Vijana wezangu tusitamani mafanikio ya mtu cz maisha siri tutafute kwa jasho ,maana mungu kama ajakupangia fungu la kupata usifosi maana mali zenyew tunakufa tunaziacha , please naomba turidhike na tuna chokipata huku tukiendelea kupambana nakua na subira na kuam kupata kwa zamu ,maana mtu anapesa kazi aijulikani tuwe makini sana na hii dunia, allahu akbaru🙏
Yaan ishu ya jmaa huyu ni kujiweka akiwa na Hela eti mm kijana nimefikaje hapo wakati yeye alipokuwa ana umri kama wangu alikuwa ni boda boda !! Ila mm nimevuka hapo
Unahojiwa wewe unamuuliza mtangazaji maswali, na mitangazaji ya bongo mibogus tu inajibu. Mtu kama huyu kumhoji unafaa umuulize maswali yakumuumiza kichwa. Anaibia ibia vijana tu.
Nakukubali sana kaka ...unajipenda na unajua sanaa.. naomba japo niwe na ww unisaidie japo mawazo to
True bro Lugumi mtu aisee God bless him
Wambiye brother wambiri
Rugumi Mwenyez Mungu ampe maisha marefu
Lugumi .. Shenzi kabisa😂
Rugumi mungu ampe maisha malefu
Kasha kuwa chawa teyari😂
Huyu ameshakuwa chawa
Tajiri kawa Chawa 😂 tajiri sura ngumu hivi
Leo umekua chawa😮😅😮😂
😂😂😂😂😂
Kaaga hivyo hivyo kumuita chawa njaa inakufokojoa naumbea wako
Tajiri haongei sana 😂😂😂😂😂😂
Sijawahi kuamini kuwa huyu jamaa ana hela na leo nimeamini, dogo kawekwa na Lugumi 😂😂
Rugumi waga ni zungu
Huyuuu mjomba Ana tumaliziaga Mb zetu buree😅😂😅😅😂😅😂😅😂😅😂 huyu sio chawa tena ni kukunguni😂😂😂
Point point
umenena Kaka mtu anajiita tajiri asaidii jamii wasiyojiweza uyo so tajili bado
Huyu anamjua MO kweli
Ni kajinga tu haka
Mo pesa za familia siyo zake peke yake
Kuna watu washakufa siku nyingi kuweni na tahadhari
Boda Bodo zimeanza mwaka 2005 SASA rugumi na boda wapi na wapi
Bai ze wei
Kaka umemuona Bahresa??
❤❤
Embu ngoja tuone mwisho wake isije kuwa kama Ginimbi niko paale 👉 nimekaa
😂😂 Genius Kadungure Ginimbi😂😂
Weee njomba tuache ,Boda bodaaaaa ipiiiii?
Tajiri lazima akope kwasababu anazo aset za kuweka
Vijana wezangu tusitamani mafanikio ya mtu cz maisha siri tutafute kwa jasho ,maana mungu kama ajakupangia fungu la kupata usifosi maana mali zenyew tunakufa tunaziacha , please naomba turidhike na tuna chokipata huku tukiendelea kupambana nakua na subira na kuam kupata kwa zamu ,maana mtu anapesa kazi aijulikani tuwe makini sana na hii dunia, allahu akbaru🙏
Huyu chawa hana kitu bana tajiri wa mtandao ,tajiri gari hana bank, hana kiwanda,kila siku pesa unazo mkononi 😂😂😂😂😂😂
Ww acha kusema hv Kuna watu Wana hela Tena wamemzidi mbali hawajioneshi
Tajiri gani unaongea km cherehani.
ILA GODI BANA DAAAH😂😂😂😂
Kwan huyu kaka anafanya kaz Gani au biashara zake ni zip pesa haziji TU jaman bila kufanya kaz
Trilionea pesa za Zimbabwe.
Kama Lugumi trilionea Bakhresa atakuwa nani? 😂😂😂😂😂
@@timothyberege2594hapo sasa
Watu wanasema mtu akiwa na pesa sura inabadilika lakini naona huyu sura lake ni lile lile😂
😂😂😂😂ulisha anza wivu tyr😂
Wivuuuuuuu
Kweli kbs
Kabadilika mbona muangalie long time na now
ss ww umekuwa chawaa
uyu apigwe vizuri atasema pesa anatoa wap😂
Kwan bodaboda zimeanza mwaka gani hapa nchini, mbona kama umetudanganya hapo
Ilianza miaka ya 2007
@@mwlpierre 2007 Huyo mzee alikuwa kijana?
Chief ww unafanya kip cha maana
Chief anaongea porojo tu hata uelewa kichwani ni Zero
Wewe una nini post tuone
Yaan ishu ya jmaa huyu ni kujiweka akiwa na Hela eti mm kijana nimefikaje hapo wakati yeye alipokuwa ana umri kama wangu alikuwa ni boda boda !! Ila mm nimevuka hapo
Kajinga haka
Boda boda aliendesha mwaka gani????
unaongea ukweli brother 100p
Huwezi kuwa tajili bila kazi chief nakujuwa sanaaa ww unafanya kazi gani????.duuuuu trionia duuuu jamaaa Ana dollars 100 billion sio poa
Mzee unajua dola billion 100?
Chief ni mbumbumbu hata uelewa hana sema wajinga wenzake ndio anawatapeli
Hiyo ndio gharama ya uvamizi wa marekani nchini iraq
Unahojiwa wewe unamuuliza mtangazaji maswali, na mitangazaji ya bongo mibogus tu inajibu. Mtu kama huyu kumhoji unafaa umuulize maswali yakumuumiza kichwa. Anaibia ibia vijana tu.
Hakuna waandishi yani mwandishi inabidi haulize maswali yy ndo anaendeshwa interview
Kuna watu washakufa siku nyingi kuweni na tahadhari