Vero smulizi zimenivusha sana nakujua mengi kufundisha mengi mno siwez mlaumu tupo kwa upande wa hisia ila kakosea kumsaliti mmewe hata hivyo kapata neema ya kuomba rehema na toba kwa Mungu pia kwa mme wake songa mbele tupo imekua fundisho pia kwetu wasikilizaji.
@@BintHassan-o1yKuna watu wana moyo aisee hapa duniani.Kwanza ningekuwa Mimi huyo Tupo kigwe angeondoka na kilema Cha maisha yake yote hapa duniani pili pesa Zangu ningesepa nazo, yaani nikwepe risasi halafu nije nimuachie kirahis hivo, Tatu ningewatafuta watu ili wamkomeshe huyo wambake na kila aina ya unyama wamfanyie.Nne mke wa yule Jamaa kama akija kuoa ningepambana na yeye nimpate halafu nimfanyie kama alivyofanya.Kiufupi Jamaa alikosea sana ilitakiwa alipe kisasi ili wakija kumkumbuka iwe kilio.Ila Jamaa kweli alikuwa na MAPENZI ya kweli kwa huyo mwanamke, sema ndo hivyo alioa MALAYA mpenda pesa badala ya MKE.Mimi nisingesemehe kamwe Hilo jambo lingenikuta, sasa hivi TUPO KIGWE angekuwa kilema au Mlemavu.
@@ZayanaMomo-wc3jqHahahaha huyo dada alisamehewa sababu Jamaa alikuwa na madhaifu aliamua kuyaficha kwa huyo mwanamke.Mwanaume rijali huwezi kumsamehe MALAYA kamwe tena kamweee.
mimi kama mwanamke ambaye bado sijaingia kwenye ndoa kwakweli nimejifunza sana sana, kaz ya kupenda tuwaaachie wanaume na pia tuheshimu sana hawa wanaume wanaotuheshimisha🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿
NENO la MUNGU linasema uonapo amani ndipo uharibifu,uwapatapo,siku zote shetan nimvurugaji, ukimpa nafasi,akikupata tu, anavuruga kesho yako yenye amani ,tumpe MUNGU nafasi mioyoni mwetu hata kama atujapewa tunayo talajia
Nimependa sana maamuzi aliyo fanya uyu jamaa saf sana / tupo k.inapata wateja wa rejareja uzasamaki mpaka mwisho wa maisha yako asent dada vero kwa simulizi
Honey kama honey kageuka shubiri ni short ukiwa kwenye ndoa usifanye usaliti hata kidogo mtu anaejifanya anakupenda wakati upo kwenye ndoa huyo sio mtu bali ni shetani tu
Jmani mungu aendelee kukulinda kipenziiiii maaana umetupa mafunzo makubwa San sisi wanawake tujifunze kuridhika. Kwakweli nimepata elimu kubwa sana nshukulu
Usaliti ndio kitu kinachovunja ndoa nyingi saan na hyo ni kutovumiliana au kutowekana wazi pale kwenye tatzo au mapungufu ili kuwekana sawa. Na nilahisi kwa % kubwa mwanamke kumsamehe mumewe pale anapochit lakn si kwa mwanaume kumsamehe mkewe . Jaman tuwapende wenza wetu . Kiukwel hili ni funzoo
@@SaraMathew-xd2vp Nihatali sana shetani hua hachezimbali akisha ona mnaishi vizuli anamtumia mtu kama kishawishi tujifunze sana kutawaliwa na chanya has inatupotosha aisee
Ina maana yule msenge alienda kumharibia huyu tumpe kweli yule jamaa ni pakashume....shetani kabisa mwanaume gani ana tabia za kipumbavu hivyo? Loh.....😊
Yule kaka ni nyoka😢 amemuharbia ndoa na bado akatangaza maneno yote waliyokuwa wakiongea. Huyo Kaka aliyeharbu ndoa ya Tupo alaaniwe yeye na kizazi chake. Nimeumia sana😭
Hujaumia kunizid mm mahi, sema sikio la kufa halisikii dawa tupo alielezwa ukweli na mmewe kuhusu huyo kaka ni kijana wa hovyo akapuuzia Bado dada Ake alikua akimuimbia mashaili kilasiku pia hakusikia Sasa alitegemea kitokee nini zaidi ya kujivunjia ndoa Ile Hali unajua yeye kaolewa
Kwani hujaelewa nn, mwanamke hakumpenda mwanaume kiasi kwamba alichokuwa anafanyiwa alikua haridhiki maana hakua na hisia nae kabisaa alifata na kupenda PESA tu.Pili yule mchepuko wake yaonekana alikua anampitia tupo Mlango wa dharura(Nadhani Iko hivo) maana tupo alipenda kupitiliza.Yaan hapa inaonekana tupo hakuwahi kuridhika kwenye mapenzi kabisaa na huyo mwanaume.
@@NeemaSamson-ti8pc HAHA Nikweli ila hata msaliti nae atasema nimuaminifu mkisha zoeana anasahau anakuona kawaida tu nakuanza kuchiti ndomana mme wa tupo alitoweka ilipofikia watu kujua alipo aliamua kuishi na watoto yatima alihisi hanabahati ya wanawake

Mimi ni mwanamke, hii simulizi imenifunza sana, nitazidi kumpenda na kumheshimu mwanaume wangu, kwasababu ananipenda sana.
aiseeee yani ni funzo haswaaaa mimi imenigusaaaa😮
Somo kubwa Sana Kwa wanawake
Ubarikiwe sana
Na Mungu awatie nguvu
Na Mungu awatie nguvu
Duh yaliwah nikuta haya, bahat nzuri me nlpewa funzo miez minne, mume wangu akarudi, lakin jmn kibaya chako ukiwa unakiona kikiondoka utalia na kusaga meno, popote ulipo mume wangu nakupenda sana najua unapambana kwa ajili yetu♥️♥️
Duuh Jamaa alikusamehe na ulimsaliti? aisee itakua ulimroga ww Mimi binafsi siwezi kusamehe MALAYA kamweeeeeeeeeeeh.
@@GeorgeAkasha-zx2rj 🤣 jmn
😂😂😂😂😂@@GeorgeAkasha-zx2rj
@@BintHassan-o1yKuna watu wana moyo aisee hapa duniani.Kwanza ningekuwa Mimi huyo Tupo kigwe angeondoka na kilema Cha maisha yake yote hapa duniani pili pesa Zangu ningesepa nazo, yaani nikwepe risasi halafu nije nimuachie kirahis hivo, Tatu ningewatafuta watu ili wamkomeshe huyo wambake na kila aina ya unyama wamfanyie.Nne mke wa yule Jamaa kama akija kuoa ningepambana na yeye nimpate halafu nimfanyie kama alivyofanya.Kiufupi Jamaa alikosea sana ilitakiwa alipe kisasi ili wakija kumkumbuka iwe kilio.Ila Jamaa kweli alikuwa na MAPENZI ya kweli kwa huyo mwanamke, sema ndo hivyo alioa MALAYA mpenda pesa badala ya MKE.Mimi nisingesemehe kamwe Hilo jambo lingenikuta, sasa hivi TUPO KIGWE angekuwa kilema au Mlemavu.
@@ZayanaMomo-wc3jqHahahaha huyo dada alisamehewa sababu Jamaa alikuwa na madhaifu aliamua kuyaficha kwa huyo mwanamke.Mwanaume rijali huwezi kumsamehe MALAYA kamwe tena kamweee.
Hii simulizi ni funzo kubwa hasa kwa wanandoa
Asante dada Veronica niko sweden nakusikiliza
🇰🇪🇰🇪one Number Duh Tupo Majuto mjukuu Hakuna marwfu yazio ncha ::Nashukur kaka wa WATU Hakuniua Wala hakuua :Mwisho mlioko kwenye ndoa jifunzen kusema kma hamtoshek semen usalit Hauna maana🌚 😭 😭😭 Tupo Mungu akubariki akusameh atakupea Mume wa uzee wako amini Wala sio LAANA: Dada Vero Ubarikiweee🇰🇪Looove u😘😘
Dah nmeumia Sana jaman,MUNGU anipe neema ya kumpenda mume wangu siku zote za maisha yetu
Asante san Tupo kwa kutupa darasa
haswaaa/ MUNGU Mariki Tupo na mumewe pale alipo
Natamani kulia kwa sauti kubwa sana jamani wanawake aina ya tupo popote mlipo yasikie haya sana 😭😭😭😭
Jaman wanandoa heshimuni waume zenu hakuna mwanaume atakae kupenda Zaid ya mumeo WA ndoa mume aliyekuweka ndani ni wathamami kuliko michepuko
Mwenyez mungu atusaidie wanawake tujitambue jaman daaah👏👏👏
Ni aibu Sana kwetu wanawake yaani tunawalaumu wanaume kumbe na Sisi tumo
😂😂😂 Hua mnajitambua sema mkiaminishwa mnaamini hulo ndo tatizo
mimi kama mwanamke ambaye bado sijaingia kwenye ndoa kwakweli nimejifunza sana sana, kaz ya kupenda tuwaaachie wanaume na pia tuheshimu sana hawa wanaume wanaotuheshimisha🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿
Aiseeee nimeumia sana nimejifunza kupitia Tupo
NENO la MUNGU linasema uonapo amani ndipo uharibifu,uwapatapo,siku zote shetan nimvurugaji, ukimpa nafasi,akikupata tu, anavuruga kesho yako yenye amani ,tumpe MUNGU nafasi mioyoni mwetu hata kama atujapewa tunayo talajia
Unatoka nje ukifikiri mumeo ana mapungufu only to realise umetoka nje kutafuta 20% na unaacha 80% ndani
Tamaa ya mwili na pesa unafanya watu wengi wawa poteze mme au mke shetani oyeeeeeeeeee 😂😂😂
Daaah aisee nimejifunz sanaa
Jaman roho imeniuma sana sana sana 💔🥹 ila Asante tupo Kwa kuwa darasa Kwa wanawake wengine🙏
Daaah asantee Sana dada kwa hii simulizi MUNGU akubariki mnoo 🙏.. hakika nimejifunza kitu
Nimelia😭😭😭na nimejifunza Mungu anisaidie nisipite ktk haya🙏
Hii story ina mafunzo makubwa sanaa kwa sisi wanawake ila wanawake tunadhambi sanaa jamani kah😢
Dahh Nihatari kweri asante sana
Hii simulizi imenifunza sana asante tupo Kwa darasa
Nimependa sana maamuzi aliyo fanya uyu jamaa saf sana / tupo k.inapata wateja wa rejareja uzasamaki mpaka mwisho wa maisha yako asent dada vero kwa simulizi
Mwanza hampatikani
daaah,,mtihani huu.😢hakika Mungu akinipa sitafanya makosa
Duh hii story imeniumiza sana 😢mwanaume akikupenda ukabungi lazima mwisho wako si mzuri Asante tupo kwakushere,uyu mume alifanya vyema
Kama hujui kesho jifunze kunyenyekea kwamaan hujui kesho yako🙏
😢😢😢tupo umejua hy laana uloibeba cjui kama itafutika,daah
Pole saaana mtihani huu tupwe ametupa funzo jamani
😢Jamani mwenye mkasa wa Hassan Jana na Leo anitumie😭😭😭da Vero haujaweka huku TH-cam 😭
😭😭😭 nimepata funzo kubwa sana jaman
Nimeumia sana jamani, ila Asante kwa kutufundisha sana
Da Vero ,, IRINGA haisikiki radio
Honey kama honey kageuka shubiri ni short ukiwa kwenye ndoa usifanye usaliti hata kidogo mtu anaejifanya anakupenda wakati upo kwenye ndoa huyo sio mtu bali ni shetani tu
Da vero wiki hii hakuna simulizi mana kila nikichungulia patupu
Jmani mungu aendelee kukulinda kipenziiiii maaana umetupa mafunzo makubwa San sisi wanawake tujifunze kuridhika. Kwakweli nimepata elimu kubwa sana nshukulu
Nasibu maundika,tegeta kubaliyaishe,lipoti konk jioni ya,Leo mpo juu,
Uyu kaka ana onekana ni mtu wa Mungu sana ndo maana kachukuwa wa toto yatima kuwasaidia maisha
Hapa kunashida kubwa wapo wengi hasa wa Dada, mnatuogopesha sana😢😢
Aiseee jaman
Dah
Yani nimejifunza mengi sana kupitia hii story mungu awabariki
Simulizi nzuri Sana hii
Hakika nimejifunza vitu vingi kutoka kwa Tupo.
Hvi hamna muendelezo? Sehemu ya 15?
2:02
Hiii simulizi inamafunzo makubwa sanaa kwenye ndoa
Aisee! Hii ni Elimu kubwa,Tupo ahsante sana
Hakika inafunza 55:38
inaumiza kwa kweli
Mungu nijarie niwe mwema kwaatakae nioa
Wana wake wenzangu wenye tabia kama Tupo tujifunze kwenye hili majuto ni mjukuu Evalyne kutoka mwanza mandu
HAHA binadam tumeubwa kwa kusahau saizi unasikiliza hii simulizi ikiisha tu unampigia cm mchepuko wako kuwa mbona umechelewa kufika 😂😂😂
Usaliti ndio kitu kinachovunja ndoa nyingi saan na hyo ni kutovumiliana au kutowekana wazi pale kwenye tatzo au mapungufu ili kuwekana sawa. Na nilahisi kwa % kubwa mwanamke kumsamehe mumewe pale anapochit lakn si kwa mwanaume kumsamehe mkewe . Jaman tuwapende wenza wetu . Kiukwel hili ni funzoo
@@SaraMathew-xd2vp Nihatali sana shetani hua hachezimbali akisha ona mnaishi vizuli anamtumia mtu kama kishawishi tujifunze sana kutawaliwa na chanya has inatupotosha aisee
Dah! Hatari sana
❤
2naomba mutulekebishie dada Veronika
Daah inaumiza sana😢😢
😢tupo
Ina maana yule msenge alienda kumharibia huyu tumpe kweli yule jamaa ni pakashume....shetani kabisa mwanaume gani ana tabia za kipumbavu hivyo? Loh.....😊
Yule kaka ni nyoka😢 amemuharbia ndoa na bado akatangaza maneno yote waliyokuwa wakiongea. Huyo Kaka aliyeharbu ndoa ya Tupo alaaniwe yeye na kizazi chake. Nimeumia sana😭
Hujaumia kunizid mm mahi, sema sikio la kufa halisikii dawa tupo alielezwa ukweli na mmewe kuhusu huyo kaka ni kijana wa hovyo akapuuzia Bado dada Ake alikua akimuimbia mashaili kilasiku pia hakusikia Sasa alitegemea kitokee nini zaidi ya kujivunjia ndoa Ile Hali unajua yeye kaolewa
Nimetumia.sana. yule kaka almanusura amuue tupo. Hatari kabisa ila tupo umefanya vizuri kutusimulia hii story tujifunze.
Shoga pole wallahi mtihani
Hadi nimelia daa😭😭😭
Inafunza sana hiisimuliz
Dada Veronika nakupata live kutokea Oman asee tupo
MUNGU tusaidie tuvipe thamani tulivyo navyo hata kama ni duni kias gani
Hatuwapati kwenye tunein wala TH-cam imekuwaje na hata jana sijaona km umeweka ripoti ya jana, toka jana hampatikani jamani
Bado haujajuta tupo, utajuta sana, uhuni wakishamba ulikuingia hata ushauri haukutaka
Nmefurahi kaka wa watu ni mzima
Jmn dada Vero nmejifunz ki2 kikubwa xna nata mpenda mme wang sku zote za maish yang nakpenda xna mme wang
Kiukwel nimejikuta nalia tuuu wanawake ebu tujitambue wapendwa ni nn hiki Sasa jaman😭😭😭
Wanawake wanaojitambua hawapatagi wanaume wazuri ndio shida hiyo
Nyinyi mkionyeshwa Hela, akili hizo hamnaga kabisaa
😂😂😂 Mnajitambua sema mnajisahau mnapo aminishwa mnaamini unakuja kumbuka maji yamesha mwaika
Mm naitwa magreth danier nipo kigambon kiukwel nimeumia San naiskama ndo nafanyiwa mm kiukwer inauma San sana😂
Natamani nijue nimapungufu gn anayi mume wa tupo daaahhh😢
Kwani hujaelewa nn, mwanamke hakumpenda mwanaume kiasi kwamba alichokuwa anafanyiwa alikua haridhiki maana hakua na hisia nae kabisaa alifata na kupenda PESA tu.Pili yule mchepuko wake yaonekana alikua anampitia tupo Mlango wa dharura(Nadhani Iko hivo) maana tupo alipenda kupitiliza.Yaan hapa inaonekana tupo hakuwahi kuridhika kwenye mapenzi kabisaa na huyo mwanaume.
Mume wa tupo ameniliza machozi yamenitoka mwenzenu ,nimemuonea hiruma sana mume wa tupo ameumizwa sana😭😭
Maumivu niliyoyapata Ni zaidi ya Tupo hakika
Jamani hujanifikia Mimi 🥹💔
Jamani Veronika umependeza Leo natamani uwe Tumpe wangu ila sitakufanya ubaya wowote I promise baby😮
Matangazo too much story nzuri mangazo kibaoooo story dk 20 matangazo dk 40
Nimeumia san mpk nimedown nikae nay nisikiliz kil saa
Kama mwenzako akuridhishi unamwambia, Tupo ndio imesha kuramba, huyo honey wako alikuja kuharibu ndoa yako
Tupo hakumpda huyo Jamaa ndo maana hata kwenye mapenzi hawezi kuridhika.
💯💯💯💯💯💯💯
Ama kweli tupo ulijimaliza kwa honey wako kumbe mwenzako alikuwa anakuchora tu
Kwakweli siko tayari kupoteza nilicho nacho
Jmn mmezd matangazo duh😅
Aiseee nimeumia saana
Unamwambia aongeze utundu
Kwakweli hii simulizi imenifunza kitu jaman
Mbna tabora redio haishik toka juma ta2
Tupo kingwe hatari sanaaa nimejifunza kupitia wewe
Ninejifunza mengi sana
Sto taman kumsaliti mme wang
Nimelia guys
Tupo kingwe
Tabora wiki nzima hatujawapata rredio haishika jaman
Hakika tupo ulimuumiza mkaka wa watu alipata maumivu yasioelezeka
Majuto ni mjukuu
Huyu tupo hana akili kabisaaa
😂😅
Mwanza mmenikeraaa mnoo wiki nzima hamjapatkana
😢😢
Daah wanaume wenye msimamo kama huo tumebaki wawili tu mm na huyo jamaa pole yake
Msimamo gani?
Mwambie "TUPO" aniletee dagaa mchele niko hapa tmk mwisho 🤣🤣
Yani mwanamke hata umepe nini wala siyo sababu yayeye kutokuchiti yalinikuta mpaka sasaivi namyaka 13 tangu nimuache nasina hata ham yakuowa tena
Pole sana mpendwa muombe mungu akupe moyo wa kusahau
@@SarahMakoye asante nilisha sahau naendelea kusomesha watoto tulio zaanae
Pole sana usikate tamaa wanawake wenye tabia njema tupo
@@NeemaSamson-ti8pc HAHA Nikweli ila hata msaliti nae atasema nimuaminifu mkisha zoeana anasahau anakuona kawaida tu nakuanza kuchiti ndomana mme wa tupo alitoweka ilipofikia watu kujua alipo aliamua kuishi na watoto yatima alihisi hanabahati ya wanawake
@@jumapiliissa4835 ni kweli uyasemayo, tupo alipata mwanaume mwenye hekima na wa kipekee sana na bahati kama hiyo huwa haijirudii kamwe
Ten years 😂
Mtaka yote kwa pupa hukosa yote