Wakaazi wa Murang'a wamsuta vikali Betty maina kuanzisha cheche za maneno na naibu rais Gachagua

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 9 ก.ค. 2024
  • Baadhi ya wakaazi wa kaunti ya Murang'a wamemsuta vikali mwakilishi wa wanawake Betty maina kwa madai ya kuanzisha cheche za maneno dhidi ya naibu rais Rigathi Gachagua .
    Wakaazi hao wamemshtumu vikali Maina kwa kupanga njama ya uchokozi kwa naibu rais hatua ambayo wanasema itazuiliwa kwa njia zote ,huku wakidai kua Maina anashawishiwa na wahusika wengine wa kisiasa kuchafua jina la Gachagua mlimani. Isitoshe mbunge huyo amejiingiza katika vita na naibu rais vya kuonyesha nani mbabe katika uongozi wa sasa huku wakitazamia uchaguzi wa mwaka 2027. Jambo hili limejiri wakati ambapo Gachagua anazidi kupoteza uungwaji mkono kutoka kwa wabungemhaswa wa mlimani ingawa wenyeji wa mlima wanasema wanamuunga mkono
    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.
    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya

ความคิดเห็น • 9

  • @mwangidavid1221
    @mwangidavid1221 17 วันที่ผ่านมา +2

    Beth akweeeeeede.

  • @user-rg9yf3nn6l
    @user-rg9yf3nn6l 17 วันที่ผ่านมา +3

    Betty maina heshimu deputy President usilete ugomvi Murang'

  • @annewanjiru818
    @annewanjiru818 17 วันที่ผ่านมา +1

    Huyu Betty has a combative spirit.

  • @marymutai8915
    @marymutai8915 17 วันที่ผ่านมา

    Her smile tells it all

  • @gideonchrismaina1773
    @gideonchrismaina1773 17 วันที่ผ่านมา +2

    As my birth county rep...she is very very incompetent...she was actually elected by default. She should start preparing to go and serve her in-laws to know what type of a "wife" she is....😮😮😊

    • @janendegwa5462
      @janendegwa5462 17 วันที่ผ่านมา +3

      atarudi nyumbani her husband has filed an impeachment motion against rigathe after that i am sure ni kumburithio mathira the way mathira people love Rigathe magutweka ahoi toro

  • @johnbrown3235
    @johnbrown3235 17 วันที่ผ่านมา

    tugege twa mlima hoiyeee... serikali ya mungu inawapeleka aje??

    • @Kibiro-tt6ch
      @Kibiro-tt6ch 17 วันที่ผ่านมา

      n vizuli kuandika JINA YA MUNGU na jina kubwa please

    • @Kibiro-tt6ch
      @Kibiro-tt6ch 17 วันที่ผ่านมา +1

      n vizuli kuandika JINA YA MUNGU na jina kubwa please