Mwenyekiti wa Kamati ya Bajeti Ndindi Nyoro ahakikishia wakenya bajeti haitaathiriwa kwa kupunguzwa

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 9 ก.ค. 2024
  • Mwenyekiti wa Kamati ya Bajeti katika Bunge la Kitaifa Ndindi Nyoro amewahakikishia Wakenya kwamba baadhi ya mipango muhimu ambayo ilikuwa imeainishwa katika bajeti ya mwaka 2024\2025 haitaathiriwa kwa kupunguzwa. HATA HIVYO AMESEMA Bajeti hiyo itapunguzwa kwa takriban Shilingi 177 bilioni huku Ndindi akisisitiza kujitolea kwa serikali katika usimamizi wa fedha na uwekezaji wa mikakati yenye lengo la kukuza uchumi.
    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.
    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya

ความคิดเห็น • 1

  • @muragesimon9627
    @muragesimon9627 17 วันที่ผ่านมา

    why are people giving these people audience?