HII NI KWARESMA: JE, UMESAHAU NAMNA YA KUUNGAMA KWA PARDI? TAZAMA HII

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 12 ก.ย. 2024
  • Inawezekana miongoni mwetu wapo wenzetu ambao wanashindwa kupokea sakramenti ya kitubio kwa sababu ya kusahau hatua za kupitia kabla hajaenda kwa padri. Pengine hata mtiririko au formula ya maungamo kwa padri wa kanisa katoliki. Na zaidi yawezekana watu hao wanaogopa hata kuwauliza wengine ili wawasaidie. Ndio maana leo channel yetu inalenga kukukumbusha na kukufundisha juu ya sakramenti hii ya uponyaji wa roho zetu ambazo tunazijeruhi kwa dhambi zetu.
    #kanisakatoliki #kristo #katekeseimankatolik #mafundisho #sakramenti

ความคิดเห็น • 37