MCH NDACHA AKIWASHA KONGO YESU VS MUHAMMED NANI WA KWELI?

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 ต.ค. 2024
  • Kati ya yesu na Muhammed ni yupi alitoka kwa Mungu?

ความคิดเห็น • 127

  • @faridashabanifaridashabani5950
    @faridashabanifaridashabani5950 2 หลายเดือนก่อน +3

    Amina Sana wacongo wengi wanapenda YESU me sijawahii kuona mucongo mwisilamu jamani ❤Bwana Yesu asifiwe wapendwa❤

  • @maryfranknamkumba9182
    @maryfranknamkumba9182 2 หลายเดือนก่อน +5

    IM PROUD TO BE A CHRISTIAN AND GAVE MY LIFE TO SERVE THE LORD. THANK YOU JESUS FOR ALL YOU HAVE DONE FOR US ALL ❤️🙏🏾

  • @JohanesPaul-u7k
    @JohanesPaul-u7k 2 หลายเดือนก่อน +5

    Nakukubali sana Ndacha mungu akubaliki

  • @MlalawiClemence
    @MlalawiClemence 3 หลายเดือนก่อน +14

    Ndacha ni mwalimu mkubwa sana kuwahi kutokea katika dunia hii, Mungu akubaliki sana

    • @robertphilip385
      @robertphilip385 2 หลายเดือนก่อน +2

      Kabisa

    • @tbm7tv257
      @tbm7tv257 2 หลายเดือนก่อน

      Anaewaaminisha Yesu Mungu pia, mnamuona ndo mwalimu. Wakati Yesu ni mwanadamu soma (1) Timotheo 2:5

    • @robertphilip385
      @robertphilip385 2 หลายเดือนก่อน

      @@tbm7tv257 tuongee uhalisia hivi ADF Ala Kaida Al shabab Abu Sayav Hesbulaa hao woteee ni zao la mafundisho ya mtume wa washetani mafundisho yaliyoletwa na muhamad ibilisi mukubwa alie laaniwa yeye majini

    • @silveriusfungilwa5995
      @silveriusfungilwa5995 2 หลายเดือนก่อน

      Kweli kabisa namkubali sana

    • @robertphilip385
      @robertphilip385 2 หลายเดือนก่อน

      @@tbm7tv257 we endelea kumwamini mtume wa shetani muhamad

  • @SasentyNtiMaWake
    @SasentyNtiMaWake 3 หลายเดือนก่อน +9

    Mungu akulinde sana .warrudishe walio potea

  • @henrysizya239
    @henrysizya239 2 หลายเดือนก่อน +5

    Nimaombi yangu kwa Mungu aendelee kumjalia afya na kumuongezea maarifa mwalimu Ndacha

  • @DeoMlawa
    @DeoMlawa 2 หลายเดือนก่อน +5

    Ndacha ww ni mwlimu Mwenyezi Mungu akupe afya njema saluti kwako mwalimu

  • @mwajoamkuruto
    @mwajoamkuruto 2 หลายเดือนก่อน +2

    Mungu akubariki na akulinde sana uzidi kuelimisha watu warudi kwa Mungu wa kweli

  • @DAVIDMAGHANGA
    @DAVIDMAGHANGA 2 หลายเดือนก่อน +3

    Asante Kwa elimu

  • @KizaChandja
    @KizaChandja 2 หลายเดือนก่อน +1

    ❤ Mungu ni mwema kwa wote waliyo mfata yesu

  • @LaizaLaiza-oj9uw
    @LaizaLaiza-oj9uw 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu akubariki sana ndacha

  • @TimoteoKajinake
    @TimoteoKajinake 2 หลายเดือนก่อน +3

    Mungu hakubariki sana tena sana. Mwalimu ndacha

  • @DanyAmon-i9d
    @DanyAmon-i9d 2 หลายเดือนก่อน +5

    Mungu Akulinde mwalim Seema Aisilam nivichwa vingum

    • @mjombawallace4966
      @mjombawallace4966 หลายเดือนก่อน

      Ndio Biblia inasema Katika Genesis 16:12

  • @IreneSaimoni
    @IreneSaimoni 3 หลายเดือนก่อน +4

    Amina

  • @fredykiluka6606
    @fredykiluka6606 2 หลายเดือนก่อน +2

    Ndacha ni mtu sjawai ona kwanza yuko perfect sana

    • @mjombawallace4966
      @mjombawallace4966 หลายเดือนก่อน

      Ata Mimi nashangaa sana huyu mtu alituma nikanza ku fatilia njia ya ukweli

  • @JojoSrena
    @JojoSrena 3 หลายเดือนก่อน +9

    Maneno ya mu bibilia ni matamu muno ni yakuokowa watu

  • @ObadiaRaphael
    @ObadiaRaphael 2 หลายเดือนก่อน +1

    Ni fereeeeeeee God bless you

  • @RamaRama-q3l
    @RamaRama-q3l หลายเดือนก่อน

    Mungu awabariki sana

  • @CharlesOgendo
    @CharlesOgendo หลายเดือนก่อน

    Mungu anuliwe juu Na asifiwe

  • @jesusfirstchurch4162
    @jesusfirstchurch4162 2 หลายเดือนก่อน +1

    Eeh BABA wa MBINGUNI fungua ufahamu wa binadamu uliopumbazwa na mungu wa dunia hii

  • @joshpraisebuzaniye2958
    @joshpraisebuzaniye2958 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kiukweli aina hii ya injili huwafanya wajue ukweli lakini haiwezi kuwafanya wajue KWELI inayookoa. Hapo wamejua ukweli na wakabaki kufyonyaa tu na hawawezi kumpokea Yesu aliye kweli.

    • @CaltonMallya-zj6cp
      @CaltonMallya-zj6cp 2 หลายเดือนก่อน +1

      Kila mtu kapewa karama yake wapo watakaopeleka kwa staili tofauti na hii ROHO MTAKATIFU ndiye asadikishae moyo

  • @Joycejerad
    @Joycejerad 2 หลายเดือนก่อน

    Waislamu ni makafiro hao hawawezi kukuelewa mchungaji......we waache waje waone wenyewe.....

  • @AlbertKassa-l4b
    @AlbertKassa-l4b หลายเดือนก่อน

    Uislamu umejengwa kwenye misingi ya uongo, uislamu usipo danganya hautakuwepo

  • @clewis520
    @clewis520 2 หลายเดือนก่อน +3


    Mohammandi alioa mtoto wa miaka sita…..😢😢

    • @johnngige5794
      @johnngige5794 2 หลายเดือนก่อน

      Si hilo tu, Muhammad alioa bibi wa mtoto wake

    • @clewis520
      @clewis520 2 หลายเดือนก่อน

      @@johnngige5794 … sheyiiitaaaan kabisa

    • @abdullahmasakata170
      @abdullahmasakata170 2 หลายเดือนก่อน

      @@johnngige5794 Yakobo alipigana na MUNGU na kumshinda ndani ya biblia yenu ikoje hio? Huyo ni MUNGU feki tena wamchongo kama Kweli anapigika na viumbe wake hafai kuitwa MUNGU.

    • @abdullahmasakata170
      @abdullahmasakata170 2 หลายเดือนก่อน

      @@clewis520 Biblia inasema Yesu alikuwa na wanafunzi wa wili ambao ni mashetani jee ilikuaje Yesu mwenyewe achague wanafunzi ambao ni mashetani?

    • @abdullahmasakata170
      @abdullahmasakata170 2 หลายเดือนก่อน

      @@johnngige5794 Biblia inasema kiti cha enzi cha shetani kipo kanisani kwenu au hujui hilo.

  • @BonifaceLameck-bx5xe
    @BonifaceLameck-bx5xe 2 หลายเดือนก่อน +1

    Waislam mikonojuu sioni au waosio wenyemwilii😂😂😂

  • @abdullahmasakata170
    @abdullahmasakata170 2 หลายเดือนก่อน

    Utapeli mwingi yaani unauliza swali na unajijibu mwenyewe alafu na vile wakristo wengi hawajui wala hataki kujisomea na kufuata ukweli, Acheni chuki na kukufuru na kuhubiri injili kwa hila na uongo bila ushahidi na haki na kwelli, Yesu mwenyewe hajawai kufundisha Kama hivi, wala hajawai kuwa tapeliwa Wa maandiko kama hivi. Hubirini ukweli mwenye akili timamu ataona na kuufuuta tu.

    • @DeusdeditMichael
      @DeusdeditMichael 2 หลายเดือนก่อน

      JIBU KWA KUTANGUA MAANDIKO ALIYOTUMIA KWA MAANDIKO, NA SIYO KULALAMIKA BILA KUSEMA NI ANDIKO GANI LISILO SAWA.

    • @abdullahmasakata170
      @abdullahmasakata170 2 หลายเดือนก่อน

      @@DeusdeditMichael Akili zenu bado finyu, Yaani Wewe unataka maandiko wakati yeye kaweka clip ya mdahalo, Sasa maandiko yalitakiwa kujibiwa na mwislam alie kuwa anafanya nae mdahalo, Badala yake ameweka clip ya upande wenu bila kuweka clip ya majibu ya shekh kwenye mdahalo huo. Au kwenye hio clip umeona wapi mhadhiri wa kiislam Akijibu? Huu ndio uhuni walio nao, Wanaogopa kuweka majibu upande wa wawaislam wakijua mkijua ukweli mnaifuata haki ilipo.

  • @SurprisedClownfish-ks3fn
    @SurprisedClownfish-ks3fn 2 หลายเดือนก่อน +1

    Hawa wanasubiri kusema "ningelijua nigebatizwa na kuokoka "

    • @abdullahmasakata170
      @abdullahmasakata170 2 หลายเดือนก่อน

      Unabatizwa wakati YESU mnadai alikufa msalabani kwa ajili dhambi zenu za asili. Unabatizwa unaombewa bado na kanisani unaenda kufuata nini? Ubatizo asili yake ni ondoleo la dhambi vipi ukibatizwa ndoo wokovu au unasubiri hukumu ya MUNGU? Someni maandiko wenyewe.

    • @CaltonMallya-zj6cp
      @CaltonMallya-zj6cp 2 หลายเดือนก่อน

      ​@@abdullahmasakata170Waebrania 9
      28 kadhalika Kristo naye, akiisha kutolewa sadaka mara moja azichukue dhambi za watu wengi; atatokea mara ya pili, pasipo dhambi, kwa hao wamtazamiao kwa wokovu.

    • @CaltonMallya-zj6cp
      @CaltonMallya-zj6cp 2 หลายเดือนก่อน

      Waebrania 10
      26 Maana, kama tukifanya dhambi kusudi baada ya kuupokea ujuzi wa ile kweli, haibaki tena dhabihu kwa ajili ya dhambi;
      27 bali kuna kuitazamia hukumu yenye kutisha, na ukali wa moto ulio tayari kuwala wao wapingao.
      29 Mwaonaje? Haikumpasa adhabu iliyo kubwa zaidi mtu yule aliyemkanyaga Mwana wa Mungu, na kuihesabu damu ya agano aliyotakaswa kwayo kuwa ni kitu ovyo, na kumfanyia jeuri Roho wa neema?
      31 Ni jambo la kutisha kuanguka katika mikono ya Mungu aliye hai.

    • @CaltonMallya-zj6cp
      @CaltonMallya-zj6cp 2 หลายเดือนก่อน

      Waebrania 10
      25 wala tusiache kukusanyika pamoja, kama ilivyo desturi ya wengine; bali tuonyane; na kuzidi kufanya hivyo, kwa kadiri mwonavyo siku ile kuwa inakaribia.

    • @abdullahmasakata170
      @abdullahmasakata170 2 หลายเดือนก่อน

      @@CaltonMallya-zj6cp Nionyeshe wapi katika maandiko Yesu mwenyewe alipo wahi kuwabatiza watoto wadogo, watu Wazima, wanafunzi wake na wazee. Ukinipa andiko hilo nakuamini na kukufuata mwelekeo wako na dini yako.

  • @israelhamiskiobya903
    @israelhamiskiobya903 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kwa sasa hakuna mwanazuoni kama Ndacha

  • @MwasabuniSuleiman
    @MwasabuniSuleiman 3 หลายเดือนก่อน

    Ndacha si Mwalimu, yesu Mwenyewe alituma wanafunzi wake wakafanye watu kua wanafunzi duniani

    • @OLUNGAJOSHMAH
      @OLUNGAJOSHMAH 2 หลายเดือนก่อน

      Soma vyema are hangup hata wengine baada ya wanafunzi...wengine kuwa walimu wachungaji sikiza hoja wacha wivu mjoli

  • @JosephGodfrey-jv8hz
    @JosephGodfrey-jv8hz 2 หลายเดือนก่อน

    Astaghfilallah

  • @SYLIVESTERKAWONGA
    @SYLIVESTERKAWONGA 2 หลายเดือนก่อน +1

    mpiga picha msaada wa sauti inakuwa chini sana

    • @gospelcorner1885
      @gospelcorner1885  2 หลายเดือนก่อน

      Tutalifanyia kazi video zinazofuata ahsante na endelea kutufuatilia.

  • @jumamnyonge2148
    @jumamnyonge2148 2 หลายเดือนก่อน

    Na uwambiye vile unamwamini Allen G white kama mtu wako Mwanamke iyo usisahau uko Congo

  • @MohamedMohamed-u3t1n
    @MohamedMohamed-u3t1n 2 หลายเดือนก่อน

    Ndacha utawadanganya hao makafiri wenzako humalizi aya unazikata kata aya za quran hazisomi mpaka mwisho na maudhui yake unaweka tafsiri zako huwezi kutetea ukristo kupitia quran abadani

  • @MohamedMohamed-u3t1n
    @MohamedMohamed-u3t1n 2 หลายเดือนก่อน

    Yani ukafiri bana huyu ndacha kawaslisha hoja na sasa anatoa majibu huyo aliejibu hatukumsikia uongo huu wa ndacha ndio unazidisha imani kweli uislamu dini ya mungu anauliza maswali anajijibu mwenyewe

    • @DeusdeditMichael
      @DeusdeditMichael 2 หลายเดือนก่อน

      JIBU WEWE BASI. MAANA WENZIO WAMEKOSA MAJIBU

    • @MohamedMohamed-u3t1n
      @MohamedMohamed-u3t1n 2 หลายเดือนก่อน

      @@DeusdeditMichael hakuna hoja haina majibu wamekosa majibu ina maana hawakuzungumza hapo huo ndacha hawahubirii waislamu bali nyie kuwaliwaza tu ili kanisa lisipungue

  • @DodomaTanzania-r5z
    @DodomaTanzania-r5z 3 หลายเดือนก่อน

    Mpiga picha mbona huoneshi waislamu kama wamenyanyua mikono😂😂 umezingua

  • @jumamnyonge2148
    @jumamnyonge2148 2 หลายเดือนก่อน +1

    Ndacha umeona Sasa ukadanganye wacongo baada ya kushindwa uku

  • @fxair2103
    @fxair2103 3 หลายเดือนก่อน

    Hahaha mtakuwa wanakwaya

  • @aminiahmad-i9q
    @aminiahmad-i9q 2 หลายเดือนก่อน

    Sasa munaogopa nini mbona hii clip iko upande wenu tu hamuja changanya hoja za waisilamu kama wewe nimkweli.

    • @DeusdeditMichael
      @DeusdeditMichael 2 หลายเดือนก่อน

      Kuna dalili labda hawakujibu hoja

  • @jumamnyonge2148
    @jumamnyonge2148 2 หลายเดือนก่อน

    Muhammad nimtume wa mwenyezimungu na Yesu ni Mtume wa Mungu jee kiongoz wa Sda na ni Mtume Mwanamke alitumwa na nani wambiye watu wa congo

    • @CaltonMallya-zj6cp
      @CaltonMallya-zj6cp 2 หลายเดือนก่อน

      Muhamadi ni mtume wa mungu wa Dunia hii 2Wakorintho 4
      3 Lakini ikiwa injili yetu imesitirika, imesitirika kwa hao wanaopotea;
      4 ambao ndani yao mungu wa dunia hii amepofusha fikira zao wasioamini, isiwazukie nuru ya injili ya utukufu wake Kristo aliye sura yake Mungu.

    • @jumamnyonge2148
      @jumamnyonge2148 2 หลายเดือนก่อน

      @@CaltonMallya-zj6cp Kwa uyo amekwandiya hayo maneno ili ya kufikiye wewe na muamini ni Mtume wanani

    • @jumamnyonge2148
      @jumamnyonge2148 2 หลายเดือนก่อน

      @@CaltonMallya-zj6cp utafata ya Mungu ama ya Paulo iyo wakorintho ni Paulo anapata Kwa njia hiyo sawa kabla niamini haya maneno acha nikurudishe tu Kwa uyo Paulo

    • @jumamnyonge2148
      @jumamnyonge2148 2 หลายเดือนก่อน

      @@CaltonMallya-zj6cp Filemoni 1:19 Mimi Paulo nimeandika Kwa mkono wangu mwenyewe Mimi nitalipa Sikuambii kwamba nakuwia hata nafsi yako

    • @jumamnyonge2148
      @jumamnyonge2148 2 หลายเดือนก่อน

      Niambiye wewe unafata ya mtu ama ya Mungu mwenyewe wapi Uyo Mungu wako kristo anasema mwenyewe Mimi kristo ni Mungu ili nione kweli hamjapotea

  • @twahahamisi9924
    @twahahamisi9924 3 หลายเดือนก่อน

    Vipande walivyo ongea waislam umeviondoa

    • @CLIVEMNYASA
      @CLIVEMNYASA 3 หลายเดือนก่อน +1

      zipo walizopost nzima kabisa, yani mwalimu wa kiislamu, alipotea hado huruma

  • @MohamedMohamed-u3t1n
    @MohamedMohamed-u3t1n 2 หลายเดือนก่อน

    Makafiri wanafurahi wenyewe wanavoingizwa motoni na na huyo kafiri ndacha analisha tu matango pori hapo

    • @jameskilasa759
      @jameskilasa759 2 หลายเดือนก่อน

      Uzur hoja hapo inasomwa kupitia maandiko au huna akili

    • @MohamedMohamed-u3t1n
      @MohamedMohamed-u3t1n 2 หลายเดือนก่อน

      @jameskilasa759 hoja gani mtu anapindisha maandiko anaweka tafsiri anavotaka yeye lete hoja yake moja nikujibu hamna majibu nabii muhammad kufa ni haki yake sisi hatumuabudu mtume muhammad ukisikia muisalamu anaabudu mtume muhammad huyo sio muislam sasa tunawaona hamjielewi mungu wenu mnamfananisha na nabii wa mungu

    • @MohamedMohamed-u3t1n
      @MohamedMohamed-u3t1n 2 หลายเดือนก่อน

      Dah yani hizo tafsri za ndacha mtihani eti katoa ushihidi waislam wale nguruwe katika quran 😃😃 eti ndio mwalimu huyo na anafundisha kwa uongo huo utawapata hao hao wavivu wa kuabudu

    • @DeusdeditMichael
      @DeusdeditMichael 2 หลายเดือนก่อน

      ​@@MohamedMohamed-u3t1n
      LUKA 16:16-17
      16 Torati na manabii vilikuwapo mpaka Yohana; tangu wakati huo habari njema ya ufalme wa Mungu hutangazwa, na kila mtu hujiingiza kwa nguvu.
      17 Lakini ni vyepesi zaidi mbingu na nchi vitoweke, kuliko itanguke nukta moja ya torati.
      MANABII NI KABLA YA UJIO WA YESU KRISTO, NA BAADA YA YESU HAKUJA NABII TENA.

    • @CaltonMallya-zj6cp
      @CaltonMallya-zj6cp 2 หลายเดือนก่อน

      Kafiri ni muhamadi aliyekuja kutumika kupinga maandiko matakatifu na mungu wa Dunia (Alla)2 Wakorintho 4
      4 ambao ndani yao mungu wa dunia hii amepofusha fikira zao wasioamini, isiwazukie nuru ya injili ya utukufu wake Kristo aliye sura yake Mungu.

  • @aminiahmad-i9q
    @aminiahmad-i9q 2 หลายเดือนก่อน

    Ndacha unadaganya watu aiii quran haimanishi hivyo door ama were ni muovu

  • @salimchimwaga8384
    @salimchimwaga8384 3 หลายเดือนก่อน +2

    Sikutumwa ila kwa kondoo waliopotea wa nyumba ya 👉 Israel.
    SASA NYIE WAKRISTO NI WAISRAEL???
    UKISOMA QURAN HAUEEZ ONA ANDIKO ET MUHAMMAD NI WA WAARAB TU HAKUNA NA HALITOTOKEA.

    • @jpmanotaofficial639
      @jpmanotaofficial639 3 หลายเดือนก่อน +2

      Yesu akasema enendeni ulimwenguni pote mkahiubiri injili

    • @OLUNGAJOSHMAH
      @OLUNGAJOSHMAH 2 หลายเดือนก่อน

      Q80:1

    • @salimchimwaga8384
      @salimchimwaga8384 2 หลายเดือนก่อน

      @@jpmanotaofficial639
      Yeye alitumwa kwa kondoo waliopotea wa nyumba ya 👉 Israel hakusema nimetumwa kwa ulimwengu wote

    • @CaltonMallya-zj6cp
      @CaltonMallya-zj6cp 2 หลายเดือนก่อน

      Yohana 1
      11 Alikuja kwake, wala walio wake hawakumpokea.
      12 Bali wote waliompokea aliwapa uwezo wa kufanyika watoto wa Mungu, ndio wale waliaminio jina lake;​@@salimchimwaga8384

    • @CaltonMallya-zj6cp
      @CaltonMallya-zj6cp 2 หลายเดือนก่อน

      Marko 16
      15 Akawaambia, Enendeni ulimwenguni mwote, mkaihubiri Injili kwa kila kiumbe.
      16 Aaminiye na kubatizwa ataokoka; asiyeamini, atahukumiwa.

  • @jumahenriquesgeraldo9837
    @jumahenriquesgeraldo9837 2 หลายเดือนก่อน

    Siamini kuona wajinga baado wafwatilia ujinga wa ndacha! Lakini kwa ajili vitabu vimesema Jusus nyakati za ujinga basi endeleeni na ujinga wenu!

    • @FabianSimkonda
      @FabianSimkonda 2 หลายเดือนก่อน

      Bwana yesu asifiweeeee

    • @abdullahmasakata170
      @abdullahmasakata170 2 หลายเดือนก่อน

      @@FabianSimkonda Asifiwe amepata msiba mpaka afiwe?

    • @CaltonMallya-zj6cp
      @CaltonMallya-zj6cp 2 หลายเดือนก่อน

      2 Petro 2
      11 Wenye ushupavu, wenye kujikinai, hawatetemeki wakiyatukana matukufu; ijapokuwa malaika ambao ni wakuu zaidi kwa uwezo na nguvu, hawaleti mashitaka mabaya juu yao mbele za Bwana.
      12 Lakini hao kama wanyama wasio na akili, ambao walizaliwa kama wanyama tu wa kukamatwa na kupotezwa, wakikufuru katika mambo wasiyoyajua, wataangamizwa katika maangamizo yao;

    • @abdullahmasakata170
      @abdullahmasakata170 2 หลายเดือนก่อน

      @@CaltonMallya-zj6cp Kwenu hata mashetani nao wana amini Yakobo 2:19,Utaniambia nini nikuelewe. Soma Ufunuo juu ya arabuni 21,13-17.Alafu uje useme hayo maandiko mimi ndio nimeyatunga.

    • @abdullahmasakata170
      @abdullahmasakata170 2 หลายเดือนก่อน

      Kitabu cha Isaya

  • @salimchimwaga8384
    @salimchimwaga8384 3 หลายเดือนก่อน

    Kwanza hiyo injili ya Yesu iko wap wewe ndacha😂

    • @bustedislam3578
      @bustedislam3578 3 หลายเดือนก่อน

      Swali gani hiyo kweli? Nyinyi wafuasi wa marehemu Muhammad mnasema mnaamini injili, taurati na zaburi. Injili, taurati na zaburi zenye mnaamini ziko wapi?

    • @CLIVEMNYASA
      @CLIVEMNYASA 3 หลายเดือนก่อน

      Inasomwa hapo alafu unauliza iko wapi? 😅😅

    • @bustedislam3578
      @bustedislam3578 3 หลายเดือนก่อน

      @@CLIVEMNYASA Hawa wafuasi wa marehemu Muhammad ni balaa kabisa. Hawajielewi hata. Ni kama majini yanawasumbua

    • @Khalidmwangwai4651
      @Khalidmwangwai4651 2 หลายเดือนก่อน

      Hee tunamfwata Mohammed kabirin sababu sisi ni umma wake

    • @bustedislam3578
      @bustedislam3578 2 หลายเดือนก่อน

      @@Khalidmwangwai4651 Kwani yeye ndiye wakwanza kuingia kaburini? Hivi yeye alifwata nani huko? Nyinyi mwamfwata marehemu kaburini katika kifo, sisi tunamfwata Yesu kristo aliye hai katika uzima wa milele

  • @majamberemoses6329
    @majamberemoses6329 2 หลายเดือนก่อน +1

    Amen