Ondokeni tu maana kwa aliyefika ngorongoro karibuni ule uhalisia wa eneo hilo watu wakiendelea kuishi litakosa maana kabisa kutakuwa Kijijini,lakini wanaondoka wafikiriwe kwa miaka 10 huko wanakwamia wapate zile huduma walizo kuwa wanapata wakiwa ngorongoro ili watengema maana inawezekana ,kuhamisha mtu akaanze maisha mapya ni ngumu sana
Mungu awabariki sana viongozi wetu kwakushikana pamoja kuzipigania Aridhi yetu endeleani tu maana Mungu yuko pamoja nanyi
Hongera wana ngorongoro fateni haki
Hongereni sana watu wa ngorongoro mnaumoja sana.Na pia mnajiamini sana nyie ni wazawa.
💪💪💪
Ondokeni tu maana kwa aliyefika ngorongoro karibuni ule uhalisia wa eneo hilo watu wakiendelea kuishi litakosa maana kabisa kutakuwa Kijijini,lakini wanaondoka wafikiriwe kwa miaka 10 huko wanakwamia wapate zile huduma walizo kuwa wanapata wakiwa ngorongoro ili watengema maana inawezekana ,kuhamisha mtu akaanze maisha mapya ni ngumu sana
Msikubali kuhama maana watatusoea Sana watakuwa wanatuteza cc wamasai tukatae kabisa kabisa
Hameni humo