MAKONDA APAGAWA, "MMEIBA, USINIPIGE MKWARA MIMI/ UNAFIKIRI MI ROJO ROJO? ,HIZI STORI SITAKI KUSIKIA"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 28 ก.ย. 2024
  • #UhondoTV #Uhondo

ความคิดเห็น • 50

  • @HanifaOman-oo4pl
    @HanifaOman-oo4pl 7 หลายเดือนก่อน +6

    Maashaallah makonda kumbe unaupenda uislam. Allah akubadili uwe muislam kwahurumawake. Maana.unaroho nzuri wadaliliyawatu wapeponi huwa wanarohonzuri

  • @lissaMetta
    @lissaMetta 3 หลายเดือนก่อน

    Asante sana baba, Mungu akubariki sana

  • @ahmedissa7882
    @ahmedissa7882 7 หลายเดือนก่อน +4

    Nice one muheshimiwa Makonda ushamaliza dozi

  • @rithamatiko4952
    @rithamatiko4952 6 หลายเดือนก่อน

    Km ofisi za ardhi baadhi yao Ni vibsks Kabisa wakupokonya viwanja vya wanainchi piga KAZI baba Makonda watanzania tuna Imani nawe

  • @JonasKatundu
    @JonasKatundu 7 หลายเดือนก่อน +1

    Mh. Makonda hicho kiwanja wameshauza manispaa watu wa ardhi ndio hutapeli wao wanao tumia tanzania nzima.

  • @hassanaliamin1104
    @hassanaliamin1104 7 หลายเดือนก่อน

    Tanzania Kuna uwozo wakutosha

  • @RachelNgalya
    @RachelNgalya 4 หลายเดือนก่อน

    Why shirima 😂😂😂kila kosa

  • @hubertmroso1664
    @hubertmroso1664 7 หลายเดือนก่อน

    Tunakataa kutengeneza mifumo ya kuongoza nchi, ikiwa ni pamoja na utawala WA Sheria na katiba tunaendesha nchi Kwa maigizo na mazingaumbwe!
    Nchi hii IPO mikononi Kwa Mwenyezi Mungu,,
    Tunashangaa mpaka Vatican inatumika kutetea hivi viini macho!!

  • @fredysiwale5413
    @fredysiwale5413 7 หลายเดือนก่อน

    Ofisi za CCM zispuuzwe ziongezewe nguvu zifanye kazi kama wewe

    • @hajihassan5433
      @hajihassan5433 7 หลายเดือนก่อน

      Bila shaka kama CCM ndio wenye Serikali, viongozi wa Serikali waelewe Boss wao ni CCM na ndio wenye Ilani inayotekelezwa.

  • @YolandaKomba-x6q
    @YolandaKomba-x6q 7 หลายเดือนก่อน

    Tuliwaza Namna ya kupata mtetezi wa wanyonge kumbe upo !!!

  • @AbrahamSekuza
    @AbrahamSekuza 7 หลายเดือนก่อน

    Uislamu hapo unanafasi gani mbona akili yako haitambui kufahamu hili au lile

  • @ezekielmbonile4082
    @ezekielmbonile4082 7 หลายเดือนก่อน

    Makonda,asaidiwe na Hapi na Sabaya akimaliza kesi mahakamani.

  • @mtahogarashid8488
    @mtahogarashid8488 7 หลายเดือนก่อน

    Mmmh Shirima ni shida nina mke Mchaga naishi nae kwa akili mno sana.

  • @AlexKinunda-j9l
    @AlexKinunda-j9l 7 หลายเดือนก่อน +2

    Makonda piga kazi nafutilia sana kwa kazi yako watetee wananchi wanyonge .Jamani watumishi wa uma kweli vibaka .

  • @emmanuelmlowe-ew7gx
    @emmanuelmlowe-ew7gx 7 หลายเดือนก่อน +1

    Wizi ni sifa kuu ya mchaga, Shirima ni mchaga wa Rombo.

  • @abdallahally842
    @abdallahally842 7 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu shirima lazima apelekwe mahakamani kila tatizo anatuhumiwa yeye

  • @katabaroonlinetv9688
    @katabaroonlinetv9688 7 หลายเดือนก่อน +1

    Marehemu kasakiziwa makonda big up Sana wamlipe watamalizana wao uko.😂😂😂

  • @YusufSasamalo-uz4ii
    @YusufSasamalo-uz4ii 7 หลายเดือนก่อน +2

    Fukuza hao maafisa ardhi,wanashida wababaishaji?

  • @RajabuomaRikiwani
    @RajabuomaRikiwani 7 หลายเดือนก่อน +1

    Lakini uyu shilima mbona ana ubinadam anzulumu watu masikini kwajili yapesa zake makonda onesha mfano

  • @josephngigi4779
    @josephngigi4779 7 หลายเดือนก่อน +1

    Mimi ni mkenya ila namwaminia sana huyu mwamba,. Bando zangu zinaisha nkifuatilia hizi ziara zake tangu aanze kule Dar

    • @mtahogarashid8488
      @mtahogarashid8488 7 หลายเดือนก่อน

      Magufuli mpya huyu jamaa.

    • @josephngigi4779
      @josephngigi4779 7 หลายเดือนก่อน

      @@mtahogarashid8488 huyu jamaa yuko vizuri, baada ya uchaguzi wa hapo mwakani mama anatakiwa ampe cheo kikubwa zaidi

  • @kassimmuktarymurji4242
    @kassimmuktarymurji4242 7 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu kamonga sio alikuwepo Dodoma jiji makonda unakazi,

  • @Zubaiba
    @Zubaiba 7 หลายเดือนก่อน +1

    Jamani 1985 umri wa mheshimiwa makonda(magufuli mdogo

  • @joslinchuwa1298
    @joslinchuwa1298 7 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu shirika ni tapeli ni zaidi ya jambazi

  • @ilynpayne7491
    @ilynpayne7491 7 หลายเดือนก่อน

    Shirima mwizi shenzi hafai

  • @bahatirobert1009
    @bahatirobert1009 7 หลายเดือนก่อน +2

    Shirima shirima mbona unatajwa sana

  • @mbwanahasan2971
    @mbwanahasan2971 7 หลายเดือนก่อน +3

    Duh shirima noma

  • @katabaroonlinetv9688
    @katabaroonlinetv9688 7 หลายเดือนก่อน +1

    Shirima unaharibu shirima😂😂😂

  • @sophiaibrahim2249
    @sophiaibrahim2249 6 หลายเดือนก่อน

    Nahitaj

  • @jumamnumbwa9483
    @jumamnumbwa9483 7 หลายเดือนก่อน

    Utaratibu wa Nyerere ilikuwa huo ,nguvu ya chama tawala

  • @JeniferKiwelu
    @JeniferKiwelu 7 หลายเดือนก่อน

    Huyo shirima alivyosimama hapo utadhani mtu kweli

  • @fundimagari5825
    @fundimagari5825 7 หลายเดือนก่อน

    Shirima yupo kikazi zaidi katumwa sio bure

  • @albertinamichael6123
    @albertinamichael6123 7 หลายเดือนก่อน

    Ingekuwa we mpumbavu ukiwa na miaka miwili ungeweza kuendeleza kiwanja??

  • @abuuda4754
    @abuuda4754 7 หลายเดือนก่อน +1

    Sasa 1985 ana miaka miwili mlitaka afanye nn?! 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @emmanuelmlowe-ew7gx
    @emmanuelmlowe-ew7gx 7 หลายเดือนก่อน

    Shirima nimchaga .kwaajili mchana ni mwizi.

  • @jumamnumbwa9483
    @jumamnumbwa9483 7 หลายเดือนก่อน

    Hahahaha kina shirima hatari sana

  • @giftyjackson2461
    @giftyjackson2461 7 หลายเดือนก่อน

    Nimecheka mpaka basi

  • @elibarikimollel7149
    @elibarikimollel7149 7 หลายเดือนก่อน

    Makonda Hamtawali mnaongoza! Na hivyo vyama vingine unavyoviponda havina maamuzi sio jukumu lao, lakini viko kihalali tena ni watanzania!

    • @kassimmuktarymurji4242
      @kassimmuktarymurji4242 7 หลายเดือนก่อน

      Matatizo ya watanzania hayawezi kuwa soved kwa chama chochote kwasababu matatizo ya watanzania yanawezekana kwa kutatuliwa na ccm na Makonda niwakati wake muwacheni upinzani wa nnchi hii ni mapapety wa nnchi za magharibi

    • @emmanuelmlowe-ew7gx
      @emmanuelmlowe-ew7gx 7 หลายเดือนก่อน

      Sasa kama mnajua chama cha makonda kinaongoza sasa mbona mnasema makonda siyo kazi yake?.chadema hajitambui ila mkonda amewamaliza. Hata mkutano mkutano saivi watu watawaangalia kama kituko flani

    • @BituroPaschalKazeri
      @BituroPaschalKazeri 7 หลายเดือนก่อน

      tatizo lako uanaharakati

  • @abedishafii2054
    @abedishafii2054 7 หลายเดือนก่อน

    Huyo shirima Achunguzwe ni mwizi mkubwa huyo

  • @jumamnumbwa9483
    @jumamnumbwa9483 7 หลายเดือนก่อน

    Mh kazi ipo

  • @mwandisimfukwe326
    @mwandisimfukwe326 7 หลายเดือนก่อน

    Chapaaaa kazi

  • @chingaboy1149
    @chingaboy1149 7 หลายเดือนก่อน +3

    Mfukuzeni huyo shilima sijui shishi😂😂😂😂