Wafanyakazi wa NMG wamepata fursa ya kujishebedua na kujipima ufaafu wao wa lugha na chemsha bongo

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 4 ก.ค. 2024
  • Kituo cha habari cha Nation Media kimekuwa katika mstari wa mbele kuikuza lugha ya Kiswahili kupitia gazeti rasmi la Taifa Leo na mpango wa N.I.E Hii leo wafanyakazi wa NMG wamepata fursa ya kujishebedua na kujipima ufaafu wao wa lugha ndani ya chemsha bongo na kumzawadi atakayeyapata jibu sahihi Shilingi elfu moja pesa taslimu. Kunao waliojitosa kimasomaso kwenye mizani na wale waliodai eti Kiswahili ni kigumu. Yote tisa kenya imeungana na ulimwengu kushabikia lugha ya Kiswahili kwa matayarisho ya kuadhimisha siku hii kuu Jumapili hii.
    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.
    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya

ความคิดเห็น • 1

  • @user-tn9ux6cj2p
    @user-tn9ux6cj2p 4 วันที่ผ่านมา

    Kiswahili ni ngumu😅😅😅😅