My best choir ever..!! Hongereni sana kwa kazi nzuri Mtunzi,wanakwaya Rajo production,,mozen pro..Mmetisha sana..Mungu na aendelee kuwatumia kutakatifuza malimwengu..Amina👏👏👏🔥🔥🔥
Upendo nilonao kwa kwaya hii hakika hauna kipimo.... yaaani unyama n mwingi kupindukia... kila mnapoimba baraka humiminika kwangu hadi nashindwa kujieleza... barikiweni hata zaidi na mje hapa Kenya Nairobi jamani aaaaah ❤❤❤
Kibwagizo cha ala: Ng'wantwala ung'wana wise, ng'wantwala asomile. Ng'walisola lichagijo cha, khulima likachajagha cha ....JMC - Mbeya ni 🔥🔥
Kwel,,nmependa❤
Wakatoliki oyeee,wasukuma gonga like ♥️
Hongereni sana JMC kwa kazi nzuri na yenye ujumbe mzuri pia.🎉🙏
Usipite bila ku-like kama pia umebarikiwa na wimbo huu👍
Asanteni ndugu zetu
Ninyi ni chumvi ya dunia nawaambiwni na chumvi ikiisha ladha utupwa nje na kukanyagwa na watu. Thanks for the song hugs from Kenya 🇰🇪🇰🇪
My best choir ever..!! Hongereni sana kwa kazi nzuri Mtunzi,wanakwaya Rajo production,,mozen pro..Mmetisha sana..Mungu na aendelee kuwatumia kutakatifuza malimwengu..Amina👏👏👏🔥🔥🔥
Barikiweni sana kwa wimbo nzuri na kwa uimbaji mzuri👏🏾👏🏾👏🏾
Naomba Namba za Director wa Bozen pro
Upendo nilonao kwa kwaya hii hakika hauna kipimo.... yaaani unyama n mwingi kupindukia... kila mnapoimba baraka humiminika kwangu hadi nashindwa kujieleza... barikiweni hata zaidi na mje hapa Kenya Nairobi jamani aaaaah ❤❤❤
Asante
Kuinjilisha kwa njia ya kuimba ni raha mno. Hongera sana wanakwaya
Hongeren sana JMC kazi nzuri sana Mungu Awabariki sana.
Audio na video.Mungu awabariki Mmefanya kazi nzuri
Asante Despina, Mungu atubariki sote.
This is the most consistent choir that i know ...congratulations
Thank you Michael
Wasukuma tumesikia.. mmetukumbuka😂❤❤
Kuna shida kidogo stanza namba mbili, ili mpate kuwa wana wa-Baba yenu usahihi ni, ili mpate kuwa wana wa Ba-ba yenu
All in all kazi nzuri wa JMC❤
Ni kweli kabisa kaka nota ziko ivo
Wimbo mzuri saana hongeleni saana nimeupenda
Hatimaye huu wimbo umetoka jmn,,
Myonga upewe tu maua Yako bro🎉
Amina Theresia
Wanamlipuko wa sifa hamjawahi feli🎉MBARIKIWE SANA KWA UTUME LAKINI MYONGA RESPECT TO YOU
Apewe😊
Nice work kilaa la kheri katika Utume wenu🎉🎉🎉
JMC nawajua vizuri, ila wimbo huu siyo wa viwango vyenu. Hamjanibariki.
asanteni sana wana mbeya kwa nyimbo zenu zuri namsikizanga nikiwa jamaica
Mmeutendea haki sana bravo my favourite chior ,, Myonga Yuko 💥
Hongereni sana Wana JMC, natamani nikifika bongo nije niungane nanyi katika kumsifu na kumtukuza Mungu 🎉
😂
😂😂
😊😊
Familia, Mungu ni mwema kazi ya viwango🎉
JMC aki wewe nakupendaaaaaaaa❤
Hongera nyingi ziende kwa director John Nestory👍👍👍👍
Nawapenda sana
Egla congoleeeee nyingi wako
Unanibariki sana
Hakika Nuru yenu iangazie dunia.. Greetings from KMC ARUSHA
Hongera kwenu kazi nzurii sana ❤️❤️ nafurahi kumuona mwalimu Julius Michael 🎉
This song is very nice manze🎉🎉🎉🎉😊😊😊❤❤❤❤
Show inajielezaaaaa💥🔥💥🔥unyama sanaaa🔥🔥🔥
Mdogo wangu luisa liheta nimekuona,hongera kwa kuinjilisha kwa njia ya uimbaji
Cogratulation st John. We love everything about this song. Be blessed.
Thank you Holy Family Media
Waaaoh finally you are here....we had missed you JMC....the song❤❤❤❤254..loves you
Thanka Francis be blessed
@JohnPaulIIMbeyachoir Bwana ataedelea kusimama nanyi...Barikiweni zaidi
Finally 🙌🙌🔥🔥,
Wimbo mmeutendea haki Kwa kweli 💯💯💯
Amen Prisca Barikiwa sana
Wimbo mtamu wa tafakari nzuri mno. Asante A.J Muyonga🤗🥳😍
Tamu sana😍❤
Muyonga minamkubali sana nyimbo zake jamaa anajua hungera muyonga
Kazi iliyotukuka❤
Mtunzi mungu akuweke sana iwe heri na sisi kwa uwezo wa mungu tuirecod hii ngoma aiseee kwa unyama mwingi aisee
Greatest All The Time.... Hongera sana kwa wimbo mzuri. Dada July nakuona😊
GOT🎉
Asante Andrea, Mungu atubariki sote.
Hongereni ,wimbo mzuri sana
Ayub Myonga ..... hanaga dogo🙌
My favourite of Muyonga🥳🔥 hongereni JMC🎉
Amina
Production 🔥🔥 waimbaji 🔥🔥 mtunzi 🔥🔥 kwaya yangu pendwa kabisa JMC
Amina Dr Msigwa Mungu akubariki
@@JohnPaulIIMbeyachoir amina
Hongereni kwa KAZI nzuri sana mara zote nimekuwa mkinibariki sana sana🎉 hapa ubunifu mkubwa umetumika kuipendezesha hii 🎉🎉🎉🌹🌹🌹🌹😍
Asante sana Salome, Mungu atubariki sote
Safi sana JMC..TULIWAMISS..wimbo mmeutendea haki
Hongera Myonga kwa tafakari nzuri
Asante David, endelea kutufuatilia katika mitandao yetu ya kijamii.
waiting in DSM🥰🤗
Huu wimboo NI🔥🔥🔥
Mziki mzuri sana 🎉🎉🎉
Vazi 🔥🔥🔥
Sauti tam
Asanteni Tempo Choor
Mko vizuri sana sana kazi ya injili isonge mbele
Familia 🔥Kazi nzuri mno 🔥
Kazi nzuri, familia,❤️
Amina Peter
🎉 hongereni sana fam ❤
Bravo, fantastic, 🙏🙏🙏. Kila kitu kiko okey
Congratulations to you our beloved ones
Thanks so much Magreth
Kazi nzuri 🌹
Nzuri sana🎉❤
Hatimaye! Heko kwenu!
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ all the love to you guys @jmc
Asanteni ndugu zetu
Hongereni Kazi nzuri
❤hongereni sana
Mnajua kunikosha
Wimbo mtamu be blessed 👏🏿👏🏿👏🏿
Tumeagizwa kuwa nuru na kufanya hivyo hakika nitasimama mahala pa juu
Amina Dave
Finally,,was waiting for this,,Mungu awaongoze daima
Pokea maua yakoo Mtunzi, Mr. AJ Myonga 🎉🎉
Mkaiangaze dunia 🔥🔥🔥
No one could do it better!!
Congratulations 🎉🎉
Thank you Kamanda
JMC fahari ya mbeya kazi nzuri
Amina ndugu
Aunt Irene hongereni Kwa kazi yenu nzuri 🥰🥰🥰🥰🥰
Roho mtakatifu kaangaza❤vyema kabisa🎉
Amina Rose
Unyama sana ❤❤❤❤❤❤
Nice work❤❤❤
wamtukuze baba yenu wa mbinguni
Kazi nzuri
Watu wangu be blessed so much
Tamu sana❤
Kazi safi❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Mambo ni 🔥
Hongereni Sana hakika wimbo ni nzuri Sana na kiukweli NIMEBARIKIWA 🙏🙏
Asante Diana, Mungu atubariki sote
Safi sana hongereni Wana mbeya
Safi hongereni JMC ❤
Asante ndugu
Nyimbo nzuri sana na zenye baraka,hongereni kwa kazi njema♥️
Amina Mungu akubariki sana
Humu tuuu❤
Myonga mungu akubariki unajua kaka❤❤❤❤❤
Amina mpendwa
Hongereni sanaa Mungu awatie nguvu muendelee na kutoa kazi nzuri zaidi
Amina ndugu
Hongeera🎉🎉
The most wanted hit❤❤🎉🎉
❤❤❤ hongeleni sana 🎉🎉🎉
Asante sana sambaza upendo na baraka hizi kwa watu wengi zaidi
Mbarikiwe sana
Na hayo mavazi? Like some traditional dress from somewhere in Kenya. Very nice song. Mbarikiwe sana.
Thank you Charles
Nice wamekaa Kikuyu community
MMEFANYA vzr , mbarikiwe zaidi
Amina Joshua, tubarikiwe sote
Waiting tô get blessed
Congrats mY choir🫂
Mkasimame Mahalipo juu...🎶
Hongereni sana
Jamani niliwamisi sana hongereni mmepambana
Well done
Nice guys 👍🙏🙏
My favorites ❤❤❤❤🎉🎉
Familia 🎉🎉🎉😊
Familia nakuona
Sio tu kwamba kazi ni nzuri
Ila pia nafurahia jinsi mnavyopiga hatua katika uimbaji na video zenu siku hadi siku Mungu azidi kuwabariki
Amina ndugu Beatus
Hongereni kwa ujumbe mzuri,hakika nimebarikiwaa
Endelea kubarikiwa zaidi, sambaza link yetu kwa wengine pia wazidi kubarikiwa
@JohnPaulIIMbeyachoir Amina nitafanya hivyo.
Amina sana