🅴🆇🆃🅴🅽🅳🅴🅳 🅷🅸🅶🅷🅻🅸🅶🅷🆃🆂 | SINGIDA BLACK STARS {0} VS SIMBA SC {1} | LIGI KUU YA NBC 2024/25
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 5 ก.พ. 2025
- SUBSCRIBE NOW:
🌐 Site: simbasc.co.tz/
📱 App Store - apps.apple.com...
📱 Play Store - play.google.co...
🔵 Facebook: / simbatanzania
📸 Instagram: / simbasctanzania
𝕏 Twitter: / simbasctanzania
🎶 Tiktok: / simbascofficial
About the Official Simba SC TH-cam Channel:
Simba Sports Club is the most successful club in the history of football in East Africa. Enjoy the best goals, highlights, tricks, new players, training's,exclusive interview and live press conference
🔵🔴⚪ #NguvuMoja #Wenyenchi
Iyo ndo simbaaaaa ya ubaya ubwela naipenda Simba mpaka naipenda tena Simba nguvu moja ♥️♥️♥️❤❤❤
SIMBA SPORTS CLUB BINGWA MSIMU HUU ❤️❤️❤️ UBAYA UBWELA 🔥🔥🔥
In love with Simba everlastingly
simba nguvu moja hongeleni maasikali wetu kwa kupambana na hao maharamia walio kua msituni mmewapiga na mkawapiga na wanao wafadhili silaha simba nguvu moja
Love u simba ila ahoua ananikosha mno nampenda sana sijui nisemeje
Sipirit ya upambanaji wa chezaji wetu wa mnyama tuliyokuwa tunaitamani kuanzia kipindi cha mwanzo wa mchezo leo tumeiona ambayo imewalazimisha Singida licha ya kukamia mchezo watumie nguvu zaidi ili kuharibu mipango ya Simba.Hongera Simba kupata ushindi mhimu wa leo
mtoto akililia wembe mpe umkate singida waliyataka wenyewe mungu awabaliki wachezaji wetu awape wepesi kuelekea mchezo kimataifa muwe na afya njema
Simba nguvumoja
Akiutaka wembe unoe zaidi ili akiushika tu umkate hatoushika Tena ndicho alichofanya Fadlu
Kamdomo kamdomo kamewaponza😂😅
Hahahah tumepiga mtu na mama mkwe wake
Naipenda Simba kuliko ata demu wangu 🥰😍😍😍
,,,😂😂😂😂😂😂akikusikia penzi linakufa
hahahahaha😅😅😅
duh we noma
Timu yoyote iliyowekewa hela na gsm ili iifunge Simba imepata aibu yenyewe. Simba ni TAIFA KUBWA...❤❤❤❤
Simba ilivofungwa alishika nani kwen
Mungu ni mwema, tumeunyamazisha umati wa watu wote walio kuwa wanatuombea tusipate point3🦁🦁 ila mungu to kawanyamazisha
Asante mungu kwa kutupa ushind❤❤
Simba SC Bingwa Nguvu mmoja.😇😄😄😄😄😄😄
Timu tunayo viongozi msiwe washabiki mfanye kazi kwa weledi siyo lazima Kila dirisha usajili,tuna vitu vingi vya kufanya viwanja hatuna hizo hela za usajili ziendeleze miundombinu ya timu
Babo Justine SIRITO MAKOI LEO Dada VAI MAKOI LOVE Babo Dada LUCY MAKOI LOVE Babo SIMBA 5 🖐️ LEO 🏆🏆🥇🥈🥉🏅🎖️🏅 SPOr pesa polisi
Naipendasana simba language tena naaipendaa
Ila zile save mbili za Camara kiboko aaaah❤
Alhamndulillahi
Tumefunga team mbili kwa mpigo
SIMBA 7 LEO 🏆🏆🥇🥈🥉🏅🎖️🏅 SPOr pesa polisi
Hatimae mechi 15 point 40 inshallah ❤❤❤🙏
Kz
🎉😮😅
Safi sana simba good joab
simba nguvu moja
Daah! Simba nyie kila Mechi Nahodha ana Bendera ya Timu wenzenu wote hawana hata Utopolo Pia
Hii ndio UBAYA UBWELA inaitwa kambali na mnyama wa mwituni wa ndani mtaishia kulia😂😂😢😢😢😢
Naipenda sn smb angu
Naitakia singda ushindi Mimi n yule yule mtto wa jangwan❤❤❤❤
Hii nd highlight sasa acha wale wengne😃😂
🎉🎉🎉
Woooooo
Tajiri mo tununulie huyo Rupia
Simbaaa atali 😊
YANGA 1 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
MIMI YANGA MBONA HUMU SIONI WENZANGU?
AU MATARAJIO YETU YALIKUWA SIMBA KUPOTEZA LE
2po kama wote
This is simba
Alienifurahisha Mimi niiii mwamba wa miamba aliekua bench nae si mwingine n MATOLA hahahhaha alieskia matola akiwaambia bench la black star fatilieni timu yenu acheni na wachezaji wetu tena kwa ukali tia neno hapo kweny comment mwamba kanfurahisha saaaaaaaaaana kuwawakia bench la singid mitumbwiiiiii😂😂😂😂😂😂😂
😘😘🥰🥰😍😍🤩🤩🥳🥳
SIMBA NGUVU MOJAAAAA
Naitakkia sinngida usn😅😊😊
2po kama woteeeeee
Jean ahoua love u
NI HATARIIIIIIIIIII
Mungu C Athuman Bana Kiko Wap Wao Wameungana Kwa Uovu Sisi Tukashikamana Na Muumba Wetu Akatutendea haki
Beki wa simba walimsoma rupia mtu wa kuotea sasa walimpa mitego mingi kashindwa next time kma ivo
Jaribuni kuongeza speed ya kufunga magoli mengi. Timu ilo namba 2 inafunga magoli mengi ili km kutatokea uiwayano wa point watawazidi magoli.
Mnyamaaaa...
Ghriiiiiiiiiiiiiiiiiii.....!!!!!
Ubaya ubwela
Tafadhar simba app tunaomba muwe munawahoji mashabiki baada ya mechi ili tuwe tunaona reactio za mashabiki
Ubaya ubwela🦁🦁
Nabi malisa
Lupia mtu mbady sanaaa
Halafu hawa Singida wangecheza hii game kawaida tu bila kukamia kwa kuwaza pesa walizohaidiwa pengne wangeweza kupata hata sare, sasa wakaingia na moto mwishowe hadi wanafanya makosa ya hovyo
Yani mung awalinde wachezaji wetu tunawapenda mnooooooooo ubaya UBWELA
Mtoto kau want 😂😂😂
MICHEZAJI YA SINGIDA NIMICHOKO MDA WOTE INALALAMIKATU KWA MWAMUZI IMESHATUMWA NA MICHOKO YAO IKAFIKIRI GEMU ATAKUA RAHISI HUU NIUBAYA UBWELA KENGE NYIEEEE
Wachezajo wa singida wanakaa kwa simba kama mabeki duuh
Mdogo mdogo mpaka tutaelewana tuu
Ila msimu huu tuna vita sana lakini tutavipiga na kuvishinda
Ilove you so much SIMBA❤ ARSENAL❤🫶🫶🫶🫶♥️♥️♥️♥️♥️♥️🤲🤲🤲🤲🤲🦁🦁🦁
mechiii muhimu kuna hajaa mkwalaa kuanziaa benchi ushauriii tuuuuu
Ndo shida yakamdomo
Alie mleta kagoma peponi bila Kona kona
Nabii malisa
Sasa iyo kona wamekataa kvp😅😅😅
Wanaendaga na akili za ki utopolo utopolo utopolo 🐸🐸🐸🐸🐸🐸
Ubwela tu tunawaapa
yanga tulia
Kamdomo kamdomo kamewaponza😂😅
YANGA 0 mtoto
❤️♥️♥️❤️♥️❤️♥️❤️♥️❤️♥️❤️♥️❤️♥️❤️♥️❤️♥️♥️❤️♥️❤️♥️❤️♥️❤️♥️❤️♥️❤️♥️❤️♥️❤️♥️❤️♥️❤️♥️❤️♥️❤️♥️❤️♥️❤️♥️❤️♥️❤️♥️❤️♥️❤️♥️❤️♥️❤️♥️❤️♥️❤️♥️❤️♥️❤️♥️❤️♥️❤️♥️❤️♥️❤️♥️❤️♥️♥️❤️♥️❤️♥️❤️♥️❤️♥️❤️♥️❤️♥️❤️♥️❤️♥️❤️♥️❤️♥️❤️♥️❤️♥️❤️♥️❤️♥️❤️♥️❤️♥️
Tumenyamazisha tukelele twa gsm
😂😂😂 Sasa mwana yanga ataandika kitu gan?
👑🦁♥️♥️♥️♥️♥️👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏🙏🙏🙏
simba nguvu moja
YANGA 0 mtoto
🫡🫡🤓🤓😎😎
🚴🚴🚵🚵🏋️🏋️🏇🏇🤸🤸