Asante Fr.kwa mahubiri mazuri yaliyo jaa hekima busara za ki Mungu ucheshi na wosia mzuri kwa Baba Chesco.Hakika umetushibisha na sisi tulioko huku Lushoto.
( FR. Padre AllYEMLEA CHESCO) THANK YOUR SO MUCH FOR HELPING African a country s AND ALL WORLD. WE THANK YOU FOR THE LORD GOD BLESSING YOUR IN AFRICAN. THANKS.
Safiabisa kwa mahubiri,na Hongera sana Fr.Chesico
Amen sana baba, tunamshukuru mungu kwa speech yako nzuri na ya kueleweka
Asante Fr.kwa mahubiri mazuri yaliyo jaa hekima busara za ki Mungu ucheshi na wosia mzuri kwa Baba Chesco.Hakika umetushibisha na sisi tulioko huku Lushoto.
( FR. Padre AllYEMLEA CHESCO)
THANK YOUR SO MUCH FOR HELPING African a country s
AND ALL WORLD.
WE THANK YOU FOR THE LORD GOD BLESSING YOUR IN AFRICAN.
THANKS.
Fr. Asante sana kwa maubiri mazuri ya yaliyojaa furaha
Fr. Vicente
Fr ameongea neno zito sana.... kila mmoja anaguswa kwa sehem yake... inatafakarisha sanaa
Padre ni mhubiri mzuri unayeweza kumsikiliza bila kuchoka. Amehubiri vizuri. Hongera tena Pd. Chesco!
Hakika Padre Chesco walikuja nyuma ya kina Padre Onesphory Kayombo
Padre umehubiri vyema, na umemtaja kaka Yangu marehem Padre Onesphory Kayombo mlie kuwa nae shirikani hapo manyoni.
Pad tumekusikia
Huyu baba mcheshi......