MAKALA FUPI YA KAMISHNA MSTAAFU WA MAMLAKA YA HIFADHI YA NGORONGORO (NCAA) DKT. FREDDY S. MANONGI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 23 มิ.ย. 2024
  • Dkt. Freddy Safiel Manongi alihamia Mamlaka ya hifadhi ya Ngorongoro (NCAA) kuwa Kamishna wa Uhifadhi tarehe 30 Oktoba mwaka 2013 akitokea Chuo cha Usimamizi wa Wanyama Pori (MWEKA) kilichopo mkoani Kilimanjaro. Dkt. Manongi alihudumu NCAA kwa miaka kumi na kustaafu mwezi Oktoba, 2023.
    NCAA itaendelea kumkumbuka kwa jitihada zake katika Uhifadhi, Utalii na Maendeleo ya Jamii

ความคิดเห็น •