NDACHA : JE MAJINI NI WA UKRISTO AU UISLAMU?

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 375

  • @ZachariaOino
    @ZachariaOino หลายเดือนก่อน

    May God bless you abaundantly ndacha kwa kazi nzuri ya injili iendelee mbele daima❤❤❤❤❤❤❤

  • @NsimireDorcas-eh4fs
    @NsimireDorcas-eh4fs 3 หลายเดือนก่อน +6

    Naomba unipe Namba zenu,sababu naona wewe Ni mshuhuda wa Mungu alie Hai naomba nambazenu za Sim .Mimi Niko Austrelia asante

    • @BIBLIANURUYADUNIA
      @BIBLIANURUYADUNIA 3 หลายเดือนก่อน

      +254705602959 Francis ndacha gatiba

  • @frankmwakalinga7455
    @frankmwakalinga7455 3 หลายเดือนก่อน +2

    Hii Dini inaonyesha wazi sio ya Mungu ni Dini ya shetani ila wamepumbazika
    Kusema hii Dini ni ya Mungu sio kweli
    Mungu hawezi kuchanyanywa na Majini wakati hao ni Malaika waasi
    Mungu aliwafukuza pamoja na Shetani!!

  • @clintonpatrick1153
    @clintonpatrick1153 24 วันที่ผ่านมา +1

    Like zenu kwa msomaji hapa👏

  • @wilsonkombeyeri4623
    @wilsonkombeyeri4623 3 หลายเดือนก่อน +5

    Uislamu na uchawi ni vimoja

    • @tbm7tv257
      @tbm7tv257 3 หลายเดือนก่อน

      Pole hujui usemalo. Kasome Qur,an 8:2

    • @prochesernest5439
      @prochesernest5439 3 หลายเดือนก่อน

      ​@@tbm7tv257 majini ni ndungu zenu waislamu majini ni wachawi Toka huko njoo Kwa Yesu kristo mwokozi wetu hupone jehanamu ipo

    • @RwegasiraHelmanBENJAMIN-lj7lm
      @RwegasiraHelmanBENJAMIN-lj7lm 2 หลายเดือนก่อน

      @@wilsonkombeyeri4623 Kwan wakristo hakuna wachawi? Tena sio wachawi tu had ndoa za jinsia moja kiongozi wenu mkuu kapitisha hilo

    • @RwegasiraHelmanBENJAMIN-lj7lm
      @RwegasiraHelmanBENJAMIN-lj7lm 2 หลายเดือนก่อน

      @@wilsonkombeyeri4623 kinachowanganya ni Quran kilichoandikwa hamuwez kukisoma ukijua kukisoma utajua

  • @ShakiraThabiti
    @ShakiraThabiti 3 หลายเดือนก่อน +2

    Asante endelea kufungua ufaham maana wengi wabishi lakini kwa ufundishaji huu utawaponya wengi ,HONGERA NDACHA

    • @shabbymakapane
      @shabbymakapane 3 หลายเดือนก่อน

      Ufundishaji Upi ??? Kwanza Hii Clip NDACHA Ameongea Peke yake ,Kwanini hawaonyeshi Mtetea Hoja wa KIISLAMU ??? pili Hizo Aya 3 za QURANI Alizotoa kila Aya Amesoma kiduchu Akakatiza hakumaliza Aya, 🤣🤣🤣 Huo ni UPOTOSHAJI , Si Mafundisho ,😂😂😂 Ni kweli MAJINI Yametajwa Ndani ya QURANI , MBOBA Ndani ya BIBILIA Pia Yametajwa ??? MAMBO Ya WALAWI 17:7 Wala jawatatoa tena SADAKA Zao Kwa Wale Majini . Ambao Huwafuata ili Kufanya UASHERATI Nao .🤣🤣🤣

    • @shabbymakapane
      @shabbymakapane 3 หลายเดือนก่อน

      Muongo Mkubwa Mpotoshaji wa MAANDIKO : MARKO 7:6-9 MARKO 8:33 Soma hiyo 🤪🤪🤪

    • @barakalawrence742
      @barakalawrence742 3 หลายเดือนก่อน

      Shabby acha ubishi , hautakusaidia

    • @NeemaKayinga
      @NeemaKayinga 2 หลายเดือนก่อน

      @@barakalawrence742 wewe shabby unabisha nini

    • @shabbymakapane
      @shabbymakapane หลายเดือนก่อน

      @@barakalawrence742 Sio Niache Ubishi NDACHA ( 1 ) ni Mpotoshaji wa Maandiko (2) Anatumia vitabu vingi Ambavyo si vya MUNGU ,(3) Mbona Hasomi Majini yaliyoandikwa ndani ya BIBILIA ???

  • @fabricenindagiye1143
    @fabricenindagiye1143 2 หลายเดือนก่อน

    Ndacha Mu Burundi tugukurikirana 100%
    Ndacha Burundi tunakufuata asilimia mia❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
    Nangependa waislam waokoke.

  • @Babu.Suwa.Yoshua01
    @Babu.Suwa.Yoshua01 2 หลายเดือนก่อน

    J'aime

  • @BernardUrassa-lq8so
    @BernardUrassa-lq8so 2 หลายเดือนก่อน

    Yesu alikuwepo kabla ya Dunia kuwepo

  • @MjumbeAgano
    @MjumbeAgano 22 วันที่ผ่านมา

    Ndugu ya waislamu ni majini na mashetani.

  • @lukazakayaMlaiza-e5k
    @lukazakayaMlaiza-e5k 2 หลายเดือนก่อน

    chunga alshabar

  • @hamishassan6784
    @hamishassan6784 หลายเดือนก่อน

    mbona conterpart umekata na hata hio Surat Jini hukuendelea Jamani kumbe we hilo ndio lengo lako !!!!!!

  • @nuhukenny7183
    @nuhukenny7183 14 วันที่ผ่านมา

    Wewe ndaca huna Elimu.
    Majinn Kuna Waislam na Kuna wa Christu. Kwanza na u Chritu sio dini.😂 unasemaaje U Christu ni dini?? Hayo ni Majinn aliye potea njia kama ginsi nyinyi Mulipotea. Hamna dini. Mulijiita wa Christu

  • @salminikabanda5154
    @salminikabanda5154 หลายเดือนก่อน

    Naomba muweke na vipande vya video mlizo jibiwa maswali uenu. Mbona mmekata vipande vyenye majibu mliyo jibiwa? Ukweli wenu utajulikanaje kama mnaweka maswali yasiyo na majibu?

  • @sebastiansalamba313
    @sebastiansalamba313 หลายเดือนก่อน

    Hautakuta Abadan jini anaongea Mimi Petro hakuna

  • @anafikamugisha8834
    @anafikamugisha8834 3 หลายเดือนก่อน +1

    Ndacha ndacha ndacha ❤❤❤❤❤🎉🎉🎉

  • @lukazakayaMlaiza-e5k
    @lukazakayaMlaiza-e5k 2 หลายเดือนก่อน

    ndacha usibanduke shikilia hapo hapo

  • @NathanielNathan-m4o
    @NathanielNathan-m4o 3 หลายเดือนก่อน +1

    Ndacha wape kichapo na maandiko yao😂😂

  • @frankmwakalinga7455
    @frankmwakalinga7455 3 หลายเดือนก่อน +1

    Hio dini ni ya majini

  • @allymtito8117
    @allymtito8117 2 หลายเดือนก่อน

    Wakristo mnapotezwa hakuna mtume yeyote alo pita ila alikuwa katika dini ya uislamu, afu mbona mwamini Ibrahimu tuambieni alikua dini gani maana ilipita miaka mingi ndo akaja issa (yesu)???? Kaeni mkijuwa hakuna dini ya kweli ispokuwa ni moja tu nawo ni uislamu

    • @FridayMwassa
      @FridayMwassa 2 หลายเดือนก่อน

      Mungu hajawahi kuleta dini umedanganyika wewe, Ibrahim alikuwa mwebrania kwa kabila na mcha Mungu tu, mwislam wa kwanza ni Muhammad

  • @SurprisedClownfish-ks3fn
    @SurprisedClownfish-ks3fn 2 หลายเดือนก่อน

    Wapatie dozi visogi saba za priton..😂😂

  • @Visionofeagle9689
    @Visionofeagle9689 3 หลายเดือนก่อน +2

    Hii wamekaangwa kama ma ndazi😂

    • @fxair2103
      @fxair2103 3 หลายเดือนก่อน +1

      Hahahah

    • @BzzajoyhatungLeonidas
      @BzzajoyhatungLeonidas 3 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂.nimeipenda hii ikweli.nafikiri kupitia hii wengeni wataokorewa.

    • @shabbymakapane
      @shabbymakapane 3 หลายเดือนก่อน

      @@BzzajoyhatungLeonidas Nani Kasema kumbuka Hawajaonyesha MUISLAMU Anavyojibu 🤣🤣🤣 Katoa Aya 3 za QURANI Na zimesomwa Kiduchu hazijamaliziwa 😃😃😃 Akakimbilia VITABU Vya kando huyo Ndio NDACHA Mpotoshaji

    • @shabbymakapane
      @shabbymakapane 3 หลายเดือนก่อน

      @@fxair2103 MAMBO YA WALAWI 17;7 Wala hawatatoa Tena SADAKA Zao kwa Wale MAJINI,😂😂😂 Tukienda kama Ndacha Anavyosoma na Kwa Akilizenu WAKRISTO na MAJINI ni NDUGU😜😜😜

    • @shabbymakapane
      @shabbymakapane 3 หลายเดือนก่อน

      2 MAMBO YA NYAKATI 11:15 Na Akajiwekea MAKUHANI WA MAHALI Pajuu na Wale MAJINI , 😹😹😹 UFUNUO WA YOHANA 2 : 11-13 KITICHA ENZI CHA SHETANI Kipo KANISANI😃😃😃

  • @DodomaTanzania-r5z
    @DodomaTanzania-r5z 3 หลายเดือนก่อน +2

    Muislamu na majini havitenganishwi

    • @tbm7tv257
      @tbm7tv257 3 หลายเดือนก่อน

      Ni kweli ila wale waliyoamini Tauhid. Yaani Allah hakuzaa wala hakuzaliwa. Hao wengine ni wenu

    • @shabbymakapane
      @shabbymakapane 3 หลายเดือนก่อน

      NDAVHA Amesoma Aya 3 tu Ndani ya QURANI Na hazikusomwa Mpaka Mwisho. Akahamia VITABU Vya Nje ya QURANI ,🤣🤣🤣 ; MAMBO YA WALAWI 17:7 Wala Hawatota tena Sadaka zao kwa wale MAJINI ; 🤣🤣🤣 Tukienda na Akili zenu WAKRISTO na MAJINI ni NDUGU

    • @NeemaKayinga
      @NeemaKayinga 2 หลายเดือนก่อน

      @@shabbymakapane walikua wakiabudu miungu.MUNGU ALIKATAZA

    • @shabbymakapane
      @shabbymakapane 2 หลายเดือนก่อน

      @@NeemaKayinga Ala Kumbe BIBILIA Imewandika MAJINI Ma SHETANI , IBILISI , ila NI WATAKATIFU Si Ndio Lakini Wakitajwa kwwnye QURANI Ndio HARAMU ???🤣🤣🤣

    • @shabbymakapane
      @shabbymakapane 2 หลายเดือนก่อน

      @@NeemaKayinga Ngoja Nikuonyeshe ndani ya QURANI Allah Ametuonya na Kutukaza , QURANI 2:208 Enyi Mlioamini! Ingieni Katika Hukumu za UISLAMU Zote , Wala Msifuate Nyayo za SHETANI ; kwa hakika yeye Kwenu ni Adui Dhahiri, 🙏🙏🙏 QIRANI 2:257 Mwenyezi MUNGU Ni Mlinzi Wa Wale Walioamini . huwatoa katika Giza Na kuwaingiza katika Mwangaza . Lakini WALIOKUFURU , walinzi Wao ni MASHETANI . Huwatoa katika MWANGAZA Na Kuwaingiza katika GIZA . Hao Ndio Watu WAMOTONI Humo Watakaa MILELE, 🤣🤣🤣 QURANI 4:120. ( SHETANI ) Anawaahidi ( Mambo Ambayimo hayatakuwa ): " Na Anawatumainisha ( Ambayo Hawatayaoata ); Kwani SHETANI Hawaahidi ila UDANGANYIFU.🤣🤣🤣. QURANI 5:90 Enyi Mlioamini! Bila Shaka ULEVI na KAMARI Na KUABUDIWA ( Na KUOMBWA ) Asiyekuwa Mwenyezi MUNGU , Na Kutazamia kwa Mishale ya Kupiga RAMLI ( Na kwa Vinginevyo ); ( Yote haya ) Ni UCHAFU ( Ni ) Katika Kazi ya SHETANI . BASI JIEPUSHENI NAVYO Ili Mpate KUFAULU , QURANI 5:91 Hakika SHETANI Anataka Kukutilieni UADUI na BUGUDHA Baina yenu Kwa Ajili ya ULEVI na KAMARI Na Anataka Kukuzuilieni Kumkumbuka Mwenyezi MUNGU na ( KUKUZUILIENI ) KUSALI , Basi Je, Mtaacha ( MABAYA Hayo ) ? AYA HII INAMUHUSU NDACHA QURANI 7:175 Na Wasomee Habari za Yule Tuliyempa Aya zetu ( KUZIJUA ) , Kisha Akajivua nazo ( Aaizifuate ). Na SHETANI Akamfuata . Akawa MIONGONI MWA WAPOTOSHAJI , 🙆‍♂️🙆‍♂️🙆‍♂️ Subhana llah . QURANI 8:2 Hakika Wanaoamini kweli ni Wale Ambao Anapotajwa Mwenyezi MUNGU Nyoyo zao hujaa Khofu ; Na Wanaposomewa Aya Zake Huwazidishia IMANI , Na Wakamtegemea Mola Wao tu Basi ; ( Hawana Kuamini MIZIMU wala. PANGO wala SHETANI wala MAKABURI wala VINGINEVYO ) QURANI 16:98 -99 Na Ukitaka Kusoma QURANI Piga AUDHU ( Kwanza , Jikinge ) Kwa Mwenyezi MUNGU ( Akulinde ) na SHETANI Aliyefukuzwa ( Katika Rehma Yake Mwenyezi MUNGU. Anza kwa Kusoma Audhu ). 99 Hakika Yeye. ( SHETANI ) Hana Nguvu juu ya wale WALIOAMINI Na Wanaomtegemea Mola wao . 🙏🙏🙏 QURANI 17:53 Na Waambie Waja Wangu Waseme ( DAIMA Maneno ) Yaliyo MAZURI ; Maana. SHETANI Huchochea ( UGOMVI ) Baina yao . Hakika SHETANI Kwa MWANADAMU ni ADUI Aliye DHAHIRI 🙏🙏🙏 QURANI 24:21. Enyi Mlioanini! Msifuate Nyayo za SHETANI ; Na Atakayefuata Nyayo za SHETANI ( Atapotea ) Kwani yeye Huamrisha Mambo ya AIBU na MAOVU ; Na Lau kuwa Si Fadhila za Mwenyezi MUNGU Na Rehma yake Juu yenu Asingalitakasika Miongoni Mwenu hata Mmoja , Lakini Mwenyezi MUNGU Humtakasa Amtakaye , Na Mwenyezi MUNGU ni Mwenye Kusikia ( na ) Mwenye Kujua . 🙏🙏🙏 Aya za Shetani ni Nyingi Mno , ila Kwa Leo Naishia Hapa kama Hujatosheka sema Nizidi Kukushushia ,

  • @jumahenriquesgeraldo9837
    @jumahenriquesgeraldo9837 2 หลายเดือนก่อน

    Kabla ya yesu kuzaliwa. Nyie wakristo mulikuwa munamwaabu nani? Huo ni upagani wewe ndacha!

    • @FridayMwassa
      @FridayMwassa หลายเดือนก่อน

      Kabla ya kuja Yesu, hapakuwepo wakristo bali wayahudi ndiyo watu wa kwanza kuabudu Mungu wa kweli, waarabu, wazungu, waafrika tulikuwa tunaabudu miungu.Baada ya kuja Yesu ndipo watu wote wakaanza kuabudu Mungu wa kweli ambaye aliabudiwa na Ibrahim, Isaka na Yakobo,na ndipo imani akatufikia sote,hata hao waarabu walikuwa ni wakristo wazuri lakini alipokuja Muhammad akaanza kuwalaximisha wasilimu na walimkataa aliwauwa.Na hata mafundisho yake hayahimizi upendo

  • @RwegasiraHelmanBENJAMIN-lj7lm
    @RwegasiraHelmanBENJAMIN-lj7lm 3 หลายเดือนก่อน

    Na mizimu nayo ni waislam au ni kristo?

  • @masweto
    @masweto 2 หลายเดือนก่อน

    Wape kichapo hao washirikina

  • @tsumamartin6878
    @tsumamartin6878 3 หลายเดือนก่อน +1

    Wape dozi lao

  • @bustedislam3578
    @bustedislam3578 3 หลายเดือนก่อน +1

    Swali kwa wafuasi wa marehemu Muhammad: hivi majini waliosilimu wataingia peponi pamoja nanyi? Watapewa wanawake wengi kama nyinyi?

    • @tbm7tv257
      @tbm7tv257 3 หลายเดือนก่อน

      Hujui maana yakusilimu ndo mana. Tafuta maana yakusilimu kwanza.

    • @bustedislam3578
      @bustedislam3578 3 หลายเดือนก่อน

      @@tbm7tv257 Wewe uliye mfuasi wa hii dini ya marehemu Muhammad unaweza kutyambia sisi wafuasi wa Yesu kristo aliye hai ambaye unadai kwamba hatujui maana ya kusilimu...

    • @shabbymakapane
      @shabbymakapane 3 หลายเดือนก่อน

      UFUNUO WA YOHANA 11:13 Kiti cha Enzi Cha SHETANI Kipo KANISANI , Soma BIBILIA wewe. MAMBO YA WALAWI 17:7 Wala Hawatatoa tena Sadaka zao kwa Wale MAJINI , 🤣🤣🤣 2 MAMBO YA NYAKATI 11:15 Na Akajiwekea MAKUHANI Wa Mahali pajuu Na WALE MAJINI 🤣🤣🤣

    • @bustedislam3578
      @bustedislam3578 3 หลายเดือนก่อน

      @@tbm7tv257 Kusilimu inamaanisha Nini?

    • @bustedislam3578
      @bustedislam3578 3 หลายเดือนก่อน

      @@shabbymakapane Mada yenyewe Iko wazi. Hawatatoa tena sadaka kwa ndugu zenu majini. Lakini nyinyi mnawasilimisha

  • @msafirimfyagichi5942
    @msafirimfyagichi5942 2 หลายเดือนก่อน

    Hii kali

  • @jumahenriquesgeraldo9837
    @jumahenriquesgeraldo9837 2 หลายเดือนก่อน

    Na malaika wana dini gani? Kwasababu ukristo mbinguni haupo!

  • @YusufDaudi-v5f
    @YusufDaudi-v5f 3 หลายเดือนก่อน

    Mbona wakata nusu weka full wewe mrongo

  • @salimchimwaga8384
    @salimchimwaga8384 3 หลายเดือนก่อน

    Kwa mujib wa Quran wapo majini ya kiislaam na ya kikristo.

    • @bustedislam3578
      @bustedislam3578 3 หลายเดือนก่อน

      Kwa andiko gani?

    • @shabbymakapane
      @shabbymakapane 3 หลายเดือนก่อน

      @@bustedislam3578MAMBO YA WALAWI 17:7 Wala hawatatoa tena Sadaka zao kwa Wale MAJINI ;🤣🤣🤣😊

    • @shabbymakapane
      @shabbymakapane 3 หลายเดือนก่อน

      @@bustedislam3578 UFUNUO WA YOHANA 2. : 11-13 Kiti cha Enzi kipobKANISANI 🤣🤣🤣

    • @bustedislam3578
      @bustedislam3578 3 หลายเดือนก่อน

      @@shabbymakapane Pengine majini wamekuchanga... Amri ya Mungu inasema wale waliokua wakitolea majini hawata watolea tena. Sasa hoja yako mbovu ni gani?

    • @bustedislam3578
      @bustedislam3578 3 หลายเดือนก่อน

      @@shabbymakapane Soma vizuri. Imeandikwa kabisa zote? Na wameandikia malaika wa kanisa la Pergamu. Inamaanisha ndani ya kanisa kuna malaika. Lakini hilo kanisa limevamiwa na ndugu zenu majini

  • @shabbymakapane
    @shabbymakapane 2 หลายเดือนก่อน

    QURANI 7:175 Na Wasomee Habari za yule Tuliyempa Aya zetu ( Kuzijua ), Kisha Akajivua Nazo ( Asizifuate ). Na SHETANI Akamfuata Akawa Miongoni Mwa Wapotezaji, 🤣🤣🤣. NDACHA, NDACHA , NDACHA , Unapotosha huku Ukijuwa kuwa Unapotosha ,

  • @georgeachiengrestinpeacebr7215
    @georgeachiengrestinpeacebr7215 3 หลายเดือนก่อน

    Sura ya majini Iko kwa Qur'an

    • @shabbymakapane
      @shabbymakapane 3 หลายเดือนก่อน

      MAMBO WALAWI 17:7 Wala hawatatoa tena Sadaka zao kwa Wale MAJINI , 😂😂😂. 2 NYAKATI WA PILI 11:15 Na Akajiwekea MAKUHANI wa MAHALI Pajuu na Wale MAJINI ,🤣🤣🤣 UFUNUO WA YOHONA 11 -13 KITI CHA ENZI CHA SHETANI KIPO KANISANI🤣🤣🤣😂😂😂

    • @SiriliNachan
      @SiriliNachan 2 หลายเดือนก่อน

      ​@@shabbymakapaneeb acha kupotosha maneno unayoongea kweny bibilia hayapo

    • @SiriliNachan
      @SiriliNachan 2 หลายเดือนก่อน

      ​@@shabbymakapaneeb acha kupotosha maneno unayoongea kweny bibilia hayapo

    • @shabbymakapane
      @shabbymakapane 2 หลายเดือนก่อน

      @@SiriliNachan Masikini 🙆‍♂️🙆‍♂️🙆‍♂️ Hilo Ndio Tatatizo 🤣🤣🤣 Mkiambiwa Someni BIBILIA Hamtaki Mnapenda Porojo za Mdomoni 🤣🤣🤣 Soma MARKO 7:6-8 na MARKO 8;33🤣🤣🤣

    • @shabbymakapane
      @shabbymakapane 2 หลายเดือนก่อน

      @@SiriliNachan UFUNUO WA YOHANA 2 : 11-13 Kiti cha enzi kipo kanisani ,🤣🤣🤣 MAMBO YA WALAWI 17:7 MAJINI 😃😃😃

  • @zuberkasim7150
    @zuberkasim7150 3 หลายเดือนก่อน +4

    Majini ni yawakristo kilasiju makanisani yanatolewa

    • @JojoSrena
      @JojoSrena 3 หลายเดือนก่อน +1

      Yakitorewa makanisani yanakimbiyaga kwa mskiti wanayapokeyawanafika wanaslimisha yanakuwa waislam

    • @JojoSrena
      @JojoSrena 3 หลายเดือนก่อน +1

      Towa aya. Majini wali batizwa. Wakawa wakristu

    • @Alexfadhili6404
      @Alexfadhili6404 3 หลายเดือนก่อน

      @@JojoSrenaAmen ❤

    • @Alexfadhili6404
      @Alexfadhili6404 3 หลายเดือนก่อน

      Kasome kwanza bwana @Zuberkasim7150.

    • @leonardadd
      @leonardadd 3 หลายเดือนก่อน

      Wacha kutafsiri,, sikiliza Quran inasema nn😂😂

  • @bustedislam3578
    @bustedislam3578 3 หลายเดือนก่อน

    Yaani majini wamepewa thamani sana ndani ya hii dini kiasi kwamba waliandika haya kathaa ndani ya Quran! Hii dini ya marehemu Muhammad ni balaa kabisa

    • @tbm7tv257
      @tbm7tv257 3 หลายเดือนก่อน

      Balaa mnalo nyie mnaegeuza nyumba ya Mungu kuwa sehemu Dance. Wanawake wanakuja uchi.

    • @bustedislam3578
      @bustedislam3578 3 หลายเดือนก่อน

      @@tbm7tv257 Uislamu na uongo ni sawa... Uongo ni maisha ya majini na shetani na hao walisilimu. Kwahiyo ni ndugu zenu waislamu. Pole sana

    • @shabbymakapane
      @shabbymakapane 3 หลายเดือนก่อน

      Kumbuka MUHAMAD Sio MUNGU wala Sio MALAIKA Ni Mtu kama wewe ndio Maana Amefaliki

    • @shabbymakapane
      @shabbymakapane 3 หลายเดือนก่อน

      Pili , Majini Yametajwa katika VITABU Vyote , MAMBO YA WALAWI 17;7 Walahawatao tena Sadaka zao kwa wale MAJINI:🤣🤣🤣 UFUNUO WA UOHANA 2:11-13 Kanisani ndiko kwenye kiti cha Enzi cha SHETANI 🤣🤣🤣

    • @bustedislam3578
      @bustedislam3578 3 หลายเดือนก่อน

      @@shabbymakapane Yaani Yesu siyo mtu kama wewe sababu unaamini hajawahi kufa?

  • @NeemaKayinga
    @NeemaKayinga 3 หลายเดือนก่อน

    sisi wakristo tunayafukuza -majni kwa moto wa roho mtakatifu na amri tumepewa ya kuwafanya chochote.

    • @shabbymakapane
      @shabbymakapane 3 หลายเดือนก่อน

      MAMBO Ya WALAWI 17:7 Wala hamtatoa tena Sadaka zenu kwa Wale MAJINI : 🤣🤣🤣 , MDACHA Ni Janja janja Sana , Ametoa Aya 3 Tu ndani ya QURANI Na Zimesomwa Kidichu kisha Anahamia Aya Nyingine huyu mi Mpotoshaji Mpotezaji ,

    • @NeemaKayinga
      @NeemaKayinga 2 หลายเดือนก่อน

      @@shabbymakapane hapo walikuwa wanaambiwa kuwa wasitoe sadaka kwa miungu,soma kumb la torati 32;17

    • @NeemaKayinga
      @NeemaKayinga 2 หลายเดือนก่อน

      luka 10;19.tazama nimewapa amri ya kukanyaga nyoka[shetani] nge[wachawi] na nguvu zote za yule adui wala hakuna kitu kitakachowadhuru

    • @shabbymakapane
      @shabbymakapane 2 หลายเดือนก่อน

      @@NeemaKayinga KUMBUKUMBU LA TORATI Walitoa Sadaka kwa PEPO , Si MUNGU Kwa MIUNGU WASIO ijua Kwa MIUNGU MIPYA Iliyotokea Siku Zilizo Karibu, Ambayo Baba Zenu Hawakuigopa ,😜😜😜 ndio nini Sasa???😜😜😜 Kimbe IBILISI AKA JINNI AKA SHETANI AkA pepo Yapo Tangu zamani Eeee 😂😂😂

    • @NeemaKayinga
      @NeemaKayinga 2 หลายเดือนก่อน

      ​@@shabbymakapane shabby nataka unieleze kuhusu huo ushuhuda wa mchungaji afu kuna kitu nitakwambia

  • @sulehassanshall6140
    @sulehassanshall6140 3 หลายเดือนก่อน +1

    Bblia inasema kanisani kuna kiti cha enzi cha shetani ..

    • @yamungummungulo633
      @yamungummungulo633 3 หลายเดือนก่อน

      Kasome hilo andiko vizuri ujue ni wakat gan na kwanini? Wokovu sio ushabiki

    • @yamungummungulo633
      @yamungummungulo633 3 หลายเดือนก่อน

      Kasome hilo andiko vizuri ujue ni wakat gan na kwanini? Wokovu sio ushabiki

    • @sulehassanshall6140
      @sulehassanshall6140 3 หลายเดือนก่อน

      @@yamungummungulo633 yesu hukuketa Dini yaukiristo munamsingizia Nabii wamungu uongo .ole wakiristo ..mutarnda Jahannam yamilele shauri zenu

    • @SurprisedClownfish-ks3fn
      @SurprisedClownfish-ks3fn 2 หลายเดือนก่อน

      Thibitisha kimaandiko...

    • @FridayMwassa
      @FridayMwassa 2 หลายเดือนก่อน

      ​@@sulehassanshall6140Unamsingizia Yesu wakati hamumjui zaidi sana unayemjua ni Isa

  • @RwegasiraHelmanBENJAMIN-lj7lm
    @RwegasiraHelmanBENJAMIN-lj7lm 3 หลายเดือนก่อน

    Acha upuuz wako utambatizaje mtu mtu hasiyejua chochot na majin hayawez kuasiliwa na biblia kwa sababu hakuna nguvu ya kuunguza jin et

    • @NeemaKayinga
      @NeemaKayinga 2 หลายเดือนก่อน

      JINA LA YESU KIBOKO YA MAJINI