KWANINI NDOA HAZIDUMU (FULL VIDEO)// SHEIKH NYUNDO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 25

  • @NassoroSipemba
    @NassoroSipemba หลายเดือนก่อน +1

    Allah mlipe heri huyu mja wako kwakuifanya kazi yako vyema hapa duniani.

  • @sakinasakina1286
    @sakinasakina1286 9 หลายเดือนก่อน +3

    Alhamndulillah Allah akujaalie kila la kheri ndani ya nyumba yako

  • @AminaKhamisi-d9p
    @AminaKhamisi-d9p ปีที่แล้ว +4

    Nakupenda kwa ajili ya Allah

  • @mbaroukjumaali
    @mbaroukjumaali ปีที่แล้ว +9

    Allah akujazie Nuru kwenye kaburi lako .Aaamin

  • @BashirMahero
    @BashirMahero ปีที่แล้ว +8

    Allah akupe nuru kwenye kaburi lako

  • @jamilariteriteka
    @jamilariteriteka ปีที่แล้ว +6

    Allah alifanye kabrilako liwe miongoni mwa viwanjavya peponi

  • @rashidkejo8666
    @rashidkejo8666 4 หลายเดือนก่อน

    Namuomba Mwenyezi Mungu muumba mbingu na ardhi amfanyie wepesi kwenye maisha ya kaburini kwake.
    Amin.

  • @mukuakili3006
    @mukuakili3006 ปีที่แล้ว +5

    Mwenyez mungu akupe pepo njem🙏🏾📱

  • @RahmaHassan-c5b
    @RahmaHassan-c5b ปีที่แล้ว +5

    mungu akujalie kaburi lako liwe na nuru

  • @farhannahomary5505
    @farhannahomary5505 9 หลายเดือนก่อน +2

    Allah Akupe kauli thabit nimechelewa Sana kukujua shekhe umeacha alama kubwa Allah Atakulipa.

  • @shakilamasoud2983
    @shakilamasoud2983 ปีที่แล้ว +11

    Mwenyezi Mungu akuangazie nuru ndani ya kabuki lako

    • @abdikarim324
      @abdikarim324 ปีที่แล้ว

      Allah akuangazie Nuru kwa kaburi lako

  • @AminaKhamisi-d9p
    @AminaKhamisi-d9p ปีที่แล้ว +2

    Mashallah Mashallah Allah akupe ujira kwa kaZi yako

  • @SalmaTelkom
    @SalmaTelkom ปีที่แล้ว +5

    MASHAALLAH TWAMUOMBEA KW ALLAH AMUIFADHI PAHALA PEMA PEPON

  • @ZenabAli95
    @ZenabAli95 4 หลายเดือนก่อน

    Allah hakurahame sheikh wetu.

  • @AishaAmar-g7m
    @AishaAmar-g7m หลายเดือนก่อน

    Allah amlipe mema yake,pepo firdaus yawe makao yake

  • @hemedabdalla4171
    @hemedabdalla4171 ปีที่แล้ว +3

    Hakokaelimu yenyemanufaa ni kitu adhimkwelikweli.

  • @MohamedAli-pb7gz
    @MohamedAli-pb7gz 10 หลายเดือนก่อน +1

    RahimahumuAllah sheikh Hussein Nyundo

  • @djumabucumi1168
    @djumabucumi1168 ปีที่แล้ว +3

    Mungu akuifadhi aitiye nuru kaburi yako na akupe pepo yake

  • @magigenassor479
    @magigenassor479 ปีที่แล้ว +2

    Allah amjaalie rahma katika kaburi lake

    • @AbduWaziri
      @AbduWaziri ปีที่แล้ว

      Hivi eti nimesikia huyo sheikh nyumdo amefariki kweli

  • @Khamis-n8p
    @Khamis-n8p 29 วันที่ผ่านมา

    Simba wa Allah

  • @abdallahshamis3303
    @abdallahshamis3303 10 หลายเดือนก่อน +1

    Amina

  • @SaidJuma-z5e
    @SaidJuma-z5e 10 หลายเดือนก่อน +1

    🎉