SALAMBA: USAJILI HUU WA MAURICIO SIMBA WAMERAMBA DUME/ REKODI ZAKE NI HATARI KWA WAPINZANI...
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 28 ธ.ค. 2023
- #tpmazembe #timuyawananchi
#tpmazembe #rajacasablanca #daimambelenyumamwiko #daimond #timuyawananchi #mkapastadium #sisco #milladayo #tanzania #utalii
#simba #simbafans #tff #caf #yanga #michelo #mbwaduke #gsm #nbcsports #nbcsports #sportspesa #feitoto #tpmazembe #robertinho #rajacasablanca #mbet #phiri #baleke #bocco #ntibazonkiza #tanzania #live #livestream #trendingshorts #manara #teamindia #nguvumo
Nukuu - กีฬา
Mgunda aachiwe tim kwasababu anawezo mkubwa ili asjili wachezaji yeye kwakua anaichezesha vizuri tim
NYUMBA BORA HUANZA NA MSINGI TUSIPUUZE DIRISHA DOGO TUKITUMAINI KUJIIMARISHA KTK DIRISHA KUBWA TUSAJILI SOON WASHAMBULIAJI WAWILI WENYE KASI , NGUVU NA KUTUMIA NAFASI ZA KUFUNGA , PIA KIUNGO MKABAJI, NA MABEKI WA KUSHOTO NA KULIA VINGI EVYO TUTAKUWA WASINDIKIZAJI WA YANGA
Sure papaa
Wewe unafikiri ni mshambuliaji gn utampata kuwazid Philip na Baleke, tuache kujidanganya msingi ni kuhakksha hawaindoki ni suala la fomu TU, class Yao sote tunaijua
Kuna wakati wanaoleta hizi hoja wawe serious, kutoka milioni mpaka billion wapi na wapi
VIONGOZI WA SIMBA MSITUDANGANYE KUTULETEA TETESI TUU NA C UHALISIA MKITAKA TIMU BORA SAJILINI WACHEZAJI WALIO BORA ILI TIMU IFANYE VZR
Akaribie sana lakini Bado no.9 , mkitaka raha leta 9
Viongozi wa simba wasilete tete tu wafanye kweli kwenye usajili pia tuna taka wachezaji vijana wazee washa choka
Tunaitaji washambuliaji simba maswala ya wig sijuw nani aina matika japo wachezaji wote ni wanaumuhim lakini simba inaitaji mshambuliaji makini
Kulamba co kuramba
Hapo kwa kibu kuwa hana maarifa ya kupenetret sikubaliani na salamba
Coch 2namuamin
Yule mchezaj anajuwa sana tumemfatlia na atawatesa sana acha wivu wwe mchambuz WA mchongo mchambuz njaa
Kwel Simba ni timu kubwa maan kila tetesi ni Simba tu😂😂😂
Manzuki ni mzee tunataka mshambuliaji mwenye mbio
Akija anaweza kusadia
Tunakujuwa wwe shbk wa utopolo k wwe