🚨Yanga 1-0 Simba,Tathimini kiufundi Dkk 90,Muundo wa kikosi Simba yaliyojitokeza.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 9 ก.ย. 2024
  • #ahmedally #alikamwe #simba #simbatanzania #yangafc #yangasc #yangatv #youtube #football #simbaislive

ความคิดเห็น • 49

  • @JacksonMartin-pb2vq
    @JacksonMartin-pb2vq หลายเดือนก่อน +6

    Angefungwa Yanga leo tusinge lala

    • @errydeo8865
      @errydeo8865 หลายเดือนก่อน

      Sana😂😂😂😂

    • @jumamngazija4321
      @jumamngazija4321 หลายเดือนก่อน

      Sasa Jana mlilala?

  • @kefangendwa3336
    @kefangendwa3336 หลายเดือนก่อน +1

    Camara is the best 😊😊

  • @khajihamisi5054
    @khajihamisi5054 หลายเดือนก่อน +5

    Geofray apunguze maneno mengi ya kujifanya anajua, hao mabeki ya simba hawapashwi kilaumiwa! Yanga wanaufundi mkubwa wanapokuwa eneo la mwisho kwenye ki attack!!!

    • @abelpaul5235
      @abelpaul5235 หลายเดือนก่อน

      Hamna ufundi wewe subiri simba wapate muunganiko. wachezaji hawana hata miezi 2 wakiwa pamoja

    • @Fred-Ma
      @Fred-Ma หลายเดือนก่อน

      ​@@abelpaul5235Yanga hawataunganika??😂😂

    • @suleimanmwenyemvua995
      @suleimanmwenyemvua995 หลายเดือนก่อน

      ​@@abelpaul5235Simba YAKO ni mbovu... Yanga ni timu kubwa na bora zaidi kuliko Makolo....ukatae au ukubali umefungwa refarii kapunguza magoli....😅😅😅

  • @alexbujenja2750
    @alexbujenja2750 หลายเดือนก่อน +2

    Kwa uchezaji wa Deborah na hizo faulo tegemeen Kadi sana

  • @anithawidambe7543
    @anithawidambe7543 หลายเดือนก่อน

    Crown ni chanel bora sana na inawatu wanaoujua mpira. Cy wengine wanachambua kwakusimama kiupenzi wa mpira chambua kimchezo cy mapenzi YA timu

  • @stephenmakigo5840
    @stephenmakigo5840 หลายเดือนก่อน +1

    Yanga sio wa kuchezea

  • @edwardmbonika5102
    @edwardmbonika5102 หลายเดือนก่อน

    Hatumkosoi kocha ila kapombe na mzamiru kocha kazingua

  • @saidimussa8200
    @saidimussa8200 หลายเดือนก่อน

    Kapombe ndio kila siku anaifungisha simba

  • @GOLDIANEDRICK-sm6xk
    @GOLDIANEDRICK-sm6xk หลายเดือนก่อน +3

    Wewe geoflea ni Simba tunakujua tu

  • @shabanmwegole189
    @shabanmwegole189 หลายเดือนก่อน +3

    Wanaanza kutafuta mchawi sasa😂

  • @edgarlugongo7755
    @edgarlugongo7755 หลายเดือนก่อน +1

    Leo Yanga wamecheza chini ya kiwango. Passing haikuwa sahihi.. walikuwa wanachelewa kufanya maamuzi

  • @SalmaChali-w5p
    @SalmaChali-w5p หลายเดือนก่อน

    Sina BAYA kwa simba tumu tunayo kwa uchezaji ule timu ikiunganika itakua tishio tz na Africa ❤❤❤

    • @muddymuzungu4357
      @muddymuzungu4357 หลายเดือนก่อน +1

      Haya tutajionea
      Shirikisho kama utafika NUSU😂😂😂😂😂 😂I 😂DON’T WANT PROBLEM😂

    • @JELSONMAUKI
      @JELSONMAUKI หลายเดือนก่อน

      ​@@muddymuzungu4357. Akajibu utanishtua 😅😅😅😅

  • @StephanoMwakihiyo
    @StephanoMwakihiyo หลายเดือนก่อน +1

    Sio Debra ni debora

  • @abdullramadhanii626
    @abdullramadhanii626 หลายเดือนก่อน +3

    Kubwebwa tumenyimwa magoli mawili ya wazi

  • @salehmussa9371
    @salehmussa9371 หลายเดือนก่อน +1

    Kapombe,Shabalala na Mzamiru naanzakuiona safari yao kuondoka kwaharaka sana.

  • @mariammbwana9018
    @mariammbwana9018 หลายเดือนก่อน +1

    Mbwaduke hans rafaeli ambangile na job hao ndio wachambuzi wengine waliobaki wte machawa

  • @iddfundikira2817
    @iddfundikira2817 หลายเดือนก่อน +1

    Sasa crown si ya baba yao kiba lazima waitetee Simba na bado hawajasema clouds itabaki kuwa baba lao kwenye uchambuzi

  • @velxempire8995
    @velxempire8995 หลายเดือนก่อน

    happ kwa kibu hapo alipoingia ndo alidondoka baad ya hap akakaa sawa

  • @kadirichannelonlinetv4258
    @kadirichannelonlinetv4258 หลายเดือนก่อน +11

    Achen uchambuz uchwara aucho alikuwa anacheza faulo zp ile moja ndo unasema alikua chambuen mpira achen ushabik wa kijinga

  • @ABDALLAHMWATANDA
    @ABDALLAHMWATANDA หลายเดือนก่อน +1

    Kwa Nini mna majibu YENU ...

  • @joackimumalya7138
    @joackimumalya7138 หลายเดือนก่อน

    Alisalim nani bana

  • @SISTICHUWA
    @SISTICHUWA หลายเดือนก่อน

    Kiutaalamu, Simba ya mwaka jana ni nzuri kuliko Simba ya mwaka huu. Kwenye mchezo wa ngao ya hisani ya mwaka jana, walitoa droo na Yanga ndani ya dk90 na kisha kuchukua kombe kwa njia ya Penati. Mwaka huu ndani dk90 wamefungwa. Je ni ipi bora ya mwaka jana au mwaka huu?

  • @selemanmussa3459
    @selemanmussa3459 หลายเดือนก่อน

    Pacome hakabiki, acheni kujifanya wajuaji...

  • @simonlukiko2850
    @simonlukiko2850 หลายเดือนก่อน

    YANGA ALITAWALA KARIBIA KILA KITU NA YULE ELI SASII NI SIMBA ATUMTAKI ACHEZESHE GAME ZETU WAMECHEZA SANA RAFU WAME TUNYIMA PENATI NA GOLI LA KI AZIZ PUMBAF YULE

  • @HildaMosha-u4x
    @HildaMosha-u4x หลายเดือนก่อน

    Mechi ya leo yoyote angestahili kupata matokeo sio yanga ndio wamestahili

  • @Kibudu
    @Kibudu หลายเดือนก่อน

    Dawa yenu ni kuwashona shobo hatutaki😂😂😂

    • @muksinimbaruku1233
      @muksinimbaruku1233 หลายเดือนก่อน

      Mbna unapanic mapema hivi ndo kwanza ngao na ligi haijaanza

  • @RoseJonas-c4i
    @RoseJonas-c4i หลายเดือนก่อน +1

    Hunalolote

  • @yunusimchala6569
    @yunusimchala6569 หลายเดือนก่อน +1

    Halid aucho kwanza mvivu wa MAZOEZI so anafanya fault za kijinga

    • @festokemibala5832
      @festokemibala5832 หลายเดือนก่อน

      Hizo habari umezipata kwa mwalimu wake au za mtaani?

  • @user-qi3wv8sf5j
    @user-qi3wv8sf5j หลายเดือนก่อน

    KWAHIYO nani nani amedominate mchezo kama sio YANGA??

    • @nauwarykabuma3793
      @nauwarykabuma3793 หลายเดือนก่อน

      Mechi 50 kwa 50

    • @mwanangusana
      @mwanangusana หลายเดือนก่อน +1

      Kaka mjinga anapewa cheo ... Hata ilo goli tuwape SANDA Sport Club 😂😂😂

    • @simonlukiko2850
      @simonlukiko2850 หลายเดือนก่อน

      ​@@nauwarykabuma3793 hyo ni KIPI ndi cha PILI dk 70 KIPINDI CHA KWANZA kina isha ball possession yanga 51 simba 49 KIPINDI CHA PILI mwishoni Wachezaji WENU simba upepo ulikata