KWANINI TUNASALI SIKU YA JUMAPILI BADALA YA JUMAMOSI (SABATO)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 ส.ค. 2024
  • “Ishike siku ya sabato uitakase, kama Bwana Mungu wako alivyokuamuru, (Kumb.5:12).” Katika siku hii ya SABATO, wayahudi hawakuruhusiwa kufanya kazi yoyote, wala kusafiri umbali mrefu (kumb.5:14…lakini siku ya saba ni SABATO ya Bwana Mungu wako, siku hiyo usifanye kazi yoyote). Wayahudi waliiheshimu sana siku ya SABATO kwa kuwa hata Mungu alistarehe siku ya saba, akaacha kufanya kazi, akaibariki na kuitakasa (Mwa.2:2,3).
    #kanisakatoliki #kristo #katekeseimankatolik #mafundisho #ecumenical #sakramenti

ความคิดเห็น • 49

  • @mycomputer8662
    @mycomputer8662 ปีที่แล้ว +6

    Umeanza vizuri sana kuelezea ukasema siku ya saba ni jumamosi na Mungu aliibariki akaitakasa kua siku takatifu na ndivyo ilivyoadhimishwa na ndio siku ya bwana. Mwishoni unajigeuka unasema siku ya saba ni sabato ya wayaudi.sio tena ya Bwana😢 siku ya bwana ni siku ya ufufuo wa kristo. Hakuna fungu ulilolisema lililoonesha Mungu aliifanya siku ya kukufuka kwake iwe siku ya ibada ila mfalme costantin ndo alifurahishwa na ukristo akaifanya kua siku ya ibada.

    • @geraldstanslaus2984
      @geraldstanslaus2984 3 หลายเดือนก่อน

      wewe ndo huelewi. wayahudi katikakuhesabu kwao siku! siku ya Saba ilikuwa jumamosi. Je, ni Aya Gani inayosema sabato ni yawayahudi? ukiipata nahamia Kwa waadiventist kesho

    • @hoyangembwambo846
      @hoyangembwambo846 8 วันที่ผ่านมา

      Ahaa kumbe sababu ya sisi kusali Jumapi tulibadilisha Sabato sababu ya kufufuka kwake hili sio sawa. Bwana waSabato tabia yake ilimuwa kusali simu ya Sabato(L(Luka 4:16)
      Lanini kaesema Hata Mbinguni tutasali wote sio wayahudi tu Mbinguni(Isaya 66:22-23). Tukubali tu tumekosea ili MUNGU atusamehe tusinifange hatuelewi.atatusamehe.

  • @samsonpopat1474
    @samsonpopat1474 28 วันที่ผ่านมา

    Nakushukuru sana padri kwa kuanzisha mada hii ukweli utakuawa wazi kwa wale wanaopenda kuokollewa maana biblia ipo wazi tu ikumbuke siku ya sabato uitakase yaani jmos jumapili iliwekwa mfalme costantine siku ya sun_day imefanywa leo kuwa siku ya kumwabudu Mungu huo ni upagani Biblia inasema waende kwa sheria na ushuhuda kama hawasemi sawasawa bila shaka kwao hamna asubuhi wamo gizani tu

  • @WIVINAAGANYILA
    @WIVINAAGANYILA 4 หลายเดือนก่อน

    Thanks for your teachings

  • @RaymondmuneneKabutis
    @RaymondmuneneKabutis ปีที่แล้ว +2

    Asante kwa mafunzo nimeoja kitu

  • @anodsimbeye9093
    @anodsimbeye9093 ปีที่แล้ว +2

    Wa katoliki tumu shukuru Mungu Muumba kwa kutuzawadia wa chungaji wanao elewa kile Mungu anataka Asante sana katekesta maisha mema Amina.

    • @mhandoonthebeats8581
      @mhandoonthebeats8581 8 หลายเดือนก่อน

      Pole sana ndugu yangu kwa kuwa mnabadili maandiko Hivi hamsomi maandiko mkaelewa

    • @uniquefactsmediaufm6735
      @uniquefactsmediaufm6735 3 หลายเดือนก่อน

      Mtu wa Mungu Jitahidi kusoma Mwenyewe tu haya Mafungu utapata kitu Cha kuelewa nakuombea pia : kutoka 20:1-17,
      Kutoka 31:16 ,
      Ezekiel 20:20
      na Isaya 66: 22-24

  • @alexjaston8846
    @alexjaston8846 ปีที่แล้ว +1

    Amina mtumishi

  • @FadhiliNoah
    @FadhiliNoah 3 หลายเดือนก่อน +1

    Acha kudanganya watu soma biblia vizur ndugu......

  • @willygwaikana
    @willygwaikana 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mara zote kwenye mjadala ya ipi ni kweli kati ya Sabato na jumapili, wanaotetea Sabato (jumamosi) hutumia neno la maandiko matakatifu aliyoyanena Bwana wa Majeshi yakionesha wazi agizo la wazi la Amri ya Sabato tangu Adamu, lakini wanaotetea jumapili hawatumii maandiko yanayodhihirisha kama jumapili iliagizwa na Mungu, bali wanatumia mawazo yao, utawasikia wakinena bila kunukuu Biblia. Kwa hiyo alichokiagiza Mungu kwa kinywa chake kinashindana na kilichoagizwa na mawazo ya mwanadamu alie mavumbi. Lakini ijulikane kuwa kitendo cha kuacha Amri ya Mungu na kufuata mapokeo ya wanadamu ni kuabudu bure - Marko 7:6-9
    Hivi hebu tuseme Yesu atakaporudi akikuuliza ulifuata jumapili kwa sababu gani, utajibuje mbele zake? Je, utasema mchungaji fulani alisema hivi!!!???? Yesu atauliza wapi kwenye Biblia nilipoagiza ufuate jumapili? Kwa sababu Bwana Yesu alisema neno lake ndilo litakuja kuhukumu siku ya mwisho.
    Yohana 12.46-48 Mimi nimekuja ili niwe nuru ya ulimwengu, ili kila mtu aniaminiye mimi asikae gizani.
    Na mtu akiyasikia maneno yangu, asiyashike, mimi simhukumu; maana sikuja ili niuhukumu
    ulimwengu, ila niuokoe ulimwengu.
    Yeye anikataaye mimi, asiyeyakubali maneno yangu, anaye amhukumuye; neno hilo nililolinena
    ndilo litakalomhukumu siku ya mwisho.

  • @johngitau7224
    @johngitau7224 5 หลายเดือนก่อน

    Nice explanation there

  • @MaaDii-iz3ur
    @MaaDii-iz3ur 3 หลายเดือนก่อน

    MUNGU aliibariki siku ya saba na pia kaibariki siku ya nane jumapili siku ya kwanza ya uumbaji

    • @dicksonkimanthi5242
      @dicksonkimanthi5242 5 วันที่ผ่านมา

      Wapi aliibaliki siku ya nane toa andiko

  • @PeterNjeru-ye6bn
    @PeterNjeru-ye6bn 11 หลายเดือนก่อน +1

    Tetea imani kwa maandiko ndugu methali 3_5 mtumaini mungu kwa moyo wako wote wala usitegemee akili zako mwenyewe.

  • @user-vg6rg2nv8s
    @user-vg6rg2nv8s วันที่ผ่านมา

    Umesema ilianzishwa na Mungu akaibariki na kuitakasa, mwishoni unamalizia kuwa ni ya wayahudi, unamaanisha Mungu aliitakasa kwa wayahudi tu wengine haiwahusu? Na ni andiko gani hilo?

  • @amedesamki425
    @amedesamki425 วันที่ผ่านมา

    Mhubiri huyu hayuko sahihi sabato ni ya Bwana siyo wayahudi amri ya sabato ni ya nne siyo ya tatu na sabato ilipigwa marufuku na catholic mwaka a.d. 364 na kanisa catholic lipo chini ya hukumu kama kahaba mkuu akaaye juu ya maji mengi

  • @samsonpopat1474
    @samsonpopat1474 28 วันที่ผ่านมา

    Hii ilikuwa sabato ya kiyahudi au ya Bwana Mungu mwenyezi? Na Mungu ndiye aliyeiandika mwenyewe kwenye mbao mbili za mawe hivyo mwanzilishi wa sabato si wayahudi ni Mungu mwenyewe usidanganye watu

  • @PeterNjeru-ye6bn
    @PeterNjeru-ye6bn 11 หลายเดือนก่อน

    Sanday ililetwa na mfalme Constantine baada ya kuwawa kwa wasabatu .siku ya jua Ezekiel alitabiri itabadiriswa soma. Ezekiel 8_16_17

  • @uniquefactsmediaufm6735
    @uniquefactsmediaufm6735 5 หลายเดือนก่อน

    Jamani jamani kutunza sabato ni Amri ya nne sio ya tatu Kama unavyosema . Tafuta amri ya pili ihusuyo sanamu utaikuta Sabato ni amri ya nne . kaangalie vizuri kutoka 20:1-17

    • @geraldstanslaus2984
      @geraldstanslaus2984 3 หลายเดือนก่อน

      hiyo ya sanamu ni yakwanza wewe jifunze

    • @uniquefactsmediaufm6735
      @uniquefactsmediaufm6735 3 หลายเดือนก่อน

      Mtu wa Mungu usibabaike na jinsi wanadamu wanavyodanganya angalia moangikio halisi wa amri za Mungu na utaona kabisa amri ya kuikumbuka siku ya sabato ni ya amri ya nne Wala sio ya tatu tusome pamoja kutoka 20:1-17 mbona zimepangwa vizuri tu . Pia hiyo amri inayokataza sanamu ni amri ya pili sio ya kwanza : tusome vizuri sura ya 20 ya kitabu Cha kutoka kuanzia mstari wa 1 Hadi wa 17. Tuombeane ili tutunze zote kumi na sio kutunza amri Tisa zikizocharangwacharangwa na wanadamu . tukumbuke kuwa Mungu ni Mungu wa utaratibu.
      Karibu katika kusoma amri za Mungu Kama zilivyo na utaona zikivyopangwa hivi:
      Kutoka 20:1-17
      Amri ya kwanza ni hii hapa :
      [1]Mungu akanena maneno haya yote akasema,
      And God spake all these words, saying,
      [2]Mimi ni BWANA, Mungu wako, niliyekutoa katika nchi ya Misri, katika nyumba ya utumwa.
      I am the LORD thy God, which have brought thee out of the land of Egypt, out of the house of bondage.
      [3]Usiwe na miungu mingine ila mimi.
      Thou shalt have no other gods before me.
      Amri ya Pili :
      [4]Usijifanyie sanamu ya kuchonga, wala mfano wa kitu cho chote kilicho juu mbinguni, wala kilicho chini duniani, wala kilicho majini chini ya dunia.
      Thou shalt not make unto thee any graven image, or any likeness of any thing that is in heaven above, or that is in the earth beneath, or that is in the water under the earth:
      [5]Usivisujudie wala kuvitumikia; kwa kuwa mimi, BWANA, Mungu wako, ni Mungu mwenye wivu; nawapatiliza wana maovu ya baba zao, hata kizazi cha tatu na cha nne cha wanichukiao,
      Thou shalt not bow down thyself to them, nor serve them: for I the LORD thy God am a jealous God, visiting the iniquity of the fathers upon the children unto the third and fourth generation of them that hate me;
      [6]nami nawarehemu maelfu elfu wanipendao, na kuzishika amri zangu.
      And shewing mercy unto thousands of them that love me, and keep my commandments.
      Amri ya tatu ni hii:
      [7]Usilitaje bure jina la BWANA, Mungu wako, maana BWANA hatamhesabia kuwa hana hatia mtu alitajaye jina lake bure.
      Thou shalt not take the name of the LORD thy God in vain; for the LORD will not hold him guiltless that taketh his name in vain.
      Amri ya nne ni hii :
      [8]Ikumbuke siku ya Sabato uitakase.
      Remember the sabbath day, to keep it holy.
      [9]Siku sita fanya kazi, utende mambo yako yote;
      Six days shalt thou labour, and do all thy work:
      [10]lakini siku ya saba ni Sabato ya BWANA, Mungu wako, siku hiyo usifanye kazi yo yote, wewe, wala mwana wako, wala binti yako, wala mtumwa wako, wala mjakazi wako, wala mnyama wako wa kufuga, wala mgeni aliye ndani ya malango yako.
      But the seventh day is the sabbath of the LORD thy God: in it thou shalt not do any work, thou, nor thy son, nor thy daughter, thy manservant, nor thy maidservant, nor thy cattle, nor thy stranger that is within thy gates:
      [11]Maana, kwa siku sita BWANA alifanya mbingu, na nchi, na bahari, na vyote vilivyomo, akastarehe siku ya saba; kwa hiyo BWANA akaibarikia siku ya Sabato akaitakasa.
      For in six days the LORD made heaven and earth, the sea, and all that in them is, and rested the seventh day: wherefore the LORD blessed the sabbath day, and hallowed it.
      Amri ya tano ni hii hapa :
      [12]Waheshimu baba yako na mama yako; siku zako zipate kuwa nyingi katika nchi upewayo na BWANA, Mungu wako.
      Honour thy father and thy mother: that thy days may be long upon the land which the LORD thy God giveth thee.
      Amri ya sita ni hapa :
      [13]Usiue.
      Thou shalt not kill.
      Amri ya Saba ni hii hapa :
      [14]Usizini.
      Thou shalt not commit adultery.
      Amri ya nane ni hapa :
      [15]Usiibe.
      Thou shalt not steal.
      Amri ya Tisa ni hapa
      [16]Usimshuhudie jirani yako uongo.
      Thou shalt not bear false witness against thy neighbour.
      Amri ya kumi ni hii hapa :
      [17]Usiitamani nyumba ya jirani yako, usimtamani mke wa jirani yako; wala mtumwa wake, wala mjakazi wake, wala ng’ombe wake, wala punda wake, wala cho chote alicho nacho jirani yako.
      Thou shalt not covet thy neighbour's house, thou shalt not covet thy neighbour's wife, nor his manservant, nor his maidservant, nor his ox, nor his ass, nor any thing that is thy neighbour's.

    • @uniquefactsmediaufm6735
      @uniquefactsmediaufm6735 3 หลายเดือนก่อน

      Mtu wa Mungu usibabaike na jinsi wanadamu wanavyodanganya angalia mpangilio halisi wa amri za Mungu na utaona kabisa amri ya kuikumbuka siku ya sabato ni ya amri ya nne Wala sio ya tatu tusome pamoja kutoka 20:1-17 mbona zimepangwa vizuri tu . Pia hiyo amri inayokataza sanamu ni amri ya pili sio ya kwanza : tusome vizuri sura ya 20 ya kitabu Cha kutoka kuanzia mstari wa 1 Hadi wa 17. Tuombeane ili tutunze zote kumi na sio kutunza amri Tisa zikizocharangwacharangwa na wanadamu . tukumbuke kuwa Mungu ni Mungu wa utaratibu.
      Karibu katika kusoma amri za Mungu Kama zilivyo na utaona zikivyopangwa hivi:
      Kutoka 20:1-17
      Amri ya kwanza ni hii hapa :
      [1]Mungu akanena maneno haya yote akasema,
      And God spake all these words, saying,
      [2]Mimi ni BWANA, Mungu wako, niliyekutoa katika nchi ya Misri, katika nyumba ya utumwa.
      I am the LORD thy God, which have brought thee out of the land of Egypt, out of the house of bondage.
      [3]Usiwe na miungu mingine ila mimi.
      Thou shalt have no other gods before me.
      Amri ya Pili :
      [4]Usijifanyie sanamu ya kuchonga, wala mfano wa kitu cho chote kilicho juu mbinguni, wala kilicho chini duniani, wala kilicho majini chini ya dunia.
      Thou shalt not make unto thee any graven image, or any likeness of any thing that is in heaven above, or that is in the earth beneath, or that is in the water under the earth:
      [5]Usivisujudie wala kuvitumikia; kwa kuwa mimi, BWANA, Mungu wako, ni Mungu mwenye wivu; nawapatiliza wana maovu ya baba zao, hata kizazi cha tatu na cha nne cha wanichukiao,
      Thou shalt not bow down thyself to them, nor serve them: for I the LORD thy God am a jealous God, visiting the iniquity of the fathers upon the children unto the third and fourth generation of them that hate me;
      [6]nami nawarehemu maelfu elfu wanipendao, na kuzishika amri zangu.
      And shewing mercy unto thousands of them that love me, and keep my commandments.
      Amri ya tatu ni hii:
      [7]Usilitaje bure jina la BWANA, Mungu wako, maana BWANA hatamhesabia kuwa hana hatia mtu alitajaye jina lake bure.
      Thou shalt not take the name of the LORD thy God in vain; for the LORD will not hold him guiltless that taketh his name in vain.
      Amri ya nne ni hii :
      [8]Ikumbuke siku ya Sabato uitakase.
      Remember the sabbath day, to keep it holy.
      [9]Siku sita fanya kazi, utende mambo yako yote;
      Six days shalt thou labour, and do all thy work:
      [10]lakini siku ya saba ni Sabato ya BWANA, Mungu wako, siku hiyo usifanye kazi yo yote, wewe, wala mwana wako, wala binti yako, wala mtumwa wako, wala mjakazi wako, wala mnyama wako wa kufuga, wala mgeni aliye ndani ya malango yako.
      But the seventh day is the sabbath of the LORD thy God: in it thou shalt not do any work, thou, nor thy son, nor thy daughter, thy manservant, nor thy maidservant, nor thy cattle, nor thy stranger that is within thy gates:
      [11]Maana, kwa siku sita BWANA alifanya mbingu, na nchi, na bahari, na vyote vilivyomo, akastarehe siku ya saba; kwa hiyo BWANA akaibarikia siku ya Sabato akaitakasa.
      For in six days the LORD made heaven and earth, the sea, and all that in them is, and rested the seventh day: wherefore the LORD blessed the sabbath day, and hallowed it.
      Amri ya tano ni hii hapa :
      [12]Waheshimu baba yako na mama yako; siku zako zipate kuwa nyingi katika nchi upewayo na BWANA, Mungu wako.
      Honour thy father and thy mother: that thy days may be long upon the land which the LORD thy God giveth thee.
      Amri ya sita ni hapa :
      [13]Usiue.
      Thou shalt not kill.
      Amri ya Saba ni hii hapa :
      [14]Usizini.
      Thou shalt not commit adultery.
      Amri ya nane ni hapa :
      [15]Usiibe.
      Thou shalt not steal.
      Amri ya Tisa ni hapa
      [16]Usimshuhudie jirani yako uongo.
      Thou shalt not bear false witness against thy neighbour.
      Amri ya kumi ni hii hapa :
      [17]Usiitamani nyumba ya jirani yako, usimtamani mke wa jirani yako; wala mtumwa wake, wala mjakazi wake, wala ng’ombe wake, wala punda wake, wala cho chote alicho nacho jirani yako.
      Thou shalt not covet thy neighbour's house, thou shalt not covet thy neighbour's wife, nor his manservant, nor his maidservant, nor his ox, nor his ass, nor any thing that is thy neighbour's.

  • @mhandoonthebeats8581
    @mhandoonthebeats8581 8 หลายเดือนก่อน +1

    Acha kudanganya watu wewe Sabato ya kweli ni Jumamosi acheni kuabudu Jumapili nyinyi wapi Andiko gani linasema Sabato imebadilika na ni wapi Yesu Alisema Siku ya kufufuka kwake ndio tuabudu

  • @franknambaya5368
    @franknambaya5368 9 หลายเดือนก่อน

    Sabato amri ya Ngap umetamka!!!😢

  • @jacktoneomukuba783
    @jacktoneomukuba783 11 หลายเดือนก่อน

    Hamna ukweli hapo....maandiko yako wazi

  • @PeterNjeru-ye6bn
    @PeterNjeru-ye6bn 11 หลายเดือนก่อน

    Sabato ni amri ya nne wala sio ya tatu ndugu. Hata mitume wariendelea na sabato matendo16_13 soma

  • @drbinagi
    @drbinagi ปีที่แล้ว

    Nashukuru kwa elimu. Ila nina swali, umesema vyema kuwa mnaabudu jumapili kwakuwa ni siku ya bwana, yaani siku aliyofufuka mwokozi wetu. Sasa je, bado mnapumzika jumamosi kama ilivyoamuriwa na torati? Kwanini?

    • @jifunzekatekesikatekisimu6599
      @jifunzekatekesikatekisimu6599  ปีที่แล้ว

      Jamii ya kwanza ya wakristu walikuwa ni wayahudi (wakristu-wayahudi)ambao waliiheshimu siku ya sabato na baadaye walikutana katika kuumega mkate (ndiyo misa takatifu). utamaduni huo uliendelea hata baada ya injili kufika kwa watu wa mataifa na wapagani. baadaye sasa ndipo mfalme constantino akaipandisha hadhi siku ya kwanza ya juma kuwa siku ya wakristu kumuabudu Mungu wao.

    • @franknambaya5368
      @franknambaya5368 9 หลายเดือนก่อน

      Je nani alibadili na kuwaambia wapumxike luka 4:16

  • @elishalewis255
    @elishalewis255 17 วันที่ผ่านมา

    Ni sehemu gani katika biblia inaweka wazi kua baada ya yesu kufufuka siku ya kwanza ya juma basi na ibada ihame kutoka siku ya 7 kuja siku ya 1...?
    Je biblia inavyosema kua Yesu ni Bwana wa sabato inamaanisha siku aliyofufuka ndio iabudiwe...? Hilo fungu ulilotaja hata halihusiani na mabadiliko ya siku ya ibada
    Mbona biblia iko wazi jamani

  • @BlandinaadrinoEduadr
    @BlandinaadrinoEduadr 4 หลายเดือนก่อน

    Kuna asaka ngapi? Ma kwanini jumapili ni pasaka ndogo pasaka kuu niipi

  • @aminimkoloma3081
    @aminimkoloma3081 ปีที่แล้ว

    Kama ukweli unao ya kuwa Mungu katika mali ya kuwa tukumbuke siku ya sabato kwa nini mnaendelea kuheshimu yaliyo maagizo ya wanadam na msiheshim maagizo ya Mungu?

  • @jaysonnyabicha1266
    @jaysonnyabicha1266 ปีที่แล้ว +1

    Siku ya jumapili ni wapi imeandikwa tuende kanisani?

    • @geraldstanslaus2984
      @geraldstanslaus2984 3 หลายเดือนก่อน

      jumamosi imeandikwa wap twende kanisa lenu

  • @GasperMsemo-cb7ty
    @GasperMsemo-cb7ty ปีที่แล้ว

    Ni kweli tunafurahia kusali siku hiyo ya kufufuka kwa bwana Yesu kristo lakini mbona sio siku ya kumuabudu Mungu kwa mujibu wa biblia???

  • @edwinsimiyu9417
    @edwinsimiyu9417 ปีที่แล้ว +1

    Ni Nini, aswa kinaonyesha katika kitabu Cha ufunuo kwamba n siku ya bwana? YESU baada ya kufufuka alienda mbingini alirudi jioni aliishi siku arubaini akiwa duniani mbona hawakusherekea kufufuka kwake Leo mnadai kufufuka kwake?

    • @jaysonnyabicha1266
      @jaysonnyabicha1266 ปีที่แล้ว +1

      Ndio kama yesu ni bwana wa sabato,mbona hakufufuka siku ya sabato?Hamuoni kama aliheshimu hiyo siku akapumzika kaburini vile iliamuriwa na mungu kuwa siku ya sabato ni ya mapumziko.Ndiposa akafufuka siku ya kwanza.Alipofufuka aliwaonekania wanafunzi wake wakienda shamba.Swali ni mbona hakuwakataza kuenda shamba kama hiyo siku ni ya mapumziko?

  • @PeterNjeru-ye6bn
    @PeterNjeru-ye6bn 11 หลายเดือนก่อน

    Msiwe wepesi WA kukubali kira mtu someni biblia hizi ni siku za hatali mathayo 24-24 kutatokea makristo WA uongo nao watandanganya wengi

  • @ndarokassim6462
    @ndarokassim6462 7 หลายเดือนก่อน

    acha ujinga kama hujui biblia nyamaza

  • @daudimichael7338
    @daudimichael7338 ปีที่แล้ว

    Nimeelewa sababu ni kama nne hivi, kwanza ni siku ya kufufuka kwa Yesu, pili Yesu alisema yeye ndiye bwana wa sabato, tatu mfalme costantino aliwapa wakristo waabudu siku hiyo kwa kuwa aliwapenda, kwasababu alishinda vita kwa kutumia ishara ya msalaba ambayo ilitumiwa na wakristo. Nne ni kwasababu Jumamosi ilikuwa sabato ya wayahudi ambao walimkataa Yesu, kwahiyo wakristo wakajiomdoa kwenye dini yao ya kiyahudi wakabadili na siku yao ya kuabudu. Je, sababu hizo zinafaa kuhalalisha kuabudu Jumapili?

    • @samwelrobert7985
      @samwelrobert7985 ปีที่แล้ว

      Katekista aeleze ukweli wote ni Nani aliyeanzisha sabato na jumapili

  • @juliusmshani6985
    @juliusmshani6985 11 หลายเดือนก่อน

    Ni amri ya 4 sio ya 4

  • @jaysonnyabicha1266
    @jaysonnyabicha1266 ปีที่แล้ว

    Siku ya sabato usifanye kazi yeyote,mbona basi kama Sunday ni siku ya sabato na mbona yesu alipofufuka aliwapata wanafunzi wakienda shamba?

    • @dariokakule986
      @dariokakule986 ปีที่แล้ว

      Leta verse

    • @costantineevarist5110
      @costantineevarist5110 ปีที่แล้ว

      Kwahivyo.unaabudu Jua

    • @jifunzekatekesikatekisimu6599
      @jifunzekatekesikatekisimu6599  ปีที่แล้ว +1

      @@costantineevarist5110 Wakritu hatuabudu jua, tunamuabudu Mungu...
      Hiyo siku ya jua ilikuwa ni kwa ajili ya wapagani waliokuwa na miungu mingi kiasi kwamba kila siku ilikuwa ina mungu waliyekuwa wanamuabudu, ndio maana inaitwa sunday....siku hiyo hiyo ndiyo KRISTU ALIFUFUKA KUTOKA WAFU MITHILI YA JUA LICHOMOZALO ALFAJIRI, ndio maana hatuiiti tena Jumapili bali DOMINIKA yaani SIKU YA BWANA.