TAZAMA MWILI WA MWANAHABARI JOHARI ULIVYOAGWA KIJESHI...
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 30 ก.ย. 2024
- TAZAMA MWILI WA MWANAHABARI JOHARI ULIVYOAGWA KIJESHI...
WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm
Kifo tunatemeanacho muda wowote unakufa Muhim tuishi kwakupendana
Sidhani hata kama ni roho mbaya hii too much,,watu waliokufa ni 14 lkn wanahabar ndio wanatajwa na kuagwa mngewaaga pamoja ndio wakatawanyika ingependeza lkn hawa wengn watajijua wenyw ,sijapenda kabisa hata kdg wazaz,ndugu na jamaa zao wameumia pia ,,,,,MUNGU ANAWAONA
Dunia haina raha kabisa
yaani hawajafanya vizuri ila Mungu ndo atatoa hukumu kati ya wa andish na wengine wasio na thamn
Unakuta wameng'ang'ana kukata tozo hata waliokufa wamechangia makato yayote yale either direct au indirect but now wanatumia hela za serikali watumish tyu wengin hawa wale jeuri
💔
Huyo alikuw polisi
Hata kama ,,,
Serekali ikumbuke waliokufa ni 14 sasa sijui .na hao wengene wamepewa heshima? .maana naona ni wanahabari Tu ndio kipaumbele
🙏🙏🙏🙏🙏
Hao wengine hawakua wanajulikana😢
Ni watumishi wa serikali ndo maana sasa wengine ukute wakulima labda walikua kweny ile gari ya abiria nani atawakumbuka ndugu ndo wanazika uko washapewa miili yao maisha haya hakuna usawa kamwe tutafute tu hela tumkumbuke Mungu wote ni mavumbi
@@sarahtaste2876 😭😭Kabisaa
@@sarahtaste2876 Kwa jinsi ajali ilivyotokea na vifo vingi ilitakiwa wote wapewe heshima sawa. Kila mtu ana umuhimu katika nchi,hawa ni waandishi ambao pia wanawategemea hao wakulima kupata chakula. Kwa jambo kama hili serikali ilitakiwa kuchukulia wananchi wote sawa ukizingatia na mazingira ya ajali ilivyokuwa. Wanadamu wote ni sawa na tunategemeana,wale ni watumishi tu wa kawaida hawakua na vyeo vyovyote vikubwa vya kupewa special treatment, japo ilikua ziara ya kiserikali,nionavyo mimi.
Poleni sana ila ata rest in peace kama alikufa akiwa na Yesu kiristo katika maisha bila vile ni kumuliya tu kabisa kwa sababu jehanamu sio pakutakiya bina damu yeyote kuingiya huko paliubwa kwa anjili ya shetani na mapepo wezake sio sisi bina damu
Yeye aendelee tu niwakati wake alishatuuza kabakiza kutukabizi kwa maboss wetu
Jeshi la police nini yaani Tanzania very stupid
Mngu ailsze roho yake mahar pema
Pumzik kwa aman dada turikumw tunakupend san
Hii ndio Tanzania. Hakuna kati yao wote aliejua kuwa Johari alikuwa Kachero wa Polisi. Alionekana ni Mwandishi wa habari tu siku zote!
Kumbe alikuwa Askari
Ndiyo alikuwa askar ila kitengo cha habar
uwong peleka kwen bush😮😮
Mungu awape nguvu wafiwa ila kweli wanao lilia haki sawa 50/50 itabaki ya kwenye makaratasi ila cyo kwenye utendaji naona jeneza linavyo yumba yumba hadi wanaume wameingilia kati kulishusha wanajua wanaweza wakadondosha
R.I.P JOHORI😢
Ivi niukwli Johari htuko nae tena innalillahi wainnailahi rajium tulikupenda ila mungu kakupenda zaidi pumzika kw Amani 😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢
Mungu awalaze mahala pema pepono
😭😭😭😭🤔
😭😭😭😭😭
199233
Lini
Achen uwongo mtandaon jamani tumechoka
Mungu afariji familia ila n uchungu poleni saana
Mungu azipumzishe roho za mashujaa we2 mahari pema pepon.
Rip
R. I. P sister Johari
RIP
Johari wajina mwenyezi mungu ailaze loho yako mahala pema peponi😭😭
Polen Sana kwa familia yote
Inauma sana ndugu zangu
Umemaliza mwendo johari watu wa USA walikupenda sn hila mungu nakupenda zaidi😢😢😢😢👏
Yani we acha johari katuliza mnoo watu wa usa jamani
Mbona hivi dunia imefika mwisho Yesu Yuko malangoni tukeshe na kuomba.
Jmn joa pumzika kwa Amani
Poleni sana mungu ailaze rho yake mahali pema peponi
Innalilah wahinnailayin rajiuun
jaman johari mungu akumpumzishe
Salama
Wa depo pumnzika kwa amani
Huyu n johari yupiii
Pumzika kwa amani kipenz
Wapumzike kwa amani
Inategemea hilo Taifa walilitumikiaje kama ni kifisadi ila mungu awarehemu lakni pepo sio mchezo pepo lipo duniani ila kwa mungu sio rahis sijamanisha vibaya mwisho hata mimi nitakufa ila ukweli ndio huo r l p kwao nasisi tulio baki siku tu bado ila ikifika tutakufa
Daaah Allah aipumzixhe roho ya johar mahal pema peponi
⚘Eternal rest grant unto them, O Lord,
and let perpetual light shine upon them.
May the souls of all the faithful departed, through the mercy of God, rest in peace.
~Amen~
Ni jweli au
Daaaa
Pumzika salam
Poleni sana
Poleni sana
Innalillah wa innaillah rajiun
Askar tembea vizur unanga achen
Johari
Pumzika kwa Amani WP Mwendo umeumaliza Imani umeilinda. Mungu akupokee.
Rip johari we love you but God loves you more 😭 😭😭😭 bye bye johari
Ajali
Mbele yao sie nyuma twafata
Pole sana
😭😭😭🥺🥺😰😰 tupendane jmn kifo kipo Mahali🙏🙏🙏😭😭
😭😭😭😭😭😭😭🤝🤝 Atupe mwisho mwema🤗🤗
R.i.p
iv nikwl
😭😭😭😭😭
Mungu amekupenda zaidi😭😭😭😭😭😭
Mungu azilaze roho za maleemu maali pema peponi 🙏🙏🙏
Poleni sanaa
Poleni sana
Mungu alehemu
May their souls rest in peace Psalms 147:3 God heals the broken hearted and ends up bandaging their wounds
Poreni sana
R,l,p
No to
Jmn 😢😢
Uuuuuulaleeeeeeee sarammmmma
Polemzazi
Hongereni wadada askari wazuri sn
yes ila wanayumba sana hawajazoeahayo mambo
R.I.p
Sawa has
R. I. P commander in chief
No Caption!
R.I.P
Huyo ni usalama alikuwa
Hi ndo TZ mjue mnazinguka na nani
Walipatwa na nn
Ajali
Ooooh mungu ailaze roho zao Mahalia panapo stahili
Rest in peace
Poleni sanaulipenda nawatuh ilamungu amekupenda zaidi wende salama maman tuh takukumbuka daima
dah 💔😭😭🙏
Kwahiyo Johari Shane alikuwa askari!!?
Ndio
Wengine wanakuwaga usalama wa taifa hao, kwa fikra zangu
Hivi nikwel alifariki
Alikua usalama wa taifa uandishi ni kivuli tu Alikua usalama mpelelezi mzuri tu
Ma undercover