JUM DAY 3 - NJIA TATU KUZUIA BEDSORE
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 8 ก.พ. 2025
- Njia tatu za kuzuia Bedsore.
1. Paka mafuta au lotion ya kulainisha ngozi ya sehemu zinazopata mgandamizo.
2. Badili mikao na milalo.
3. Kuwa mkavu muda wote.
Hizi ndio mbinu nnazotumia mimi kuzuia kupata bedsores.
Ukiona video hii na umewahi kupata bedsores tuambie ulifanyaje zikaisha na vipi unazizuia zisirudi.
Mungu akujalie uheri wake Dada angu
Nafurahi sana kukuona ukiwa na furaha
Pole sana Amini Mungu Hajalala siku zote Atakuponya tu Pokea uponyaji kwajina la Yesu Ameni
Hello my precious sister,may God bless you richly and be with you everything is possible with God.
Ameen
Mungu akubariki na aendlee kukutetea .....
Mashallah Mungu akuponye haraka mpenzi maana naona hata baadhi ya viungo vinaanza kushirikiana
❤️❤️❤️❤️me love you sister 😍❤️
#JesusPowerRespect
Alhamdhulillah
Can u do your bathroom routine
Mung nkubwa
c2-c3?