upi wa mtego
We unadhan mrusi yupo pekee
@@ramakeido3330washirika wa mrusi, wote hawana historia ya vita, china na korea,, nitajie vita 2 alizopigana mchina.
Atashinda njaa
@@hanspop6961 😂😂😂😂😂
Urusi atajuta kilichi mpeleka ukreni
Tujadiri yote lakini tudisahau aricho kisema baiden aripo Fanya ziara ya kushitukuza pare ukrein kwamba putini asidhani kuwa ataishinda hii vita
Jifariji nchi kibao zinashindana na moja na bado wanapelekewa mchaka2
Hizi tittle mngekua mnaziwekea TITLE na EPISODES ingekua rahisi kutafuta, mfano kama kwenye kipindi cha #ZOGOMCHONGO
Ahsante
Dragon Drone au Killer drone's ni hatari saana maana wanateketeze raia pia wanatumia siraha ambazo kiufupi wanaendeleza ujeuri na kiburi japo Urusi akitumia siraha kali zaidi kelele zitakuwa dunia nzima
Hii vita Sasa itakua wazi baina ya urusi na marekani tu hapo .hatimae kama itategemea na uchaguzi wa marekani
Inaonekana mrusi yupo mbali sana kwenye suala la technology ya silaha
Anasilaha nyingi sana umo namleya yukereni
Mpo sana upande wa urusi.USA ina silaha anazo ziweka azarani bahada ya miaka 20.
Watumie ila wao wakipeleka moto wasi lie lie
Hhhh kwel
Watalam nataka kujua, lipo kombora linaweza kutoka URUSI Hadi marecani
Lipo
Yatakuwepo ila tatizo anga zina mifumo mbalinbali ya ulinzi yanaweza kuzuiwa kufikia target
Aisee ni hatari.
Leo mmekuwa shallow kidogo
Chuo cha Mlimani City ndiyo kipi mkuu?
Uwe unagawa vipande vya dk 30 hv mana 57min dah ....
Marekani kapata kichaka Cha kufanyia majaribio siraha zake 😅😅
Conventional na tactical ndio nini, 😂😂😂
Ww hapo Ally mathubi ni timu Magharibi ilo liko wazi mnazi wa magharibi
Kabisa uyu jamaa minilimgundua kitambo wala sina mda wa kumsikiza
@@RamadhaniBendera-j1sSmaa nae ni Team Russian na Uarabuni wote hakuna Alie sahihi
Nani Yuko neutral kati ya smaah na masubi?
Uyu anatofauti na Jimmy chansa mpuuzi uyu
@@RamadhaniBendera-j1smnataka kila MTU aisifie Urussi mpoje nyie waarabu weusi
From🇹🇿
Pamoja na hayo. Warusi wako makini.. na kwamba wataripia gharama kubwa. Kiev
Naomba kuuliza Dron inaweza kubeba nyuklia..??🤔🤔
Uyu doga all anajua sana yani hanahongea ktuhambacho kipo hanafa kilaupand hanaga upendeleo hata kdogo nimtu wahaki sana nanimtu wamana sana uyo kijana kwanza hanaonekana hame lelewa kwenye ukweli
usituaminishe upumbavu wako kenge wewe. watu makini kama mm tunawakubali wote hapo ila DJ SMAH ni baba IQ saana.
@@PAULNYANDILE😂😂😂😂
Hivi ndo vitu tunavyo hitaji kulixha ubong kutok GPS
Smaa ni big brain
Wenzenu akilizao zipo kwenye kuiba hizo dron ni ndoto
Najua hiyo ni technologies ya america
Mnadanganyana sn nyinyi mnajuwa marekani marafikizaje japani naujerumani ware watu wakorofi wazamani ndio marafiki zake Sasa kwer wasijui izo tekinorojia zamrusi zakitoto na natekinorojia zakitoto zairani nakorea Karmazin
Watashinda au mbwembwe ukraine
Vita vya sasa ni uchumi zaidi
Tanzania labda kwenye maonyesho yetu tutaonyesha drone tunazo tumia kwenye ku shoot music videos na bongo movies!😮
Wamepeleka f 16 na zimeanguka sembuse ndege nyuki hizo master plan anawasoma
Nasikia wamesha nyanyua mikono juu
Nani hao walonyanyua mikono juu?
Sauti Leo inakorona sana
Wanaogopa kuchambua silaha zetu inaonekana nyingi ni old fashioned na ni kweli tuliziona.
Mnazungumzia marekani au mnazungumzia nini
Saaafi SNS NAWAPATA VYEMA KUTOKA ARUSHA😮 MAJENGO YA CHINI
Mungu awabariki sana kwani tunahitaji KUFAHAM yaendekeayo na hatuna paku patia tofaut na kituon chetu kikuu yan SNS
Ukisema Fredrick bundala malizia na sky walker 😂 ili nifurah kaka
uraaaaaaaaaaaaaaaa
rust ni iron (III) oxide, Fe2O3
Sahihi
watanzania hiyo nialimas inayoongey inabid mumtumie huyo kwaku imarish jesh namakombor ya kisas
Anasi laha akiitowa utaogopa ileukiyonatu
Reuters ni shirika la habari la nchi gani???
Wingereza
@@sylvestermhojaaron9659 ok
Tunapenda mchambue GPS inayo zungumzia mambo ya kimataifa sio story zabongo
Mhhhh
Mnadanganyana sn mpo kiplopaganda Asa wachambizi awa wanamirengo zmyakidini tu
Wamagharibi wapo tayari dunia iangamie ila hawaikubali aibu ya kushidwa .
Mrusi hajuwa kupigana. Tumemuelewa sasa.
❤❤❤❤❤❤
Gps tunahitaji inshu za urusi,so story
MFA maji haachi kutapatapa
Wampe na Russia ipingwe ndani kabisa..pia tutapata majibu kelele zisiwepo...majuzi Ukreni kapigika sana ndio maana NATO wameitana na kufanya vikao chapu chapu!!!!!
safi sanaaaa,RUSSIA/PUTIN
Sasa km izo droinz zitakosa soko. SS nchizetu hatuwezi kuzinunua,
Haya mambo ya wakubwa sie hatuwez jadili
Sasa usiende kuomba omba Kwa ao wakubwa
Putin hajaamuwa kuimazayukireni anaweza kuijoma
Bongo nyoso hata anaejua kutengeneza bunduki anakuwa adui wa Serikali na jela inamhusu 😂😂 jua Watawala akili hizo wanazo!
Nato ni magaidi rusia usiwaacheee
Vita ni hasara tupu...sijui Putin aliwaza nini kuivamia Ukraine..
Uwezo wako wa kufikiri ndo umeishia hapo😂😂
Wazungu wanapigana kwa malengo maalumu usije fananisha na nchi zetu za afrika hata hvyo kipindi cha hii vita ndo urusi imekua sana kiuchumi kuliko kipindi chote
@@DodomaTanzania-r5zacha uongo wewe. Dunia mzima imeyumba uchumi! Ye mrusi amekuzaje uchumi wake.
Mkuu Aliwaza hatima ya nchi yake kiusalama, kiufupi yule jamaa kwa nchi yake ni Mzalendo sana ila ni basi tu wenye power ya vyombo vya habari kubwa ni magharibi.
@@GeorgeAkasha-zx2rj kuwaza usalama wa nchi yako ndo ukavamie nchi nyengine...?
@@DodomaTanzania-r5z Kwa hivyo jamaa aliamua kuanza vita ndo uchumi wake usonge mbele...Yani uvamie nchi nyengine na uwaangamize watu kibao wasio na hatia kisa tu unataka kuimarisha uchumi wako...Huo si ushetani tu
land of bads movie pia
Ao nato waririya Vietnam
NATO hawajawahi pigana vita tangu kuanzishwa kwake
🇬🇧 Shule tosha sns
Ukraine ni hatari
Kivipi?
Uhatari wake uko wapi? Wakati anasaidiwa na mme wake marekani na NATO kwa ujumla?
Hatari wakati Maeneo ya na chukuliwa na Urusi. Muda tutaongea tu.
@@MichaelMathew-j3fachana nalo bro tumeshalishitukia ili linahitaji tuka view lichaneli lake ilo la kijinga kwanza linaitwa et hakisani tv😂😂😂😂
paka wewe jinga la mwisho tunajua haufamu lolote unahitaji watu wa view lichaneli lako la kipumbavu et hakisani tv😂😂😂
Pindi
Putin anawalea sana tatzo
Zelensky atolewe madarakani
Nani amtoe na raia NDIO waliomuweka?
Ukraine 🇺🇦 kumshinda urusi nisawa na swala kumteka simba mtakujaa kunambia hapa urusi amjui kasomeni history 😂😂
Inaonekana mrusi yupo mbali sana kwenye suala la technology ya silaha