ZABRON SINGERS MARCO ALIKUWA SHETANI MKUBWA SIRI NZITO YAFICHUKA KWENYE CHUMBA CHA SIRI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 30 ก.ย. 2024
  • SUBSCRIBE NOW

ความคิดเห็น • 19

  • @ClaudiaMapunda
    @ClaudiaMapunda 19 วันที่ผ่านมา

    MUNGU utusadieeeee😂🙏🙏

  • @AsitiaStelah
    @AsitiaStelah 15 วันที่ผ่านมา

    Shida ya huyu mtu nini

  • @christopherrichard3419
    @christopherrichard3419 20 วันที่ผ่านมา

    Acha bangi wewe

  • @FridahFridahcent-qk8hw
    @FridahFridahcent-qk8hw 24 วันที่ผ่านมา

    Kwa kweli munaeza furahia shida ya mtu, mufufuen awe hai ndo muongee imetosha

  • @salmatanzania
    @salmatanzania 18 วันที่ผ่านมา

    Ifike mahali mgeuke nyuma na mungu umuogope hakuna mkmilifu duniani Umeach kufanya yko kazi kufatilia mambo ya siyo kuhusu

  • @jumaasumuman
    @jumaasumuman 18 วันที่ผ่านมา

    Wadanganye wajinga kwanza nyumban hiyo inaonyesha Bado ujenzi una endelea ipo kwenye finishing pili yaonyesha haijaanza kutumiwa hâta maramoja na ndio maana hizo funguo hakipo hâta kwenye keeorder na ndio maana hâta ukapata nafasi ya kufanya huo ujinga wako Mungu atashughulika na wewe.

  • @MerrySeverine
    @MerrySeverine 25 วันที่ผ่านมา

    Hicho kibuyu ni chakwako na familia yako usitumalizie bando,unajifanya mtakatifu wew ndo mchawi na kama alkuwa freemason inakuhusu nn kuna chako kaondoka nacho??

  • @GracePatrick-zc2eb
    @GracePatrick-zc2eb 20 วันที่ผ่านมา

    Sasa mnaangaika kutukana nn duniani hakuna aliekamilika.hata kama alikuwa firimasoni mpka na yeye amelijua Hilo n kwamba walikuwa wote.

  • @MerrySeverine
    @MerrySeverine 25 วันที่ผ่านมา

    Hicho kibuyu ni cha kwako wew na hapo ndo chumban kwako usitumalizie bando katafute kazi nyingine ya kufanya usichukulie kifo cha mwenzako kama fursa ya kupata hela na hata kama alikuwa freemason kuna chako kaondoka nacho?

  • @selestianjoseph6119
    @selestianjoseph6119 26 วันที่ผ่านมา +1

    Watanzania hata ukimwambia mkojo una harufu mbaya atataka anuse. Lisemwalo lipo kama halipo laja

  • @deniswolfganglyimo
    @deniswolfganglyimo 27 วันที่ผ่านมา +1

    Dah subscription kwakuzima mshumaa!😂😂😂dah matapeli mnatabu sana,kazi mnayo aiseee😂😂😂🙌

  • @deniswolfganglyimo
    @deniswolfganglyimo 27 วันที่ผ่านมา +1

    Uongo tuu,tuoneshe familia yake,sabsikraibu sabusikraibu,we sema unataka ela bro,Mungu akulaani sana kaka unawasingizia haya.mimi sio nabii wala mdau huo ujinga,eti subscription mda wote,yanii,dah dunia hii,ukiwa hai wat wanakupigia pesa na ukifa wanakupigia pesa😂😂

  • @godih_m
    @godih_m 26 วันที่ผ่านมา

    Wewe ndo shetani mkubwa heshima huna hata nakuhurumia kaka🤦🏽‍♂️

  • @apostle_AngazaGN
    @apostle_AngazaGN 26 วันที่ผ่านมา

    Huo ni uongo,

  • @OmaryMashiku
    @OmaryMashiku 26 วันที่ผ่านมา

    Umekoswa kaz yakufanya tapeli mkubwa tuoneshe Familia yake

  • @MaggyYulempole
    @MaggyYulempole 26 วันที่ผ่านมา

    Nakupata mtumishi wa mungu , mungu akufinike na damu y yesu , ili uzidi kutufunulia mengi zaidi,

  • @MaryBosibori-o6c
    @MaryBosibori-o6c 25 วันที่ผ่านมา

    Watanzania hii nayo hapa mumezidi ebu acheni marc alala salama kinawahusi nini kwani wewe ni mungu ashalala achana na yeye hata uluma hauna kwa familia yake mchawi mkubwa wewe unatumi machozi ya wengine kutengeneza pesa ama wewe ndio ulimroga akafa sasa unaleta ujinga hapa kwa mitandao

  • @JeniferMkakatu-y7p
    @JeniferMkakatu-y7p 21 วันที่ผ่านมา

    eeeeeeh MUNGU wasaidiee hajuiii alitendalooo daaaah tusaideeeee sn kwakwe,🙏🙏🙏🙏🙏