Asalam aleykum hamjambo nyumbani huko tunawapata vyema oman mie nawaomba jamii nnjooni alfatah TV online mutavuna mengi kila kona ya maisha kwakweli tunanufaika sana sana siya kukosa usisahau mjulishe na mezio shukran mungu awatie nguvu na malipo yenu yapo inshallah
Asalam alaikum wrhmtllah wbrkth. Masheikh wetu hodari hongereni. Hakika kabisa tupeni the heavier education that people's can understand that dawar that you given for us. Hakika it's very good stuff dawar hizi. We really need always enjoyed thank you very much Masheikh wetu.
Inaonekana ww una matatizo na inaonyesha yanayozungumzwa uponayo sababu kama unamfatilia huyu sheikh utamsikia anaongelea jinsia zot.jengine ww hapa ilikuwa umsikilize ili upate mafunzo mbona wenzako hawajasema kitu ispokuwa ww
Mashallah nimejifunza asante
Asalam aleykum hamjambo nyumbani huko tunawapata vyema oman mie nawaomba jamii nnjooni alfatah TV online mutavuna mengi kila kona ya maisha kwakweli tunanufaika sana sana siya kukosa usisahau mjulishe na mezio shukran mungu awatie nguvu na malipo yenu yapo inshallah
Asnte tupo pamoja
Mashaallah
Masha ALLAH 🎉🎉🎉❤❤
Asalam alaikum wrhmtllah wbrkth. Masheikh wetu hodari hongereni. Hakika kabisa tupeni the heavier education that people's can understand that dawar that you given for us. Hakika it's very good stuff dawar hizi. We really need always enjoyed thank you very much Masheikh wetu.
Shukran
❤❤❤
Kipindi pendwa kutoka walimu pendwa
Allah awahifadhi
Hua sichoki kumsikiliza huyu maalim wetu
Nilichelewa kuondoka
Na nyie wanaume munatabia chafu kupita kiasi lakini hamuzisemi tabia hizo baadhi yenu
Mnapenda kuwasakama wanawake sana
Kwangu naona sawa maana napata kujifunza