Jamani..watu hawaogopi kua Kuna jehanam ya milele kwa waasi na wasio mwabudu Mungu Muumba Jehovah yaweh..haja gani niupate utajiri wahapa duniani wamda na mwishoe nafsi yangu ihukumiwe jehanam ya milele...😢
Hunahata hayaa yakuweka kichwa chabari apo komea mwenyewe na familia yako kitambo ulikuwa wao kusema unasubri mtu kafa ndounasema ujinga fkria sana kaka dunia tambala bovu kesho kwako nahata huna aibu kabisaaaaaa mi macho sasa unavoyatoa 😢😢😢😢😢
Cwezi kuamini , hebu mwambie ambye hajafa asimame aseme ukweli ambye yumo huko freemason , na mbn mpo sambamba sana n watu wa MUNGU wasemeni wengne, mnanimalizia tu bando aibu tu , najua amepumuzishwa n mungu hamunishawi,
Usimchafulie kijana wa zabron kawaida mtu akishatangulia mbele ya haki mnaanza kuongea utumbo wakati kaka marco ni mzima wa afya mlikuwa wap mbn hamkuongea chochote ushenzi huo kaeleze mbele ya familia yako
Mtu akifariki akawa na mali adi amabao walikuwa hawamfahamu wala kumjua utaskia alikuwa n ss freemason mara mganga alikosea masharti mara mke wa pili Mbn kipindi yupo hai hamkuonekanmnataft nmn ya kupat followers na watu wa kusubscribe😂😂😂 Acheni marco wa watu apumzike kwa amani n muache midomo midomo mtapat pigo moja hamtakujaa kuamni
Jamani. tuombee vijana wetu waokoke na kumjua MUNGU
Acha kudanganya watu et unamuabudu Mungu lucifa aliumbwa na Mungu ila alivyo mwasi Mungu akamtupa duniani
Ushidwe katika jina la yesu
Jamani..watu hawaogopi kua Kuna jehanam ya milele kwa waasi na wasio mwabudu Mungu Muumba Jehovah yaweh..haja gani niupate utajiri wahapa duniani wamda na mwishoe nafsi yangu ihukumiwe jehanam ya milele...😢
Hunahata hayaa yakuweka kichwa chabari apo komea mwenyewe na familia yako kitambo ulikuwa wao kusema unasubri mtu kafa ndounasema ujinga fkria sana kaka dunia tambala bovu kesho kwako nahata huna aibu kabisaaaaaa mi macho sasa unavoyatoa 😢😢😢😢😢
Shetani ashindwe katika jina la yesuuuuu😮
Amen
Liogo limelipwa linachafua watumishi wa mungu
Hee mungu atuonee huruma
Mungu ndo anajua sisi hatujui chochot
Ukiona mtu kavaa kofia namna hii uwemakini na story zake!!!!
😂😂😂😂😂 umenifurahisha wakati ni mambo ya uzuni tena uzuni Sana
🤣🤣🤣
Nimejikuta nacheka duuh😂😂😂😂
😂😂
Jana nikua n huyo freemason usiku sa sita😂😂😂😂😂 ishundwe
Yesu atusaidie
Hii story na maiko vinausinaje mbona kumchafua malehemu anajua yeye namungu wake
Tumuogope mungu jamanii tumuache apumzike kwa amani mateso na maumivu aliyo yapitia yanatosha sijui tanyamanza lini mimiiiii😭😭
Cwezi kuamini , hebu mwambie ambye hajafa asimame aseme ukweli ambye yumo huko freemason , na mbn mpo sambamba sana n watu wa MUNGU wasemeni wengne, mnanimalizia tu bando aibu tu , najua amepumuzishwa n mungu hamunishawi,
Pumbuvu sana hawa.. ogopeni Mungu
Stori za jaba,,,,,,,,, Kwanza hiyo kofia umevaa aje
Pepo wew shindwa na ulegee
Mupeleke uyo mutu Kotini,ni mujinga zaidi
Acha uwongoo kenge wew 😅
Usimchafulie kijana wa zabron kawaida mtu akishatangulia mbele ya haki mnaanza kuongea utumbo wakati kaka marco ni mzima wa afya mlikuwa wap mbn hamkuongea chochote ushenzi huo kaeleze mbele ya familia yako
Kwani ulizaliwa au ushidwe
Mtangazaji na ww huna akili unaanzaje kuhoji mpumbavu kama huyo
Haki niukwel umeongea anamarza mate yake mdomoni akihangaika na zezeta
Yupo kazini biashara matangazo..
Mbona wakati yuko hai mlikua hamsemi acheni uongo
Ashen
Utube ni kitegauchumi tegemezi kwa design hii ya matapeli. Hii kwa sasa ni shida kubwa!!!
Wacha kuharibia watu majina...waliyatengeneza
Mtu akifariki akawa na mali adi amabao walikuwa hawamfahamu wala kumjua utaskia alikuwa n ss freemason mara mganga alikosea masharti mara mke wa pili
Mbn kipindi yupo hai hamkuonekanmnataft nmn ya kupat followers na watu wa kusubscribe😂😂😂
Acheni marco wa watu apumzike kwa amani n muache midomo midomo mtapat pigo moja hamtakujaa kuamni
Wewe unachokiongea nin aise muogope mungu
Watu wahovyo hovyo Hawa
Schenectady
Mumuogope MUNGU , MUNGU achangamani na giza
Kalala koo kama huna kaxi ya kufany
Achani uongo hvi vjana mbona mmekuwa wavivu hamfanyi kazi mmekuwa wambea kwel l.
Du majanga
Goma kabisa tape line mkubwa ww
Are you crazy 🤣🤣🤣?
Upumbavu mtupu huna lolote
Tapeli wewe
Shetani mkumbwa wewe
Jamani muokoke
Ushidwe katika jina la yesu